UTATA WA AYA YA QURAN 15:9 "SISI NDIYO TUTAKAYEILINDA." NI ALLAH AU KHALIFA UTHMAN?

  Рет қаралды 1,253

BAYYINAT DM TV

BAYYINAT DM TV

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@khalidalkindy
@khalidalkindy 16 күн бұрын
Mwalimu umesema Tuarat ili chomwa moto na ika andikwa upya. Lakini inajulikana kihsitoria bani Israel walipo shambuliwa na kuchukuliwa watumwa vitabu vyao vili chomwa na baada kutoka kwenye utumwa wali jaribu kuundika lakini hawakuweza ndio mengi ni maneno ya bina Adamu si Mwenyezi Mungu.
@khalidalkindy
@khalidalkindy 16 күн бұрын
Nime jibu kuhusu Pete ya Muhammad (SAW), lakini wapo hawa kupendekezekewa ina futwa.
@daudimwambelo4154
@daudimwambelo4154 Ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 26 күн бұрын
Na Mungu unavyo mwita "God/Gods" , " He..' mbona hutupatii Tafakar yake/yako?! Tupe na Tafakur ya Andiko la Biblia; ✍️Luka 1 : 1 Kwanini Luka aokoteze ya Mitaani Akajiandikia na tunaambiwa eti Biblia ni Maneno ya Mungu.
@MohamediHemedi-y2r
@MohamediHemedi-y2r Ай бұрын
nlitamani kujua kati ya ww mwalimu daniel na mwalimu ndacha yupi mkiristo wa kweli kwa sababu ww mwalim daniel unaamini kwenye utatu mtakati lakin mwalimu ndacha anafundisha kua mungu ni mmoja na anasema ibada ya utatu mtakatifu ni ibada ya shetani je ww na ndacha nani mkweli
@mgosimkulu66
@mgosimkulu66 Ай бұрын
Hoja pamoja na maswali yako ni mazuri mchungaji ila hoja hizo ni dhaifu sana na zinajibika.
@mgosimkulu66
@mgosimkulu66 Ай бұрын
Ila ninachokiona kwako huna muda mrefu Sana MWENYEZIMUNGU atakujaalia neema hii ya UISLAMU na utabadili dini ni suala la muda tu, INSHAALLAH.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 26 күн бұрын
Inshaallah
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 26 күн бұрын
Ushasema Tafsiri. Yaani (Tafsiri) Si Lugha mama Sasa unashangaa Nini?! Qura'an hujitafsiri yenywe Kwa Qur'an yenyewe kama ilivyo Lugha nyengine. Huwezi para Maana sahihi/Halisi ya Lugha Fulani Kwa Kutafsiri Kwa Lugha Fulani. Umeona/Umesikia Qur'an (imebadilishwa) inasema asiabudiwe Allah abudiwe Yesu/Kiumbe na Waislamu tusitii Amri za Allah (Maamrisho na Makatazo) Waislamu tutii Maamrisho na Makatazo ya Papa na Biblia?!🙌 Kumbe analalamika baada ya Mtume Kufariki ! Unajuwaje hiyo Hadithi ni Sahihi/ya Kweli na imepokewa na Kuandikwa na nani?! Kama Walikuwa Wanabishana wao (Waliongeza/Kupunguza) ni wao laakin Waislamu tunajuwa Qura'an ni ileile/haibadilishwi/haijabadilishwa Hadi Kiyama. Wewe unasoma Tafsiri ya Qura'an unatwambia eti Qur'an imebadilishwa 🙌
@khalidalkindy
@khalidalkindy 15 күн бұрын
In Shaa Allah
@ISSAJR-f5
@ISSAJR-f5 28 күн бұрын
Ikiwa unasema hao wanaosema sisi ni akina nani Nawewe nakuliza na pale biblia inaposema hivi....Na tumfanye mtu kwa mfano wetu,,nawe nakuliza hao wanasema natumfanye mtu kwa mfano wetu ni akina Nani?
@fundimau2379
@fundimau2379 26 күн бұрын
Kwanza ungeondoa jambo moja umeanza kusema mtume anasema wao wanaandika baadae umebadilika imehifadhiwa kichwani na wailio hifadhi wamekufa.
@mussamohammedy8014
@mussamohammedy8014 Ай бұрын
daniel maana ya kulindwa kwa qur an ndivyo kama ilivyo leo biblia imefanyiwa marekebisho zaidi 1000 lekini qur an tangu iingie haijawahi kubadilishwa hata aya moja kama ipo ilete hiyo aya
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
@@mussamohammedy8014 ndivyo ulivyodanganywa msikini? Acha kukejeli wewe bible huijui. Acha huo upuuzi tutakwambis usiyo yajus. Wewe kama una imani yako kaa hapo usiguse imani ya wengine kwa kukejali.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Ай бұрын
Wewe umelewa. Danieli anaonyesha ushahidi kuwa Kur ani ya leo siyo ileile ya Muhammad halafu wewe unasema haijabadilishwa tangu ilipoingia? Kwani iliingia wapi na kutoka wapi? Ninyi mnasema kur ani aliteremshiwa Muhammad lakini wakati Muhammad anakufa hakuacha kitabu chochote kwa waislamu! Ni akina Othman ndio wakaja kuandika hicho kitabu cha kur ani. Bisha au kanusha kama una hoja. Kubisha ni kukataa neno bila kuwa na hoja na kukanusha ni kukataa neno kwa hoja
@mgosimkulu66
@mgosimkulu66 Ай бұрын
Hiyo kazi unayofanya ya kupotosha Quran ambayo huna elimu nayo huwa unalipwa shilingi ngapi?
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV Ай бұрын
Nilichokipotosha hapo ni nini? Basi kirekebishe wewe
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
​@@BAYYINATDMTV Umnapotosha. Unadai Uthmani ameandika Qurani nyengine. huo ni uongo.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 26 күн бұрын
​@@BAYYINATDMTVMbinavhutuelezi Kuhusu Kubusu Kinyago/Sanamu ya Yesu akiwa Uchi Msalabani na kuitikadi eti ni Yesu (Kiumbe) Mungu Mkuu/Mwana wa Mungu 🙌 Pete ni Kifaa, Pambo (Kiumbe) ikipote kuhuzunika Si Dhambi/Si Kosa kama itakuwa Kuhuzunika Kwa Kawaida/KibinAdam na si Kuhuzunika Kwa Kukufuru 🙌
@ThabitiChalaza
@ThabitiChalaza Ай бұрын
Ukisoma matini hayajatofautiana hicho nikiswahili ulichosoma
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 26 күн бұрын
Anashupaa Kusoma Tafsiri Ili Kupotosha Umma Kwa Maslahi ya Kuulinda/Kutetea Ukristo/Ukafiri -Ushirikina, Waendelee Kumfanya Yesu Mungu/Mwana wa Mungu na Bibli ni Kitabu Cha Mungu/Maneno ya Mungu Wakti Biblia ni Maneno ya Utashi wa Nafsi za Waliojiandikia/Waliotunga. Mfano Luka (Luka 1 : 1) nk 🙌
@ISSAJR-f5
@ISSAJR-f5 28 күн бұрын
Wewe unatafuta kiki tu...huna jipya mzeee...
@badruseif1318
@badruseif1318 25 күн бұрын
Wewe babu unalalamikia Qur'an inebadilishwa wakati nyinyi wakristo mpaka Leo mmeshindwa kuelewana mna Mungu wangapi,
@khalidalkindy
@khalidalkindy 15 күн бұрын
Qur’an Inasadikisha Ukweli: Sifa ya Qur’an ni kuwa inasadikisha yaliyo ya kweli katika vitabu vilivyopita. Hivyo Muislamu anaweza kujua kwa urahisi kabisa lipi ni sahihi katika Biblia na lipi si sahihi. Lolote lililomo katika vitabu vilivyotangulia ambalo linawafikiana na Qur’an ni sahihi. Na lolote linalokwenda kinyume na Qur’an ni batili.
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 Ай бұрын
Huyu bwana amechagua kazi mbaya sana. Kupambana na haqi!
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Hakuna cha haqi hapo!
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
Yaani Quran ndiyo haki? 😂😂😂. Haki pekee chini ya Jua ni kumpokea Yesu awe ni mwokozi wako, akukaribishe katika makazi yake aliyoandaa
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
​@@JohnBenedict123 Ukiulizwa maana ya kumpokea yesu hujui.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Ай бұрын
​@@OmariShuliwewe unajua nini maana ya kumpokea Yesu? Tufafanulie
@khalidalkindy
@khalidalkindy 15 күн бұрын
Bora mwanzo mujifunze Bibilia. Yesu kasema yeye ni Mtume wa Mungu na hana uwezo. Paulo kabadilisha mafunzo ya Yesu na kakupotezeni. Sikusema mambo haya kwa mamlaka yangu mwenyewe. Bali Baba yangu aliyeni tuma amenipa amri kuhusu mambo ninayosema na kutamka. (yohana 12:49) Sina budi kuendelea na safari yangu leo, kesho na kesho kutwa, kwa maana haiwezekani nabii kufa mahali pengine isipokuwa Yerusalemu. ( Luka 13:33) “Mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe. Mimi nahukumu kufuatana na jinsi Mungu anavyoniambia. Na hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti kufa nya nipendavyo, bali nafanya mapenzi yake yeye aliyenipeleka.” yohana 5:30)
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Kama Othman aliweza kuchoma misahafu ya akina Abubakar na Omar, basi atakayeilinda misahafu aliyokusanya yeye kwa Mujibu wa aya hiyo ni Othman mwenyewe, siyo Mungu. Kama angekuwa Mungu ndiyo anasema hivyo kwenye aya hiyo basi hata Othman asingeweza kuchoma misahafu ya awali na kukusanya ya kwake. Msiba mkubwa😂😂😂
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
@daudimichael7338.wewe na mwalimu wako daniel sijui ni yupi mwenye nafuu? Danel anachosoma ni kingine na anachofafanua ni kingine. Na wewe nawe, mawalimu wako daniel anachosema ni kingine na wewe unayako mwenyewe. hakuna misahafu ya akina Abubakrin na Omari.
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
😂😂😂
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
​@@OmariShuliLakini ndugu misahafu si ilichomwa? Kwa Nini Khalifa wenu alichoma misahafu mingine akabakiza wa kwake. Acha kutoa povu tuu na kutetea hata visivyotakiwa kutetewa
@OmariShuli
@OmariShuli 29 күн бұрын
​@@JohnBenedict123 Khalifa Uthman hakuwahi kuandika Msahafu. Wala hakukuwa na Msahafu wa Uthmani. aliyekwambia kwamba Uthmani alikuwa na msahafu wake, kwa hiyo akachoma ya wengine ili abakishe wake ni muongo, na wewe pia u muongo. tafuta historia ya kweli, kama hujui uliza.
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 29 күн бұрын
@@OmariShuli Tuambie basi, Quran hazijawahi kuchomwa? Na kama ziliwahi kuchomwa ilikuwa ni kwa sababu gani?
@MwasabuniSuleiman
@MwasabuniSuleiman 28 күн бұрын
Twambieni wewe Daniel na Ndacha ni nani ako na roho mtakatifu ili tumfuate, nyinyi wawili nyote muwakora
@ThabitiChalaza
@ThabitiChalaza Ай бұрын
Soma matini mchungaji
@georgeurembo4553
@georgeurembo4553 Ай бұрын
Sf sn mtumishi
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Ай бұрын
Mwalim Daniel utaumia tu bure huwezi kumshinda mwenye enzi mungu.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Ай бұрын
Ataumia ki vipi? Fafanua. Acha awasaidie kuyasema yale ambayo mnayajua lakini abadan aslan hamuwezi kuyasema hadharani
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Ай бұрын
Mwalim Daniel anaumia sibabu anasema uongo kuhusu mungu na mtume wake.
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Maoga hayo!!​@@celestinshayo7295
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
​​@@bausifarouk1798Uongo upi? Yeye ameweka hoja mezani na amesoma vitabu. Na wewe unaposema MUONGO huku huna ushahidi wewe sasa ndo unageuka kuwa muongo. Toa ushahidi wa vitabu; 1. KAMA KWELI QURAN HAIJAWAHI KUCHOMWA Na kama iliwahi kuchomwa, ilikuwa ni kwa lengo gani? Na Tena aliyechoma alikuwa ni Khalifa, afadhali ambaye angekuwa amechoma angekuwa ni mpinzani wa Uislam, tungesema kwamba aliamua kuzichoma ili zipotee. Lakini kama aliyezichoma alikuwa ni Muislamu mwenyewe. Maana yake hizo zilizokuwepo nyingine aliona zimetofautiana sana na hiyo aliyonayo yeye. Ndo maana anaagiza zote zichomwe ibakie ya kwake Na kama ni hivyo Sasa hapo unaibuka utata mwingine. Kwamba ana uhakika gani ya kwake ndo ilikuwa sahihi na za wenzie ndo zilikuwa hazifai. Yaani hapo ni utata juu ya utata 2. KANUSHA KAMA KWELI BAADHI YA AYA HAZIJAPOTEA. KAMA KWELI BAADHI YA AYA HAZIKULIWA CHINI YA KITANDA Na kama kweli zilipotea mbona Allah aliahidi angezilinda? Ina maana ahadi yake ilikuwa ni ya uongo?
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Suleiman Rushdi aliwahikusema kurani ni Aya za shetani Tena huyo Suleiman ni mwenzenu kabsaa
@mussamohammedy8014
@mussamohammedy8014 Ай бұрын
hoja yako haina maana tangu hapo qur an ipo ktk vifua vya waja wema ulimwengu wa waislam hawawezi kuwa na shaka labda nyie wakristo
@Shaha-d1i
@Shaha-d1i Ай бұрын
Wewe chambua bibilia kwanza imeanzaje? Na kwanini inapishana pishana baadae ndo uingie kwenye dini za wengine eti razalahau anuhu😂😂😂😂 Daniel...... nakumbuka kipindi kile ulikuwa ukiitwa Daniel unaitikia eeeeèh😂😂😂😂 wapi imeandikwa ukristo ni dini? Hadi leo miaka kibao huhajibu hilo unaangaika na quran.😅😅😅
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
Dalili ya mtu aliyeshindwa ni kubwabwaja na kukejeli badala ya kujibu hoja. 😂😂😂
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
@@Shaha-d1i biblia haipishani hata sehemu moja ila nyie mnaojifanya mnajua ukristo mnapishana nayo. Mashehe wenu hawaijyi biblia kwahiyo komaa na kitabu chenu!
@khalidalkindy
@khalidalkindy 15 күн бұрын
Bibilia ya Kiswahili tafsiri yake inawa poteza. Linganisha na kingereza No man hath seen God at any time, the only begotten Son, which is in the bosom of the Father, he hath declared him. (John 1:18) Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Lakini Mwanae pekee, ambaye ana uhusiano wa karibu sana na Baba yake, amemdhihirisha Mungu kwetu. (Yohana 1:18)
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 15 күн бұрын
@@Shaha-d1i kwani uislamu ni dini??
