Kwakweli wimbo huu nafikilia mbali acha tubarikiwe nao asanteni sana Wana kwaya❤❤nawapenda from Lusaka Zambia
@BarakaErasto-p6l21 сағат бұрын
Wonderful work of God that even Zambia are still listening what a glory to him
@jerrybuya36949 ай бұрын
Hapa nipo 2024
@jerrybuya36949 ай бұрын
A very beautiful song
@josephchibehe12574 ай бұрын
Haleluya, Mungu awabariki wote wanaoimba hii kwaya
@gladysamudavi44785 жыл бұрын
Huu wimbo umenilea tangu utotoni wangu :Kwa kweli Mungu yu mwema....
@eliapendamrutu173 жыл бұрын
wangapi tuko pamoja 2021?
@princes6045 Жыл бұрын
Kaka Mungu akurehemu na Akupumzishe kwa Amani.Mungu Baba akumbuke ulivyomhudumia kwa kumuimbia.Amina.
@jumamgonja Жыл бұрын
Yupo mzima bado
@colletatesha5265 Жыл бұрын
Jamani kwani alifariki oooo so sad
@imanisanga-sm2hm Жыл бұрын
Kwani huyo baba amefariki?
@gracemlelwa4383 Жыл бұрын
Yupo hai
@jobmakambala22168 ай бұрын
Alifariki dah mwenye ukweli wa hii habari aniambie ilikuaje jamani
@hopenrejoice99452 жыл бұрын
God soon I know I'll testify that this HIV will dry. up in Jesus name....mungu niwezeshe nakutukuza
@kipngenojaphet8702 ай бұрын
Takes me down memory lane to 2007-2010❤. It's 2024 now,thankyou.❤❤❤❤❤❤
@joycemdoe39639 ай бұрын
Here in 2024?😊
@charleslyuki6916 ай бұрын
❤ 0:55
@jacksonNgowi-jx2ktАй бұрын
🔥
@juniveraisaya16243 жыл бұрын
Hata Sasa wimbo unaonekana kama umetungwa leo, watching 2021 ❤️❤️❤️
@paskalimallya7493 жыл бұрын
🥰😘
@zablonnyabando60162 жыл бұрын
Waimbaji wenye maono makuu, nawashukuni sana,amina ahimidiwe mungu wetu ni bayana kwamba yesu yuaja
@LightnessUrio-fo7mq9 ай бұрын
Nipo na nani2024
@PasikalinaJamali2 ай бұрын
Mm nipo nawewe nymbo za zamani injuries sanaa
@jerubetjoan202 ай бұрын
2024,September nani ako hapa?
@SiscoChepngetich-wm1oo11 ай бұрын
I can't get enough of this....Tabata mennonite choir wherever you are, may God bless each one of you.
@FredNdauka2 ай бұрын
Huyu muhimbishaji badoyupo tena vizuri
@MosesAmuguniObwina2 ай бұрын
Mungu akuzidishie kipaji nyimbo zako zina mafundisho Emma,keep up naeza pata aje Kwa cd audio
@colletatesha526510 ай бұрын
2024 Tabata menonite still great songs with big masege
@KijanaMkristo5 жыл бұрын
Mbarikiwe sana sanaa sanaa,nakumbuka hizi nyimbo tangu 2007
@imanisanga-sm2hm Жыл бұрын
Amina! Na bado zibaish utafikir za leoleo
@bobman2237 Жыл бұрын
Nani yupo hapa 2023
@FredNdauka2 ай бұрын
Hakika na barikiwa sana na huu wimbo
@zedymicheal9407 Жыл бұрын
Huwa nafarijika sana nikiusikiliza huu wimbo, Mungu awabariki sana
@rosadanazary60793 жыл бұрын
Am so blessed with this song. Since my child hood till 2021🙏
@christophermwanilwa70744 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana
@CharlesNdonde Жыл бұрын
Zaburi75,safi sana.
@mtanzaniamwenzangu181 Жыл бұрын
Untl 2023 steel untouchouble
@maryemmanuel10155 ай бұрын
Mungu awabariki
@simpassagrace69077 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri
@hanssy40683 жыл бұрын
way back 2006 blessing n most talented choir tabata mennonite
@emanueljaphet52325 жыл бұрын
Kipekee kabisa kwaya hii mungu Amewatunuku vipawa vya kipekee
@mariamthabit14575 жыл бұрын
Naipenda sn jmn mbarikiwe
@michaelclement91782 жыл бұрын
Well compased Gospel song,with nice message,stay blessed Tabata Menonite Choir,Mkono wa Bwana umejaa neema
@georgekimboka982110 ай бұрын
Amen Amen hakika Wapo Redio 2003 mpaka 2006 Asante Sana Kwa hizi nyimbo
@emanueljaphet52325 жыл бұрын
Hii nyimbo ni ya muda lkn unaweza sema imetoka jn jinsi ilivo na upako 2019
@jumalucas95055 жыл бұрын
kwahy zaman hakukuwa na upako
@PeterDaudi-i4kАй бұрын
Iv zitakuja kutokea kwaya kama iz kweli unasikiliza zinakufariji
@emmanuelchengula5044 жыл бұрын
Katika nyimbo sizo chuka moja wapo ni Tabata mennonite choir mbarikiweeee sana🙏🙏🙏🙏
@emmakosta24676 ай бұрын
Msiinue pembe zenu juuu wala msinene kwa shingo ya kiburiiii
@JoyceMbata9 ай бұрын
Still blessed and feel more proud of the compromised song May our Lord Grands you aboundantly
@sebastian.asanteyesuwillia2425 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki, nabarikiwa sana kila naposikiliza
@IssaMatumbi8 ай бұрын
Mungu wambinguni awakumbuke mno katika huduma mlio ifanya hakika.
