Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Yesu alipokuwa ameketi

  Рет қаралды 394,336

KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU

KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU

Күн бұрын

Пікірлер: 193
@richardkubanda6627
@richardkubanda6627 3 жыл бұрын
Nahisi kutokwa machozi, Marehem mama yangu mzazi alizipenda sana nyimbo hizi. Barikiweni sana Wana Ulyankulu.
@lumierejason5019
@lumierejason5019 11 ай бұрын
Marehemu mama yangu pia alikuwa akizipenda sana , RIP MAMA
@fridasiwingwa9080
@fridasiwingwa9080 8 ай бұрын
Mama yangu pia alizipenda mno mno hizi nyimbo. Mwenyezi Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani Mama. Amina
@millionaire_mentor_ndobandola
@millionaire_mentor_ndobandola 3 ай бұрын
@@fridasiwingwa9080 HATA MAMA YANGU ALIKUA AKISIKILIZA NA KUTUSIKILIZISHA HZI NYIMBO PIA AMEFARIKI ALIACHA KITU KIKUBWA MOYONI MWANGU
@johnhosea1321
@johnhosea1321 6 ай бұрын
Tunaoendelea kupata ujumbe huu 2024 weka like kuonesha upendo ❤ wa kutosha kwa wahubiri hawa.
@shideashidea5570
@shideashidea5570 6 жыл бұрын
Gonga like kama unawapenda hawa waimbaji 2018
@mamajanee1790
@mamajanee1790 5 жыл бұрын
Nawapenda sana japo Mimi ni roman catoric tena sana mama yangu mtu wa Tabora naludia tena nawapenda sana,sana amina
@GivasMwananzumi-tx2ss
@GivasMwananzumi-tx2ss 2 ай бұрын
Mungu mwem San, nlikuw nmezikariri hizi nyimbo mwanzo Hadi mwisho mungu mkuuuuu 2024.
@cristamelahashimu3679
@cristamelahashimu3679 2 ай бұрын
2024🎉
@jacksonmlacha6724
@jacksonmlacha6724 4 жыл бұрын
Nyimbo hizi zinatia faraja na kunkukmbusha mbali...mbarikiwe kila mmoja anaepitia hizi nyimbo...Amen
@aristotledemartinez2149
@aristotledemartinez2149 2 жыл бұрын
Naisikiliza kwaya hii kwa takribani miaka zaidi ya 20, nyimbo zao hazichuji, waliimba katika roho, nasikiliza karibu kila siku nyimbo hizi, kwaya za siku hizi zimebakia na midundo tu na vitu vinavyosisimua hisia wakati zimekosa uvuvio wa roho mtakatifu. Mungu awabariki sana
@erickfungo7979
@erickfungo7979 2 жыл бұрын
Legendary choir who agree with me 2022
@cristamelahashimu3679
@cristamelahashimu3679 2 ай бұрын
G.O.A.Ts 2024. Waliziimba nyimbo kwa roho na kweli .
@hakizimanaelie8916
@hakizimanaelie8916 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awabariki sanaaaaaa ❤❤❤8 /11/2024
@nafikilepomboma4790
@nafikilepomboma4790 22 күн бұрын
Hizi nyimbo zinagusa sana moyo. wangezidurufu zirudi kwenye mfumo wa flash ingelipendeza sana tuzisikilize kila mahali tuwapo
@derickkebabe4443
@derickkebabe4443 2 ай бұрын
My Mom's Gospel Jams Back Then❤️As A Millennial, I Had To Rewind These Nostalgic Memories 🔥
@richardnakashange8207
@richardnakashange8207 5 жыл бұрын
since 1992 I was still under age and now I m 37still enjoying
@esthersher7605
@esthersher7605 3 жыл бұрын
I know this feeling. Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
@pkyegon
@pkyegon 3 жыл бұрын
Never heard this yet am 3yrs older than you 😁😁😁
@christinamachage5397
@christinamachage5397 3 жыл бұрын
Za kale ni dhahabu still am young up to now bado na barikiwa na hizi nyimbo 2021 like here
@sifamaombi9342
@sifamaombi9342 5 жыл бұрын
“Vumilieni simama imala . Yesu yukalibu kucukuwa watu wake “ Nawapenda saana watu wa Mungu ! I was not even born at that time but I am enjoying your songs! God bless you 💕
@lookenfrag7412
@lookenfrag7412 4 жыл бұрын
Nyimbo zao ni habari njema tosha. MUNGU AWABARIKI HAWA BARABARA 13 SIKU ZOTE ZA MAISHA YAO.. Ameen
@johnsonokeyo2021
@johnsonokeyo2021 5 жыл бұрын
vumilieni my song since 1996.Anakuja na kila jicho litamwona.Ombi letu tupata uzima wa milele.
