Swadakta shekh wangu mungu amuonyeshe kama yeye ni zaidi kuliko kitu chochote na mungu atakbal dua inshaallah Allahuma ammin na afee tu ili ajue Allah si mtu wala hafannaishwi n kitu chochote YAA RABBI takbal dua INSHAALLAH AMMIN
@s.abdalla75413 жыл бұрын
Huyu kabla ya kufa apate adhabu kubwa ajue km mungu ndo kila kitu mungu mpe adhabu huyu mtuu
@isamazatv.1153 жыл бұрын
Kufa wewe , huna uwezo wakuombeya mtu kifo ujinga sana wewe ni ISS
@alisuleiman81103 жыл бұрын
Huyu asifee mola ni malik yaumidhin mola ampe adhabu ndipo ataelewa
@azeezaya85103 жыл бұрын
Asante shekh kipoozeo kwa mafundisho yako nakutuelimisha allah akujaaliye kheri inshaalah
@issazakaria8633 жыл бұрын
Andika Allah au ALLAH na kamwe sio allah
@moshiraelqady95133 жыл бұрын
@@issazakaria863 MASHALLAH
@nawabunsabimana64093 жыл бұрын
🙏🏻جزاك الله خيرا ياأشيخان🙏🏻
@hamisimtemi38033 жыл бұрын
uchambuzi wenye busara sana. ALLAH azidi kukujaalia Sheikh Kipozeo
@jumajumanjelu65263 жыл бұрын
Kwer kabis kipozeoo mungu amlaani afande sele
@mwanaramadhan70593 жыл бұрын
MashaaAllah shukran jazakAllah kheri sheikh
@ramathedon40013 жыл бұрын
shekh Allah akuweke
@mohamediramadhani61203 жыл бұрын
Mashaallah! Shekh kipozeo umenena
@mataraliy58483 жыл бұрын
تبارك الله رب العا لمين
@jumakhamis2263 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh kipozeo
@mubarakladha86273 жыл бұрын
Please refer Quran 5:33 5:34 Except those who repent before u have them in your power So know that ALLAH is forgiving merciful 5:35
@abkmavoko3 жыл бұрын
Ameen mungu akujalie pepo nasiwote kesho akhera.tuwe pamoja nawe
@mushtaaqmacalin20843 жыл бұрын
Masha Allah jazakalaahu kheer
@khakidsalimu17103 жыл бұрын
Subhanalla
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Jazzaka llahu kher shukraan
@kanyangezafaraniddi65183 жыл бұрын
Subhanallah ALLAH AMUONGOZE.
@ukhtyzainab72543 жыл бұрын
Aamiin
@jamilamanariyojamila14873 жыл бұрын
Amiin
@mohamedissakaishema98953 жыл бұрын
Dah Allah akujaze kheri InshaAllah
@polepole31453 жыл бұрын
Marshallah
@mussahaji94413 жыл бұрын
Hajui alitendalo, tunaambiwa kuwa ujana ni nusu ya wendawazimu.......Allah amuongowe
@jumasalum26773 жыл бұрын
Anajua vizuri Mbona haja mtukana siro Au mambosasa au kunenge Na hana ata Cha bangi Ameamua tuu
@rayouaabdallah13943 жыл бұрын
Mashallah sheikh
@allymbonde45253 жыл бұрын
Allah akujaalien muna kazi kubwasana
@nurdin.mndeme34473 жыл бұрын
uko sahihi Sheikh
@ashooraashoora11803 жыл бұрын
Allah tusamehe waja wako yarabiy nautujaalie mwisho mwema yarabiy
@abeliever68233 жыл бұрын
Assalaam Alaykum We don’t give one another benefit of the doubt. We are quick to judge each other. We are quick to condemn one another. In focusing on what an individual says we are giving him free publicity. We have many problems to focus on. May Allah guide him and guide us and guide all mankind
@issazakaria8633 жыл бұрын
Allah amhukumu
@togomaster3373 жыл бұрын
Kweli kabisa
@biggestnasritv26013 жыл бұрын
mashallah Allah atujarie mwisho mwema
@omaryteddy72373 жыл бұрын
🤲
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@salumzengula68413 жыл бұрын
Mimi nashauri hilo jambo ni kumwachia Allah na kumuombea msamaha kwa Allah.
