Ikiwa unamwamini yesu kristo kua bwana na mwokozi wamaisha yako weka like....apo chini barikiwa
@merymahu45006 күн бұрын
Ameeeen
@TwahaIssa-i3e5 күн бұрын
Ameen
@MirliamSiryvester-j2q5 күн бұрын
Amen🎉🎉🎉
@euniceishenga79405 күн бұрын
Amin
@MARIAEMMANUEL-t2i4 күн бұрын
Amina🎉
@PellyRhebort6 күн бұрын
Chezea michezo yako mbali lakini siyo mm,, like kwa baba Halima jaman😂😂
@NadsmaaliAli6 күн бұрын
Baba halima umeweza kipesire Imekula kwako hiyooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊
@GrandePiquiGrande6 күн бұрын
Wanao mwamini mwenyezi mungu kwamba yuko nasi tafazari usipite Bila kumwaga mauwa🎉🎉🥀🌹 naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏
@SHARONESHIBIKHWAКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NtacobanzizaLeatitiazilfa6 күн бұрын
Kipesile kulachuma icho na ufanye Aje kipesile humuwezi baba Halima nimukubwa kwako na bali utapaki kubwaya byaya tu na madam mariam kwasasa usiache ibada tena mana unavita kubwasasana na ❤❤❤❤
@SkayilineLukhalo6 күн бұрын
Likes za mzee baba Halima
@JenipherEliphasi6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@mohammedkidody56186 күн бұрын
🎉🎉🎉
@PurityKendi-v9i6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@AmenaMm-r5t5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@OscarbukwimbaEdward6 күн бұрын
Ila kipesile ni hatari ila naamini mzee yuko vizuri kama unaamini gonga like hapa
@NadsmaaliAli6 күн бұрын
Kipesire yuko na roho ya kikatili na pia anapenda sana kumchokoza baba halima
@MariaSalim-u5z6 күн бұрын
Natamani limkute Jambo kama mamake😂😂😂😂
@mohammedkidody56186 күн бұрын
@@NadsmaaliAlina hamuwezi sasa
@NadsmaaliAli6 күн бұрын
@MariaSalim-u5z Tatizo baba halima naye yoko na huruma nyingi sana wakati mtu anawatesa watto wako
@sayunimnguruta986 күн бұрын
Kipesile kula chuma hicho ubaya ubwela Baba halima nakukubali sana ❤
@Far-hatMohd6 күн бұрын
Weeee kipesile siku zote ckio halizidi kichwa😂😂😂baba halima atabaki kuwa kichwa naww utabak kuwa sikio panya ww😂😂😂 ila nawapend wote ❤❤❤❤zaidi baba halimaa stering wetu ❤❤❤
@sharonshanny35746 күн бұрын
Kabisaaa sikio haliwezi zidi kichwa
@merymahu45006 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kweli mtoto ni mtoto ngoma.ya mtoto haikeshi
@Jackie-xg3ut6 күн бұрын
Wanaompenda baba halima like apa🥰.... Piah nmekua wa kwanza leo😛
@MelisaMpelema6 күн бұрын
Duuuuu baba kiboko jmn.
@BARAKABULUBA6 күн бұрын
honger yake jamn
@AloyceKasansa-c1h6 күн бұрын
Mzee hafaiii kipesile kimemlamba😂😂😂
@MelisaMpelema5 күн бұрын
@@Jackie-xg3ut mzeeee anautata xana
@merymahu45005 күн бұрын
Hongera kwa baba halima
@KhadiyjahMrope6 күн бұрын
Oooh baba halimaa wanikoshaaa mieee jaman yaan kipe Cha moto atakionaaa
@JescaFelix-e4x6 күн бұрын
Baba halima umeweza ukaweza Tena maua yote chukua 🎉🎉
Kipesile anatoa macho hahahaha Mtu mzima ni mtu mzima tu
@AishaIddi-wn1ow6 күн бұрын
Watoto wa Samia mko wap njooni hapa❤🎉😂😂😂
@nurafedrick3786 күн бұрын
Hahika kuruka kuruka kwa mtoto na mama imeletaaa aibuuu hakika kufikia hapo kipesile zimia tuuuu😂😂😂😂😂😂
@ChristabelShumira6 күн бұрын
Mzee yuko vzuri sanaa 😂😂🎉🎉🎉
@LoiceLoice-c1b6 күн бұрын
Mim wangu ni baba halima😂😂😂😂
@sakina55506 күн бұрын
😂baba halima nakukubali sana kazi yako unaifanya vizur🎉🎉❤❤❤
@franktodory6 күн бұрын
uyu mzee hatali sana 😂😂😂
@JackMatamwa4 күн бұрын
Wuwiii 😂😂😂kaanko maiti kamesukumwa jamani dah
@maureennaliaka89366 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa kwako baba halima umeweza sana
@NaifatJuma-g8m6 күн бұрын
Baba halimaaa oyeeee nakukubali sana baba halima🎉🎉🎉🎉
@MarixBby6 күн бұрын
Chezea baba Halima ww 😂😂😂❤❤❤❤
@SenyonjoEliya6 күн бұрын
Kipesile pole na msiba😂😂😂😂😂(Nipo hapa KAMPALA Uganda)
@AlbertjumaWanjalah6 күн бұрын
Baba halima moto kubwa ila kipesile nae dah❤❤❤❤😂😂😂
@Samiyabahatinanti6 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😁ako maiti anajuwa kutongoza
@RenfridaNjegesi-du8od6 күн бұрын
Madam kafunguka Leo 😂😂😂😂
@IsihakJerryIsihaka885 күн бұрын
😂😂😂😂😂kama kweli vile lkn n kigeugeu wawez shangaa kafel tena na hapa😂
@SharifaMustafa-r5q6 күн бұрын
Mzee anaupigaa mwingii😂😂😂😂
@philipmutua66436 күн бұрын
20%, asilimia 20. Nilikwenda salama😂😂😂❤
@MaryGirg6 күн бұрын
Kipe pole 😢Baba halima.... nakupenda Sana ❤❤❤
@ElinaPhidelis6 күн бұрын
Baba halima kiboko kweliii 🙌🙌😅
@Luvuno-q1n6 күн бұрын
😂😂😂😂😂hii epsod ya leo n 🔥🔥🔥🔥
@EdigaBukombe6 күн бұрын
Mzee ni moto wa kuotea mbali ila nampenda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@bibzmwakio52856 күн бұрын
Kipesile achana na huyo mzee, sikuonei vizuri hapo
@lisahke6 күн бұрын
Duh huyu baba halima ni moto😂😂😂😂😂😂😂😂
@OtiliaExavery6 күн бұрын
Nampenda baba halima bureeee❤️😍🌹
@JulyNyaboke6 күн бұрын
Sasa kila mtu wa kwanza bis m nitakuwa wp😂😂🇰🇪
@CatherineOchadamong6 күн бұрын
Wa tatu leo from Kenya 🇰🇪. Nipeni likes please
@dhahabukalama26356 күн бұрын
Mtoto wa kasongo umerauka😂😂😂😂
@PriscahMwako6 күн бұрын
Watoi wa kasongo tuko ndani 😂😂
@EsterFrenk-b7t6 күн бұрын
Yan we madam ukikubali tena kwahuyo anko maiti nitahuzunika sana😢😢😢😢😢
@JudithSifuna6 күн бұрын
😂😂😂😂huyu lazima atakubali🤣🤣
@EsterFrenk-b7t6 күн бұрын
@JudithSifuna ni hatar Kwa madam anapigwa za uso🤣🤣🤣🤣
@sofiaabdallah87416 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂acha tuone madam ataishia wapi kwa uncle maiti
@MartinaMathias-y9z6 күн бұрын
Kipesile kimemulamba leo polee😮😮😊😊
@CatheOmaly6 күн бұрын
Dahaaaa wemzeee ninoma❤❤❤❤❤❤
@ajesterkalulu79276 күн бұрын
😂😂😂😂uwiii baba halima oyeeeee kipesile umekamatika
@SaidiKazungu-f8m6 күн бұрын
Safi sana team kipesile kazi nzuri sana nawapongeza kwa kazi njema, big up sana 👍.
@janissam51876 күн бұрын
Wow I learn a lot in this movie ❤
@kiddy87_tv6 күн бұрын
Waliofurahi kutomuona DORY naombeni likes hapa❤,anacheka Cheka tu Kma msenge
@jacquelinemuthina6 күн бұрын
Watoto w kasongo c mpige like najua mko uku maubwa sisi😂😂😂😂
@Martina-w7b6 күн бұрын
😂😂😂
@Binty-z7g6 күн бұрын
Tunakosaj kw mfano😂😂😂
@EstherMnyazi-p1l6 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ShamarmeGod6 күн бұрын
Niaje doggy
@jonesdegrandson92616 күн бұрын
😂😂😂
@MwanaidiHussein-u9w5 күн бұрын
Kipesile kimemramba kama koni aaamu aamu 😂😂
@ProscovianByera6 күн бұрын
Saf sana mariam leo umenifulahisha kidogo, baba alima baba chukua🎉🎉🎉 nisesononeka kutokumuona dori, baba mdogo kipesile asante kwa kazi nzuri kipesile ya moto mungu akufikishe mbali zaidi ya hapo
@MargaretKivuva-m9p6 күн бұрын
Mm nampenda huyu Mzee hanaga mambo mengi
@JacklineNasimiyu-g7o6 күн бұрын
Kipenzile kwani hujoki,baada ya kimzika mamako tena unaanza plan b?ama kweli mchawi ni mchawi tu!!!haya, twende kazi 🏃🏃🏃 Mariàm nawe usije ukalegea tena kwa kusali 🙌🙌
@JimbiDume6 күн бұрын
Makofi kwa baba halima👏👏 kipesile elewa msemo ngoma ya watoto haikeshii🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BattleAngel-l3e6 күн бұрын
Kalambwa kama Koni Kipesile 😂😂😂😂
@JescaJesse-q1m6 күн бұрын
Haaa😂😂😂 baba halima noma
@AminaAminamohmed6 күн бұрын
Baba halima na kupa kongole sana ❤❤❤
@JanethKanywanyi6 күн бұрын
Nimependa kilichomkuta kipesile😂😂
@FaithAmina-k1f4 күн бұрын
Hongera baba halima pokea mau ya ushindi 🎉🎉🎉🎉kazi nzuri sana mungu awapandishe viwango vya juuu ❤❤❤❤❤
@VioVdn6 күн бұрын
😂😂😂😂😂 nakupa hogera babu🎉🎉🎉🎉🎉🎉 4:23
@CammierPendo6 күн бұрын
Kimemramba Kipesile kama koni 😂yani haaam haaam 😋 😅
@MaimunaNangabo6 күн бұрын
😂😂😂mke wa mkurugeñzi karudi kwa ibada😅😅na uwache tamaa😅😅tamaa ndo inakuponza🎉🎉❤❤❤
@ratybkheir86746 күн бұрын
😂Mzee nomaa😊
@NaomiKawira-zx8sh4 күн бұрын
Nampenda baba Halima vile yeye ufanya mambo chini ya maji bila kiherere😅😅😅😅😅😅
@lizzybenny93686 күн бұрын
Sijachelewa kivile bado😂
@ElphasOmanga6 күн бұрын
Huyu mzee ni moto wa kuotea mbali
@monicaSamson-mc9ph6 күн бұрын
Siku baba halima atakufa na mimi ndo mwisho kuangalia kipesile😂❤
@charlesmwangome11926 күн бұрын
Hapo sawa baba Halima, pongezi Sana 🇰🇪
@NeemaCostantine6 күн бұрын
Kipesile umeyakanyaga 😆😆 wamekulamba kama koni😊😊
@AGNESFRANK-i7h6 күн бұрын
😅😅😅😅
@MtotoWAmama-z5n5 күн бұрын
😂😅😂😅😂😅😂 kipeseli anayatafuta atayapata tu mwisho atajizika mwenyewe 😂🤣😂
@elizabethmahenzo72206 күн бұрын
Nice movie 🎥❤❤
@omarchimoche6 күн бұрын
Tunao ruka pamoja na baba Halima tujuane kwa makopakopa❤❤ 👍
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 күн бұрын
Kipesile unajidagaj we hyoo baba halima ni 🔥🔥🔥 wakuwakia mbali ww kipesile mcheze mast wako lakn sio baba halim
@Akilimbilicomedy776 күн бұрын
Mungu awabaliki wote mnao soma hii message 🙏🙏 🎉🎉🎉🎉
@Lolo-l2r6 күн бұрын
Kipesile nikkwambia uachane nnbaba Halima ukambisha Ona Sasa kilicho kujuta🤔😂