DKT. GWAJIMA AGAWA DOZI NZITO KWA WATUMISHI WA AFYA kzbin.info/www/bejne/mF6wZmWDlpWojdU
@khalidkhalfan43494 жыл бұрын
Akisante brother gwajima
@juliussebastian57874 жыл бұрын
Hongera
@eunicemboje89314 жыл бұрын
Tena bora wazee wangepewa bima tu wanapata taabu mno wanafanyiwa vipimo wakifika kwenye dawa wanaambiwa dawa zimeisha
@marthaleonard24444 жыл бұрын
Uko vizuri Mhemishiwa !Hebu wafundishe kazi !Watu wengi hawataki ukweli.Wewe Mungu akulinde !!
@husseinhassain81884 жыл бұрын
Aisee huyu Mamaa nimempa %100 yuko vizuuri sanaa kwenye kazi hata hiii aliopewa sasa iko poa saaaaanaaa yaan anajua hii sekta vemaa sanaaa nimempenda bureee kikaz
@allymalabeja61324 жыл бұрын
Huyu waziri namkubali sana.tuu aendelee na huo mwendo hivohivo asilegeze ongera sana waziri wa afya kweli rais katuchagulia jembe liko sawa kikazi
@consolatablasi62124 жыл бұрын
Yaani alistahili mnooo
@rosetreffert67274 жыл бұрын
Mungu akutunze Mama katika Kazi zako 🙏❤️
@jamalahmed70574 жыл бұрын
Hongera mama hakika unaimani na ujuzi wa hali ya juu
@japhetdaud37815 жыл бұрын
Kazi yako inaonekana ,hapa kazi tuu Dor. Dorothy 🙏
@BMGOnlineTV4 жыл бұрын
Barikiwa kwa kutambua mchango wake
@ellancembilu38404 жыл бұрын
Huyu mama inaelekea anaelewa kazi yake vizuri. Aungwe mkono
@BMGOnlineTV4 жыл бұрын
Hakika
@edwardmsongelwa54554 жыл бұрын
Ni Kweli kabisa
@fulgensiakapama33144 жыл бұрын
Wafundishwe na asasi za kiraia ili naowashiriki katika udhibiti Mungu akuongoze chapa kazi uache alama mdogo wangu
@japhetdaudmaneno84404 жыл бұрын
Nyota iling'ara mapemaa,na uzuri kazi unaiweza, Mungu na akupiganie na uwafanyie kazi wananchi Wats🤔🙋💪
@georgegerald15894 жыл бұрын
Jmn Kuna viongozi wenye uxhungu na nchi yao Asante mama na waziri wetu mpendwa
@winfredbespoke84404 жыл бұрын
Aisee kumbe uko vzr hivi! Mungu akusaidie
@johnpesambili48064 жыл бұрын
Mama mungu akubariki unaitendea haki elimu yako na utaalamu wako, na mzalendo wa kweli.
@manasemwakilasa59314 жыл бұрын
Kaz kaz mama angu mungu akupe nguv
@mackymneney99354 жыл бұрын
Dr.Gwajima nakuweka mikononi me a Mwenyezi Mungu
@narmyheart20214 жыл бұрын
Shikamoo mama la mama!!!! Shikammoo Mh.Magufuri kazi iendelee.
@stevenmasato57874 жыл бұрын
Huyu mama ni hatari sana duh!!! asante sana dr Magufuli kwa kumteua huyu mama.kuwa Waziri wa Afya. wewe ni noma sana
@felixmagulu61424 жыл бұрын
Asante mama, Uko kikazi zaidi hakuna longolongo.
@linajames26534 жыл бұрын
Waambie
@somoeomari5624 жыл бұрын
Safi sana.mzee magufuli kapointi kwelikweli kwa waziri wa afya
@mjasiriamalishupavulailamu71634 жыл бұрын
Thank u for that mamaaa
@georgevalilanga74124 жыл бұрын
Mama umeniflaisha mungu akupe maisha malefu
@FarmingFocus4 жыл бұрын
Duh huyu mama ni noma
@jumarashid21374 жыл бұрын
Safi sana sasa hapa wizara imepata mtu anaeijua vzr safisana mungu amlinde huyu mama good
@jeshilamtu8634 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥⛔ Barabara ya uchochoroni Imefungwa⛔
@africanbeauty65564 жыл бұрын
Nimempenda sana Waziri wa Afya uwakomeshe walizoea kutunyanyasia wazazi wetu huko nyumbani namadawa unatuma pesa kila wiki kununua madawa ya wazazi mpaka najiuliza kuwa sawa Zina bei kubwa huvyo . Thanks my African queen with brain Dr Dorothy Gwajima
@djmeza411a584 жыл бұрын
Waliomzalau watakionna cha mtemakuni✋🤔🏃♂️🇹🇿❤❤🤩🥰
@kalumbugideon41594 жыл бұрын
Rais anajua nani asaidie Afya ya Watu wake.... Unafanya Kazi mama... Mungu akutunze Sana kwenye Uwaziri huu.....
@dr.erickjmazyala89054 жыл бұрын
hapa sasa ndio wanaposemaga "barabara chuma, taili chuma, na dereva chuma! Huyu maana kaniacha mdomo wazi! Hongera sana Mh. JPM kwa kumuibua mama huyu! Mungu azidi kumsimamia, kumlinda, kumuongoza na kumbariki maana ataokoa maisha ya wagonjwa wengi wanaokufa kwa uzembe na wizi wa wafanyakazi wasio na uadilifu! Mungu azidi kumbariki, kumuongoza, na kumlinda rais wetu mpendwa Mh. Dr. John JP Magufuli na serikali yetu yote! Mungu azidi ibariki Tanzania!
@khalidballeth59574 жыл бұрын
Rais wetu huwa habahatishi ktk teuzi zake.......BIG UP saaaana Mama Gwajima
@mathiaskasato52474 жыл бұрын
Moto umewakaaa
@jimmymberesero73504 жыл бұрын
Mi Nnaomba Wale Wanaojua Kuomba Wasikose Kumuombea Sababu Huyu Dr. Dorothy Aliwahi Tumiwa Kitu cha Kichawi Gari Yake Ikaungua Yenyewe tuu.. NB; Vzr Havidumu Bila Maombi.
@lesusi78724 жыл бұрын
Hapa hta ummi haoni ndani mama uko vzr tumbua tu
@yusuphmathias47294 жыл бұрын
kwer ummy haingii hata nusu kwa hiri jembe retu rakini tukumbuke kumuombea maana anatangaza vita ma wasiokuwa na uchungu wa nchi yao
@aminaomary55674 жыл бұрын
Ni kweli dr,wanachukua sana dawa na kuyauza madawa maduka ya hata vijijini kote katika vitu vya afya.
@ashamwandu65724 жыл бұрын
Wanawake oyeeeeeee,Safi Sana
@robertmolila75454 жыл бұрын
Mama nmekukubali🙏🙏🙏🙏
@winifrdaerias26934 жыл бұрын
Mama tunapenda sana ufanyaji kazi kwa sababu mheshimiwa rais alikuwa anaboresha afya na kuona yupo sahihi kumbe sisi wananchi tunajua kuwa hospital kuna utaratibu wa hovyo sana
@fredkyara32784 жыл бұрын
Mama hakika wewe ni mchpa kazi kama Rais wetu upo vizuri twskuombes maisha marefu. Nipe bac hata binti yako nimwoe uwe mamamkwe wangu,
@ayoayoo12224 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa hawa madaktari wanamiliki maduka ya dawa na hospital banafsi
@jafariathumani24514 жыл бұрын
Duh kila LA kheli mama we nimchapa Kaz wame zoea Sana ukifika Wana kuandikia na kukuelewesha uka nunue wapi dawa wakat dawa zipo Wana tumiza Sana Hao mungu akulinde kwa kila baya mama
@himlayzer35434 жыл бұрын
Mama hongera sana enderea ivoivo nenda na Tabora hospitor ya mkoa kitete kuna shida izo za wizi wa dawa
@saidmogelela38384 жыл бұрын
Ahsante waziri
@geofreyngaga53304 жыл бұрын
Namuombea mema tupu ktk kuboresha sekta ya afya yupo vzr.
@samuelhenry91944 жыл бұрын
Mh Gwajima Chapa kazi mama Ikiwezekana kabisa wape darasa hata wakaguzi wa ndani maana inawezekana hawajui namna ya kujua mifumo ya dawa.
@nebartmuyagala95454 жыл бұрын
Yn ccta nimekukubali sana
@alphoncewilliam68644 жыл бұрын
Yuko vizuri
@alisele52994 жыл бұрын
Nilijua kampendelea magufuli,kumbe duu: hapa kazi tu
@francavantini90984 жыл бұрын
Jpm apedelei
@temuemanuel46714 жыл бұрын
Kweli Mh Mgufuli anajua kuchagua. Huyu mama sikujua ni mfuatiliaji hivi. Atainyoosha wizara ya afya maana dawa zimekuwa zikitokomea kusikojulikana
@titusrobert58904 жыл бұрын
Imekaa sawa
@rajaburajabu39634 жыл бұрын
The best one
@botlomeoevodi96384 жыл бұрын
Mama hongera
@rahabnkya82764 жыл бұрын
Kwelikweli mama yetu. Majembe yapo, hayajaibuliwa tu. Mungu tupe macho ya rohoni, wasomi wetu wafa Nye yale waliyosomea kwa ubunifu zaidi bila upendeleo. Haki itendeke , sifa ba utukufu ni kwa serikali ya wazawa.
