This still hits up to now,good gospel that can't perish because of it's sweetness
@HalleluYAH-974 ай бұрын
@@JohnMutegeki-w8nhizi zinabariki watu wa zamani walimcha MUNGU, waimbaji na wahubiri
@LeonardEdward-fb2bn4 ай бұрын
Ameen@@JohnMutegeki-w8n
@lydiahmutai64564 ай бұрын
Am here too.2024
@dorismushi5322 ай бұрын
Sio kwaya tuu hawa ndo walikuwa walokole original yaani wangeendelea hivi nahapa hata Roma tusingewakuta hawa watu
@enockmwashala8780Ай бұрын
Exactly hawakuwa na mambo mengi na ujumbe uko direct kabisaa
@evanceernest2568 ай бұрын
Hz ndo nymbo z gospel ambazo napend skilza... So nice... April 2024
@bahalamahigidaniel Жыл бұрын
Hatuna shaka mioni mwetu kuhusu ukristo wenu ndugu zetu. Kwa mtazamiyo tuh ukristo wenu umetambulika. Si kama ukristo wa leo ambao umechanganywa na ulimwengu. Sifa kwa Mungu kwa ajili yenu........ Tunawapenda saana hapa inchini Congo.
@nicodemusngeta25417 ай бұрын
This choir must one day perform when we enter the kingdom of heaven,,,May God helps us all to enter the kingdom of heaven.
@clementbankuwiha88777 жыл бұрын
naapa kurudi ktk imani ya kweli kwa sababu ya kuskia ujumbe ktk nyimbo zenu
@meckitilidatushabe Жыл бұрын
❤ karibu kabisa Mungu nimwema
@paulndabunguye-tv8lg Жыл бұрын
P0
@paulndabunguye-tv8lg Жыл бұрын
P0
@paulndabunguye-tv8lg Жыл бұрын
@paulndabunguye-tv8lg Жыл бұрын
m
@robertmasatu84232 жыл бұрын
Tofauti na waimbaji wa sasa, waimbaji wa zamani walitunga nyimbo kwanza Kwa kuutafuta USO wa Mungu, ndiyo maana hizo nyimbo Zina uvuvio wa Roho Mtakatifu(ni injili tosha) za sasa ziko mwilini sana. Mungu akibariki sana hiki kizazi
@joshuakitam13647 ай бұрын
Ukweli kabisa
@CareneChepkemoi7 ай бұрын
Nimebarikiwa kupitia huu wimbo
@kingnikhmanay27076 жыл бұрын
Nimeacha matendo mabaya kwa Jina la Yesu,niwe barua njema,aman kwenu waimbaji
@johnreuben91432 жыл бұрын
Kwa nguvu zako huwezi, omba nguvu kutoka juu
@JacklineMmari-y1yАй бұрын
Mungu atusaidie Mimi ninaami pale ulipotia Nia Mungu amekusikia na atakusaidia uwe barus njema na watu watakusoma kwa uwezo wa Roho Mtakatifu
@VeeSunshine-zr3iv6 ай бұрын
Kwa kweli nakumbuka mbali sana kwa hii kwaya, nilikuwa mtoto sana, niliizikariri. Nyimbo zote nikiwa mtoto na sasa nimezidowload , jamani kwaya inayoongozwa na Roho Mtakatifu mojawapo ni hii ujumbe mzuri sana wa neno la Mungu.
@jambo_safari3 ай бұрын
😊ASANTE JEHOVAH FORD THESE TALENTED BROTHER AND SISTERS YOUR KNOW TO PREACH AND PASS MESSAGE BY SINGING WITH GOLDEN VOICES UNTO THEE ❤
@johnjulius56162 ай бұрын
Nitumiye hizo ulizodownload tafadhali
@ogiekriftvalley6497Ай бұрын
Reminds me of Christmas 1989 in my ancestral home. I was only 6 yrs, several years have passed and today I come across this song and have ignited memories of those days. Long life choirs from Tz Am a Kenyan native from minority group, living in vast mau forest Be blessed
@JacquelineMapogo7 ай бұрын
Hizi ndo zilikua kwaya jaman ujumbe mzur maneno yanaskika vzur 🥰🥰 kwa upande wangu hazichuji
@NehemiaNicolas4 ай бұрын
Niko hapa August 2024. Nyimbo hizi nilizipenda nikiwa mtoto miaka ya 2000 hadi leo
@JosephSallat-w3f21 күн бұрын
jamn hizi kwaya watot wetu wa miaka iyo sidhan wataelewa mungu saidia kizazi chetu kiwe barua tafdhal maan tunapoelekea ni wew mungu tu pliz naomben like kama mnaniunga mkono 💯💯✋✋
@barikikabungo8597 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki, Uchezaji wa Kimungu kabisa, Mavazi Ya Kimungu pia, ujumbe zaidi haujaghoshiwa kabisa..
@ElizabethSimon-g8nАй бұрын
Mungu awabariki sana hawa waimbaji waliimba kwa nguvu za roho mtakatifu hakika na wana nidhamu maeneo yote uvaaji wao,style,sauti na wapigaji vyombo wametulia muziki mzuri hawana fujo kama wa sasa ni fujo tu makanisani Mungu tuhurumie tuijue kweli
@HermanMponzi4 ай бұрын
Kwakweli huu wimbo unanikuza kiroho nakunikuza karama yautunzi kwakweli yesu asiwaache naawakumbuke katika ufarume wambinguni
@EvansKeanaАй бұрын
Kwa kweli hizi ndio silisokuwa kwaya,old is gold, thanks good massage.
@doletz82312 ай бұрын
Munaimba kutoka rohoni.hakika munaniongeze hatua ktk kumjua Yesu.ujumbe murua kabisa
@godsonmahinyila3047 Жыл бұрын
Hizi nyimbo hazichoshi kuasikiliza, mungu bariki watu Hawa maisha marefu.
@destinimani67453 жыл бұрын
Kwa kweli mkristo ni barua ya kusomwa na watu wote
@insightsecure2819Ай бұрын
naangalia wibo huu mwaka 2024 naupenda sana kwakweli Mungu awatunze watumishi hawa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@BartazaryHepelwa2 ай бұрын
Amina , kweli sisi ni barua kwa watu wengine wasio mjua bado Kristo. Mbarikiwe mno waimbaji
@monicamtenga6 ай бұрын
Haleluya mbarikiwe mno nyimbo zenu zinaupoko.
@geraldsanga48793 жыл бұрын
Huyu baba aliyesolo ananibariki xna. Sijui yuko wapi kwa sasa. Mungu awabariki watumishi.
@mariaevansinkomola-qu5po7 ай бұрын
Elifazi,yupo ulyankulu
@ElizabethSimon-g8nАй бұрын
Alishatangulia mbele za haki siku moja tutaonana nae naamini huko juu tukiyaishi mapenzi ya Mungu
@loishiyemollel866611 ай бұрын
Loo....hakika Roho mtakatifu alikuwa pamoja nao katika utendaji wa kazi yao.
@Juliusosike302 ай бұрын
Ni chief morijo Silale kutoka Katilu, Turkana County, Turkana South sub County, Kenya 🇰🇪. Hakika nimebarikiwa sana.
@EliasCharlesNyanza8 жыл бұрын
Hakika sisi ni barua zinazotembea na tunasomwa na kila mmoja wetu. Tudumu katika Imani na matendo mema
@gerardmalavaga29363 жыл бұрын
Balikiwa waimbaji mungu awalaze pema pepon ooo my God uwa nasahau shida kwa kweli amani moyon teleee
@vinnykorir70063 жыл бұрын
Ni ukweli ata mm Kim kiri katika imani
@tangusjoseph6620 Жыл бұрын
Mwaka huu wa 2023 Bado upako umejaa wimbo huu.Barikiweni sana Ulyankulu....
