No video

Afande Sele ft the nova final - Hana Hatia (official Video)

  Рет қаралды 309,617

Afande Sele

Afande Sele

3 жыл бұрын

Produced Matajili Willey , Director Habby Henxer
Location Morogoro.

Пікірлер: 769
@adamkunguru9299
@adamkunguru9299 2 жыл бұрын
Kwa masikini imekuwa huzun mtumikie shetan mkono uwende kinywan.respect Afande sele
@danielmyovela205
@danielmyovela205 3 жыл бұрын
Jaman tuliosikiliza nyimbo hii zaidi yamara moja tujuane kwaku like, bonge la ngoma, big up brother.
@kingpusitv7921
@kingpusitv7921 3 жыл бұрын
🤝🤝
@eventelias3566
@eventelias3566 3 жыл бұрын
ngoma kali sana
@faridawinkler6834
@faridawinkler6834 3 жыл бұрын
Ngoma imetulia sana 🙏
@johnnchimbi3716
@johnnchimbi3716 3 жыл бұрын
Big up big up big up broo, una madini sana usikae kimya tena, tunamisi madini hayo
@chimalitv727
@chimalitv727 3 жыл бұрын
Kwangu mimi huu ndiyo Wimbo bora wa mwaka.
@iddykayembe727
@iddykayembe727 3 жыл бұрын
Nakubali
@MrCLove-tt2qd
@MrCLove-tt2qd 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@eleutelymhongole7080
@eleutelymhongole7080 2 жыл бұрын
Tupo pamoja
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Haki mie mwenyewe nime ukubali
@shagarbycash9549
@shagarbycash9549 3 жыл бұрын
anko afande shukrani kwa track kali binadamu sio mkalifu plz endelea kutupa kazi
@kelvindastan7682
@kelvindastan7682 3 жыл бұрын
Kaka mkubwa ninaomba utoe ngoma kali ya regger mkuu
@rajabukandiranimekubaliupo9725
@rajabukandiranimekubaliupo9725 3 жыл бұрын
Moro kwanza home. King wetu
@imanibensoni8274
@imanibensoni8274 3 жыл бұрын
Ambaye ameulewa huu wimbo gonga like twende sawa
@YvesNdayishimiye-qp6lc
@YvesNdayishimiye-qp6lc 5 ай бұрын
Eki
@kivurichumamwerumungwi8789
@kivurichumamwerumungwi8789 3 жыл бұрын
Saluty kwako kazi nzuri kaka
@musakhamisi1692
@musakhamisi1692 3 жыл бұрын
Simba mwenyewe
@lusanamaliwa8749
@lusanamaliwa8749 3 жыл бұрын
Sauti kutoka Shamba imenifika Afande.ahsante Sana'a👮🏽👮🏽👮🏽👮🏽👑👑👑👑
@mabenzimabenzi4348
@mabenzimabenzi4348 3 жыл бұрын
Huyu ndio yule afande sele wa kioo cha jamii naemjua mimi
@hamisdefestor9964
@hamisdefestor9964 2 жыл бұрын
Kwa u legend wako nicngetegemea et uimbe ujinga ningeshangaaaa.Afu ukizingatia.mimi ndo mshabiki wako No1.yaani tangu mayoweeeee.hii ni bonge la ngoma asotaka kimpango wake kaka🎶🎵🎤
@user-pk1vz8il2h
@user-pk1vz8il2h Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana hongera @Afande Sele
@vascobenedict6519
@vascobenedict6519 3 жыл бұрын
King kama king asante sana
@levinaelia8699
@levinaelia8699 3 жыл бұрын
Aisee nimefurahi Sana, sitachoka kusilkiliza ngoma zako, sarut kwako seleman msindi
@erickmwangonda7814
@erickmwangonda7814 3 жыл бұрын
Mfalme wa sele kiukweli nimefurahi sana kurudi na ii ngoma sasa naomba uje na ngoma juu ya ngoma kipaji uwa akifi wewe ni mkali tuuuuuuuuuuu
@jumaaramadhani7819
@jumaaramadhani7819 3 жыл бұрын
Huna hatia mzee sema ulipo chana hapo ndo nmekuelewa zaidi aisee
@sagataps9477
@sagataps9477 3 жыл бұрын
Kweli aumedhihirisha ukomavu baba Tunda kazi nzuri sanaaa
@suleimanjuma8256
@suleimanjuma8256 2 жыл бұрын
Kuna nyimbo zako nyengn hatuzion mtandaoni na tunazihitaj kama moja inasema mwenzenu nalia tuma mtandaon baba (we still love your old song)
@jumadaima1833
@jumadaima1833 2 жыл бұрын
Juma Daima, wo mziki jaribu kuimba vilevile kwa kiingereza, una ujumbe mzito, mpaka Moçambicano wameumisi mziki wako.