@naahmontee3694
@naahmontee3694 4 жыл бұрын
Nani anawaangalia hawa wapendwa 2020 gonga like kama tuko pamoja
@bettydickens4114
@bettydickens4114 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Wimbo huu ni chanzo cha imani yangu, hunileta karibu sana na Mungu. Barikiweni.
@johnmbise8996
@johnmbise8996 4 жыл бұрын
Hakika Mungu awabariki na vizazi vyenu mlijitoa kwa mioyo yenu yote kufanya kazi ya bwana mbarikiwe sana 2020 tuko pamoja
@herielijosephat8004
@herielijosephat8004 2 жыл бұрын
Kwaya ya Ulyankulu yaniiii ni miongoni mwa waimbaji ninao wakubali nyimbo zao zina ujumbe MUNGU AIBARIKI KAZI YA MIKONO YENU pamoja na UIMBAJI WENU🙏🙏🙏🙏
@ZacharyKe
@ZacharyKe 8 ай бұрын
My late dad's favourite choir of all time.
@danadon6782
@danadon6782 8 ай бұрын
❤❤ 2024. Mathayo 24
@AlinanusweKasyele
@AlinanusweKasyele 5 жыл бұрын
kwa kweli Mnastahili tuzo ya Kwaya Bora ya Muda wote ''Hall of Fame''
@dicksonakyoo8222
@dicksonakyoo8222 5 жыл бұрын
Ni kweli usemavyo,,,hawa waimbaji sijui nisemeje lakini mungu awabariki popote walipo
@simonkabuchojudiciary
@simonkabuchojudiciary 11 ай бұрын
Mum from Narok you made this the best wakati tulikuwa wadogo. I love this till today.
@peds2love
@peds2love Жыл бұрын
Best choir ever.. I miss this.. when everything was simple and the songs were ministering..
@DNY303
@DNY303 5 жыл бұрын
Kwa kweli hiyi choir nayipenda kwa sana....tangu mwaka wa 2000 mpaka hivi nafwata nyimbo zawo.Mungu awabariki sana.
@abodetidings8392
@abodetidings8392 4 жыл бұрын
choir ya zamani sana, mungu aendelee kuwabaliki imana ibongerere imigisha myinshi
@lydiahmutai6456
@lydiahmutai6456 5 ай бұрын
Revisiting again in 2024🎉gonga like pliz
@lillyf426
@lillyf426 6 жыл бұрын
Enzi zile watu hawakua wanajipodoa ndo wamwimbie Mungu...wako sawa kabisa,kuanzia sauti,mavazi na wimbo...wanaimba kwa hakika.mbarikiwe sana...
@dicksonakyoo8222
@dicksonakyoo8222 5 жыл бұрын
Sahv vipodozi Vingi,,hawa walikuwa wanamuimbia mungu sahv wengi wanafanya biashara
@richardkhamisi9653
@richardkhamisi9653 4 жыл бұрын
Imagine these were refugees from Burundi who settled in Tanzania. Yet they forgot their difficulties and served God! Blessed lot
@IrakozeReponse-mf2nk
@IrakozeReponse-mf2nk 20 күн бұрын
Nakubali bila mashaka enzi hizi waimbaji mlukiwa na loho mtakatifu haipingiki hiyo nadhani ha mko tena ila Mungu azilinde nafsi zenu vema mpaka wakati tutakapo kutania mbinguni tukiimba sote mbele ya Mungu ujumbe mulio uacha uta dumu myaka yote
@eliufoowiliam8882
@eliufoowiliam8882 4 жыл бұрын
Naikubali sana hii kazi .nakumbuka mbali sana .
