AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPONDWA UUME NA KORODANI ARUSHA MAMA YAKE ASIMULIA ILIVYOKUWA.

  Рет қаралды 33,780

GADI TV

GADI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 268
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 4 күн бұрын
Mungu nipe mwisho mwema matukio ni mengi ee mungu tetea family zetu zilinde zitakase ondolea kila kitu kibaya katika ulimwengu wa giza na kishetani maana wewe ndio baba naomba uilinde tanzania 🇹🇿kwa ujumla mungu itakase 😭😭🙏🙏
@EstermsuyaMsuya
@EstermsuyaMsuya 5 күн бұрын
Mungu wangu naomba ulete farajnkwa hii familia. Wahusika wafiikishwe kwenye vyombo vya sheria
@kabulaphilipo7985
@kabulaphilipo7985 8 күн бұрын
Daa! Sina la kusema. Pombe kupita kiasi ,bangi, madawa ya kulevya ni Atari kwa Taifa letu. Tuombe Mungu atuepushe na haya.
@juliethmassawe1446
@juliethmassawe1446 Күн бұрын
Jaman dah
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 9 күн бұрын
dah isee huuu uchungu hauerezeki mimi2 Najskia vibya je mzazi wake mama pole sana Ndio maisha mungu atakulipia
@BahatiAsael
@BahatiAsael 8 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akupe nguvu mama 😢
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 9 күн бұрын
Aisee mauwaji Tanzania yamekuwa kama mauwa viongozi wadini jitahidini kuongoza waumini kufanya Dua kuomba mungu aingilie kati aisee watu wamekuwa wakatilina Allah anomba unusuru vizazi vyetu
@ElizabethPalanjo
@ElizabethPalanjo 7 күн бұрын
Daàa?? Hakika binadam wamekua wanyama jmn, pole sana mama ang,,, mungu tusaidie jaman!!!!!
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 8 күн бұрын
Pole Sana mama wajua kijana wako alikosea kwa kutokusema mapema angelipona pole Sana mama
@ElinahStephano
@ElinahStephano 8 күн бұрын
Aliona aibu jmn😢
@mariej6962
@mariej6962 3 күн бұрын
Israel kafa kifo cha maumivu makali sana. Ujumbe kwa jamii, ukiona mtu anaumwa usisubiri hela, nenda hospitali au mpeleke mgonjwa wako moja kwa moja hospitali. Kijana alificha tatizo lakini alipozidiwa alikujulisha mama, hapo ilikuwa ni kwenda hospitali moja kwa moja na angekuwa hai leo. Umesisubirisha kama siku ambazo zilikuwa crucial za kuokoa uhai wake. Poleni.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 8 күн бұрын
Arusha ni jiji la tofauti na miji mingine hapa nchini... Waombaji uombeeni mkoa wa Arusha na Tanzania yote kwa ujumla,mauwaji yamezidiii.
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 8 күн бұрын
Acha kuhusisha ubaya na Mji wa Arusha, mbona Dar kuna mambo mengi?
