Bado Niko hpa siwezi kamwe kisahau nyimbo zenye ushawishi mkubwa🎉🎉
@mariammasima54558 ай бұрын
2024 anyone?
@djmooger_ace8 ай бұрын
Am here.... reminiscing old time
@neemabertha3118 ай бұрын
Here
@mbaihaule78857 ай бұрын
Tupo hapa
@HannaMwangi-bh7oi7 ай бұрын
Am here enjoying the goodness of GOD🙏
@dbrothers45516 ай бұрын
Am here
@SimonMwapinga5 ай бұрын
2024 steel nasikiliza akikosa msamehee
@ValentinaTungaraza-bb5qj9 ай бұрын
Mlikuwa mkiniletea kanda pale Mang, ula miaka ya 1990 NBc Bank zilipelekea nimujue Kristo na kuokolewa 1996
@patrickogoti863611 ай бұрын
Blessings blessings amen. ata mavaazi ni kimungu ,simple and clear Barikiwa sana wapendwa.
@cholachikwekwe8976Ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana, still watching in 2024 ❤
@olipamkuyu51492 ай бұрын
Munaubariki sana moyo wangu ,hizo ndiyo nyimbo si sasà tunaimba bongofleva kanisani Mungu atuhurumie sana.
@elifazmpozayo29303 жыл бұрын
2021 bado naskiliza na kutazama nyimbo nzuri zenye ujumbe, gonga like twende sawa
@nkunzicelestin45216 жыл бұрын
Tafadhali mtupe nyimbo zenu kwa uwingi hata zile za siku hizi. Ndugu Ephaz ubarikiwe sana Pauliana Mungu azidi kuwapa baraka siku hadi kwa siku.
@Mombasa-gz7rdАй бұрын
Haki kabisa Nyinyi ni waimbaji kwa kipawa na neema ya mungu
@georgenorl-572013 күн бұрын
Wenye moyo safi watamwona Mungu wetu.
@JavanBikorimana-x5e11 ай бұрын
Even 2024 I'm still blessed with this song
@mbokansamuli12882 ай бұрын
Nyimbo za kutumkuza na kulisifu jina mungu anaeish na kutawala hazitochuja daima
@anevelymkambi5389Күн бұрын
Hizi ndo nyimbo zilikua zinatufundisha, sio za sasa
@yulithahezron19087 жыл бұрын
Da nyimbo zinanikumbusha nikiwa la pili mwaka 1996 nafungua cassette mpaka mwisho nasikiliza ujumbe wa hawa watu for sure walikuwa wanakonga sana hadi leo nawapenda sana
@gilbertkalanda93542 жыл бұрын
Daah hakika
@rubniyi35517 ай бұрын
Mama angu bado alikua binti 😂😂
@floralungu25948 жыл бұрын
Old is Gold. Hakika hawa ndugu zetu walikiwa wanamuimbia Mungu kwa hisia sana na nyimbo zao hazijachuja kamwe
@kabasofranklinofficial68552 жыл бұрын
never forgotten, this choir is a blessing in my country Congo DRC 🇨🇩! Mungu awatumie na awabariki pia❤️
@kipronoevans39012 жыл бұрын
God peace to you brothers and sisters in DRC
@delmondkyanzayungu9826 Жыл бұрын
Unforgottable! Izo nyimbo zinaendelea kutubariki.
@Hope-ok9dy2 ай бұрын
Kama mpo hai mungu awatunze🙏🙏🙏
@raymondbahati7626Ай бұрын
Kama ndungu yako Akikosa muonye Akitubu musamehe Nakama akikosa ma 7kwa siku moja Na arudi mara 7,akisema nimetubu; Umusamehe 🎉
@deboramnkeni-kd9yw Жыл бұрын
MUNGU awabariki wote mliocomment, mnaosikiliza pamoja na waimbaji
@gracemonyoncho176 Жыл бұрын
A blessed choir presenting a teaching song. Praise the Lord
@elishamwando14922 жыл бұрын
May God Bless.Hizo ndo nyimbo tamu!!!!!!
@ChazsMassaweАй бұрын
Bwana awabiriki sana waimbaji
@FanuelGabriel-l1p3 күн бұрын
Mzidi kubarikiwa
@dorismushi532Ай бұрын
I'm still here ....the voice 👌
@mcpetitkisinini6814 жыл бұрын
wa kwanza kutazama 2020 tukabarikwe sote tutaotazama kwa mwaka huu
@esaierwumbuguza49462 жыл бұрын
Tafadhali kwaya Mapigano mtupenyimbozenu Jameni nyimbozenu Zimevuviwa namungu naomba kwa unyenyekevu Asantesana Mungu Awabariki
@kibonge424 Жыл бұрын
Mapigano kwaya mumenibariki sana tangu utoto wangu nimejifunza lugha ya kiswahili kupitia ninyi hata kuimba mbarikiwe sana
@juniveraisaya16245 жыл бұрын
Yaan nyimbo hizi hazichuji jaman kila cku mpya duuu
@eliamanikileo77286 жыл бұрын
Huu ndio uimbaji unaomgusa Nungu wetu.