@AgnessNjeri
@AgnessNjeri 8 ай бұрын
Waimbaji waliimba katika roho na kweli mmbarikiwe sana
@bensonlucasmbunda2489
@bensonlucasmbunda2489 2 жыл бұрын
Hii ni injili kamili kabisa...wanahubiri...Mungu awape mwisho mzuri wa wokovu....Ebr 12;14
@bettydickens4114
@bettydickens4114 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana. hongereni wana Barabara 13 Ulyankulu
@hopelazaro8570
@hopelazaro8570 7 ай бұрын
I was soo little this songs make me happy and cry 🙏🏼
@AlliMwaka
@AlliMwaka Ай бұрын
Ulyankulu barabara 13 barikiwa Sana natokwa na machozi nakumbuka mbali
@MagnusSweddy
@MagnusSweddy 7 ай бұрын
Hao ndiyo Wapentekoste halisi
@elaineeliudi2497
@elaineeliudi2497 3 жыл бұрын
Wimbo wangu bora sana unanijenga mpaka sasa ni mpya kila siku
@raymonddanielcosmas444
@raymonddanielcosmas444 3 жыл бұрын
Nyimbo ina UPAKO leo na kesho.
@TonneyAbiero
@TonneyAbiero 9 ай бұрын
The year is 2002. I was just joining form 1 at Kanyawanga school. The song is so Nostalgic
@BenjaminNgove
@BenjaminNgove 4 ай бұрын
Nyimbo ambazo zilitoka kwa biblia barikiweni sana
@lightnessmwinyi2676
@lightnessmwinyi2676 2 жыл бұрын
Kwaya za Zamani walikuwa wanavaa heshima lakini saizi mmh tumwachie Mungu tukisema tunaambiwa Mungu haangalii mavazi
@Moraa556
@Moraa556 2 жыл бұрын
My old time favorite choir
@rebeccaonesm8543
@rebeccaonesm8543 4 жыл бұрын
2020 like hapa kama umebarikiwa Kama mm
@muhindosyatsemajacques4406
@muhindosyatsemajacques4406 4 жыл бұрын
Merci
@JosephMkongo
@JosephMkongo 7 ай бұрын
Nawakubali sana mbarikiwe sana 2024
@restutaigangati1523
@restutaigangati1523 Жыл бұрын
Napenda nyimbo zenu mbarikiwe
@thobias2939
@thobias2939 2 жыл бұрын
Ooh bwana apewe sifa na utukufu milele na milele amni
@frederickilumba6204
@frederickilumba6204 2 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi na juudi mbarikiwe
@DishonOsotsi
@DishonOsotsi 21 күн бұрын
Nyimbo saa.mafunzo na kuinua imani
@softmediatechnologytanzani9109
@softmediatechnologytanzani9109 4 жыл бұрын
Nabarikiwa na uimbaji wao. Mungu awabariki walio hai, na wale waliotangulia mbele za haki, Mungu awakumbuke na asahau makosa yao. Hakika mmekuwa baraka kwa kizazi hiki. Naitwa Frank Mangowi. Dar es salaam.
@ignassmwalongo
@ignassmwalongo 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@daudizengo8865
@daudizengo8865 8 ай бұрын
Wengi wao wana umri wa miaka 68
@derickkatunzi1679
@derickkatunzi1679 4 жыл бұрын
Mbalikiwe na Bwana kwa uimbaji mzuri wa kumtukuza Bwana wetu Yesu Kristo. Natamani nikutane na ninyi mbinguni
@esanfesto9923
@esanfesto9923 7 жыл бұрын
yaliyo imbwa ndo tunayasikia yanatokea nihakika mwisho umekalbia niwajib wako ewe mkirstu
@MathiasMokaya
@MathiasMokaya 5 ай бұрын
Sauti nzuri kabisa
@bernardjosephmulokozi3901
@bernardjosephmulokozi3901 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Mama yangu, yaani nimekumbuka mbali sana.
@MrAsifiwe
@MrAsifiwe 2 жыл бұрын
Never fading, still sweet in the ears notwithstanding the years
@eunicebaraka367
@eunicebaraka367 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu
@josephmayunga4743
@josephmayunga4743 5 жыл бұрын
Mungu awabariki wanakwaya wote maana mnibariki mimi
@agnessnkugwe615
@agnessnkugwe615 3 жыл бұрын
Kazi yenu ni njema ktk Bwana. Mmekuwa Baraka kubwa kwa kizazi hiki.