@ummySheikh72
@ummySheikh72 8 күн бұрын
Saana Arusha kama sio Tanźania? Balaaa😮😢😢
@ummySheikh72
@ummySheikh72 8 күн бұрын
​@@Ndu-wa.uroony2sio kweli
@KisaMax
@KisaMax 8 күн бұрын
Arusha watu wake wana roho zakichafu sana​@@Ndu-wa.uroony2
@khalinaJuma
@khalinaJuma 7 күн бұрын
Arusha kumezidi
@kizittohescary1213
@kizittohescary1213 8 күн бұрын
Eee Mungu tusamehe sisi wenye dhambi this is too much,huu ni unyama uliopitiliza jmn,😭😭😭😭Arusha tuacheji hizi Mambo jmn mbna tunafanya unyama hivii
@WemaSamil-p4s
@WemaSamil-p4s 6 күн бұрын
Maumivu jmn hyu mama
@mgayamgaya
@mgayamgaya 8 күн бұрын
Pole sana mama, tatizo ubabe mwingi Arumeru
@rosemaryKalega-c5s
@rosemaryKalega-c5s 7 күн бұрын
Uwiiiiiii moyo wangu umeuma sana sana ukatili gani huo binadam tunaogopana sasa pole mama wa kijana
@BahatiMlelwa
@BahatiMlelwa 4 күн бұрын
P
@conjestamashallo8458
@conjestamashallo8458 9 күн бұрын
Naomba hao watu wakamatwe wafanyiwe hivyo hivyo
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 7 күн бұрын
Eeee Mwenyezi Mungu wewe usiye lala. Eee Mungu wetu wewe. Allahu Akbaru. Pole Mama yangu viatu vyako havinitoshi. Malipo ni hapa duniani, walaaniwe hao waovu.
@roseafrael75
@roseafrael75 9 күн бұрын
Jamani classmate wangu uwiiiiiiii umekufa kifo cha maumivu makali sana,,, hao waliofanya hicho kitendo na wao wafanyiwe hivyohivyo 😢😢😢
@HappyPallangyo-vt7xx
@HappyPallangyo-vt7xx 7 күн бұрын
Mwaka gani jmn?
@HappyPallangyo-vt7xx
@HappyPallangyo-vt7xx 7 күн бұрын
Yaan mlimaliza shule mwaka gani
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 6 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢
@BeatriceLyatuu-w8j
@BeatriceLyatuu-w8j 6 күн бұрын
4rusha bang na Pombe zisizo a vipimo zimeharibu vijana wengi wameharibiwa mnooo.. Mungu turehemu Sawa Sawa na FADHILI ZAKO kiasi cha WINGI WA rehema zako
@norbertjosephat7831
@norbertjosephat7831 9 күн бұрын
Arusha ukatili dhidi ya binadamu umezidi sana
@mage5371
@mage5371 3 күн бұрын
Pole sana mama😢
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 9 күн бұрын
Utumiaji wa bangi ulevi na ukosefu wa nidhamu na kumkataa Mungu mioyoni mwa vijana wengi ndiyo chanzo cha mauaji na ukatili unaoendelea nchini.
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 9 күн бұрын
Ni kweli hii ni mbinu ya shetani kuangamiza roho za watu maana neno linasema kwa kua walikataa kua na MUNGU katika fahamu zao MUNGU nae aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa waangamie ...wazazi tujifunze kuwalea watoto wetu wamche MUNGU
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 8 күн бұрын
Hakika
@calvin6445
@calvin6445 6 күн бұрын
Ni kweli mtumishi wa Mungu Utumiaji wa vilewesho kunasababisha kufa kwa Imani (kiroho)kwa vijana wengi na hata wazee hayo ndiyo madhara ya uraibu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 5 күн бұрын
Pole sana mama M/MUNGU Ilaze roho ya marehem mahali pema peponi niunyama mkubwa sana aliyo fanyiwa aisee
@YunisJerald
@YunisJerald 8 күн бұрын
Jamani😢😢 hela hiyo ndogo
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 күн бұрын
Woga tu huu,angekwenda hosp mara moja angepata msaada.na wao wafungee na wauliwe
@estonhaule9253
@estonhaule9253 8 күн бұрын
I feel that pain oooh God im sorry for that
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 күн бұрын
WEEE WACHA MASWALI HAYOOO..MTU ANAUCHUNGU UNAONGEA BILA KUFIKIRI
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 6 күн бұрын
Mungu wa haki mrehemu huyo kijana msamehe pia makosa yake. Husika na kila aliefanya kitendo cha kinyama kwa kijana huyo. Wajaalie baadhi ya wameru nguvu ya roho mtakatifu wako ili wawe na hofu ya ki Mungu maishani mwao.ili Waweze kufikiri kwanza kabla ya kuamua kufanya jambo lolote.
@mage5371
@mage5371 3 күн бұрын
Ila Arusha jamn mbn vurugu za kikatili kila kuchapo? Ebu mgeukie Mungu atakase upya vizazi vyenu nakuvitakasa
@MedronundersonMkuyu
@MedronundersonMkuyu 5 күн бұрын
Nimeumia sana hawa wanyongwe
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 8 күн бұрын
Ila arusha nyie sio wa Tanzania mnaroho mbaya Mungu anawaona
@pendomariki
@pendomariki 5 күн бұрын
Jaman elfu15 tu imtoe mtu roho tuwe na ubinadam jaman uhai wa mtu haununuliwi
@MustafaMgeni-c9m
@MustafaMgeni-c9m 9 күн бұрын
Kesi kama hii kwangu mimi mahakama yangu ni panga nakula vichwa vyao hadharani,tutakutana mbinguni
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 9 күн бұрын
Saw panga,hadhara,c binadamu n iblis,
@lamecksayenda
@lamecksayenda 8 күн бұрын
Hcho ndo klchobak!
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 8 күн бұрын
Kabisaaaa
@breymbasa3451
@breymbasa3451 7 күн бұрын
niko na wewe mwanangu🙌🏾
@SalumMzee-cw8do
@SalumMzee-cw8do 9 күн бұрын
Daa Iman imetoweka duniani hii hatari kubwa sana mm nilipo naogopa hii Habar kusikiliza Jinsi inavyo Tisha
@HalfanHemedi-r8z
@HalfanHemedi-r8z 9 күн бұрын
Ni kweli iman
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb 8 күн бұрын
Jamani shangazi yangu pole sana Mungu akupe uvumilivu kumpoteza binamu yangu
@CatherineScott-d1t
@CatherineScott-d1t 3 күн бұрын
Poleni sana
@Justinaombay
@Justinaombay 6 күн бұрын
Ee mwenyezi Mungu tusaidie
@MunaShaibu
@MunaShaibu 22 сағат бұрын
Jmn
@NoelaJohn-p5d
@NoelaJohn-p5d Күн бұрын
Amna aja wapingw hivy hivy nao jaman iwe fundish daah
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 9 күн бұрын
Eeeeee Mungu weee upo wapi jamaniii, njoo Mungu wangu tupunguzie haya daaah 😭😭😭
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 6 күн бұрын
😭😭😭😭😭mama pole sanaaa
@neemareuben311
@neemareuben311 7 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢uwiiiiii nimeumiaaa aiseeee
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 3 күн бұрын
Maskiniii dah😭
@NoelaJohn-p5d
@NoelaJohn-p5d Күн бұрын
Arusha siy mkoa jaman nchi ya mauwaj mno
@ImmaBahati
@ImmaBahati 5 күн бұрын
😢asee ila wameruu siyo watu kabisa😢😢
@christermlewa8471
@christermlewa8471 7 күн бұрын
😭😭😭Mungu naomba ututetee hali imekuwa mbaya sana wanadamu tumekuwa wakatili sana
@jerome3143
@jerome3143 8 күн бұрын
poleni sana ndugu sasa walikuwa vijana wangapi
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 8 күн бұрын
Pole sana mama.
@w4058
@w4058 8 күн бұрын
Ndio maana kuna majanga na kupewa Viongozi waovu pia Subhanallah
@Mina.15
@Mina.15 2 күн бұрын
Daa rip makende
@ElinahStephano
@ElinahStephano 8 күн бұрын
Duh 😢😢 poleni Familia
@mwendemercy4488
@mwendemercy4488 8 күн бұрын
Jamani siata angeambia family hingelipa aki mbona mumezidi kuuwana hao walio muua nao wachukuliwe hatua jamani mungu tulindie watoto....aki sisi wamama tunapitia mengi.😭😭😭😭😭😭
@amidahaamida5892
@amidahaamida5892 5 күн бұрын
Duuuuh Hiii Arusha ni kuzimu
@romwaldoamsi2783
@romwaldoamsi2783 5 күн бұрын
😢
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 9 күн бұрын
Mungu husika
@AlexKinunda-j9l
@AlexKinunda-j9l 4 күн бұрын
Yaani matukio ya mkoa wa Arusha kwa kweli umevunja record kwa matukio ya ajabu sana .Yaani huwa nawafutilia sana matukio ya mkoani arusha.Yaani sh 15000 ndio zakutolea mtu uhai.?.Sheria ichukue mkonda wake.
@absm8084
@absm8084 7 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 hivi walofanya ni binadam kabisaaaah au mashetani😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@NoelaJohn-p5d
@NoelaJohn-p5d Күн бұрын
Kwan jaman hii nchi inamatesh sn daah
@SwahiliSister-o5v
@SwahiliSister-o5v 9 күн бұрын
Subhana llah yarabb atustiri 🤲
@hidayamarawi3764
@hidayamarawi3764 8 күн бұрын
😭😭😭pumzika kwa amani israa
@AngelJuma-q2n
@AngelJuma-q2n 7 күн бұрын
Apumzike kwa amaniii kaka angu tulikupenda sana iila pole mama a ng u😭😭😭😭😭😭😭😭
@bahatibushiri1610
@bahatibushiri1610 3 күн бұрын
Arusha nyie wakazi wa huko Mungu awasimamie
@ASALABOY
@ASALABOY 9 күн бұрын
GADI tv ukweli n uwakika
@breymbasa3451
@breymbasa3451 7 күн бұрын
marehem pia alikosea sana suara la kumficha mzazi wako wakati umeumizwa ninini sasa😢 Nini cha aibu unaficha kwanini asingeenda hospital dailyct Ni makosa sana R.I.P kijana na Hao walomponda mwenzao Tafuteni mabandit Wapite na vichwa vyao Tu over
@CashMoney-zf4qr
@CashMoney-zf4qr 9 күн бұрын
Kisa elfu 15 tu utafkiri Sheria hazipo aah hapa Dunia iko ukingoni Mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema sisi wanao na utusamee dhambi pale tulipokosea😢😢😢😢
@TullyMwakibete-xt5xm
@TullyMwakibete-xt5xm 8 күн бұрын
Dunia imeisha hii ,ee Mungu tuhurumie
@JennyPallangyo
@JennyPallangyo 8 күн бұрын
Daah jamani...siamini mungu asimame maana siyo akili za watu kbsa
@ShamilaZanz-g4k
@ShamilaZanz-g4k 6 күн бұрын
Mungu wangu jamaniiiiii 😢😢😢
@SilasJacob-z6v
@SilasJacob-z6v 8 күн бұрын
Daah hatariiiii watuhumiwa nao wafanyiwe ivohivo
@GoodnessTarimo
@GoodnessTarimo 8 күн бұрын
Dhaaaa??? Mungu ampe nguvuu mamaa
@LoshilaaMollel-qh5pb
@LoshilaaMollel-qh5pb 5 күн бұрын
Jamani hii ni nini eti binadamu kumfanyia mwingine hivyo
@EstherJerald-tc6ct
@EstherJerald-tc6ct 8 күн бұрын
Uwiiiiii Nimeumia kama na mwoona huyo kijana Poleni sana jamani rip kijana
@pungopungo411
@pungopungo411 Күн бұрын
Jamani hua mkipata matatizo yanayovuka vieango mbona mnajitahidi kuomba misaada ya pesa badala ya kusikitika? Mnapata ujasili gani kuomba pesa na kuanza kula zitwasaidia nini
@lidiamageta9958
@lidiamageta9958 8 күн бұрын
Najiuliza kwann Arusha imekua na visa vingi vya unyanyasi na mauaji kila kukicha! Mungu tusaidie waja wako
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 8 күн бұрын
Pole Sana mama. Kuna makabila mengine huwezi hata kuwapa nchi waiongoze watawaua wananchi kwa siku moja
@MrA24G
@MrA24G 5 күн бұрын
Kabisa Al hamra tena hawafai
@ZainaRashid-t3m
@ZainaRashid-t3m 9 күн бұрын
Poleni familia ila mungu anawaona waiuaji wote
@GraceLucas-t7l
@GraceLucas-t7l 8 күн бұрын
😢😢mmh! Jamani
@MunaShaibu
@MunaShaibu 22 сағат бұрын
Kwaiy uyo mbwa aliefanya ivo bado yupo jmn au
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 8 күн бұрын
😢😢😢 Aiiii mungu na hii inchi bado ina serikali kweli?