@sophiamusa44353 жыл бұрын
MJADALA WASUALA LA UYO SELE NI KUMSOMEA KUNUTI YA KUMLILIA ALLAH THALATHA MARAAT MAANA TUNA SHINDWA KULALA TUNA SISIMKWA NAJAMBO LA KUKUSUDIYA MBONA HAKUSHIK PANGA AKAJIUA ILI AENDE NAE KAZAMIRIA HIVO TUMLILIEN ALLAH UMAT MUHAMMAD TUSITISHWE NA MANENO YA MTAAN HII DUNIA HAIJA UMBWA NA MCHINA WALA MKOREA KWAIYO TUSITISHWE NA BINADAM TULIYE UMBWA NA ALLAH TUNA OMBA MAOMBI TAKATIFU KWA TUTAKAO JALIWA KUUFIKIA MWEZ MTUKUFU WA RAMADHWAN TUKIWA NYOYO SAFI 😭😭😭😭TWAONEWA MISKITI TWACHOMEWA MISWAHAFU TWACHANIWA NA MAMBO KA DHALILIKA AAFU WATU MTAAN WANAMUUNGA MKONO NA KUTUKOSOA SIE TUNAO PINGA ETI TUSIHUKUM😭😭😭😭🤲🏽
@athumanimtajih3 жыл бұрын
Wanaopinga wengi ni Waislam kama sisi ila sio waumin,na ndo hao wanaowapa kichwa wasiokuwa Waislam kwa kukosa elimu na kupinga hukmu za Allah...
@jasminmohamed61453 жыл бұрын
Subhanallah
@majorsaidi79513 жыл бұрын
Allahu akbar
@hatengekimanaajml72303 жыл бұрын
Subhanallah.astaghafirullah.allah.akbar?
@dizobaba46813 жыл бұрын
Subuhanalah
@hamidahamida14733 жыл бұрын
Subhanalha
@mouhamadbakri97203 жыл бұрын
Ni sawa kama anapiga gitaa mbele ya mbuzi 😅😅😅 we kiboko shekh wangu
@aishaaa17573 жыл бұрын
Subukhaanna llahwa
@ramathedon40013 жыл бұрын
subuanalaah
@saadaalharthi92953 жыл бұрын
Subhannalah
@kizamaulidi60043 жыл бұрын
Allah atawaonyesha wote wanaomtus inshaallah
@shuaybukitwanga76443 жыл бұрын
Kama auna cha kusema kaa2 kimya kiza
@nassirnassor86033 жыл бұрын
Wazazi wake ndy hiyo bang Allahum manswurnaa
@bellbell92943 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu naona mpaka Sasa najuta a muombe msamaha Mola wetu mlezi
@salehrasta91653 жыл бұрын
Manyago matupu
@canahakim93393 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatulah wabarakatuh auko sahihi una sahau gisi Mwenyezi Mungu ame mutuma mousa na aruni kwa farao
@saumuseif91893 жыл бұрын
😭minaogopa hasa
@ajumaakange14833 жыл бұрын
Kwani ww ulikuwa unamsapoti yulekafiri?
@ahmedmsambara74153 жыл бұрын
shekh wa mkoa usimtetee mjinga
@jumasalum26773 жыл бұрын
Wewe umesema haki 2po pa1
@mariamibrahim31623 жыл бұрын
Hatauukumiwa na mungu wake mm siwezi kumuuku ila mm nimemsamehe
@jumasalum26773 жыл бұрын
Na wewe si ndo walewale mungu anatukanwa unaona Kama Hanna ktu Ila unge tukanwa wewe na jirani yako ungeshafika polisi
@mariamibrahim31623 жыл бұрын
Sio ivo wangu nsongea kwakusikitika tuuu
@floraflora94903 жыл бұрын
@@jumasalum2677 na kama sele angekua babako, kakako hungesema ahukumiwe
@mrishonasry47793 жыл бұрын
@@mariamibrahim3162 we binti mama ako angetukanwa na jirani yako we c ungeingilia huo ugomvi leo anatukanwa Mungu anachukulia pw hv kwel we Ni muislam ambae umepita nadirasa
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Unaongea Lkn hukaripii tendo alilofanya....Yaani kutukanwa MUNGU ni kawaida sana kuliko huyo mtukanaji...!...Ama kweli..!