@charleslyuki691
@charleslyuki691 2 жыл бұрын
Ahsante sana kwaya barabara 13 Ulyankulu Tabora nyimbo zenu mpaka sasa 2022
@MupeCom
@MupeCom Жыл бұрын
Awa waliimba ktk roho nakweli ndiomaana muda wowote uweziwachoka kusikiliza nyimbo zako waliona mbali, hivi wanapatikana wapi wanatakiwa tuzo
@joyjoel6631
@joyjoel6631 2 жыл бұрын
Nawapenda sananyimbo zenu zinanibarik
@wamburamwikwabi7155
@wamburamwikwabi7155 4 жыл бұрын
Huwa nabarikiwa saaaana na hiii kwaya Mungu awabariki saaaaana
@dianamsemo3608
@dianamsemo3608 3 жыл бұрын
October 2021 naendelea kubarikiwa sana 🙏😇
@jennifernzioka81
@jennifernzioka81 5 жыл бұрын
2020 still my favorite
@muganyizijoseph6581
@muganyizijoseph6581 2 жыл бұрын
Napenda album yote.....
@plasdomligo2403
@plasdomligo2403 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana na hizi nyimbo 2022-2023
@IsaacJavan
@IsaacJavan 4 жыл бұрын
This song makes me cry
@donaldyusuphu1879
@donaldyusuphu1879 2 жыл бұрын
Amen Mungu awabarik sana sana
@DottoMwampale-e7e
@DottoMwampale-e7e 5 ай бұрын
Uimbaji situation hizi umekuwa Sanaa badala ya kuimba katika roho
@learuzamuka6834
@learuzamuka6834 7 жыл бұрын
Mungu azidi kuwa bariki sana
@abcccc2665
@abcccc2665 3 жыл бұрын
Hiv hawa watu wapo kweli?
@aronmwambapa5250
@aronmwambapa5250 6 жыл бұрын
FACT msg, bless servants of God
@Bobby32636
@Bobby32636 Жыл бұрын
Wonderful choir. May God bless you. Looking forward to new songs
@allisonmbwambo3023
@allisonmbwambo3023 4 жыл бұрын
Nawapenda wote mko vizuri mungu awabariki sanaa
@medionindagijimana9020
@medionindagijimana9020 6 жыл бұрын
Hakika MUNGU Awabariki sana waimbaji wimbo huu unanigusa sana moyoni mwangu mubarikiwe
@sonnozac4189
@sonnozac4189 4 жыл бұрын
Vipawa hivi hakika vitatuzwa... Nakumbuka enzi zile ladha ile ile hata leo
@julesngama2508
@julesngama2508 4 жыл бұрын
Muli ubiri ukweli wa maisha ya jayo, mu barikiwe saaaaaana
@shayolizeni182
@shayolizeni182 6 жыл бұрын
Wananibariki sana hawa waimbaji kwa nyimbo zao kweli hazichuji hata
@gracerukondo4001
@gracerukondo4001 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri
@tellassekemneke5988
@tellassekemneke5988 6 жыл бұрын
amina nawapenda , nyimbo zina ujumbe mbalikiwe.
@kivurugaathuman2694
@kivurugaathuman2694 2 жыл бұрын
Wow! Ujumbe Mzuri saana, Mungu azidi kuwabariki.
@juliusmwendwa3742
@juliusmwendwa3742 Жыл бұрын
Walioyatabiri yafanyika Sasa: kusalitiana, taifa kupigana na nyingine, manabihi wa uongo, njaa, tetemeko etc. Tuvumilieni Yesu yu'Karibu!
@nkurukiyesamuel4043
@nkurukiyesamuel4043 Жыл бұрын
Hivi hawa watu kwa nini hawaendi kutembelea sehemu tofauti za dunia mmoja au kundi ,Kama Burundi chimbuko Lao na wakafanyiwe michango?,ingekua vizuri
@daudizengo8865
@daudizengo8865 8 ай бұрын
Mwl. wa kwaya Habona Edmudi
@johnisrael5475
@johnisrael5475 2 жыл бұрын
Mungu awabariki
@salomemtumbuka3751
@salomemtumbuka3751 4 жыл бұрын
Nabarikiwa kila nisilizapo
@medionindagijimana9020
@medionindagijimana9020 6 жыл бұрын
Hakika MUNGU Awabariki sana waimbaji wimbo huu nifundisho kwawatu wote wenye mwili
@crispaseve
@crispaseve 4 жыл бұрын
Hii kwaya hata sijui tuifanyie nini kuwalipa mchango wao kwenye gospel lakini ndiyo hivyo tena kanisa lilitakiwa liwalee hawa mpaka kufa kwao... nakumbuka enzi ile hela ya kupewa na ikiwa yangu basi ya uwizi maana sikuwa mzuri saaaana. Familia yangu Mungu aibariki sana ....