@SwahiliSister-o5v
@SwahiliSister-o5v 9 күн бұрын
Matatizo mengi sana mtihani huu yarabb 🤲🤲
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 8 күн бұрын
😭😭😭😭😭Jamani
@supermoodworld
@supermoodworld 8 күн бұрын
Mzazi pole san 😭😭😭
@LoveMwakihaba
@LoveMwakihaba 9 күн бұрын
Jamaniii mbona tunaumizana ivyo😭😭😭😭😭😭😭 uwiiii
@happinessmchome9101
@happinessmchome9101 5 күн бұрын
Jamani uchungu wa huyu mama hauelezeki.daaah
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi 8 күн бұрын
Watu wa arusha namoshi mnapenda pesa mno
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 8 күн бұрын
Ee mungu simamaa kwa hilii
@theopisterngimai3986
@theopisterngimai3986 9 күн бұрын
Duh Mungu wangu
@yohananyamaruri9105
@yohananyamaruri9105 8 күн бұрын
Dunia hii usiamini mtu kabisa kisa ni Rafiki yako😢😢😢😢😢
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 8 күн бұрын
Pore sana mama mm imeniuma sana binadam atuna uruma jamn
@monicachacha455
@monicachacha455 7 күн бұрын
arusha arusha jamani
@joshuanassary8774
@joshuanassary8774 7 күн бұрын
So sad
@reginaedward4883
@reginaedward4883 9 күн бұрын
Hii Arusha ni hawa wanyongwe iwe fundisho kwa wengine,
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 9 күн бұрын
Arusha kuna nini kila siku ni mauwaji
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 9 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 8 күн бұрын
Elf kum n tano kwel au wanavisa jaman mbon binadam kawa mnyama
@AliphonceMartina-q1u
@AliphonceMartina-q1u 5 күн бұрын
Hii yote ni sababu ya rais wetu kusema kwamba watu walikuwaga wanakufa toka zamani 😢😢😢😢
@PendoMatemba
@PendoMatemba 9 күн бұрын
Mama pole sana, Ila someni albadiri
@NoelaJohn-p5d
@NoelaJohn-p5d Күн бұрын
Sh 15000 unamuuw mtu jaman mbon binadam atun urum hay maumiv aliyopat bas iwafikiy na yey mliyomtendea kak wawatu 😢😢😢😢
@JOSEPHMwakibinga
@JOSEPHMwakibinga 8 күн бұрын
Kweli tuko pamwosho. Watu wanapotea wanasema ni kawaida
@HafsaShekigenda
@HafsaShekigenda 8 күн бұрын
Eee mungu tunusuru waja wako
@oliviahill7891
@oliviahill7891 8 күн бұрын
😢😢
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 8 күн бұрын
Wachaga wengi Bangi na Pombe ndio shida😊
@HawaJohn-h9g
@HawaJohn-h9g 8 күн бұрын
Mh jaman ni uchungu sana
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 332 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
Liam Payne, member of One Direction, dies at 31
6:02
NBC News
Рет қаралды 568 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН