Yohana 21:25. ni ushahidi wa kutosha..., pia kusema kwamba kuna injili nyegine hazikukubaliwa na wazee wa makanisa kwa kuwa hazikukidhi vigezo walivyoweka ni ushahidi tosha kwamba si kila ambalo halimo kwenye bibilia basi haliko.Waandishi wa bibilia ni kama waandishi wote wa tarehe, hawashushiwi wahyi wala hawavuvuliwi kama mnavyoaminishana, bali wanakusanya khabari kutoka vyanzo mbalimbali ikiwamo masimulizi ya midomo na maandishi ya kale, na hivi ndivyo ilivyo andikwa bibilia, Na ushahidi mkubwa ni kauli ya Luka mwenyewe Luka 1:1--, Kama mengi hayakuandikwa ndani ya bibilia ni wazi yaliandikwa kwengine na mengine yalibaki kuwa masimulizi ya kupokezana tu. Anapokuja Mtume wa Mwenye ezi Mungu akakusimulia mambo akayanasibisha na Yesu, Wewe-kama unaakili- Unapata wapi ujasiri wa kuyapinga kama sio ushupavu bila akili?
@PaschalKiteaKiteaКүн бұрын
Mwalim upo sahii ila waliokarrshwa dini hio hawatakuelewa
@samxx411Күн бұрын
Tatizo lako huna elimu ya kiislam ndio mana unasoma ikisha unauliza maswali ikisha unajijibu mwenyewe hebu subiri Ustadh Shafi akiipata inshallah atakusomesha na utaelewa...wewe unajihisi unajuwa lkn hujuwi na hutaki kujuwa hiyo ni sifa ya mtu mjinga
@nicksonlyimo15623 сағат бұрын
Huko Kuna elimu Gani na ilhali kiongozi alikua maamuma ,hata jina lake alikua hajui kuandika ,hujui alivyo mtu ndivyo walivyo rafiki zake?
@georgeurembo45532 сағат бұрын
Waislam jitafakarini, mda mnao
@georgeurembo45533 сағат бұрын
Ila braza muddy ni bonge la msanii, mkojo umeleta kizaa zaa
@robertphilip38511 сағат бұрын
Mimi kinachonishangaza ni pale muhamad alipokufa aliswaliwa na mungu aitwe alah sasa kama alah ni mungu je? Alikua anamswalia kwa alah yupi tena?
@georgeurembo45533 сағат бұрын
Utata mtupu
@OmariShuliКүн бұрын
Kusema Yesu kashinda kifo-ilhali wamuita Mungu-ni kumdogosha. vp ashindane na kifo wakati kakiumba? Ujue kuwa maneno yako hayana mantiki.
@OmariShuliКүн бұрын
Wazungu wakristo walipoingiza dini yao ukristo na wakapata wafuasi, kubwa walilolifanya ni kutunga uwongo juu ua uislaam na kuwalisha wakiwatisha wafuasi wao kwamba Qurani ni kitabu cha majini uislaam ni dini ya majini nk. Ikawa Mkristo hata akiona gazeti limeandikwa kiarabu aliogopa. Sasa-sijui nani alowang'ata sikio-wameona kumbe walifanywa wajinga miaka mingi, wanakurupa. wamekuwa "KIPOFU NA PUNDA" kila wanachokiona basi mbio..., utawasikia "Ooo waislaam haya waliyaficha, sisi twaysyos". Wasicho kijua-maskini-wao ndio walofichwa. Sasa hivi eti ndio wazinduka na kuona kuwa xmasi ni jumapili ni upagani. Ukweli ni kwamba Ukristo wote ni upagani wa warumi ulovishwa kanzu a Yesu tu.
@alyaqdhan5206Күн бұрын
Waislamu wakati wa kufa Malaika wana wateremkia kuwapa tumaini wasiogope, soma aya hizi: Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Kisha wakanyooka sawa, hao huwateremkia Malaika wakawaambia: Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa. --haa meem sajdah 30 Na wanao amini utatu watapata adhabu: Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru. --al_maa'idah 73
@BAYYINATDMTVКүн бұрын
Hao kaburini wanaulizwa maswali au hawaulizwi?
@alyaqdhan5206Күн бұрын
@@BAYYINATDMTV Kuulizwa kaburini haimaanishi ni adhabu, Muislamu aliye pewa habari njema za kuingia peponi na Malaika wakati wa kukata Roho atapita stages zote kiusalama, kwenye maisha ya kaburi na wakati wa kufufuliwa siku ya Kiyama na wakati wa hesabu mpaka kuingia peponi, Malaika wa Mwenyezi Mungu wamekwisha mpa habari njema kama asiogope wala asihuzunike, kwa hio hapatwi na shida, yote ni usalama juu ya usalama
@alyaqdhan5206Күн бұрын
@@BAYYINATDMTV Kuulizwa kaburini haimaanishi ni adhabu, Muislamu aliye pewa habari njema za kuingia peponi na Malaika wakati wa kukata Roho atapita stages zote kiusalama.
@alyaqdhan5206Күн бұрын
Halafu wewe Danieli unaongeza maneno kutoka kinywa chako, hakuna hadithi ya Mtume inasema waislamu wote watapata adhabu ya kaburi, na hio hadithi ulio inukuu inaongea kuhusu kikundi Maalumu wasio jitakasa wakati wa kumaliza haja, na nyinyi Wakristo ni miongoni mwao kwa sababu nyinyi hamujitakasi na maji mkimaliza haja zenu kubwa na ndogo, mnajifuta na tissue tu, kwa hio najasa mnabaki nazo 24 hrs. Nyinyi pia ni umma wa Muhammad kwa sababu hizi ni zama au nyakati za Mtume Muhammad, kwa hio Sheria ya kiislamu pia inawahusu
@paulmushi2428Күн бұрын
@@alyaqdhan5206 Wanaulizwa maswali au haulizwi?
@OmariShuliКүн бұрын
Kabla uja sema fikiri, uache jazba za chuki. Kwani nyinyi mtu akifa hamumuombei? Mwampeleka kanisani kufanya nini? mbona hamumvalishi suti tu nakumzika?
@BAYYINATDMTV20 сағат бұрын
@@OmariShuli mbona unaiacha hoja ya msingi iliyojadiliwa hapa? Hayo maswali 3 anaulizwa Muislamu gani? Aliyekuwa anaswali kila siku au Muislamu mgeni?
@OmariShuli15 сағат бұрын
@@BAYYINATDMTV Maelezo ya Ukrsto kuhusu kitakacho tokea baada kifo hayajatosheleza. "Neno baada ya kufa tu hukumu" halijatosha kueleze yatakayofuata baada ya kifo. Ukweli ni kwamba hukumu ni baada ya watu kufufuliwa. Baada ya kufa kuna maisha ya kaburini, maisha ambayo bibilia haiyajui. Hayo ndio mambo ya Ghaybu unayotakiwa kuyaamini kama yalivyopokelewa kutoka kwa yeye Mjuvi wa siri, Mtume Muhammad s.a.w. Katuambia Mtume "Kaburi ni kituo cha mwanzo ktk vituo vya Akhera na kituo cha mwisho ktk vituo vya dunia yenye kufa" Na pia amesema "...Kaburi imma ni Bustani ktk Mabustani ya Peponi na imma ni Shimo ktk mashimo ya motoni. Na maswali kaburini wataulizwa wote watakaozikwa, isipokuwa ambao Allah mwenyewe amewachagua. Pia kuombeana ni mapenzi tuliyofundishwa na dini yetu tukufu kwani ni ibada. Mtume s.a.w. ametuambia: "Mtu anapomuombea ndugu yake muislamu basi kuna Malaika wanaoitikia " AAMIN"(na wanasema) na wewe Allah akupe mfano wa hayo" Si hivyo tu bali kuna Malaika khaswa ambao kazi yao ni kuwaombea waislaam qur-an 40:7-9. Huo ndio udugu wetu wa kiimani, kama ambavyo tumefudishwa kusaidiana kwa shida mbalimbali za hapa duniani-mahala ambapo ni pakupita tu- ndivyo hivyo hivyo tumefundishwa kusaidiana kwa shida za akhera. Kwani kwetu sisi waislaam tulivyofunzwa ni kuwa kupumzika kutapatikana baada ya HUKUMU. Na hiyo hukumu ni naada ya watu wote kufa kwa kupigwa baragumu la mwisho, kisha wakae miaka mingi kisha lipigwe baragumu la kufufuliwa kisha watu wakusanywe, wahesabiwe na huko ndio kuhukumiwa na baada ya hapo ndio makazi ya milele, Mtu akiwa mkazi wa milele Peponi basi naamshukuru Allah, au akiwa mkazi wa milele Motoni basi naailaamu nafsi yake, kwani uongofu umemjia. Danel Ukisema kuna hukumu maana yake kuna Mahakama na ukisimamishwa mahakamani basi utaulizwa maswali. Na pia unaweza ukaanza kuulizwa maswali ukiwa mahabusu. Uislaamu ni nidhamu ya maisha. Unayoyaona ktk mipango ya serikali asilimia kubwa ni kutoka mafundisho ya uislaam.
@robertphilip38511 сағат бұрын
@@BAYYINATDMTVmwalimu hawajamaa kuwaelewesha ni kazi sana wameshapofushwa na mungu wao aitwae Alaah kawarundikia majini vichwani
@OmariShuli11 сағат бұрын
@@BAYYINATDMTVMtume s.a.w. ametuambia "...Kaburi ni kituo cha mwanzo kati ya vituo vya Akhera ni nikituo cha mwisho kati ya vituo vya dunia yenye kwisha, Mtu yakimuwia myepesi hapo kaburini basi yatakuwa myepesi yanayofuata baada yake, na yakimuwiya mazito basi yatakuwa mazito yatakayofuatia. Pia Mtume s.a.w ametuambia "...Kaburi imma litakuwa bustani za peponi na imma litakuwa miongoni mwa mashimo ya motoni.." Maswali ya kaburi yatamuhusu kila atakaekufa, azikwe asizikwe. kwani hayo ni maisha ya kiroho khaasswa. Kusema " Baada ya kifo Hukuumu" ni kufupisha mazungumzo, wala haipingi kuwako matukio kabla ya kufikia siku ya hukumu ambayo ndio hatua ya mwisho. Mwanaadamu akifa atakaa kaburini(BARZAKH) kwa miaka mingi,kisha litafuatia baragumu la kwanza la kumaliza maisha ya dunia, kisha-baada ya miaka-litfuatia la pili la kuwafufua viumbe na kukusanywa ktk uwanja wa kuhesabiwa ndio hukumu hiyo, na hilo nalo ni baada ya miaka mingi. NB: Watu ktk kila kipindi au kiala hatua watakuwa wapo walio ktk mateso kwa kadiri ya matendo yake maovu, na wapo watakaokuwa ktk Raha kwa kadiri ya matendo yao mema. Mambo haya ni ghaybu upokelewa kutoka kwa mitume na kuaminiwa. Na mimi ninayaqini hata Yesu aliyafafanua kama hivi au inayofanana na hivi, ispokua waandishi huenda waliyaacha kama anavyosema Yohana 21:25.au Wakubwa wa makanisa-kwa vigezo vyao-hawakuyajumlisha ktk maandiko matakatifu kama mnavyo sema wenyewe. Nimemsikia askofu fulani kwenye kipindi "EZRAEL KTK UNABII" akisema kwamba kuna habari nyingi za Yesu hazikuchukuliwa kwa sababu Yesu alikuwa hajaanza huduma, miongoni mwa alizozisema ni suala la Yesu kufinyanga udongo shikli la ndege kisha akampuliza akawa njiwa akaruka. Pia muhubiri mmoja wa chanel Kokoto kwenye kiatu, nilimsikia akisema kuna maelfu ya Injili za Yesu hazikukidhi vigezo vya wazee wa kanisa, nayeye pia alisema ziko baadhi ya aya za Qur-an zafanana na baadhi ya injili zilizokataliwa. Baada ya hayo tuambie wewe hivi Wakristo hamuwaombei Maiti wenu? Ile misa mtu anapokufa kule kanisani ni ya nini? na kule kaburini? na pale mnapokwenda kuzuru mwafanya nini? Kama mnayomfanyia maiti wenu yote hayana manufaa kwake basi yanini kupotezea watu wakati wao?
@samxx411Күн бұрын
Almuradi na wewe uwe mwalimu, kwani uislam unafundishwa hivyo??? au unawafundisha wakristo wenzio naona hufahamiki unarusha tu , kwa usoomeshaji huo bora tafuta mwalimu akusomeshe usivamie vamie tu mambo..
@paulmushi2428Күн бұрын
Subiri malungu ya munkari na Nunkari😅😅😅
@alyaqdhan5206Күн бұрын
@@paulmushi2428 Wewe ukifa na imani ya Utatu ni Motoni
@robertphilip38511 сағат бұрын
@@alyaqdhan5206kakundanganya nani
@georgeurembo45533 сағат бұрын
Mbona povu?
@badruseif1318Күн бұрын
Ukafiri kitu kibaya sana yaani wewe umekaa kupinga tu sasa hilo nalo jambo la kujadili? Ujinga mtupu
@alyaqdhan5206Күн бұрын
Ni kweli, ameacha kujadili misingi ya imani akaingia kwenye mengine, msingi wa imani wa kwanza ni kumjua Mungu wa haki ni nani, Wakristo mpaka sasa wanabishana Mungu wa haki ni nani, Catholic wanasema Mungu ni mmoja lakini yuko kwenye nafsi tatu, Wasabato wanakataa
@paulmushi2428Күн бұрын
Funguka akili la sivyo utakutana na malungu ya Munkari na Nunkari
@alyaqdhan5206Күн бұрын
@@paulmushi2428Sasa nyinyi Wakristo mnadhania kama adhabu ya kaburi haiwahusu? Nyinyi pia mnaingia kwenye Sheria ya islamu kwa sababu hizi ni zama za Nabii Muhammad
@badruseif1318Күн бұрын
@@alyaqdhan5206 ndio wanavojidanganya ivo
@badruseif1318Күн бұрын
@@paulmushi2428 wewe unafikiri Pepo ya mjomba wako ukaingie kirahisi kama unavoingia baa?