@maryammarham28623 жыл бұрын
Aho
@didatratranee25313 жыл бұрын
Daaa
@hudhaifaswaleh8023 жыл бұрын
Kipozeo Allah akulipe kheri leo umenena huyo shetani niwakuchinjwa Allah ampe yanayo mstahili
@kasmirimichael92283 жыл бұрын
Wee ni kuma kweli muue uone Yeye kamtukana mungu wake sio mungu wa waislamu asa inakuhusu nn.alaf kama kweli dini ya mungu kwann unamuaru mungu atende hukumu
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Matusi hayasaidii.....kaongea Kwa upande wa Dini yake....!...Kama dini yako inaruhusu ongea Kwa imani yako ila Sio matusi...!
@user-pf9cd6zj1g3 жыл бұрын
Maneno ya shekh kweli auwawe
@NoName-mk9yx3 жыл бұрын
Safi umeeleza vizuri sana
@shabaazbikorwa25803 жыл бұрын
Sheikh njaa, sheikh wa Diamond platnumz
@ishaamadi99193 жыл бұрын
Heli yako wewe hauna njaa mungu huyo huyo ndio alie kupa mshukulu na usimtukane sawa ndungu yake na sele
@mahirayahya62723 жыл бұрын
Wewe una macho huoni na una masikio husikii... Bora mnyama......
@issazakaria8633 жыл бұрын
Laana ya Allah isikuepuke In sha Allah
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Kua na adabu wewe mpuuzi alikuja kukuomba chakula kwenu huyu...
@mahirayahya62723 жыл бұрын
Ndio nikamwambia haoni wala hasikii... Mbumbumbu...
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Mwiteni mumpe elimu .jazba haifai
@jumasalum26773 жыл бұрын
Hujielewi na Wala huelewi Nenda ukamuite wewe umpe hizo nasaha zako
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
@@jumasalum2677 hujasoma dini wewe upo unafata upepo .
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Haji pamoja na nasaha’ kamtukana MUNGU hadharani basi akemewe hadharani ‘ watakaoenda kumpa nasaha mafichoni basi wataenda..!
@mahirayahya62723 жыл бұрын
Afande Sele ana kiburi hana adabu... Hafai ktk jamii.... Kuna nani atabaki maisha milele?
@hilalalhabsy48903 жыл бұрын
Afande sele amesema siku alioomba na kuswali ili Mr jpm asife ndio siku alipofariki. Sasa afande sele dua zake zinaenda kinyumenyume. NDIO ALLAH SW anasema. " mtu chakula chake cha kharamu na kivazi chake cha kharamu ( anapata pesa kwa musiki ambao kharamu) na kakua kikharamu (kutwa bangi na ulevi pengine wazazi wake walizini tu ndio kapatikana) yupo katika jagwa kali anakiu na njaa (yaani yupo katika shida anatamani Mr JPM abakie hai) basi vipi atakubaliwa dua zake mtu huyu? " Hii inamaanisha dua ya muovu haikubaliwi.
@mahirayahya62723 жыл бұрын
Kweli maneno yake brother Hilal.... Hiyo pumzi wanayoringia inatoka kwa Mungu... Ingawa wao imani zao ziko kwengine.. Mwenyezi Mungu hana khiana
@alisuleiman81103 жыл бұрын
Sheikh tusimuhukum huyu bwana hajui analosema tuhukumie mola yeye ndie mwingi wa rehema na mwenye kukarim. Yeye ndie maalik yaumidhini hizo nihasira zake tumueke gerezani myezi mitatu bila ya kesi. Hii ni njia ya marahaba mbele yake nyuma yetu. He is not worth anything in this dunia mungu atamuhukum inshaallah.
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Hajahukumiwa’ sisi si wenye kuhukumu....‘ila katafsiri sheria ya kiislam Kwa mwenye kumtukana ALLAH...!
@amirymapemape27003 жыл бұрын
Kweli shekhe kipozeo huyo afande sele hukumu yake ni kuuwawa (kuchinjwa)
@floraflora94903 жыл бұрын
Nenda umchinje kama ww hujatenda dhambi
@amirymapemape27003 жыл бұрын
@@floraflora9490 ukosefu wa kuja elm na sheria ya dini kwanini serikali inawapeleka watu jela kwani wao hawakosei kwanini wasijipeleke wao jela na inawahukumu watu kifo (kunyongw)mbona hauwakosoi isiwe mjinga ..uislam dini iliyokamilika imekuja na sheria zake zinazotoka kwa Allah nazingekuwepo sheria hizo zinatumika hapa Tanzania huyo afande sele mnaosapoti angeuwawa (angechinjwa)
@floraflora94903 жыл бұрын
@@amirymapemape2700 hata ww watosha kamnyonge
@nassirnassor86033 жыл бұрын
@@floraflora9490 tatizo lako hata wewe huna dini mpagani mkubwa wewe
@floraflora94903 жыл бұрын
@@nassirnassor8603 mungu ndio yuajua
@hassanomary80603 жыл бұрын
Lakin tukumbuke Allah sio Kama sisi wanadamu
@smsalama65403 жыл бұрын
Kashaomba radhi na.bdo anaomba msamaha asa izo hukum wanazo zitak sijui za nini mungu ni muwez wa yote hta kabla hya hayakutokea mungu alishamjua afande sele nini atasem na alisha msameh MNA nae ni binadam mwenye kugazabisha asa hawa nao mashekhe sijui wakoj wamuachie mungu mwenyewe
@@z.nalnabhani7194bhan mm sitak kusem sana mm kila mtu ni mzambi asa siwezi sem najua au sijui man mungu pekee ndio mwenye kumjua zaidi yule mwenye kuitambua dini yake kwa ukamilifu
@awezayesu17793 жыл бұрын
@@smsalama6540 well said
@issazakaria8633 жыл бұрын
@@smsalama6540 tumuogope Allah na kamwe tusipite katika mipaka yake. TUMUOGOPE ALLAH WAISLAM TUMUOGOPENI MWENYEZI MUNGU
@yunussale6023 жыл бұрын
Uyo bangizake hawezi kufanya kwenye miji ya mujaahidiin
@masoudsalum95143 жыл бұрын
Kweli mtu hafi bila maandiko ndio maana tembo anakufa kwa risasi moja lakini lissu kumi na kadhaa bado yupo maajabu ya mungu hayo
@OmanOman-gp7xm3 жыл бұрын
Nikumuombea tu mungu Amzidishie samaha saba mara sabiini niali yamsituko wala Aina aja yakuuwawa kwasababu mungu Anaumukumu zake iyo ilikuwa kwamaulamaa walio tutangulia sie tuwe wengi wakumuamini mola wetu nawanaokosea nikuwaombea tj binadamu atujakamilika mukisema ivyo bd itakuwa sote nikama tunakuwa na taaruki ile ile ya Afande sele tumuombee uwezi jua ghazabu mola uhukumu wangapi kikubwa nikumkanya nakumulimisha sele insha allah
@jeremiahbaraka19293 жыл бұрын
Kweli kabisa
@dullahshaaban90503 жыл бұрын
Kwani waliisha mfwata wakamling'ania hapo panahitaji hikima na busara za hali ya juu Sana......✍️✍️✍️
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
We muislam au mpagani..?,
@nordenconrad14yearsago453 жыл бұрын
Na ni kweli sisi waislam hugeuza shingo zetu kukwepa majukumu tukidhani uovu utaisha wenyewe wakati kiuhalisia ndivyo unavozidi kuenea. Tuwajibike
@kautharjadid42873 жыл бұрын
Afande sele sio muislam
@tulilesalum48533 жыл бұрын
Hio sio bangi nimakusudi tu hio bangi hajavuta leo wala jana nimakusudi tu
@ndekemwaifyusi84993 жыл бұрын
Swahih kuna Watu wajinga wanaona hili ni jambo dogo.
@ahmedmsambara74153 жыл бұрын
kweli kabisa na wanao mtetea wte mungu awateketeze
@jeremiahbaraka19293 жыл бұрын
Hatumtetei ila muombee afunguke akili usihukum
@yusufsadic29303 жыл бұрын
Jaman Kama mna Namba za Shekh Kipozeo nipatien
@festomputu87053 жыл бұрын
C. Hizo hapo chini yake
@WentExtinct3 жыл бұрын
@@festomputu8705 hizo ni za masjid mtoro kariakoo
@tawhidchannel56293 жыл бұрын
Unamaanisha nini kusema( mheshimiwa) kwa kafiri alo angamia?! Kafiri haifai kumuombea msamaha baada ya kuangamia na hii kwa ukubaliano wa waislamu wote, ambae kwamba anapinga hukmu basi sio muislamu bali kafiri murtad.
@khalfanalrawahi30823 жыл бұрын
Kupoozeo ni mnafiki, haiwezekani kwa muislamu kumuambia adui wa Allah, anaempiga vita Allah (makufuli) Ilove you, kisa ni kwa kuwa kanunua ndege, kwa hio ww uko Teyari sheria ya Allah ipigwe vita kwa ndege. Kwa hio umeona bora ndege kuliko dini ya Allah???
@yussuphsultan14003 жыл бұрын
Kuna dalili?kuwa alikuwa adui wa Allah sw?
@yussuphsultan14003 жыл бұрын
Pia ukumbuke hakusema anampenda kwa ajili ya Allah sw, kasema anampenda tu
@amanikhamis83923 жыл бұрын
Wacha ujinga huo adui unamjuwa ww ?
@khalfanalrawahi30823 жыл бұрын
@@yussuphsultan1400 Allah alipokataza waumini kufanya vipenzi vyao hakutaja kwa ajili ya Allah, bali Allah alisema " ياأيها الذين آمنوا لا تتخذوا عدوي وعدوكم أولياء" وقال تعالى " يا أيها الذين آمنوا لا تتخذوا اليهود والنصارى أولياء" Enyi muliomini musiwafanye mahahudi NA manaswara vipenzi". NA makufuli ni mnasara, kwa hio Ilikuwa haifai kwa kipoozeo kumuambia makufuli ilove you
@khalfanalrawahi30823 жыл бұрын
@@amanikhamis8392 Adui wa Allah NA adui wa waumini ni yule kafiri ambae anaempiga vita Allah NA mtume wake NA waumini.
@TheAmadoni3 жыл бұрын
Lakini Si Mtume SAW Alitukanwa wakati wa Uhai wake, kina Abu Jahal,Abdullah Bin Salul, etc, AKAPIGWA MAWE, AKATILIWA SIMU...but haku agiza hata mmoja wao kuu wawa ! Sasa sheria hii kaitoa nani ikiwa mwenyewe hakuitoa ?
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Ongea me nakuamini sio yule nani wa mkoa haeleweki
@jumasalum26773 жыл бұрын
Nimempata anaitwa sheikh kumbe na yeye hahahahaha...
@nemambelwa1423 жыл бұрын
Hakika huyo apewe stahiki yake haraka
@kibeginiblue71883 жыл бұрын
Ana mental problem
@isamazatv.1153 жыл бұрын
Wewe mjinga sana sheriya ya wislamu beba iko saudi apana Africa , ujinga sana , Tanzania ime ingiliwa na ISS jamani
@mariamibrahim31623 жыл бұрын
Bangi sio maji mungu amsahe tuu tumuombe dua tuu ule baba
@jumasalum26773 жыл бұрын
Hana Cha bangi mbona haja mtukana siro au kunenge mambosasa anajua kitakacho mtokea
@winfridamwamban10783 жыл бұрын
Asalam ailekum
@thelivingwordchannel90273 жыл бұрын
Kama afande sele kamtukana allah, kwa nini huyo allah asijitetee mwenyewe mpaka atetewe na watu? acheni unafiki.