@bonifacelazaro1025Ай бұрын
Hii nakumbuka nikiwa Mdogo wang Ilikuwa mara yang kwenda kanisani na Bibi yang Nasikiliza saiv hadi nahisi uwepo wa Mungu
@edmondwiyama72506 жыл бұрын
Ukweli kabisa nyimbo hizi Zina mafunzo ya kumweka mtu karibu Sana na Mungu,na ni nyimbo za kiroho Zina upako wa Roho mtakatifu
@pierreniyonkuru-s8d23 күн бұрын
Namimi nazipenda saana tena ninyimbo zirizopakwa mafuta
@isaacsengunda30996 жыл бұрын
Mpangilio ulio bora wa sauti,,muziiki halisi ukisindikiza ujume mkuu wa Kristo Yesu,,kweli kwa Kristo kuna raha.
@anthaall45825 жыл бұрын
Kabisa ndaniya Cristo Sisi nivibaruwa mubarikiwe sana hadireo nabarikiwa nanyimbozenu nazinanikumbusha hapokare
@ruthmusyoki8278 Жыл бұрын
The old is Gold,nazipenda Sana nyimbo zenu
@olaislukumay5718 жыл бұрын
Izi nyimbo zinahubiri INJILI kamili Mungu awabarki
@StanStanley-kd5mz Жыл бұрын
Nikwer nyimbo zazamani ninzur
@brazadmz94014 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana zapendezaa Mungu awabariki nyote....
@hellendaniel38092 жыл бұрын
My childhood favourite choir. May God bless you wherever you are
@masanjabugingo29429 жыл бұрын
Huu ndio uimbaji wa kiroho mbarikiwe sana.
@kinasvincent21208 жыл бұрын
Ninapenda sana nyimbo za zamani. Nin ujumbe wa Biblia sana. Napenda Ulyankulu Barabara Kumi na tatu na kwaya nyingine haswa za tanzania. Mungu awabariki sana.
@kwizeraprosper17477 жыл бұрын
kwizera Prosper RUMONGE MUGARA RUREMBA Asanteni sana kwa nyimbo zenu
@josephj.tunguhole85628 жыл бұрын
Kwaya za zamani hakika ni nzuri kusikiliza ndani yake zimejaa mafundisho ya neno la Mungu. Mbarikiwe waimbaji wote.
@brownkalamba61185 жыл бұрын
Kkkt ulyankulu tabora
@timothyotiso65179 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa nyimbo zenu mbarikiwe
@Just_in911 Жыл бұрын
Oh tamu sana jamani❤.. inabariki sana❤
@webingogo36334 жыл бұрын
Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu:
@ChepkemoiJesca18 күн бұрын
Old is gold , so impressive 🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎊🎊🎊🎊
@lukafilsmercy5 ай бұрын
These are amongst choir I ever liked and cherished due to true Gospel that include, during that time Roho mtakatifu was abundant bila nguo za Shetani but those of today are like sounding instruments without Roho mtakatifu 😢😢😢😢
@gerardrichardmalavaga42654 жыл бұрын
MUNGU MKUBWA JAMAN SAUT SAFI KABISA ZA WAIMBAJI HAWA WANAMSIFU MUNGU NIMEWAPENDA SISI NI MANUKATO YA KRISTO AMEN
@beatricecliff2573 жыл бұрын
Injili kamili. Bila madoido...! Kweli Bwana Yesu atukukuzwe and kupewa sifa.
@rosemutiso91409 жыл бұрын
Nimebarikiwa na ninawapenda toka zamani
@bahalamahigidaniel Жыл бұрын
Kuanzia utoto wangu hadi leo, nina posikiya hii nyimbo niwa nime barikiwa sana. Mungu awabariki saana
@DativaMbowe7 ай бұрын
Mungu awabariki saaana❤❤
@emmanuelmapunda20707 ай бұрын
Pamoja na kwamba nyimbo hizi ziliimbwa zamani lakini ujumbe wake bado una nguvu ile ile ya kuokoa. Waliimba kwa Roho na Akili.