@manchalijob9600
@manchalijob9600 3 жыл бұрын
Hahaha mi niriwaambia waafrika kwamba afande sele hana hatia kwamba mungu hana dini na kingine waafrika din tumeretewa na siku zote kitu ambacho sio asili yako razimA kitakupa shida mungu akubariki afande sele tupo pamoja
@samsonmwangalika3718
@samsonmwangalika3718 3 жыл бұрын
Mziki mzuri sana hizi radha ya mziki wa aina hii siku hiz atusikriZ aminia
@sirijoseph5889
@sirijoseph5889 3 жыл бұрын
Hujawahi niangusha kwa mziki mzuri ambao unaelimisha,na mziki wako hauchoshi kuusikiliza
@revokachira119
@revokachira119 3 жыл бұрын
Kunawakati nilitamani kukushitaki Kwa kosa la kuacha mziki, lkn nilikua bado kadogo. Sasa ivi nakuhakikishia nakupeleka mahakamani Kwa kosa la kuacha mziki. Uje uujibu umma ea watz kwann umeacha kuwaelimisha. Sikutanii bro, hicho kipaji Mungu alikupa ili uokoe kizazi, sasa umekua mbinafsi na umekikali. Rudi studio broo Rudi studio utupe hata album moja tuu maana yapo mengi yamejili na hujaikanya Jamii toka uache mziki. Kama hutaki basi nakusanya wanasheria tukufunge, naamini ukiwa huko utapata muda wa kuandika zile Ngoma zako za darubini Kali, mkuki moyoni na mtazamo
@kasongomakaya9478
@kasongomakaya9478 2 жыл бұрын
Ulionewa kweli king afande sele kila binadamu ana mapungufu yake kweli
@williamkabaisa
@williamkabaisa Жыл бұрын
Afande Sele, hana hatia ujumbe wako umenigusa ❤️❤️
@patrickmalis2776
@patrickmalis2776 2 жыл бұрын
Afande amesema wotekimia 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@sadickmdogo4181
@sadickmdogo4181 3 жыл бұрын
Nimegundua kuwa heshima ipo ipo tu nimekubali mzee wa kaz nimeipenda sana ngoma hii
@chimalitv727
@chimalitv727 3 жыл бұрын
Hongera sana bro
@sebastianungimba4676
@sebastianungimba4676 2 жыл бұрын
Umefufuka wewe,bado huyo aliekupigia salute,ungekua mbunge kama jamaa yako angekua hai mpaka leo,ndio maana ulimtukana mungu kisa tumaini limepotea,piga mziki utatoka
@s.ridhwali1569
@s.ridhwali1569 3 жыл бұрын
Mrudie Mungu,ulikufuru sana kipindi alichokufa Magufuli
@Waya_tz
@Waya_tz 3 жыл бұрын
Ng'ombe hazeeki maini brother ✊ njoo mjini matusi yamezidi💪💪
@halingtonnyezekiel3593
@halingtonnyezekiel3593 3 жыл бұрын
Kwel kaka tumechoka kusikilizishwa matusi na hawa wanaojiita kizaz kipya this man deserves 1M viewers in 24 hrs and not baikoko
@samwelmbeye3390
@samwelmbeye3390 3 жыл бұрын
Achana na wale wanaojipachika uking, huyu Ndo king tunamjua
@paulomaona2811
@paulomaona2811 3 жыл бұрын
hapa ndipo vina vilipo zaliwa
@lusekeloswilla6247
@lusekeloswilla6247 3 жыл бұрын
Afande sele ni mkali wa vina anaweza kutembea na kina ni au na mwanzo mpaka mwisho beti zote ni balaa
@johnsonjacob6105
@johnsonjacob6105 3 жыл бұрын
Kazi nzur kama hizi ndio tunapenda kusikiliza wenye akili zetu,bonge ngoma sele
@MrCLove-tt2qd
@MrCLove-tt2qd 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@daudimagumba5838
@daudimagumba5838 3 жыл бұрын
Umeonaa adi laha