@musamchaga12323 жыл бұрын
Achinjwe kwaajili ya allah
@kaizabiyaka98833 жыл бұрын
Utoto huu , huu msiba haukuhusu? Huonyeshi dalili zakufiwa
@musamchaga12323 жыл бұрын
@@kaizabiyaka9883 mh nawe m nakujuwaje kama unahuzunika
@smsalama65403 жыл бұрын
Kashaomba.radhi jaman afande sele
@kautharjadid42873 жыл бұрын
Kasema yeye sio muislam jamani itakuwa kamtukana Mungu wake yesu mashehe basini Tena maana mnavomkosoa mnatukanwa kama sisi waislam hatupendi mashe wetu watukanwe
@sadajuma25693 жыл бұрын
Acha waongee not fair hii
@jumasalum26773 жыл бұрын
Hivi angemtukana yesu Hadi Sasa angekua anabwatuka Wangetoka watu hata itali waje wambebe
@jumasalum26773 жыл бұрын
Nakubali sheikh wewe umesema ilio kweli Sio ma sheikh wengine wanaojiita mashehe lakini wanatetea maovu Na sijui aliwachagua nani Mama wanatudhalilisha
@abdinasirshukri46523 жыл бұрын
Afande sele dawa yake ni kuuliwa tu
@awezayesu17793 жыл бұрын
What?😳😳😳
@maimunahomary10173 жыл бұрын
Asalam alaikum shekh, samahani ni aya ya 3 na ya 4 shekh. sio aya ya 112 shekh
@lastborn60613 жыл бұрын
Yupo sahihi Shekhe bcz kwenye msahafu sura ya kwanza inahisabiwa ni suratul Fat ha na ya pili ni suratul Baqara
@maimunahomary10173 жыл бұрын
@@lastborn6061 basi Sawa hamna tatizo mwenye niko na makosa ni mm samahani kwa hilo🙂
@maimunahomary10173 жыл бұрын
@@lastborn6061 mimi naongelea kuhusu pale shekh amesema sisi waislam hitikadh yetu hiko kwenye suratul ikhylas ndio kapitiliwa hizo aya
@issazakaria8633 жыл бұрын
Maa Sha Allah
@maimunahomary10173 жыл бұрын
@@issazakaria863 Tabaraka Rahman
@masumbukomasudiwrwwwe58483 жыл бұрын
Sisi nduguzanguni sio waamuzi kati ya binadam na Mungu. Kazi yetu ni kuwasaidia mafunzo na Mungu Ndio anuamuzi wake juu yake . Fan yenyeni wasio juwa wafahamu vyema maneno ya Mungu; fanyeni walio katatamaa kujawa na tumaini. Am sheni walio lala, fanyeni wajinga wafahamu vyema. Sasa ndugu zangu hiyo ndio kazi yenu ila sio kuchukuwa maamuzi ; ila tu Mungu yupo na Ndio anamaamuzi kwa ma tusi hayo. Niwaombe tu saidia kumuombea msamaa ili Mungu amsamehe na kumuelekeza katika njia sahii ya mapenzi yake. Ahsanteni.
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Hayo yote hayatafanyika ikiwa tutaongea maneno ya MUNGU tuwafundishe Watu warejee Kwa MUNGU ‘ halafu huyohuyo MUNGU tumtukane...!...inakuingia akilini..?..huko ni kuvuka mipaka ‘ huwezi kumtukana MUNGU.!
@hamisadam45893 жыл бұрын
Ulimpeleka kwa mkemia ukathibitisha kua anavuta bangi
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Kwani mpaka apelekwe ndio ajulikane anavuta bangi? Wakati yeye mwenyewe hutangaza hadharani kua yeye ulevi wake ni bangi mpaka alitaka serikali ya Tanzania bangi ihalalishwe. Au pia wewe ni mvutaji? Kwa maana unamtetea na kutetea haramu. Muislamu mzima lakini ovyo kabisa
@maryammdoe58013 жыл бұрын
Hamis angalia sana akili zako kama zina akili timamu ama sikiza uzuri clip ya huyo anaejiita afande sele
@hamisadam45893 жыл бұрын
@@maryammdoe5801 huyo shekhe hatakiwi kuthibitisha kua sele anavuta bangi mwenye kuthibitisha bangi ni mkemia tuu sawa bii Maryam ila yeye shekhe alitakiwa atufunze nini hukum ya mtu kama sele
@hamisadam45893 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 poleni sana na ongezeni elim mpate kuelimika Ikiwa Afande sele anatangaza kua anavuta bangi tayari serikali ingelishamkamata kwa sababu hairuhusu bangi kwanni haimkamati mpaka ithibitishe na sii kwa maneno Lkni pia wanaoomba bangi iruhusiwe sio huyo pekee ni wengi Shekhe wetu yeye nimtoa Elimu anatuelimisha katika Elimu yake anayotoa ni ya hukum na sheria kwo hakutakiwa kusema sele kaongea maneno ya kibangi bangi hapana sie tunaamini kaongea kwa akili zake timamu kwa sababu hakuna alomshuhudia akivuta bangi hapoo ndo sipataki paa anaongea kibangi bangi sawa maalim na nimekusamehe kwa kunitukana
@ndekemwaifyusi84993 жыл бұрын
Hata ukionyeshwa mnyama kwa akili yako utaomba aje afisa mali asili athibitishe.
@mustardseedlivepunjeyahara52923 жыл бұрын
Mungu wa wakristo,Ni mwenye msamaha,mwenye rehema,atumii akili za wanadamu...... Nashangaa Kama Tanzania Ni nchi ya kisiilamu, wakristo Ni kukatwa vichwa tuu,, Mwisho Allah na yehova Ni miungu tafauti Sana. Hizi hazira Ni za kitoto, HAKUNA mkristo anaamini Qur'an Ni neno la mungu.
@mwarabumbarak43423 жыл бұрын
mungu wa wakristo hujasoma Biblia wewe nenda usome Kitabu cha Waamuzi 1:1-2-3-4 alivyokata vichwa watu
@wasmahzahir80343 жыл бұрын
Ww ni sawa sawa na huyo afande Sele maana hata Mungu humjui ww
@dullahowland99433 жыл бұрын
Na kma ukiristo ni dini sahihi ila totaly mnaendanayo agaist kw sabab ukiristo haukusema mtembee uchi ila hadi kanisani mnaenda vichwa wazi na viguo vyengin au mliskia maria alikua na wigi??
@saidasaidjuma35053 жыл бұрын
Hee .......Subhnallah kuna Miung weng kumbe Allah akurehem
@mbaruokhamza43863 жыл бұрын
Aloyafanya afandi sele yanafanyika kila siku katika misiba tofauti, nayapotokea tunapofiwa na wapendwa wetu tunawasikia watu wetu wanamtukana Mungu kuliko afandi sele, lakini kwasababu misiba inatuhusu tunasema ni mifadhaiko ya kibinadamu. Lakini leo afandi sele kapata mfadhaiko kwa mpendwa wetu magufuli basi mashehe wamekuwa na mada ya taifa. Mashehe tubadikeni..
@MohamedAli-ds8uz3 жыл бұрын
Huyu afandi sele angekuwa karibu yangu tungepigana kisawasawa
@kamanda0073 жыл бұрын
Tuondolee udini wako mpuuzi wewe, Tanzania haina dini la sivyo wakatoliki wangeshawamaliza zamani sana nyie
@taustaus27373 жыл бұрын
@@kamanda007 wewe ndio mpuuxi na mjinga kama mjinga mwenzako kama afandesele wewe unaona nisawa kumtukana alio kuumba?laana za mwenyezimungu ziwashukie juu yenu
@عليحمد-ح8ث4ح3 жыл бұрын
@@kamanda007 acha ujinga wewe soma ujue.
@wasmahzahir80343 жыл бұрын
@@kamanda007 kijana pumzi zisikupe kiburi ukawa unaunga mkono maovu, je maneno kama Yale angeambiwa mzee wako ungejiskiaje!!!!!!
@subiramohd18953 жыл бұрын
@@kamanda007 nyoo usiyena dini ni weye mpaka leo huna uhakika yesu ni munguu au mtoto wa munguu hujielewi unachokiabudu ni nini ss tunadini yetu hao wakatoliki hawatusubutu tungekuwa tumewamaliza wote
@aliujendo3 жыл бұрын
Dawa kukatwa kichwa
@mustardseedlivepunjeyahara52923 жыл бұрын
Maana si mungu,mungu wa kweli anajiribia kizazi bila nguvu ya abduuul. Sawa!!!!
@subiramohd18953 жыл бұрын
@@mustardseedlivepunjeyahara5292 nenda uko kwani huyo mungu wa kweli si ameleta vitabu na vinamuongozoo sasa anayekiuka mipaka ya mungu aachiwe tuu haitakua serekali inamipaka na ukiivuka unaazibiwa unaakili ivi mungu wa kweli anakubali watu wakamuabudu wamevaa uchii mbele ya raisi huwezi kuvaa mavazi yasio na hishima nyamaza mwezangu ukasome dini
@subiramohd18953 жыл бұрын
@@mustardseedlivepunjeyahara5292 nenda uko kwani huyo mungu wa kweli si ameleta vitabu na vinamuongozoo sasa anayekiuka mipaka ya mungu aachiwe tuu haitakua serekali inamipaka na ukiivuka unaazibiwa unaakili ivi mungu wa kweli anakubali watu wakamuabudu wamevaa uchii mbele ya raisi huwezi kuvaa mavazi yasio na hishima nyamaza mwezangu ukasome dini
@kaizabiyaka98833 жыл бұрын
Nenda huko ilipoanzia dini uone kama utarudi na uafrika ,mnapoteza asili ya mwafrika.
@subiramohd18953 жыл бұрын
@@kaizabiyaka9883 haa hee kwenye dini hakuna asili ya mtu ni kitabu tuu ndo kinafatwa dunia nzima ni hicho hicho huku hakuna agano la leo na kale upoo
@nabinassor11523 жыл бұрын
Ivi shekhe iki kitendo alicho kifanya firauni n bilisi nani ambae muasi zaid
@subiramohd18953 жыл бұрын
Kama cha afande sele na wote ulowataja wanelaaniwa
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Wote walilaaniwa ila ibilisi alimuomba Allah apewe uhai mpaka siku ya kiyama
@subiramohd18953 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 kuomba akye mpaka mwisho si kusalimika etii adabu yake ipo pale pale tuu
@seremenikibwene86333 жыл бұрын
Iblis na Friaun wote walifanya kibri na majigambo, co Iblisi amezidi.
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
@@subiramohd1895 kwani nmeamanisha au nimesema kua adhabu yao imeisha?
@shadyaadam89193 жыл бұрын
Subhanallah Ni Sawa kabisa nyie ombeni dua Na Allah atamkadiria kile kinachomstahiki yy hy afande sele. Subhanallah wallah kafanya tukio la kihistoria. Yaarab tuongozee watoto wetu na uwaajalie noor ktk akili zao ziweze kukufahamu na kukutumikia ww Allah.
@nurudinehamimu56583 жыл бұрын
Shekhe huyuu hajitambui namfananisha na fillaun.
@user-pf9cd6zj1g3 жыл бұрын
Mashekh mnsema na nini na kupoteza wakati wenu huyu hukmu yake apigwe mpaka afe
@suleimanjafa65763 жыл бұрын
Ni kweli Sheikhe ulichosema ila huyu jamaa ni jina tu sele ila sio muisilaamu yeye mwenyewe ni mkiristo haitwi Suleiman anaitwa seleman msindi sikiliza clip zake amesema yeye ni mkiristo