LAANA YA YESU KWA MUISLAMU
29:30
3 жыл бұрын
Пікірлер
@samuelgacheru4854
@samuelgacheru4854 13 минут бұрын
Asante mwalimu Kwa kutoka elimu hio bwana akumbaliki
@AnthonyMchuma
@AnthonyMchuma 4 сағат бұрын
Ubarikiwe. Umefundisha kweli yote. Huwezi kusema unaijua kweli kama haumfamu Yesu.
@DeusiRamadhan
@DeusiRamadhan 4 сағат бұрын
Maana ya kuwa mkristo ni kufuata Yale kristo ambayo kristo aliyafanya na kama kristo mwenyewe alisema yeye ndiye bwana was sabato Sasa wewe na wasabato ni nani mkristo wewe ndiye ulaaniwe
@DeusiRamadhan
@DeusiRamadhan 4 сағат бұрын
Wewe ndiye mjinga umesoma biblia ambayo inasema uwatakase na Ile kweli neno lako ndiyo kweli Sasa nani alisema ikumbuke siku ya sabato uitakase he Hilo siyo neno la Mungu jifunze uelewe na biblia iache izungumze na usipotoshe
@dmwavumbo
@dmwavumbo 5 сағат бұрын
Success father
@JosephMahilla-v3g
@JosephMahilla-v3g 5 сағат бұрын
Ndugu naona unaleta propaganda kwenye neno la Mungu, hii SI siasa. simama katila imeandikwa, wapi siku ya kwanza ya juma imeamliwa kuwa siku ya ibada?
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 5 сағат бұрын
Mdo 2:42
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE 8 сағат бұрын
MDAHALOUNAFAIDA GANI?????
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 6 сағат бұрын
Una faida ya kufafanua yale yasiyoeleweka kwa mhusika huku na yeye akiwa hapo hapo kama alivyofanya mtume Paulo katika Mdo 17:1-3.
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE 8 сағат бұрын
HATASAUTIYAKO HAIFANANINI NAMUHUBIRI WAINJILI!!!MTUWAMUNGU SAUTI IMELINIKAKWAUPOLE WAMUNGUBABA MUNGU AMZIDISHIYE WAKATIUMEFIKA TWENDEKWABABA
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 6 сағат бұрын
Unavyo vipimo vya sauti ya Mhubiri. Kwani hujaelewa hata alichokisema Mch. Mbaga kuhusu Sabato?
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE 8 сағат бұрын
MWISHOWAKONIMBAYA!!!
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 6 сағат бұрын
Kwani wewe ndiye Mungu
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE 8 сағат бұрын
Brother charles anagram amevuviwa weweunaendelea kuwagiza!!!!!jiangaliye
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE 8 сағат бұрын
MWL DANIEL UMETEA
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE 8 сағат бұрын
UMEMALIZA MTUMISHI HUYOANAYEKUPINGA NDIYEAMELANIWA
@dennismasira8992
@dennismasira8992 9 сағат бұрын
Ndugu yangu elimu ya Mungu huna.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 6 сағат бұрын
Nifundishe wewe mwenye elimu
@dennismasira8992
@dennismasira8992 3 сағат бұрын
@@BAYYINATDMTV kwanza sabato ni Mungu ameiweka watu wamuabudu na kutakazwa katika siku hiyo ni sabato takatifu kwa Bwana Mungu wako. Jumapili haijatakazwa na Mungu kwa mambo ya ibada ukitaka zaidi nikuingize kwa bibilia.
@justofavour9109
@justofavour9109 13 сағат бұрын
Uyu mtu anatafta content ndo ajulikane
@johnmogosi1469
@johnmogosi1469 13 сағат бұрын
Wewe unajua tafsiri ya unabii wa Biblia?
@JustinchizaBuchumi
@JustinchizaBuchumi 14 сағат бұрын
Wewe ujui
@GASTOLUOGA
@GASTOLUOGA 16 сағат бұрын
Wewe unatesekabuke umetumwa nashetanu mwachenabii afanye unabii
@GASTOLUOGA
@GASTOLUOGA 16 сағат бұрын
Mzee hujuimaswala yaunabii unavyosema unatetea pointy naona umechanganyikiwa ila ungeletamafungu yabiblia ungeeleweka huyo msabato nimkwelikabisa sikuzamwisho shetani ataleta ufufuo wawongo
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 17 сағат бұрын
Wasabato walilaniwa kivip mbona lugha yako mbovu
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 6 сағат бұрын
Walilaaniwa kwa kufuata sheria wakati tuko kwenye kipindi cha Agano Jipya (Gal 3:10, 5:4)
@JohnHokaray
@JohnHokaray 17 сағат бұрын
Nakusikia upo vizuri
@GeorgeMwampamba
@GeorgeMwampamba 17 сағат бұрын
Unabii itatimia soma ufunuo 13:😮ukurasa yote utapata majibu
@laurentpeter5772
@laurentpeter5772 18 сағат бұрын
Tusubili tu,ni suala la Muda tu!
@GeofreyFue-q7i
@GeofreyFue-q7i 19 сағат бұрын
Kichwa Cha somo chenyewe hakieleweki Yaan Ni sawa na shati unataka lisimame kama mtu. Omba Roho akufunulie ujue Cha kusema kwenye platform hii.
@KoomeNzima-e2v
@KoomeNzima-e2v 20 сағат бұрын
Makrisro wengi waongo wasafika mtawatambua kwa matuda yao
@KoomeNzima-e2v
@KoomeNzima-e2v 20 сағат бұрын
Mpinga kristo
@NellyMhagama-jj1zo
@NellyMhagama-jj1zo 23 сағат бұрын
Unabii makini wa Ellen g white ulitoka kwa Mungu, wakati wa Ellen g white, wala kulikuwa hakuna Harakati za Kusimamisha jumapili kuwa ni siku ya mapumziko , kwahiyo mzee ukweli ni kwba Sheria ya jumapili ni Amri toka kwa papa
@NellyMhagama-jj1zo
@NellyMhagama-jj1zo 23 сағат бұрын
Ujui kitu mzeee , tulia soma unabii wa Danieli 7:25 Nenda na Ufuatililie Unabii wa Ufunuo 13
@FaithKathure-x9u
@FaithKathure-x9u Күн бұрын
Ondoa ujinga hapo
@pisgatv5863
@pisgatv5863 Күн бұрын
Ni kweli wew unachanganya maandiko kwasababu ujinga umekujaa kwenye akili
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV Күн бұрын
Pisga sasa si angalau ungetia hata andiko moja nililochanganya ili tuone nilivyochanganya? Unalalamika tu bila ushahidi? Ninamsubiri kwa hamu atakayejitokeza halafu anioneshe andiko nililolichanganya.
@OmariShuli
@OmariShuli Күн бұрын
Kwa hiyo Roho mtakatifu alimtia mimba mke/mchumba wa watu? Mh....!!!!!?
@robertmboje-n1s
@robertmboje-n1s Күн бұрын
Pia naamin siku moja utaelewa mkuuu kuna makosa mengi nakuyaona usipo jali nitafute inbox tufundishane mkuuu itapendeza sana
@robertmboje-n1s
@robertmboje-n1s Күн бұрын
Pia naamin siku moja utaelewa mkuuu kuna makosa mengi nakuyaona usipo jali nitafute inbox tufundishane mkuuu itapendeza sana
@robertmboje-n1s
@robertmboje-n1s Күн бұрын
Asante sana kiongozi lakin neno la Mungu liwazi soma danieli 7:25,pia soma ufunuo sura ya 13 yote.nakukubusha tu ndugu vitakuuu katika ulimwengu huu niibada ya kweli konakuomba kuwamakin sana.
@AlphaBukuku-f9j
@AlphaBukuku-f9j Күн бұрын
Unachemka soma biblia uelewe sio kubatilisha neno utapotea kama mavi yako mwenyewe
@JuliaLumande-r4p
@JuliaLumande-r4p Күн бұрын
😏acha kuvuruka watu nyamaza tu
@martinkithinji4217
@martinkithinji4217 Күн бұрын
Matukano ya Nini 😂
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV Күн бұрын
@@martinkithinji4217 nimetukana nini hapo? Kusema huyu ni mjinga ni tusi?
@LauSylviester
@LauSylviester Күн бұрын
Kwa hiyo akina mwamposa ndiyo manabii wa ukweli,kweli ugali maharage wa siku hizi ni zaidi ya gongo
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV Күн бұрын
Mwamposa ameingiaje hapa? Naye ni Msabato?
@LauSylviester
@LauSylviester Күн бұрын
Unajithalilisha na kujishusha utu wako,inaonyesha na wewe ni kibaraka wa Ibilisi,endelea Ila inajikaanga kwa mafuta yako
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk Күн бұрын
Uzuri wa dini ina nguvu ya kuangaza endapo watu hao wanajitambua na kuishi kwenye misingi ya Mungu .ukimruhusu roho mtakatifu atawale maisha yako. Atakufunulia mambo ambayo wengine hawaoni,atakuepusha na dhambi atajaza matunda ambayo ni uvumilivu ,uaminifu,upole, fadhiri, utu wema,na mengine. Changamoto kubwa la sisi wakristo wengi wa leo tunaendesha siasa kwenye dini/madhehebu maneno mengi vitendo hakuna. Utakuta mtu anakashifu dini/dhehebu la mwenzie wakati yeye mwenyewe haishi ktk maisha yanayompendeza Mungu. Toa boriti machoni kwako kisha utaweza kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio. Yesu akirudi atachukua yeye anaowaona kuwa walimpendeza .ninyi pambaneni na ubishi tu
@CollinsOnyango-ep8kk
@CollinsOnyango-ep8kk Күн бұрын
Iyo siku ingine kama vile Daudi inafaha uende katika daudi
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk Күн бұрын
Kitu kimoja nilichojifunza kwa wasabato ni watu rahisi sana kwa kumuandama mtu huwa hawataki kuguswa. Hiyo inaashiria kuwa ni wadhaifu wa imani.nyakati tulizopo matukio yatakuwa ni mengi. usitumie nguvu kubwa sana kujitetea kwa mdomo bali jipange kueneza injiri kwa matendo yanayompendeza Mungu na maneno machache ili watu wakikutazama wanaona kuwa una Mungu wa kweli.
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 17 сағат бұрын
Huyu mwalimu atapoteza watu wengi Sana mtumishi usipokuwa makini
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 17 сағат бұрын
Watu huombea wenzako yeye anasema walaniwe mbona huyu anatumia akiili zake
@JofryDaud-kc2du
@JofryDaud-kc2du Күн бұрын
Wewe nikibalaka walumu
@salehejosiah
@salehejosiah Күн бұрын
pole sana wewe uipotoshae kweli nikuombe utubu usimuige shetani maana yeye hata alipofukuzwa mbinguni bado anadhani kwamba atamshinda MUNGU..najua umefungwa ufahamu ili utimize unabii...
@mussamashauri
@mussamashauri Күн бұрын
Bwana akusamehe hujui bibilia acha kuposha maadiko
@nkanabodastan7887
@nkanabodastan7887 Күн бұрын
Baba Mwankemwa kazi yako ni njema. Wasabato siyo Wakristo Kabisa. Hawajaipata neema ya kupokea Yesu' .
@ElizabethMatei-vr5tt
@ElizabethMatei-vr5tt Күн бұрын
Napona usihumbiri maneno kutoka. Kwa bible kuriko kuvaata. M 53:22
@AlfredNgumbao-b4r
@AlfredNgumbao-b4r Күн бұрын
Broo wewe sio mkristo kwasababu mkristo hatukani mtu
@mlingwajosiah7252
@mlingwajosiah7252 Күн бұрын
Waenende Kwa sheria Na ushuhuda Isaya 8:20
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV Күн бұрын
Hilo ni baada ya Yesu kufufuka au kabla?
@paulmutuajustus5277
@paulmutuajustus5277 Күн бұрын
Kwani wewe hayo mengine yesu alifanya kabla ya kufa kwake ufuati
@CollinsOnyango-ep8kk
@CollinsOnyango-ep8kk Күн бұрын
​@@BAYYINATDMTV Unapinga hiyo Isaiah 8:20 basi angalia ufunuo 14:12 nafikiri mungu atakusaidia uolewe
@AlfredNgumbao-b4r
@AlfredNgumbao-b4r Күн бұрын
Pasta ungemuacha msabato atudhihirishie kwasababu anaidhihirisho
@petermuhia9376
@petermuhia9376 Күн бұрын
Wewe ni muongo kabisa ngojea mungu jua atangazwe ,yani sun day
@ernestmkongo9875
@ernestmkongo9875 Күн бұрын
Mungu jua Sunday? Mungu...... Saturday? Nijuavyo majina ya siku za wiki yametolewa baada ya Yesu. Kabla ya hapo ilikuwa siku ya kwanza, ya pili na kuendelea hadi siku ya saba.
@CollinsOnyango-ep8kk
@CollinsOnyango-ep8kk Күн бұрын
​@@ernestmkongo9875brother plz soma sana nakuombea Mungu atakusaidia tu