@Petermurithi-p7l
@Petermurithi-p7l Ай бұрын
bure kabisa
@Shaha-d1i
@Shaha-d1i Ай бұрын
Wewe Daniel ebu nenda kakojoe ulale, maana huna unacho kijua, arafu acha ushabiki, huwezi pindua hiyo quran wewe, wenzio walijaribu wakashindwa.
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Kuani ni Aya za ibilisi
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Ай бұрын
Waislamu hamuwezi kujibu hoja za huyu bwana Daniel ndio maana mnatoa povu sana
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
@celestinshayo7295 hoja hizo ni zipi?
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 Ай бұрын
​@@OmariShuliKwa hiyo Ina maana hapa haya yote anafundisha mwalimu Daniel na kuweka maswali mezani wewe bado hujaelewa anachohoji umjibu? Kweli ndo maana hata darasani mwalimu no yuleyule anafundisha lakini humo humo mtoto mmoja anapata A mwingine anapata 0 😂😂😂
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Ай бұрын
​​@@OmariShulisikiliza clip mwanzo mwisho halafu uniorodheshee hoja ulizosikia kisha uniambie kama kuna muislamu amejibu hata moja
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Ай бұрын
​@@JohnBenedict123huyu bwana Shuli siyo kwamba haelewi. Siamini hivyo hata kidogo! Waislamu ni mafundi sana wa kutafuta makosa kwenye biblia. Kwa hilo nawapongeza na tena ningewaheshimu sana kama na kwenye Kur ani yao wangejishughulisha hivyo hivyo kutafuta kama kuna makosa ama hakuna! Sasa akitafuta mtu mwingine humo na akayaona makosa waislamu wanatoka povu na wanakataa kwamba hamna makosa! Hii ni ajabu na kweli. Tatizo halipo kwenye ukafiri wa kujaribu kukosoa vitabu vya kiimani bali unafiki. Unafiki ni tatizo kuu la waislamu
@ramygichero1016
@ramygichero1016 Ай бұрын
Hakuna hoja apo ni utopolo
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Ай бұрын
Nyie waislamu ni mabingwa wa kukataa Ukweli. Hiyo kurani original aliyoipokea mtume iko wapi.
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Kwanza korani ni Aya za shetani kama alivyo semaga Suleiman Rushdi
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Ай бұрын
​@@robertphilip385hayo ni madai ya Makafiri wa zama zile za Mtume ambayo nd na nyinyi makafiri wa sas mnayarejea tna
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Ай бұрын
Qur'an original aliopewa Mtume ndio hii hii tuliokuw nayo Waislamu mpk sas na ndo maana ukaambiw Allah ameeka ahadi ya kuilinda na nd maana toka zama hizo mpk hivi sas Qur'an haijawahi kubadilishwa km inavyobadilishwa Biblia.
CHRIST-MAS NA MWAKA MPYA, VIMETOKA WAPI?-MAJIBU KWA WANAMATENGENEZO
3:16:17
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
JAWABU YETU KWA SHEIKHY MUHAMMAD BACHU
1:14:59
MWALIMU CHAKA TV
Рет қаралды 1,8 М.
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
MAJIBU KWA MWALIM CHAKA NA YUSSUF DIWANI || Muhammad Bachu.
1:09:52
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 9 М.
HOJA DHAIFU ZINAZOTUMIKA KUIPINGA SIKUKUU YA CHRISTMAS (NOEL)
2:01:20
BAYYINAT DM TV
Рет қаралды 2,4 М.
MASWALI MBALI MBALI YA KIIMANI: BIBLIA  TAKATIFU NA QURAN TUKUFU
2:06:42
# MDAHALO LIVE: MUNGU NI NANI? MWL DANIEL-TZ vs MCH. NDACHA-KENYA
3:04:09
LILITH HAJAWAHI KUWA MKE WA KWANZA WA ADAMU, MWAKILEMBE ANAIPOTOSHA BIBLIA
1:31:18