@kuduishekisowile46768 жыл бұрын
nyimbo zenye ujumbe straight from the bible,sijui nani anayeweza kuisikiliza bila kuguswa na ujumbe...Mungu awabariki watumishi hawa popote pale walipo...i love them..
@gradientlife7 жыл бұрын
Kuduishe Kisowile nyimbo zinanigusa sana, pia zinanikumbusha nilipokua mdogo hizi nyimbo
@lucyjohn79045 жыл бұрын
Hakuna kabsa Mi naguswa Hadi nahis kuzimia
@princes6045 Жыл бұрын
Nice message perfect dressed glory to our Almighty God.
@julianamhenga17122 ай бұрын
Natamani hata kwaya zetu za utandawazi wangekuwa wanaimba na kucheza kwa adabu namna hii, maana Kizazi hiki mavazi tuu kwaya zinavaa hazitutofautishi na wana wa giza. Wakati zamani ilikuwa ukimuona aliyeokoka na mpagani unawatofautisha, sahizi tunajikuta hatutaki wanawagiza watupite kama wote tunaenda safari moja.
@gracemonyoncho1767 ай бұрын
May God bless this wonderful choir . I wish to hear more of your latest songs
@amanam27356 жыл бұрын
Ukiimba toka moyoni huwezi chuja. Siku hizi tunaimba tuuze.
@annewanjiru8186 ай бұрын
Powerful words of wisdom. I'm extremely blessed
@mosesngendero6378 Жыл бұрын
Nyimbo hizi zinagusa na zinanikumbusha mbali sana ni kama jana tu, Mungu awabariki wote
@mbokachawe96577 ай бұрын
Nyimbo za zamani zilijua kuwa na mafunzo sana
@lalashowimunisi35666 жыл бұрын
Hizi nyimbo zinanikumbusha nikiwa mdogo. ni nyimbo zenye ujumbe mzito sana.
@johnmathias96566 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana Watumishiii
@desmasokoth5622 жыл бұрын
Tz mungu mwenye uwezo aliwabariki na talanta ya wimbaji lakini mwenye alileta freemason huko alituua kiroho sasa hatuna waimbaji wenye upako kama zamani
@eliudkitulu57133 жыл бұрын
Nyimbo tam sana huchoki kusikiliza, kwa mara ya kwanza kusikiliza hizi nyimbo 1995 kijijini kwetu singida. Nakumbuka huo mwaka alkuja kaka angu katoka dar na kaseti yake kaiunganisha kwenye mtungi weeeee acha kabisa huo mmbes wa sabufa letu hahahahaaaaa..
@georginamsenga66939 ай бұрын
Amen Amen Mungu Awabariki sana
@ibrahimakadima46002 жыл бұрын
Napendezwa na utunzi mfumo wa uimbaji huu
@phanuelnkeshi41972 жыл бұрын
Napendanyimbohiizi kibindihiki nilikuwa namiaka kumi
@peterndowa96349 жыл бұрын
Hawa jamaa nawakubari sana hivi wapo
@juliusmoshi31724 жыл бұрын
kama ni ndugu yako akikosa msamehee. 2020 Mungu Asante kwa Upendo wako Maana Si Mimi nimetaka Kuishi Bali ni Wewe , ukanichagua na kuishi hata leo. Ni miaka takribani 20 tangu niijue hii nyimbo
@madori206 ай бұрын
2024 here we are
@annemoureen6676 Жыл бұрын
2023 nasikilza bado🔥🔥
@emmanueltadayo26493 жыл бұрын
jmn nilikuwa wapi siku zote hizi, hii choir nilikuwa naitafuta for years. Ubarikiwe mtumishi🙏🏾
@rosamuhimpundo4516 Жыл бұрын
Amen Saito zuritu
@African5112 жыл бұрын
Bado tunasikiliza ujumbe mzuri mpaka sasa 2022
@davidimmael13003 жыл бұрын
Kumbe walikuwaga watunga kwa kunukuuu biblia daaaa nilipokuwa mtoto sikujua ila nilipoanza kujifunza maandiko Imani yangu ikaimarika zaidi
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Eeeee,yani walikuwa hawatoi popote tu ilimradi,yani wimbo wote umejaa maandiko.sasa waimbaji wa siku hizi mmmm😢😢😢
@ombenisebastian57227 жыл бұрын
Ee mungu utupe nguvu ya kupambana na majaribu
@rw161musamvu57 ай бұрын
My favorite forever choir
@gindulugendenga75006 жыл бұрын
Mungu awabarik saan
@babekalomokecharles12806 жыл бұрын
Izi nyimbo zilikuwa ni injili tosha so za siku hizi wanalenga pesa
@VeronicaMussa-lu1yw7 ай бұрын
Hizi ndo nyimbo sasa
@BasimikaAugustinLukausha10 ай бұрын
vizurisana wakatinikomu toto
@BHULENGE3 жыл бұрын
Very touching song. Tunaishi bila msamaha hata wenzetu wanapotuomba msamaha. Hope ilikuwa mwaka 1996 binamu yangu alikuja na kaseti kutoka chunya, weeee na ule pesa ni maua
@nehemiashekiondo18007 жыл бұрын
asateni sana watumishi wa mungu mliimba zamani lakini bado zinanigusa sana mbalikiwe sana
@millezahran48504 жыл бұрын
Toka nipo mtoto naweza kuimba nyimbo zenu Hadi Sasa Nina imba kabisa na zinanigusa
@havyanine94304 ай бұрын
August 2024 nazidi kubarikiwa
@glorymwanga86304 жыл бұрын
Daima sitachoka kusikiliza nyimbo zenu
@martinmahenge549 жыл бұрын
Nawakubari Sana vijana WA zamani. mnaniburudisha.