@raymondbahati7626Ай бұрын
Mukristo ni barua watu wote wanakusoma
@janethshayo18798 жыл бұрын
Mungu awape maisha mareefu ili mzidi kumtumikia.
@nzalimutua59138 жыл бұрын
sisi wakristo ni barua ya kusomwa na wote. ...amen +1
@marydann6405 Жыл бұрын
Hizi nyimbo hazichoshi ukisikuliza masikion ,Mungu awabariki
@EricZimire6 ай бұрын
Na mimi najegwa sana
@JackKaruruАй бұрын
Mungu awabariki hawa waimbaji
@AndeckNgogo3 ай бұрын
Hakika nyimbo za namna hii tunazikosa sana siku hizi. Nyimbo za sasa zinatungwa mbali na maneno ya kwenye BIblia ndiyo maana zinaonekana ni za msimu na ukiisha msimu basi umuhimu wake unapotea.
@geofreylusulo61888 жыл бұрын
kweli mungu awabariki waimbaji WA zamani
@WalterGwonda-tu3qu Жыл бұрын
Asante ulunyankulu nimetafuta nyimbo zenu lakini nashukuru nimesipata
@dr.martin-lawrencesifunah.95036 жыл бұрын
Am deeply touched. mbarikiwe Sana
@franciskivayiru41294 жыл бұрын
Kweli tunasomwa..I like the song
@TOMNYEREZAАй бұрын
Mbarikiwe watumishi wa MUNGU
@herimkwenya67826 жыл бұрын
kwa hakika huwa napata FARAJA nisikilizapo nyimbo hizi za zamani kuliko za sasa ambazo in kelele Mungu awapumzishe kwa amani waliotangulia katika kwaya hizi na awape uzee wenye FARAJA waliobaki Amen
@bertonnaftary97027 жыл бұрын
kweli ni barua, sawasawa na neno lisemalo ss ni nuru ya ulimwengu
@zeridalumole43598 жыл бұрын
Hakika waimbaji wa zamani walimwimbia Mungu katika roho na kweli. Hawakuangalia maslahi yao binafsi bali walitamani kuona injili inahubiriwa na neema ya Mungu inawafikia watu wote. Mungu awabariki sana waimbaji na Mungu ameiona kazi yenu na kuithibitisha.
@azka51532 жыл бұрын
AMEN 🙏🙏waja tuwe baruha zuri z kusomeka lwa watu wkte
@dbrothers45516 ай бұрын
2024 MPOOO, KWAYA ZENYE UJUMBE SAHIHII OLD IS GOLD 👍
@mariammarco23878 жыл бұрын
Amen ashukuriwe baba Mungu
@Cento9007 жыл бұрын
Amen amen, sisi ni barua kweli
@presenttruthloudcryforthel53383 жыл бұрын
Hallelujah amen,,natamani sana niwe barua ya kusomwa na wengi
@stephenemmanuel95744 жыл бұрын
ulyankulu mungu awabariki kazi ya mungu haina makosa
Muraduhezagira cane nizo ndirimbo zanyu. Muraza kuturamutsa mu burundi muzituririmbire
@lucillekankazi80734 жыл бұрын
Baririmba neza pee.
@emmanuelthomas1078 Жыл бұрын
Daah; yaaan sauti ya 1hadi ya 4 zote zinasikika vizuri kabisa! Kwaya nyingi za siku hizi hupati sauti ya4kama hii🙏🙏🙏🙏
@jamesmwasambili3818 жыл бұрын
Ama kwa hakika 'Sisi ni barua' tunasomwa,eeh Mungu tusaidie tuyatende yakupendezayo wewe.
@DativaMbowe7 ай бұрын
Amen
@metuschelahniyubuntu3436 жыл бұрын
Hakika nazipenda nyimbo hizi zinanijenga kiroho pia na kunikumbusha hapo myaka ya 1990 Mungu awajaze nguvu awabariki sana.
@francotweve32306 жыл бұрын
nyimbo hizi zilihubir,mno wasanii wasasa wanawafurahisha tu waumin,tungo hazijakaa kumfikilisha MTU juu ya ukuu wamungu
@juliuslijina6 жыл бұрын
Nzambe elongo na biso, Nzambe malamu tango nyoso.
@eliufookipandwa95148 жыл бұрын
nakumbuka mbalisana napo sikiliza nyimbo hizi,Tabata kimanga !
@edisonkatunzi Жыл бұрын
Tunaomba mtuwekee sehem ya kuudaunirodi hizinyimbo tunazi misi sana maana zikiimbwa mtu anabarikiwa sana amina
@victoriambatha73892 жыл бұрын
Can't get enough of this song oooh! guitars 🎸plus message
@allykazoa70656 жыл бұрын
mungu awabariki sana waimbaji wote maana uwa ninafarika sana ninapo sikiliza nyimbo hizi
@happinesstesha70616 ай бұрын
2024 nawapennda jamani sijui mko wap now days
@kafirsantana86316 ай бұрын
Mara yangu ya kwanza kuwasikia Mapigano Ulyankulu ni mwaka 96, tangu siku hiyo ni kawa mpenzi wa muziki kupitia wao.
@reginaldmlingi86038 жыл бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu anatupenda sana, nyimbo za zamani zimejaa baraka na ndo maana zinadumu karne hadi karne,,hakika sisi ni barua ya kusomwa na watu wote,,Amina.
@IRENEMAMAI6 ай бұрын
Turkana Girls 2004... This song reminds me of the late Viola Adeke.. she loved the song and used to sing it.. R.I.P mum Viola
@EliupendoDulle-yo4ib Жыл бұрын
Mungu wetu aliinuliwa na waimbaji wa zamani na cio waimbaji wa sky hiz wanatani
@theclamushi8890 Жыл бұрын
Kweli ninyi ni barua. Mungu awabariki sana.
@onlyme-wt5wh5 жыл бұрын
Ujumbe uliokua na yesu ndani yake
@fidelebizindavyi26828 жыл бұрын
asante sana waimbaji mungu awabaliki sana.
@mercyetago40207 ай бұрын
This was a wonderful choir . Memories
@Focus_Mengi7 жыл бұрын
Zama hizo za injili zilikuwa zikiimbwa kwa utiifu na utulivu katika Roho Mtakatifu. Lakini leo kinachobaki ni waimbaji kuimba wakirukia kwenye ungo kisa technology and maneno ya kuenda na wakati. Mungu aturehemu.
@yusuphmirambo37227 жыл бұрын
Nafurahia hakuna mbwembwe za kidunia... Full neno na upako
@clementbankuwiha88777 жыл бұрын
kwli kabisaa
@rehemamasanja88754 жыл бұрын
Kweli zamani utiifu ktk uimbaji ulikuwepo, watu hawa wanapeleka meseji moja kwa moja, nawapenda sana.
@stephenemmanuel95744 жыл бұрын
hizi nyimbo naombeni nitumieni maana haziishi utamu
@alexkarani15274 ай бұрын
Very nice song glory to God
@heritierkandol240Ай бұрын
Nyimbo nzuri sana
@RebekaShumbi8 ай бұрын
Mmenikumbusha mbali mbarikiwe h hakika mimi.wewe.sisi tunasomwa
@sulubukatana30387 жыл бұрын
nyimbo hizi zina nibariki sana na zimejaa upako wa mungu,mubarikiwe sana waimbaji wa nyimbo za zani.