@anthonymwainyekule9271
@anthonymwainyekule9271 3 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana..
@ombenidavidmwanawabene1681
@ombenidavidmwanawabene1681 4 жыл бұрын
Bwana Mungu awabariki sana. Jamani wangaliki wazima hawa waimbaji? Naweza pata anuani yayo je? Zile enzi ya 1992 kufikia hapa leo tungali na burudika nakufurahia iki kipeo cha njimbo
@ibrawawason3808
@ibrawawason3808 5 жыл бұрын
super Choir in TZ
@JosephMkongo
@JosephMkongo 4 ай бұрын
Barikiwa sana2024
@bkdongivupb773
@bkdongivupb773 5 жыл бұрын
2019 Mei.... still enjoying
@ignassmsemwa
@ignassmsemwa 2 жыл бұрын
Mbalikiwe kwa uimbaji.nyimbo za faraja watumishi
@Ney-wu1wi
@Ney-wu1wi 7 ай бұрын
Zinanibariki ❤❤
@phanuelnkeshi4197
@phanuelnkeshi4197 2 жыл бұрын
Nyimbohiizi nazipendasaana
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm 5 жыл бұрын
Hii mipigo ya solo iko sawa kabisa
@prettyveronica5951
@prettyveronica5951 5 жыл бұрын
Best kwaya from alpha to Omega
@dicksonakyoo8222
@dicksonakyoo8222 Жыл бұрын
Naungana na wewe,sidhani kama ilishakuwepo Wala utakuwepo kwaya nyingine Bora kama hii
@yonamoses3656
@yonamoses3656 3 жыл бұрын
Wapo vizuri hata sasa
@johnabel6872
@johnabel6872 Жыл бұрын
2023 amen
@nelsonzakayo496
@nelsonzakayo496 3 жыл бұрын
2021 still listening
@abodetidings8392
@abodetidings8392 4 жыл бұрын
wow this is very very old choir
@erikkivuyo3684
@erikkivuyo3684 20 күн бұрын
Penda sana hizi nyimbo
Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Kwa Viumbe Vyote
4:24
Siro Jack
Рет қаралды 643 М.
Kwa Viumbe Vyote   Barabara 13  Ulyankulu   Bwana Ndie Mchungaji wangu
6:57
KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU
Рет қаралды 59 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Mapigano Ulyankulu Kwaya Yesu Akawaambia Official Video
5:18
Africha Entertainment
Рет қаралды 294 М.
Kwa Viumbe Vyote   Barabara 13  Ulyankulu   Alipofika karibu aliuona Mji
6:39
KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU
Рет қаралды 129 М.
Katika Viumbe Vyote
4:27
Venuste Wilson
Рет қаралды 532 М.
Mapigano Ulyankulu Kwaya Safari Yao Waisrael Official Video
3:47
Africha Entertainment
Рет қаралды 269 М.
Mapigano Ulyankulu Kwaya Sisi Ni Barua Official Video
6:15
Africha Entertainment
Рет қаралды 544 М.
NKINGA CHRISTIAN CHOIR - FULL ALBUM, SIFA NI ZA BWANA"
1:00:24
EMANUEL PETER TRUE GOSPEL CHANNEL 🇰🇪
Рет қаралды 145 М.
Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Wakati Ule wa Nuhu
6:26
Siro Jack
Рет қаралды 527 М.
Kwa Viumbe Vyote   Ayubu Barabara 13  Ulyankulu
7:07
KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU
Рет қаралды 48 М.
MAPIGANO ULYANKULU  SIKU YA KUTAABIKA OFFICIAL VIDEO
4:46
Tunes Of Africa
Рет қаралды 823 М.
Sipati Picha  -  New Life in Christ (Official Music Video).
7:08
Neema Mwaipopo
Рет қаралды 87 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН