Nachoomba kila cku ni Mungu azidi kukufunika,azidi kukupa mafunuo zaidi ili sisi tupone mioyo yetu kupitia ww pastor kwa njia ya kristo Yesu.Nikiwa na hofu juu ya dhambi napata tumaini jipya kutokana na mafundisho yako.Mungu akubariki sanaaaaaaaaaaaaaa.
@elodieshukuru85682 жыл бұрын
Nime barikiwa Sana muchungaji kwa fundisho hili Mungu akupe nguvu mupya🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@hellenratemo28132 жыл бұрын
Amen soo blessed powerful message God bless you pastor
@nkubamakenzi55253 жыл бұрын
Tunakupata Sana tukiwa kibiti pwani mungu akubariki Sana pastor
@amosgidion34303 жыл бұрын
Ahsante kwa mafundisho haya, Mungu akutie nguvu, na mafunuo zaidi,
@conniemukami1273 жыл бұрын
Amina pr, somo nzuri hilo Mungu awe nawe unapoendelea kutuelimisha
@RahimaShujaa Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi uzidi kutuhubiria
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@FridiFredy3 ай бұрын
Asante Mungu kwa kumtumia mtu huyu nimefunguliwa kupitia masomo haya❤
@shimwekagwiza10993 жыл бұрын
Amina, Mungu azidi kukutumia ili tuzidi kubarikiwa zaidi
@nancyomwenga76333 жыл бұрын
Amen God bless you pastor your sermons has changed many lives i included also I introduced your channel to a friend she is non Adventist but she loves listening to your sermons everyday
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@rockyjordy32713 жыл бұрын
Instablaster
@nasibumzava49483 жыл бұрын
Kazi unayo ifanya mwenyezi Mungu yupondaniyako
@alfredmachoka53283 жыл бұрын
Thank you pastor God please 🙏 u
@dilliwa3 жыл бұрын
Haya mahubiri ni ya rohoni mno..... Mungu akubariki sana. Roho wake daima kwa unyenyekevu akuongoze. Nalibariki Jina la Yesu
@rubias29782 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@christineamimo40643 жыл бұрын
Asante kwa ufunuo ..be blessed mtumishi Wa mungu
@gordfreysangawe75353 жыл бұрын
Dunia ya leo inamini Sana ktk uongo hapo unaubiri ktk kweli ya Mungu hakuna watu nenda wanakoubiri uongo hata siti za kukaa ni shida
@SarahNdagile-kn5vh Жыл бұрын
Amen mtumishi,
@rosepeter89963 жыл бұрын
AMEN;AMEN;🙏🙏...nimebarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji.mungu na akuzidishie na akubariki ili nasi ukazidi kutubariki na neno lake🙏
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@jamesmnazi7183 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji Mbaga , Kupitia mafundisho yako kuna vitu vingi najifunza ,Sina cha kusema zaidi ya kukuombea kwa Mungu aendelee kukupa mafundisho mengi kwa ajili ya watu wake Amina.
@stevensamwel48542 жыл бұрын
Iko sawa kabisa, ata kama unaendesha baiskeli omba, Sina kanuni ninachojua ni kwamba Nina dhambi Nina macho ya tamaa kama mdomo Ulivyo na hamu ya kula ata kama tumbo limeshiba, tuna tuuma nzito kwa wake zetu kwa kuwasaidia ata wajane, waitaji wenye jinsia tofauti nasisi ikifika muda wa ibada unakua kikwazo kwake usipomjua unaemwabudu utaacha kufanya ibada. Nimependa sana SoMo Ili umenibariki sana. Nawe barikiwa.
@azizaaziza4683 жыл бұрын
Nakupenda sana babangu Mungu akubarik
@nkungwiprimary23633 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@enockmogaka80413 жыл бұрын
Surely u have given me an eye opener that its by grace we are blessed. Tofauti baina ya ndini na ukristo. God bless u pr.
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@upendomlelwa573 жыл бұрын
Nakupenda sana pastor mafundisho unayo toa yakutusaidia kufika mbinguni, na kufanikiwa kwenye maisha haya tunayo ishi
@perisbosibori85243 жыл бұрын
AMEN Pastor. I know that there are many obstacles in this world but i am asking GOD to help me stand firm to overcome them. Be blessed pastor.
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Keep on moving
@bhokemagwi74843 жыл бұрын
Hili somo limenipa nguvu,Mungu akubariki Sana pastor
@sumwood97143 жыл бұрын
Asante Sana pastor, mungu akubariki Sana
@mossesjoseph22023 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai, Mungu wa mbinguni akujalie afya njema siku zote za maisha yako.
Mchungaji anahubiri vzr mno lakini watu hawa hata Amina hawaitikii,hawaandiki.Very bad! Jifunzeni kuteka hizo baraka,hizo Ni nondo Kali Sana,changamkeni,itikieni,andikeni,mtieni moyo mtu huyu mkuu wa Mungu!!.
@ericklaurian27133 жыл бұрын
Ahsante Pr.
@wangucox19583 жыл бұрын
Amen. Good teachings
@JosuéChengenge-c7mАй бұрын
Nimekusikia vizuri sana ila nina Swami:kwa nini kama sitowi sibarikiwe mpaka nianje tena kutoa
@ezekielmbwambo61133 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe
@mishimishi69523 жыл бұрын
Kwa hakika hili neno limeni inua ubarokiwe saana
@lilianjoshua14073 жыл бұрын
Mahubiri ya mchungaji mmbaga yananibariki sana, nimesikiliza mafundisho yake mengi na ya kuongoa..... Mfano historia ya rumi ukilinganisha na unabii wa biblia. Lakini ninatamani kujua imani ya kiislamu unaendaje na unabii wa biblia? Au haijaongelewa? Maana Quran ina maneno yanayoonyesha kuwa ndiyo dini ya kweli na ya haki mbele za Mungu. Na wengi wanaamini hivyo ndo maana ni vigumu kuongoka. Na pia natamani kujua " Allah" ni jina la Mungu wa mbinguni? Au ni jina la nani? Natamani mchungaji atupatie ufumbuzi juu ya hili pia. Asante
@mariamshana58193 жыл бұрын
barikiwa paster
@lameckmwita62873 жыл бұрын
That is why I like to get your teachings on time!!.
@rabiaamanielmshana58563 жыл бұрын
It is true be blessed pastor be blessed
@ntawiharaphael79373 жыл бұрын
Amen Pastor 🙏
@DanielSamson-h4vАй бұрын
𝘑𝘪𝘯𝘢 𝘭𝘢 𝘉𝘞𝘈𝘕𝘈 𝘭𝘪𝘣𝘢𝘳𝘪𝘬𝘪𝘸𝘦.
@estherwambuies17823 жыл бұрын
Hii somo ni tamu❤
@maureenjovial60833 жыл бұрын
Amen barikiwa
@eluyasillah10363 жыл бұрын
Amen Mtumishi, tumtumainie MUNGU pekee
@monniekevin93033 жыл бұрын
Niseme nini ila Mungu azidi kukutumia ili kupitia hayo mahubiri wengi wamfahamu Mungu,neema ya Mungu iwe nawe Kwa wingi.nabarikiwa nikiwa Kenya.
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@rimepeter7893 жыл бұрын
Amen, thank you Jesus for this divine connection ❤🙏
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@irenekiwale52683 жыл бұрын
Hakika nmepona
@obadikakule24573 жыл бұрын
Amen 🔭🔭
@neemajohnbahebe25663 жыл бұрын
amina
@ellenmbota12413 жыл бұрын
Amen amen
@fakilimka19553 жыл бұрын
Maulidi ya ukongoroni
@emmanuelmbwambo65713 жыл бұрын
Okay pastor.
@lucyndege56443 жыл бұрын
Mahubiri
@lennahombiro35773 жыл бұрын
Amen
@aimeishibisha3993 жыл бұрын
Zehebu ndio inakataza, ila dini inakubali mwenyedhambi kumubariki Yakobo 5
@Vel423 жыл бұрын
AMEN
@stanleymutiria78803 жыл бұрын
Mm naitwa stanley thuranira niko voi kenya. Nafuatilianga maubiri yako Sana. Na unijenga kiroho. Ni vipi nawesha Pataki kitabu hiyo za mitume walivyokufa.
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Ubarikiwe. Kitabu bado hakijatoka
@stanleymutiria78803 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga ubarikiwe mtu wa mungu.
@hildaenosi4243 жыл бұрын
Tafuta wainjilisti wa vitabu hapo Kenya kinaitwa Majaribu hadi ushindi. Ipo historia ya Paulo, Petro, Yohana wa Patmo na vifo vyao
@josephineabedi81003 жыл бұрын
,Amen
@lilianjoshua14073 жыл бұрын
Nahitaji namba za simu za mch mmbaga tafadhali
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
+255 755 932 283 Whatspp zaidi
@lilianjoshua14073 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga asante ubarikiwe
@mcmchicha94753 жыл бұрын
Kutoka ikizu bunda Mara" tunabalikiwa na masomo yako
@hellensamwel38273 жыл бұрын
Amina
@johnbitati46803 жыл бұрын
Asanti kwa neno laMungu hilo jambo watu wanarihubiri tofauti sija jua kweri mufalme uzia ndiye shida ya yesaya hakumuona Mungu Wengine wanasema nineno arititumiya juu uzia ndiye arikuwa anajurikana kwa wakati ure Mungu anafanya chenye anataka ao kuonekana kwamutu nawatu ninawasikiriza niwatu warisoma wamasomo yakutosha ni ma Doctor sasa neno lamuhimu nirawapi wewe unasema kwanza adui wako akufe ukionavizuri mufalme hakukuwa adui wayesaya sijue kama utaelewamuzi kwani kiswahiri nibovu
@winifridamushi13413 жыл бұрын
Aaaaaai 😁😁😁😁😁
@saimonimotaaa60323 жыл бұрын
0686625121 naomb unipg mchungaj
@shimwekagwiza10993 жыл бұрын
Amina, Mungu azidi kukutumia ili tuzidi kubarikiwa zaidi