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Kabsa na Zina maadili mungu akusimamie afande
@senibuzuka6557
@senibuzuka6557 5 ай бұрын
Afande Sele ni Ni Afande Sele tu kichwa kimejaa mashairi ya Hekima
@donprinceabselhalims7421
@donprinceabselhalims7421 3 жыл бұрын
Watu Wa Morogoro hatuna hatia
@robertkahewanga652
@robertkahewanga652 3 жыл бұрын
Broo nakubal San bd upo kwnyw kiwango kuzur sn kwenyw kuelmisha jamii Kwa umr wng mdg toka nakusikia na kukufahamu umekuwa Bola zaid One Love Morogoro Is Sweat Home like nying kwako
@swahilulaya9500
@swahilulaya9500 3 жыл бұрын
Ngoma kaliii
@dochdodava
@dochdodava 3 жыл бұрын
Ukielewaaa anaba msamaaa... Iyo hakua mwenyeweeee... Tuna mpenda mpaka DRCongo!!! Anamuamini!!! @dochmuzik confirmed!!!
@katusijusitusi3603
@katusijusitusi3603 3 жыл бұрын
Upo vzr afande wa maafande endeleza kusambaza ujumbe asali na shubiri ipo kwenye mapnzi
@salumnambwilikiti4434
@salumnambwilikiti4434 3 жыл бұрын
Maji ndani ya nazi sukari kwenye ndizi
@Informationtz
@Informationtz 3 жыл бұрын
Ni kwel kaka maneno mazito xna maana akuna binadamu asie nawasi wa zambi katka nafsi yake ndio maana tunaabudu nakuomba 🙏tukiamini atuna hatia safeee my brother umeonexha ukubwa wako nainjoy 😭kusikia king selle katka mkoa wetu bless zitaendea💯🙏
@jbjb349
@jbjb349 3 жыл бұрын
Sele anafikiri sana ili umuelewe mpaka nawewe uwaze kwa kina. Hata wanaombeza hawajui tu wanajihami tu lakin ukweli unabaki kuwa hawana uwezo wa kufikiri kama sele na huo ndo ukweli wanaoufahamu hata wao. Zaidi sele ni mtu analiishi jina lake la selemani. Ni mtu mwenye hekima na busara sana
@jutoomaachurauklourownandy9175
@jutoomaachurauklourownandy9175 3 жыл бұрын
Afande uaK Kaka Amin mwana damu ambae hakosei Wala kusahau basi niwa mitoni uyo
@jutoomaachurauklourownandy9175
@jutoomaachurauklourownandy9175 3 жыл бұрын
Kikubwa nikujitambua kua ww ninani na unapaswa kufanya nn
@chomafamily
@chomafamily 3 жыл бұрын
Morogoro ndio kwetu nawe ndio mfalme wetu big up my brother Afande Selle
@giliadypalangyo132
@giliadypalangyo132 3 жыл бұрын
Ngoma kali sana hakika uyo nimsanii wa jamii sio hawa watoto wa juz
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 3 жыл бұрын
Bonge la wimbo
@eliatoshamapande8377
@eliatoshamapande8377 3 жыл бұрын
Nyimbo bdo inafanya vzr pamoja na ukimya wa kireefu sanaa
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Afande sele kweli huna hatia na mungu akutangulie akupe afya njema na nguvu pia na akupe uhai mrefu ili upate kulea wanao emeni emeni 😍
@bishinzeyohana4741
@bishinzeyohana4741 3 жыл бұрын
Afande kwenye swala la muzik wenye ujumbe mzuri hujawahi niangusha bro 🤜🤛
@sebaskibiki4836
@sebaskibiki4836 3 жыл бұрын
Hakika
@asaa3219
@asaa3219 3 жыл бұрын
Apo Kwa mkono kwenda kinywani nikweli kabisa umtumikie shetani ndio upate watu wanauana machomacho 🥰🥰🥰🥰🥰
@MrCLove-tt2qd
@MrCLove-tt2qd 3 жыл бұрын
Nakubali kaka sana wote tunalijuwa ilo piga kazi
@Manjalino
@Manjalino 3 жыл бұрын
Kazi kali sanaa
@allychikoko11
@allychikoko11 3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana salut afande
@king-size8114
@king-size8114 3 жыл бұрын
Dah umenifurahixha leo kumbe wamwamini Mungu tena
@juliusmnkondo5574
@juliusmnkondo5574 2 жыл бұрын
Yaan uyu mwamba namkubali Sana Mungu akulinde kamanda
@jumamohamed1944
@jumamohamed1944 Жыл бұрын
Nakubari kaka yangu endereya kuwarisha
@Tonnie_Dee
@Tonnie_Dee 3 жыл бұрын
Nakubali rastaa
@omaryphua191
@omaryphua191 3 жыл бұрын
Vina havijapoteza mzee kweli wewe ni dhahabu
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 2 жыл бұрын
Daaah,,,heshima kwako afande unaimba maisha
@jacquelinesangu1521
@jacquelinesangu1521 3 жыл бұрын
👏💪💪💪💪mungu ni mwema kweli hauna hatia
@sahalexcha3036
@sahalexcha3036 3 жыл бұрын
Ngomaaaaaaa kaliiiiiiiiiiiiiiiii
@maulidhamdani6052
@maulidhamdani6052 3 жыл бұрын
Baba yake TUNDA Jema kutoka darubini kali karata dume mpaka leo sina hatia.👊🏾👊👊👊💪💪👍👍
@ibrahimjoseph9417
@ibrahimjoseph9417 3 жыл бұрын
Mfalme umeonyesha ukongwe mule mule
@maji_media
@maji_media 2 жыл бұрын
Daaah, bonge moja la song, congratulations legend,
@einastykasola5120
@einastykasola5120 3 жыл бұрын
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ngoma safi sana. Big up Afande selle ❤️❤️❤️
@amrozwhite1073
@amrozwhite1073 3 жыл бұрын
Sijawahi kuisikia nyimbo nzuri km hii
@sahalexcha3036
@sahalexcha3036 3 жыл бұрын
ngomaaaaaaa kaliiiiiiiiiiiiiiiii
@mesatagirassane4853
@mesatagirassane4853 3 жыл бұрын
Afande sele, unatisha sana kaka kwa kwandika
@godfreychialo7679
@godfreychialo7679 Ай бұрын
Mwamba wa mziki tz🎉
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 3 жыл бұрын
Mwalimu Rasi simba,kingereza kingii
@bonifasimwimbe6405
@bonifasimwimbe6405 3 жыл бұрын
Welcome back to the game lilikuwa linakusubiri #morogoro# talented region
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 3 жыл бұрын
Chana baba kazi iendelee hauna atia Big support Afande frm Mombasa 🇰🇪
@maulidathuman1942
@maulidathuman1942 3 жыл бұрын
wew ni mfalme sele
@josewillson1813
@josewillson1813 3 жыл бұрын
Mungu atakusamehe maana yy Ni mwingi wa msamahana
@jpkkakudji9402
@jpkkakudji9402 3 жыл бұрын
Huu ni ujumbe kotoka kwa Afande
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 3 жыл бұрын
Huna hatia Mzee Baba Kama unatoka Moro kilakala piga keleleeeeee✌️
@isayagangster1048
@isayagangster1048 3 жыл бұрын
Bigwa moja iyoo mwamba
@rishkhkhan3546
@rishkhkhan3546 3 жыл бұрын
Yeyooooh
@emmanuelmasabo8194
@emmanuelmasabo8194 3 жыл бұрын
Shikilia hapohapo mzee baba🙏🙏
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 3 жыл бұрын
Mungu amekuskia Miungu imekuskia kiimani hapo amani imerudi mjomba'angu. Tunakupenda mno wewe tu unasizi sana sikuhizi. Jihusishe na mziki kwa namna yoyote usitukache Mzee
@brayanfredrick6783
@brayanfredrick6783 3 жыл бұрын
Yuko good hakuna ambaye anaenda tofaut na mungu mwenye hatia
@nathansamson3583
@nathansamson3583 3 жыл бұрын
Broo kuimba unaimba kwel lakn swala la kumkifuru Mungu cjakuelewa
@alainluya3951
@alainluya3951 3 жыл бұрын
Wapendwa ndo nyimbo hizi sasa zinazo elimisha. Mungu azidi kukupa more inspirations Sir
@samsonbinkulwa733
@samsonbinkulwa733 2 жыл бұрын
Nakuelewa Sana Mkubwa MUNGU Aendelee kukubariki
@elibarakairunde3233
@elibarakairunde3233 3 жыл бұрын
Mziki ndo huu bwana .huyu jamaa hatari
@deogratiusdominick8882
@deogratiusdominick8882 3 жыл бұрын
Hiii ngoma SELE kaimba kwa hisia mpaka nmejisikia tofaut
@directorcheedfaraway8982
@directorcheedfaraway8982 3 жыл бұрын
Kazi kubwa sana kaka mkuu Simba mwenyew halisi #afandesele
@jumahalifa6436
@jumahalifa6436 Жыл бұрын
Ngoma yenye ujumbe navideo Kali
@harmonizepachauganda5924
@harmonizepachauganda5924 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏❤️ ngoma zuri sana 🇺🇬
@johnmgalla7377
@johnmgalla7377 3 жыл бұрын
🔥🔥bonge moja la ngoma
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 2 жыл бұрын
Afande sele unajua Sana brother
@shafiirajabu5207
@shafiirajabu5207 3 жыл бұрын
Noma iyooooh
@andrewlujuo4776
@andrewlujuo4776 3 жыл бұрын
......Asante kwa huu Wimbo Simba
@harodkanyau8305
@harodkanyau8305 3 жыл бұрын
Bonge la nyimbo lenye heshima kwake king sele I salute u
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 3 жыл бұрын
Huyu ndiye Afande wetu
@salehegiza3305
@salehegiza3305 3 жыл бұрын
Bangi hizo ndo zinahimba.afande mibangi
@Jitimawetz
@Jitimawetz 2 жыл бұрын
good sana
@simonjohn2784
@simonjohn2784 2 жыл бұрын
Unajua kamanda kweli huna hatia
@estermachea3373
@estermachea3373 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sele nakupigia sasa hivi
@rashidibamangwe7022
@rashidibamangwe7022 3 жыл бұрын
Nimependa sana uyu jamaa wamwisho alivyokua ana walusha watu moro mabegani💪💪💪
@klcmedia2503
@klcmedia2503 3 жыл бұрын
Ngoma kali sana Brother,tumemiss sana burudani zenye ujumbe kama hivi
@sebaskibiki4836
@sebaskibiki4836 3 жыл бұрын
Sure
Afande Sele Ft Fami - Bila Marekani ( Official Video )
5:28
Afande Sele
Рет қаралды 244 М.
Mpaka Home MAISHA HALISI YA AFANDE SELE NA UTAJIRI WAKE
22:55
Mbengo Tv
Рет қаралды 128 М.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 28 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
NACHA_BARUA (Official Music Video)
5:08
Nacha Ousam
Рет қаралды 379 М.
AFANDE SELE ATOA YA MOYONI MBELE YA MAGUFULI
5:04
GSengo
Рет қаралды 95 М.
Mkasi - SO7E08 With Afande Sele
29:56
MkasiTV
Рет қаралды 118 М.
Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
5:05
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 453 М.
Dini Tumeletewa
6:26
Afande Sele - Topic
Рет қаралды 8 М.
🔴 EVOLUDIA TV MPAKA NYUMBANI KWA AFANDE READY
8:43
Evoludia TV
Рет қаралды 18 М.
Afande sele  Ndugu zangu
5:45
Afande Sele
Рет қаралды 1,5 М.