@ludanaftal20184 жыл бұрын
Uko vizur mama
@edwardmsongelwa54554 жыл бұрын
Kama MNA kumbuka nilisema huyu mama atatusaidia sana si mnaona hata JPM AMEMUONA HONGERA SANA
@temkezatv43814 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@alexanderngasa57864 жыл бұрын
Mama dr doroth gwajima we ndo sample za magufuri kama mungu ananisikia naomba baada ya magufuri uje uwe rais wa nchi mambo yatakuwa mazuri na tutafika mbali zaidi
@linajames26534 жыл бұрын
Harika
@mayanimorice76454 жыл бұрын
Vzr Sana mama
@missangatv13684 жыл бұрын
Good!
@nemecymsanya31914 жыл бұрын
Hii safi safi safi sana jamani yaani hapa mzee makufili kapatia Ila namuona mkuu wa mkoa wa iringa yupo powa Sana mh happi
@jumamayele81304 жыл бұрын
Msamehee tuu
@rehemandam23664 жыл бұрын
Dkt Gwajima mama huyu yupo vizuri yupo makini na anainekana hana makuu
@jumarashid21374 жыл бұрын
Yani kwakweli tumeibiwa dawa sana hapa sasa tutawezana mama wanyooshe kumbe hii kazi unaijua vzr yan mpaka raha
@mgallason...56864 жыл бұрын
Viva Magufuli. Huyu atakufaa Mzee.
@victorcampbell26594 жыл бұрын
Asante Mama.
@samsonisaack51454 жыл бұрын
Mama shikamoo
@mathewungani97244 жыл бұрын
Mama Kiboko...
@hawaabdallah47824 жыл бұрын
Madokta kazi mnayo
@sudymgeni7014 жыл бұрын
Duhh wiki tu watu wako hoi mama wapeleke wanauza dawa kwa maduka yao mama mkwe.
@mawazodaniel91644 жыл бұрын
Duu huyu mama inaonyesha nihatari saana.
@kimsamespa84904 жыл бұрын
Waizi wamepatikana wasamehe mama wajirekebishe
@djmeza411a584 жыл бұрын
Akuna kucheka mama unauchingu
@dominickndomba44744 жыл бұрын
Magufuli hujakosea kumchagua huyu mama tunaomba waziri wa kilimo nae awe amepitia madhila ya kilimo mashambani nawakulia tutafurahi
@simonpure1094 жыл бұрын
Aisee ghafla eti nimekuelewa ktk muda mfupi,huwa natatizo la kuwaelewa watu!!! Leo eti nimeweza kumuelewa huyu mama!!! Sitosahau hii siku mweeh!!!
@bishopephraimmwansasu60944 жыл бұрын
MUNGU akutendee Mema waziri wa afya. MUNGU akulinde ili maadui washindwe kukuvuruga kwenye kazi yako.
@wendecharles73264 жыл бұрын
Pastor upo jmn,kitambo sana tamani nione kazi zako tena
@titojeremia83654 жыл бұрын
Upele umempata mkunaji
@namsamson34434 жыл бұрын
Tanzania mpyaaaa tinaiona kwenye kitengo cha afya
@Mboro74 жыл бұрын
Kumbe tokea kitambo mtata 2021
@BMGOnlineTV4 жыл бұрын
Hahahaaa mfuatiliaji tangu kitambo
@athonyjohn35214 жыл бұрын
Alipe
@geraldkyoma43324 жыл бұрын
Wakimbizeeeee wananchi wanashida mnooo
@rhodachangala66704 жыл бұрын
Mama yupo kikazi zaidi
@isihaqgpsum4 жыл бұрын
Piga kazi mom
@temuemanuel46714 жыл бұрын
Waimarishe bima ya afya ili kila mtu atakayenunua dawa data zake zisajiliwe kwa njia ya dijitali
@lukasmathias45374 жыл бұрын
Waziri wa afya chapakazi halinitete mahospitalini
@habarikazanzibar36674 жыл бұрын
Huyu Mama angekuepo kipindi cha Korona tungeskia mengine kabisa
@errydeo88654 жыл бұрын
Ummy kafanya vizuri sana pia,badika bandua za JPM
@jumasaad55204 жыл бұрын
Alikuepo mbona..au haujui kua yye ndio alikua katibu mkuu....
