Nilitamani mahojiano yaendelee zaidi. Kama kutakuwa na sehemu ya pili ya mahojiano haya, nitafurahi zaidi.
@mungatanamedia51572 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZnbKoqF4nZp-g8U
@emmanuelelibariki48262 жыл бұрын
Mimi pia
@chw20752 жыл бұрын
Nampenda sana Afande sele, nilitamani siku moja nimsuprice ,anaishi maisha halisi
@itsol35832 жыл бұрын
Mtu Poli afande uyo maisha anayo ishi poa Sana
@zingiberofficinale9843 Жыл бұрын
@afandesele ana akili sanaaa
@mitaocamilliusthegreatest90682 жыл бұрын
Kaka Sele nakukubali hatari mkuu wangu barikiwa sana
@daphnedaphne15122 жыл бұрын
First l love afande sele for being truthful.
@rehemabakari74252 жыл бұрын
Mzee wakuabudu jua
@AbdillahAbubakar-ti2mj Жыл бұрын
Kamaumesikia tundajema na hasante Sanaa gonga lik
@franknurudin59592 жыл бұрын
Daaah afande kapitia magum sana ila mungu ni mwema amemtendea mpaka sasa anaishi kwake na familia yake mungu awalinde watoto wake ameen
@shedrackjacksonkaboza43482 жыл бұрын
Sele ni noma
@mpelimwasumbi19852 жыл бұрын
Kitambo sana ni shabiki wa Sele!!! Nimtu ninayemtazamaga Kama mwenye elimu ya mastas,, Ni kipaji unyama mwingi Broo SELE heshma Yako ni kubwa kwako Broo, kwangu ni msanii wa pekee
@mamasuleman73222 жыл бұрын
Duuh jamani watu wanapitia mapito mazito😭😭
@mungatanamedia51572 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZnbKoqF4nZp-g8U
@gloryjesus43082 жыл бұрын
Nimekusikia vizur afande Nimegundua kumbe haukuwa msanii kwa sababu una kipawa ila uliamua kufanya mziki kutokana na maisha uliyo yapitia Wewe ulitakiwa uwe Mchungaji
@patricknyongesa97052 жыл бұрын
Fity bingwa... Ni vizuri kuishi katika uhalisi
@abdulkilala98452 жыл бұрын
k mziwanda uko vizury una kipaji mdog wangu
@safiaothman10982 жыл бұрын
Pia mtu afanye sana kwa ajili ya Akhera si kwa Dunia tu.
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Hata Mimi napenda mazingira ya kijan
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Kweli umenigusa kuhusu mama
@nuhumwasamboma69899 ай бұрын
The real Icon.
@zawadinzunda71332 жыл бұрын
Mungu akupe maisha mulefu afande sere we ni kio cha jamaa
@kenybenjiz78502 жыл бұрын
Huyu mtangazaji namuelewaga sana Connection basi
@kwestadakar31062 жыл бұрын
daa kaka sele saruti sana kaka au mtu pole
@loner_wolf2 жыл бұрын
Big up Afande
@mungatanamedia51572 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZnbKoqF4nZp-g8U
@kaselamdachi51292 жыл бұрын
Jamaa hua na maneno mazuri lkn matendo yake ndio hovyo
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
Matendo yk yapi hovyo?
@hadijamagufuli26612 жыл бұрын
Mungu ni mwema sele 😍
@mungatanamedia51572 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZnbKoqF4nZp-g8U
@ireneimbuhira7759 Жыл бұрын
🙏🙏
@albertnyasa90882 жыл бұрын
Mimi nilitamani wasanii waige Marsha Afande sele
@elibarikimuchuno21062 жыл бұрын
We mziwanda umeolewa??!#
@suphianmsambwa1452 жыл бұрын
Kiukweli maisha ya kibangebange nimagumu sana,misimamo ya ajabu isiyoo nakupokea ushauri
@zuhurakibiki13392 жыл бұрын
Hahahahahahaaa
@drstevenmoria59682 жыл бұрын
Upo vizuri
@hussenmuya25602 жыл бұрын
Bwana sele nakupenda Sana
@msafirikilongo74292 жыл бұрын
Touching story😢😢
@ireneimbuhira7759 Жыл бұрын
Very 😭💔
@stellamwakatulile32022 жыл бұрын
Afande utaanguka apo
@gloryjesus43082 жыл бұрын
Wasanii wa zamani kweli hawakuwa na pesa za kama wasanii wa sasa
@mungatanamedia51572 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZnbKoqF4nZp-g8U
@mosseskarega6702 жыл бұрын
Katika habari zenu wekeni picha za uharisia namnachoelezea.
@barakajonas32095 ай бұрын
🔥🔥🔥💯💯💯
@liliansamson6742 жыл бұрын
Nakupenda sana Sele
@hono12322 жыл бұрын
Uwezo wa kufikiri au bangi?
@rehemabakari74252 жыл бұрын
Kioo kuabudu jua
@lenoxbuhanza49262 жыл бұрын
Duh nimekukumbuka sana tumesoma school moja primary wewe ni Msindi Hamidu/umekaa majengo kwa kina Ali Juma
@mungatanamedia51572 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZnbKoqF4nZp-g8U
@saadettinkuru60212 жыл бұрын
Kwel skul mate wko
@fredpeter544211 ай бұрын
Namukubali sana afande sele.mtu pori
@shaidanidecoration10072 жыл бұрын
Amekaa kwenye libalakowa likubwa
@timilaishemalamba30582 жыл бұрын
Henri mdimu nampata san
@charleswilliam67212 жыл бұрын
K mziwanda 🙌🙌🙌🙌🙌
@chw20752 жыл бұрын
Historia yake na mm havipishani, ipo siku ntazungumza naye.....ntapataje namba yake wadau
@hamisijohnchilongola14632 жыл бұрын
Dah mi nakubali
@emanuelmathew69492 жыл бұрын
Amani kwako
@stopamawe98382 жыл бұрын
King
@johngibson30892 жыл бұрын
Yah Man..
@johnmligo69662 жыл бұрын
Jembe sanaaaa
@mungatanamedia51572 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZnbKoqF4nZp-g8U
@husnaabiero84772 жыл бұрын
lakini kuna wakati walisema watu afande selee alikufaa
@Pedeshee012 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@alphoncekimario25382 жыл бұрын
Kimkanda mkanda. 🤣🤣
@josephnsoho39162 жыл бұрын
Inaumasana kk umenigusa namm
@revtuntufye2 жыл бұрын
WEKENI PICHA INAYOENDANA NA UHALISIA NDO VICHANELI VYENU HAVIKUI
@gloryjesus43082 жыл бұрын
Tuonyeshe nyumba ake
@najmaawadh38372 жыл бұрын
Pole xna afande😪😪😪😪
@kenedynashon97172 жыл бұрын
Camera yenu mbayaaaaaaa
@user-si4nw7up9y Жыл бұрын
❤
@josephnzogela3810 Жыл бұрын
brother mm shabiki wako mkubwa sana
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Mmmmmmmmh usidhani ni wewe peke yk,hata ss ambao tunawazazi wametutesa vibaya lkn leo tunafamilia
@mamabray30762 жыл бұрын
Ukweli mtupu kaka ndomana nakukubali
@ambakisyejeremia42042 жыл бұрын
Naam
@suntzu89592 жыл бұрын
Kuna mmea fulani hapo lazima umepandwa, lakini huwezi onekana
@khadijavassardanis31782 жыл бұрын
Mhhhhhh
@bandukayunus77142 жыл бұрын
Happy ndio home daa bangi tu
@happynelson11362 жыл бұрын
Kipindi kinaitwa mpaka home lakini mnamuhoji mtu akiwa nje
@suntzu89592 жыл бұрын
Home na House vitu viwili tofauti.
@idrisahussein66542 жыл бұрын
Huyo ni chizy
@bivensofficial88662 жыл бұрын
Afande salama,
@mwibatv73222 жыл бұрын
Dada mziwanda mbna mijengo hamuionyesh au hawa wajamaa wana nyumba mbovu
picha mulio iweka nasemu munapo muhoji tofauti amamuna weka picha zuli ilituagalie video zenu acheni ujiga unaweza ukawa .naelimu ya kwenye kitabutu lakini kichwani kukawa hamuna kitu
@gloryjesus43082 жыл бұрын
Huyo jogoo si poa
@ashuraumari13222 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@jacksonbad Жыл бұрын
Mtangazi kampata mtu mwenye content nzuri halafu anakosa points muhimu za kumuuliza.. That's terrible
@kingkong15062 жыл бұрын
Hivi una post image ya nyumba wakati hakuna kitu kama hicho pumbu nyie
@kiulajoseph91942 жыл бұрын
Hujielewi wewe na matusi yako mwenye uso kama pumbu nauso wako kama unapuliza Moto
@moodyzanzibar43362 жыл бұрын
Huyo amelaaaniwa tuu na Mungu na ni kichaaaa tuu ,Vichaaa wenziwe ndio watamsifu Msenge mmoja hana maana bora nguruwe ,yeye si anamtukana Mungu ??? Asubiri Ghadhabu zake Mungu ,hana usimba wowote msenge tuu
@omanss2682 жыл бұрын
Mmmh
@hassanirajabu54532 жыл бұрын
Baada ya matusi yote hayo yanekusaidia nn kwa mfano ndugu Toka muanze kumpa hizo lana mpaka Sasa mtu anadunda ndugu mwisho wa siku atapa ukumu kutoka kwa anaeusika na sisi wewe kinguni wa duniani tu
@moodyzanzibar43362 жыл бұрын
@@hassanirajabu5453 WAPENDA DUNIA NA WASENGE KAMA NYIE MKO WENGI SANA LAKINI MUNGU HANA HARAKA NA WASENGE MTAACHWA MFIRWE SANA TUU ILA IPO SIKU
@moodyzanzibar43362 жыл бұрын
@@hassanirajabu5453 NILIFIKIRIA HANISI NI YEYE TUU KUMBE ANAMAHANISI WENZIE WENGI KAMA WEWE MMOJA WAO BWEGE WA KIKE WEWE
@moodyzanzibar43362 жыл бұрын
MwenyeziMungu anasema msiwafanye marafiki kamwe wale wanao msahau Mola wao | Jee Hanisi kama huyu anayemtukana Mungu wewe ndio umemfanya Rafiki wa kumtetea HANISI WA KIKE MKUBWA WEWE -Yote hayo Nikumsahau mwenyezimungu kwa Kupenda Dunia , sasa Mungu hana haraka na Mahanisi kama nyinyi
@abuuhafsah96302 жыл бұрын
Mna feli ...mbona hamtuonyeshi nyumba...Millard utabaki kua juu
@godfreyreveliani83452 жыл бұрын
Big up sele nakukubari sn mkanada
@charlesmushi23052 жыл бұрын
Bangi mbaya🤣🤣🤣🤣🤣
@furahajacob5062 жыл бұрын
Mambo ya msuba hatari Sana Ila bro anajua😂😂😀
@dadyshunaydah94212 жыл бұрын
Bangi Iko Wapi Mbona Nimeangalia Mahojiano Mwanzo Mpaka Mwisho Sijaiona🚨
@rumdeesonsoa18112 жыл бұрын
We endelea kujoke watu hapo kana kwamba una uhakika wa kuishi maisha mazuri kuliko Afande Sele. Maisha hayachagui yanamcharaza kila mtu
@abdisalim11572 жыл бұрын
Ukichotuonyesha hapa ni historia sio km kichwa chenu cha habari kilivyoeleza,waandishi wa siku hizo mnasomea vichochoro gani?