No video

Asha-Tabora Jazz band

  Рет қаралды 287,550

Asma T

Asma T

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@silverodwar2740
@silverodwar2740 11 жыл бұрын
This was Africa. This was the Tanzania we all know! Truly Tanzania, truly Africa.
@denyutalimgaya4236
@denyutalimgaya4236 10 жыл бұрын
Enzi zile muziki ulikuwa kweli ni fani na watu walitoa vitu nyimbo kitaaluma. Leo mtu anaimba wimbo baada ya siku mbili hakuna anayependa kuusiliza. Hii ilikuwa ni Tanzania ya watendi kwa pande zote. Siasa, elimu na utundu mbalimbli! Namshukuru Mungu nilibahatika kuwa enzi zile. Si laani ya leo ila hayanisisimui maana baada ya kulamba asali, ulanzi si mtamu tena!
@khaleedomaralislamgidua2726
@khaleedomaralislamgidua2726 5 жыл бұрын
Nilizaliwa kama miaka saba hivi baada ya wimbo huu kutoka lakini solo la shem Karenga daaaaaah zamani kulikuwa na wanamuziki wa ukweli.
@grantler1726
@grantler1726 5 жыл бұрын
In Memory of my dear friend" HARRY NGALLA MWAVUO" who passed a couple of days ago!!!! WE used to listen to this Music at Bamburi happy bar/ Corner in the early 70s!!!!!! RIP .RIP. RIP- bro.
@mayokazemuba3216
@mayokazemuba3216 12 жыл бұрын
Asha, the beauty of Tanzania, was a Hit those days.
@manxx25
@manxx25 14 жыл бұрын
I am grateful. I love the raw sound. It seems honest somehow.
@wellingtonbarasa1236
@wellingtonbarasa1236 2 жыл бұрын
Asha is a music that sounds new every day and it's really nice and african
@73muTA
@73muTA 11 жыл бұрын
Very very soothing; Memory is made of this. Remind me when I was young and back then we only had VOK!! But Christ! I wish I could go back and revisits those old good days!!! Thanks to whoever uploaded this golden song.
@alisheemaka1884
@alisheemaka1884 9 ай бұрын
Nakumbuka kwetu Muheza mkoa wa Tanga miaka ya 70.Sasa naishi Mombasa na bado nafurahia huu mziki.
@abdulsalamidirisu4008
@abdulsalamidirisu4008 7 жыл бұрын
MY FAVOURITE MUSIC SINCE EARLY 1970's.
@TheBigyosef
@TheBigyosef 12 жыл бұрын
This song it was a big hit in congo at that time even maestro franco he was asking is this a congolies band when they told this band was from tabora he could not believe soukous stars played this song again in 1990s and it was a hit again
@alfredbukuru7121
@alfredbukuru7121 Жыл бұрын
during my school days at kigoma secondary 1974 this music being played by then Zaire radios was very entertaining
@oulatraore1051
@oulatraore1051 6 жыл бұрын
This killer tanzanian song of Tabora Jazz Band hit west afrca french speaking countries in the year 1974-1975. I wa a student and loved it. It reminds me of my girlfriend.
@johnmundo816
@johnmundo816 11 жыл бұрын
Jamani hizo enzi usanii ulikuwa wa hali juu sana.Hasa ukijua kwamba kila ala ina mtu mkononi na wala sio tarakilishi ilivyo sasa.Tafadhali dondosha Helena namba 1 na namba 2 ya vijana hawa katika mtindo wao wa segere matata.Shukran kwa uhondo huu.
@simonswalehe6810
@simonswalehe6810 3 жыл бұрын
C'était la chanson PRÉFÉRÉE de mon Papa , Mwalimu Swalehe Alphonse.
@bahn9yazi
@bahn9yazi 14 жыл бұрын
Thank you so much for posting this song. You have revived great East African memories for many of us. I think I first heard that song on Radio Uganda in 1972, but it stil sounds as great as it did then. Thank you once again!
@ronniemusoke1706
@ronniemusoke1706 3 ай бұрын
Really,me too.
@terguesh
@terguesh 10 жыл бұрын
très belle chanson,les souvenirs de ma jeunesse,merci,Asma
@kuschprince3216
@kuschprince3216 3 жыл бұрын
"Even the "spirits of our forefathers" at Mt. Kilimanjaro could dance to this music despite the freezing temperature, today its burning, jameni tulikosea wapi?? Rip giant kilimanjaro na tunakuomba msamaha!
@Africanmusic100
@Africanmusic100 13 жыл бұрын
Yes. Great music & great sound
@moseslwamba-iu9mv
@moseslwamba-iu9mv Жыл бұрын
Classic
@mwisheheselemani3339
@mwisheheselemani3339 2 жыл бұрын
Zamani kulikuwa na nyimbo nzuri sana,
@sumerassumera9737
@sumerassumera9737 5 жыл бұрын
Zilipendwa nyimbo zenye mafundisho hadi leo
@zkapfupi
@zkapfupi 6 жыл бұрын
Will always love this song
@habasifisi1140
@habasifisi1140 7 жыл бұрын
"Asifiwe Bahati , song is hot,romantic and one of my favourite during my School days. Ist called dirishani and was sung by "Patrick Balsidia of Afro 70. Glory, Glory 70s......!!
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 10 жыл бұрын
Asha akumbuki fadhila hata kidogo imetulia na bado mziki mzuri, jamani hii ni solo ya Hashim kalenga sio
@mohamedomar4037
@mohamedomar4037 11 жыл бұрын
Hii ndio ilikua mziki yetu enzi hizo nilikua na miaka 21 sijui katika kundi hili wamebaki wangapi.
@kaundimemwinyi6644
@kaundimemwinyi6644 9 жыл бұрын
SI MWINGINE NI SHEM KALENGA R.I.P BABA KUBWA LAO M.MUNGU AIWEKE ROHO YAKO PANAPOSTAHILI
@amranikibola9726
@amranikibola9726 3 жыл бұрын
Asha she was beautiful like you.where you are kaundime?
@shangaashangaa
@shangaashangaa 14 жыл бұрын
Hizi ndizo zilizopendwa kweli.
@mulkseif5497
@mulkseif5497 Жыл бұрын
Old is gold
@omaryramadhani9406
@omaryramadhani9406 6 ай бұрын
🤩😍🥰
@kaundimemwinyi6644
@kaundimemwinyi6644 9 жыл бұрын
JAMANI TUNASIKITIKA ALIYEPIGA GITA SAFI AMETUTOKA JANA MAJIRA YA ASUBUHI WANAZIKA LEO 16/12/2014 KISUTU POLENI WADAU WOOOOTE HASA MDAU WETU RAFIKI YAKE ALIYEPIGA NAYE PALE GOGO HOTELI ZAMANI NDUKA MASINGU AU MAARUFU KAMA MALIKI STAR ALIYEKUWA MSHIKAJI WAKE KINDAKI NDAKI POLENI SANA
@cosmasmusyoka5120
@cosmasmusyoka5120 9 жыл бұрын
Sisemi kitu....... Wa - Tanzania Walituburundisha Kweli.
@josephgomalo41
@josephgomalo41 8 жыл бұрын
Asma you are beautiful.. and thanks for the lovely music..!
@johngabrielokello
@johngabrielokello 10 жыл бұрын
Then we had Radio Uganda broadcasting for its regions on different stations. Am from Eastern Uganda and ours was Butebo channel. Radio sets were few and government had provided radios at community centres for people to listen to development programmes. Asha was a hit, ati "okitaka ndege nitanunuwa!" was he serious or that was a mere puff?
@robbymuzhama90
@robbymuzhama90 3 жыл бұрын
Very nice song, but I don't understand what it means. It has been on my me since 1975. Am Zambian
@bigirimanasaidi1432
@bigirimanasaidi1432 6 жыл бұрын
old is gold napenda saana mziki zamani
@idieddie1336
@idieddie1336 10 жыл бұрын
Harusi ya Mwanza-Dr.Remmy Ongala
@eastafrican11
@eastafrican11 13 жыл бұрын
reminds me my school days
@mohammedalnamani3375
@mohammedalnamani3375 10 жыл бұрын
We congratulate all our old musician it was gold years we still remember them. Is any of the old singer still alive? I would admire to get intouch with atleast one of them......mohammed al naamani.
@mazavaloha828
@mazavaloha828 7 жыл бұрын
Mohammed Al Namani
@babawetu4343
@babawetu4343 11 жыл бұрын
Asha ukaae na bwana waako. Bwana an kupenda saana.
@abdullahnassiralharthi2981
@abdullahnassiralharthi2981 8 жыл бұрын
Wema Abdallah na Shem Kalenga hamto sahaulika kwa mitindo yenu ya Tetema Segere na Segere Matata, Segua segua. Mungu awalaze pema peponi.
@TheGriffithmachine
@TheGriffithmachine 12 жыл бұрын
very Nostalgic too.
@molaaable
@molaaable 7 жыл бұрын
Lake Victoria Hotel Gulu - Uganda, my own pappa`s Place during Amin`s brutal days, Soldeirs would come and order drinks or food, after they are done then they just leave without payment, no noe dare to ask them, bad memmos of those days in my childhood.Dad has already escaped to TZ, but soldiers would still come and ask for him day in and day out, the reasons they keep on asking for him i guest you all can figure it out. so i have both good and bad memmos when i listen to this music.
@watitwamasieyi7043
@watitwamasieyi7043 7 жыл бұрын
The soldiers were misused. I believe those alive today, though old regret their actions.
@martinmutenyi215
@martinmutenyi215 6 жыл бұрын
You are right molaa. I was in Gulu High school and saw what happened. I am a Mugisu but I felt sad for my classmates who were Acholi and Langi.At the beginning of every term they would come to school and tell us how their fathers, brothers had been taken by Amin's State Research killers.Hope your dad returned alive in 1979.
@flowila82
@flowila82 9 жыл бұрын
pumzika kwa amani kalenga
@jeanbaptistentonga4996
@jeanbaptistentonga4996 8 жыл бұрын
sawa kabisa
@mudymnandi3050
@mudymnandi3050 6 жыл бұрын
Nyimbo zilikuwa nzr sana ila studio kulikuwa hamna
@ihanomadili
@ihanomadili 6 жыл бұрын
Solo ya Baba lao hiyo.
@TheGriffithmachine
@TheGriffithmachine 13 жыл бұрын
Ngoma KIBAO SANA! Thanks man!!
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Hahahaa hata bibi alikuwa bint nae
@genda68
@genda68 11 жыл бұрын
Eastafricantube as well someone has uploaded there
@izidorbimana5485
@izidorbimana5485 5 жыл бұрын
Safi sana
@royman828
@royman828 12 жыл бұрын
NASHUKURU KWA NAFASI HII KUSIKELIZA MUSIC HII. WAKATI ULE NILIKUWA ZIWA NYASA Y SONGEA NDUGU ROY
@Bellingham0035
@Bellingham0035 12 жыл бұрын
Ahero at Ceres Invite 1974
@kaundimemwinyi6644
@kaundimemwinyi6644 9 жыл бұрын
GITA LINAKUMBUSHANA MBALI SANA
@charlssekidear1952
@charlssekidear1952 6 жыл бұрын
Linanikumbusha East Africa Safari 1973 tulikaa pale Korogwe wakati huo wimbo ni mpya basis ukapigwa. Eeh bwana.
@mayokazemuba3216
@mayokazemuba3216 12 жыл бұрын
Where is I will buy you, kitenge chasiku ku, Expo 70 safari ya Japan to lifanyikia,,,
@kazungukithi5381
@kazungukithi5381 4 жыл бұрын
Tunaweza pata video ya bendi hii ya tabora Jazz?
@koffitabalebigaza9904
@koffitabalebigaza9904 Жыл бұрын
Meaning.....?❤
@Africanmusic100
@Africanmusic100 13 жыл бұрын
Thanks
@nasoroswedi4426
@nasoroswedi4426 4 жыл бұрын
Asha
@Africanmusic100
@Africanmusic100 10 жыл бұрын
Okay
@jesusismygod9751
@jesusismygod9751 7 жыл бұрын
Asma T Me de yu I like
@abdul-rahmantwaha4526
@abdul-rahmantwaha4526 5 жыл бұрын
Asha ndani ya community center tabora
@genda68
@genda68 11 жыл бұрын
browse my space you will get the song
@africolombia
@africolombia 8 жыл бұрын
Mimi ni nia ya hii bands vinyls, lon plays, singles mtu anaweza kunisaidia tafadhali my email fabianaltahona@hotmail.com tafadhali kama unajua mtu ambaye ana LPS / Vinyls, ya bendi hizi una inapatikana kwa ajili ya kuuza. napenda kujua
@genda68
@genda68 11 жыл бұрын
inbox me you e -mail i will sent you the song
Dada Asha - SABA SABA
10:11
SSmamry
Рет қаралды 10 М.
Asha No 1 Tabora Jazz Band
5:36
Asma T
Рет қаралды 92 М.
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 37 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 63 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 40 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 25 МЛН
DDC Mlimani Park Orchestra ~ Majirani Huzima Radio
7:08
groovemonzter
Рет қаралды 588 М.
Les Wanyika : Sina Makosa
8:11
bartjelsma
Рет қаралды 14 МЛН
Mwanameka..... Masaibu ya Musa....
4:38
White Webuye
Рет қаралды 28 М.
Mbaraka Mwinshehe - Pesa No 1
38:09
Africha Entertainment
Рет қаралды 66 М.
Rosa
5:20
Western Jazz Band - Topic
Рет қаралды 38 М.
DDC Mlimani Park - Barua Toka Kwa Mama
7:49
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 903 М.
Karubandika
6:37
Asma T
Рет қаралды 852 М.
MBARAKA MSHEE-moro jazz
5:02
MAKINYA TV
Рет қаралды 49 М.
Lukani - Veve
9:23
Fred Odawo
Рет қаралды 127 М.
Msondo Ngoma Band Tuma Official Video
10:57
Africha Entertainment
Рет қаралды 367 М.
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 37 МЛН