Yani unasema B10 sikitu kwako? Mmmmmhhhhh. Mungu amekujaalia kweli MaashAllah
@SalvatoryMtunga8 күн бұрын
Safi sana ahamedy umewajibu vizuri, hao wanaokuhoji umewapa za uso, safi sana.
@angellomarcel56778 күн бұрын
Huw ni wanafiki wanatafuta kukuza ishu za Ahmed ally..ili kufifisha upuuzi wa Kamwe
@IMANIMWAITEGE-ve8gr8 күн бұрын
Alafu nyinyi ni wahuni na washamba mnajichafua nkuheshimu sana ambangile.kichwa habari na mada mnayo iongelea ni tofauti badirikeni.
@MagesaLawi7 күн бұрын
Mm nitamuongezea b 2
@angellomarcel56778 күн бұрын
Wanao ongelea hayo ndo wafitinishi wakubwa Wanaharibu mno na wakishafanya wanajificha na kuacha upupu..Maoni ya Kamwe kwa Zaka za kazi ni ya Kipuuzi
@SalvatoryMtunga8 күн бұрын
Zakazakazi wape za uso hao.
@HappyEel-wg4qx8 күн бұрын
Alipe mbwa
@taseleli91817 күн бұрын
Unajisikiaje kumwita binadamu mwenzio mbwa haya haya ya ushabiki wa mpira au una jingine nyuma ya pazia chuki, wivu na roho mbaya havijengi pambana na hali yako njaaaa nayo sometimes ni mbaya9