@jonathanjj.pachajjpacha91274 жыл бұрын
Kwer mama
@naturelle10974 жыл бұрын
Waondolewe wote wanao iba iba ...no compromise. Hapo ni kwenye dawa tu ..hujazunguka kuona huduma zingine ...ni aibu kuona watu wazima na akili zao timamu wana chezea kazi kiasi hicho. It's a shame! Mtu anakiri uzembe bado kasimama hapo..alitakiwa kujikuta nje ya hio kazi siku mingi sana!!
@renatusrweyemamu66114 жыл бұрын
Rais hapa kapatia kabisa
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
Kweli Rais Magufuri hakukosea kabisa kukuteua kuwa mbunge na kuwa Waziri wa afya hakika kazi yako nimeiona unafaa kabisa...
@abelmwakipesile45034 жыл бұрын
Mama nenda na kitete hospital tabora
@sondanzingulasondasam40294 жыл бұрын
Sie wabongo sijui tumelogwa na nani wafanyakazi hovyo kila sehemu
@mgallason...56864 жыл бұрын
Tatizo tunapenda sana shirt-cut, na kuendekeza Uvivu.
@nenolako85224 жыл бұрын
WATU KAMA HAWA KUPEWA UONGOZI HAPO NDO UNAIONA NIA YA JPM KUTAKA KUINUSURU NCHI HII.
@leonardmrope95284 жыл бұрын
Uyu alifaa KBS kua wazili,,,sasa amekua Wazili sasa mtakoma
@abelianraphili51504 жыл бұрын
Hahahhaha mama... Ni msukuma full
@madirishasimon96924 жыл бұрын
Anajitahidi na kazi yake
@elizabethmassi73274 жыл бұрын
Sio msukuma huyu ni mnyiramba ila kaolewa na msukuma
@hanifatanzania72584 жыл бұрын
Waache. Na nambaza Sim wanapewa dawa wasije kudanga Ya kumbe wanawPa familiayao
@prospermushi61684 жыл бұрын
huyu mheshimiwa ji mfano mzuri wa viongozi ambao wamesoma na kufanya kazi kuanzia ngazi za chini kwenda juu. hawakuvusha darasa wa mitihani. wamepata promotion kupitia ktk fani zao na kwa bidii zao kazini. hivyo wanapofika juu wanafahamu kwa undani kinachoendelea ktk ngazi za chini. wanafanyakazi kwa ufahamu, siyo kwa kuambiwa wala kubahatisha. muhimu zaidi mama ni mzalendo na anakata kuleta mabadiliko ya kweli. tunahitaji wengi kama huyu mama. mungu bariki sana wewe. hapa kazi tu!!! wazembe watazimika tu. maadili ya kazi yatarudi tu muda si mrefu.
@BMGOnlineTV4 жыл бұрын
Kabisa
@meryjohn71204 жыл бұрын
Nguvu yasoda utapoa tu
@matingo-bk12484 жыл бұрын
Kama huelewi usicomment ujinga angalia hiyo video ya lini kwanza. Hapo kipindi akiwa naibu katibu mkuu tamisemi sio kipindi hiki
@gasparyeugene48554 жыл бұрын
Mwiz wa dawa wewe inaonesha😀
@aurelialyimo86504 жыл бұрын
Chapa kazi dada
@estherkayaya8004 жыл бұрын
Hakika upele umepata mkunaji nimekupenda buleee piga kazi mdada
@restitutamassawe58284 жыл бұрын
Gwajima baba uko wapi??? Mbezi kawe hatukusikiii
@aurelialyimo86504 жыл бұрын
@@restitutamassawe5828 huyu ni dada sio baba
@aurelialyimo86504 жыл бұрын
Huyu waziri wa afya😎
@restitutamassawe58284 жыл бұрын
@@aurelialyimo8650 nimesema mbunge wa kawe yeye ni baba mchangaji
@djmeza411a584 жыл бұрын
Siwalikuzalau sasa waojeshe
@daslamonline46654 жыл бұрын
Wapigaji hao wamekutana na moto
@robertombewa31404 жыл бұрын
Tungekuwa na waziri kama hawa nchi itanyoka
@mamahustru4 жыл бұрын
Hii klipu huyu mama alikuwa ni naibu katibu mkuu. Inasemekana alikuwa moto, wakubwa wake wote walikuwa wanamchukia na kumzibia, na kumpiga majungu. Akitoa maagizo kama hapo, wao wanatengua. Magu anajua yanayoendelea huko mawizarani. Alafu watu wanafikiri ni msukuma sababu ya jina, lakini ni Mnyaturu wa Singida huko.