@kipkemoigeoffrey48422 жыл бұрын
I feel blessed tonight.
@janettongi64216 жыл бұрын
Good song, Mary old time favorite
@benlankoi2176 жыл бұрын
amen mungu awabariki sana wana kwaya
@kipronoevans39012 жыл бұрын
Hiyo luku imeweza kuweza . Wakenya nipeni likes 🙏🙏🙏🙏
@jacksonsilvery5963 Жыл бұрын
tz
@bethwelserem8743 Жыл бұрын
Wooooooow
@mbegetezakayo89338 жыл бұрын
nabarikiwa sana
@ndekwawilliam72662 жыл бұрын
TBT daah still listening 31/10/22🇹🇿
@davidmhami6375 Жыл бұрын
Chakale ni dhahabu
@ndayizeyeyves1479 Жыл бұрын
Amina
@AminielMchome8 ай бұрын
Barikiwen san
@mwanafamilia2 жыл бұрын
Mungu awabariki
@yugi27795 жыл бұрын
kazi yenu ni njema sana muko wapi kwa sasa?
@FAIDAKIBIBI Жыл бұрын
Mungo awabariki
@leaditina96433 жыл бұрын
Humm wa imbaji wa mahana sana. Muko wapii sasa ? ...🌹💖💖
@phodzieretabale9511 Жыл бұрын
The song tells as about Luke 17,1-4
@IBISUSADIVERSE4 ай бұрын
Wow so cool
@kesiyadenise74168 жыл бұрын
Mungu ni mwema Amen
@richardndashau92316 жыл бұрын
Ameni
@emelda5420 Жыл бұрын
My favorite 😁
@petermwidima83578 жыл бұрын
mungu awabariki Sana. mko wapi siku hizi?
@davidalex48445 жыл бұрын
Hawa naambiwa walikuwa ni wakimbizi kutoka burundi na walikuwa sponsored na mashirika kurekodi na kushoot nyimbo hz...kiukweli nyimbo zao zinaupako mpaka kesho
@angelhosiana222 Жыл бұрын
2023 still watching ☺️☺️
@jovinkshumba50358 жыл бұрын
Mungu awatunze sana Neema ya Mungu iwahifadhi mioyo yenu hallelujah
@kevinmwambosa1797 жыл бұрын
Jovin Kshumba دچچطگگ
@johnmasinde98018 жыл бұрын
so blessed
@lameckmlyangaa65892 жыл бұрын
Ameni
@neemakambi52388 жыл бұрын
I like this song
@Bbmuta4 жыл бұрын
Nitafutiye hawa watu please ata moja wao
@jamsimushi41693 жыл бұрын
0783872013 nipigie nikupe number ya elphaz habona kiongozi wa hii kwaya
@jorambranchofmud6299 Жыл бұрын
Napongeza wapigaji wa gita na piano
@mosestenganamba54063 жыл бұрын
Much ❤
@ElizabethZacharia-nb1xc7 ай бұрын
❤❤❤❤
@mwananyamalaz44272 жыл бұрын
God bless you all 2022🙏
@maryemanuel6122 Жыл бұрын
2023❤❤
@kabuletepierre75066 жыл бұрын
nabarikiwa sana. wandugu kama kuna mtu anayejuwa mahali inaandikwa kwa Biblia: ingemufaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagiya lifungwe shingoni mwake akatupwe baharini.....anisaidiye kupata. kabth5@yahoo.com.