Amin nabarikiwa na somo zuri kupitia somo hili Mungu atubadilishe.
@lilianlima8609Ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana, hakika nasi tumebarikiwa mno...... utukufu kwa Mungu juu
@JaneSaruRingomaАй бұрын
ubarikiwe mtumishi wa mungu from kenya
@allexraymond5085Ай бұрын
Mungu akubariki pastor kwa somo zuri Sana. Tunakuombea uendelee kuwa mbaraka zaidi kwa watu wengi. Hili ni somo ambalo tunatamani wengi walisikie maana wengi wamekatishwa tamaa ya kuhudhulia ibada kwa sababu ya maneno. Yesu tusaidie tupone na tukue.
@capture.4330Ай бұрын
Marvelous grace of Our God ..thanks God for healing me. Even when Satan prompts some negative thought in my head..I won't stop believing the fact.
@mamajd251Ай бұрын
Mungu utukuzwe! Jameni,nimepata nguvu tena.Mungu akutunze pastor na roho wake akutumie zaidi ili jina lake liinuliwe juu sana
@MariamBuseleАй бұрын
Ubarikiwe sana pasta MUNGU azidi kkutumia uzidi kuwabariki nawengine pia.
@furahaMwaliashakashindiАй бұрын
Asante mtumishi WA Mungu somo hili Lina nibariki sana linanitiya moyo pia lanipa nguvu zakiroho kuhendelea kiroho Asante Mungu akubariki akuhinue mara tenamara sana
@perisbosibori8524Ай бұрын
AMEN and AMEN! Let's GOD'S name be uplifted forever. Thank you so much Pastor Mmbaga for this great message. GOD bless you abundantly.
@Joycependopendo-dv2tbАй бұрын
Amen bwana asifiwe mtumishi namshukuru mungu Niko salama bwana akubariki Kwa mafundisho mazuri
@KaviraMulumbiАй бұрын
Mungu atusaidie kwli
@mwitiraphael3169Ай бұрын
Mnisaindie na maombi familia yetu umefungwa na ulevi Mimi ndio nilikuwa mzuri lakini pia Mimi nimeingia nimejaribu kijitoa rundia tena, Joseph family from kenya
@FredyMachotaАй бұрын
Bwana atatenda amini tu
@capture.4330Ай бұрын
@@mwitiraphael3169 kaka Mungu atakushindia...vutapicha utakavyo ishi utakavyo acha Ulevi utakua unaishije..then anza kuishi hivyo ukiamini umeacha ulevi huku ukiwa unamlilia Baba wa Mbinguni akusaidie... Shetani ametujeruhi sana Binadamu.. Baba wambinguni tusaidie 🙏🏼
@deborakamsiАй бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@essymutsekeАй бұрын
Naji hisi huru, Bwana Yesu asifiwe
@susanomwenga8882Ай бұрын
May God help me to know his will torwards all my needs may the holly spirit guide me pastor mmbaga watching live from Minnesota usa
@MerinterChangallaАй бұрын
Mchungaji naombi msaidie kijana wangu ni mlevi wa pombe na mvitaji bangi nimehangaika sana na maombi anadegree aliipata bugema naumia sana huyo pia mwimbaji mzuri
@VincentsamorasudiАй бұрын
Utukufu kwa Mungu kila siku.
@RobyItindeАй бұрын
Naomba kujua kuna mbingu zingine na zinaitwaje kama zina majina
@irineDancanАй бұрын
Asante sana mchungaji leo hiyo ilikua yangu nimesaidika na ubarikiwe
@Nuhu-fy2ziАй бұрын
Amen pastor ; MUNGU akutunze
@chotark1881Ай бұрын
Barikiwa mtumishi kwa baraka unazotusogezea
@AmosYusufu-g7fАй бұрын
pasta devd baga Nina chagamoto naomba uniombee nilipata ajali nilivujika mguu na mkono lakini nimeagaika sana naitaji pesa niede osibitalini lakini zimekosa na mguu wagu una Ali baya sana
@OtimbaG254Ай бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@GODFREYSABAYO-yz4qxАй бұрын
Samahani pasita Mimi naomba unisaidie nkweli yesu nimwwa wamungu au ndie mungu baba naomba uni saidie
@joycehaule9717Ай бұрын
Yesu ni mwana wa Mungu ni Mungu pia
@shukurumlechi4139Ай бұрын
Asante sana❤ Bwana akuzidishie
@mukeshimanajeannedarc3753Ай бұрын
Na wanyarwanda tunakufuata
@MahubiriPrMmbagaАй бұрын
Ameeeeen
@AlfredkatasimwalkakajnstАй бұрын
Naitaji maombi Niko katika kifungo kya ma déni n'a hapa wiki hii vitu byangu vyakazi vita bebwa. Basi sina usingizi na Amani. Naahitaji Msaada kwa Mungu kupitiya maombi. Ila n'a ona kifo kyangu mbeleni
@mathajoakimu2015Ай бұрын
Ondoa hofu ..kumbuka msalaba
@AlfredkatasimwalkakajnstАй бұрын
Basi Mungu Ani wezeshe kwani na ona kifo naku moteya sina haha tena yaku Ishi kabisa
@mamajd251Ай бұрын
Ili somo ni la Kwangu kabisa
@MarryMbwambo-p4jАй бұрын
Mchungani familia yetu haina mwelekeo kabisa tunafanya kazi sana lakini hakuna mafanikio,bazi Zak'a na sadaka tunatoa sana lakini hatufanikiwi tufanyeje.
@MufwasiAndre-px8jmАй бұрын
Mungu akubariki sana
@miltonsilungwe7381Ай бұрын
Nipo chuo sina Ada niombeeni naamini nitapata
@ChristineBinsari-ql5bfАй бұрын
Naitaji maombi kwa ajili ya familia yangu mungu aigilie
@MariamBuseleАй бұрын
Aimen aimen aimen🙏🙏🙏
@KaviraMulumbiАй бұрын
Amen amen ❤❤
@mercylinegesare4520Ай бұрын
Naomba ombi la kupata ndoa takatifu, sababu nimefikia level ya kukata tamaa na maudiano hadi naona ni heri nikae nyumbani na wazazi😢
@SelentinoFrankАй бұрын
Mzm mery
@NatalieDay-cv9eyАй бұрын
Amina🙏
@edwingunamla4200Ай бұрын
Sasa ukimwambia nimefurahi kukuona! Unamaana kuja kwake kunafaida kwako yaani kaja Kama kukuabudu wewe? Kwanini usimsalimie Kama wengine tu! huko Ni sawa tu na kumwambia siku zote ulikuwa wapi? Kwasababu unamwambia kuwepo kwako na kutokuwepo kwako huwa najua, kana kwamba unafatilia maisha yake .ushauli mzuri Usimuulize chochote kitu jifanye Kama siku zote yupo kwajinsi unavomuongelesha.
@gwibe15Ай бұрын
Amen 🙏
@beckykenyaableАй бұрын
Pastor is it possible that niko kwa level zaidi ya moja, that's how am feeling right now
@shukurumlechi4139Ай бұрын
Amena ubarikiwe sana
@DoreennyamimaАй бұрын
Niombee Niko na changa moto za kimaisha kwa ndoa kimwili na kiroho naMungu anifunulie kiroho ili nijue ukweli na uohongo am Doreen nyamima
@shdrakfabian6126Ай бұрын
Pasita nashukulu kwa som hili nimefungua kiloho
@GrausLunguyaАй бұрын
Naomba mnisaidie kuifanya familyangu maana tulikuwa waabudu Sanam lakin Sasa mm Ni mwadiventista
@MahubiriPrMmbaga29 күн бұрын
Mungu akubariki
@Josephbkg1Ай бұрын
How can I have the chance to contact you my pastor?
@MufwasiAndre-px8jmАй бұрын
Amina
@MagrethMathias-ho2lgАй бұрын
❤❤❤
@sifamleci3143Ай бұрын
❤❤❤
@KaviraMulumbiАй бұрын
Asante
@TINNAMEDIAАй бұрын
Pastor nahitaji maombi kwaajili ya afya yangu
@MgetaManyamaАй бұрын
mm nmebatizwa mwez Jana rakin Bado sja elewa biblia vizur kuisoma n fanyeje?