@aloyceeliza99035 жыл бұрын
Asanteni kwa nyimbo mzuri
@JoyceMassawe-w9rАй бұрын
2024,November 12 nani nipo nae
@godwinitatiro20093 жыл бұрын
Wimbo huu naupenda sana
@joycekihaba3463 жыл бұрын
Mbarikiwe watu wa mungu nyimbo inanibariki sana
@patrickkadeha5357 Жыл бұрын
Ameni mungu wangu wa Israel awabaliki sana
@princes60453 жыл бұрын
Be blessed Tabata Menonite choir
@jobmakambala22168 ай бұрын
Jamani nimekua mfuatiliaji wa kwaya hii kwa mda mrefu naomba kuuliza huyu mwamba yuko wapi?
@elizabethdaudi61774 жыл бұрын
Until now 2020 so sweet😘😘😘
@pasteuremmanuelkyungugrand2265 Жыл бұрын
jambo ngudu ninapenda sana kwaya Niko hapa Congo d.r.c
@agnesstephen84723 жыл бұрын
Bali Mungu ndie ahukumuye humdhili huyu na kumuinua huyu
@PasikalinaJamali2 ай бұрын
❤ this song
@EmmanuelSIBANZA11 ай бұрын
Que Dieu 🎉soit loué éternellement ❤❤
@yesenyerere86272 жыл бұрын
nawezaje kupata nyimbo zote za albam hii imenilea utoto wangu wangu
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Inapatikana dukani
@justinakafwenda683 Жыл бұрын
Ukweli ni hazina kubwa enzi za utoto wetu ndio maana leo tumerudi hapa🙏
@sospetergasper8624 жыл бұрын
Best piece individual skills....... Aiseee you guys mnajua dadeki nawaelewa Leo kesho yaani
@raphaelmuli70133 жыл бұрын
Old is gold so powerful song
@lusajonjole62894 жыл бұрын
nabarikiwa sana na huu wimbo
@EmmanuelSIBANZA11 ай бұрын
Cette chanson m'inspire et me fait pleurer 😢😢
@jumayesaya14 сағат бұрын
Tuko wengi 2021
@amyamina50124 жыл бұрын
I love this song...thanks for PRODUCER
@henrykinga98254 жыл бұрын
Heko to their producer and editor
@ThomasMasau9 ай бұрын
Napenda sana sana sana❤❤❤❤
@ANOPHRINEDESDEUS7 ай бұрын
Looh! Nostalgia 😢
@tittoskeysproject19674 ай бұрын
ni nani apo kaka
@danielmathengeofficialpage40582 жыл бұрын
May the almighty God bless you people for your music is my medicine and the only immunity to any evil attack.I love you.Mmmwaaaah!
@samwelichambo80994 жыл бұрын
Mmenikumbusha mbal xana tabata god bles you
@yvonnemumo55003 жыл бұрын
My love for this song😍
@AmosSikah11 ай бұрын
Ooh Hallelujah....!!
@miriamakilimali7696 Жыл бұрын
Mungu azidi kubariki
@elizabethmunga50353 жыл бұрын
Woow you people ur blessed love ur songs so blessing
@phinawatwego72604 жыл бұрын
Mkono wa Bwana umejaaa neema nyingi.
@amyamina50124 жыл бұрын
Mkono wa bwana umejaa neema..very nice song
@mtaithomas38269 ай бұрын
The best song ever
@EliaJoseph-vo8hq7 ай бұрын
😊😊
@ralphweston68075 ай бұрын
Toka utotoni had Leo 24❤
@DOMINICROTICH-r7x5 ай бұрын
What a wonderful song 💖❤❤ be blessed all
@mancasterkilungya69803 жыл бұрын
This is powerful. Have never been blessed this much in the morning. My day gonna be fantastic ❤️
@phinawatwego72604 жыл бұрын
Kijivuna na kiburi, moto utawaangamizaaa
@magrethhussein98085 жыл бұрын
amina
@julianakabanza26174 жыл бұрын
Eeh Mungu ee ee baba tunakutukuza
@titohaule47582 жыл бұрын
AMINA WANA WAMUNGU KWA KULITANGAZA JINA LAKE MUMBA MUNGU AWAPE NGUVU ZA MAISHA MEMA NASEMA🙏
@NicholasMbai-uw4bx7 ай бұрын
Natamani ningeusikiza kila saa
@jeniphajohn58272 жыл бұрын
Haluuuuuuuuuuuyaaaaaaaa
@halfanhassan40114 жыл бұрын
Ahsant mungu wangu kwa kila pumzi
@princes6045 Жыл бұрын
Always it's new!
@sistusjohn10353 жыл бұрын
Asante kwa nyimbo nzuri
@jacquelinembelwa13353 жыл бұрын
Amen Mungu tunakushuru
@mbuyamakonyu28613 жыл бұрын
Nawapenda sana wana wa kunyatanyata
@norbertlucas41444 жыл бұрын
Hongereni kw kazi nzuri..
@alexemanuel52875 жыл бұрын
Hakika Mungu niwakushukuriwa matendo yake nimakuu sana
@realmorrish.travolta55964 жыл бұрын
Hakika huu wimbo in poa sana
@mmuruericka37024 жыл бұрын
2020,nabarkiwa sn,Mungu awabark waimbaji
@justonmasebo25282 жыл бұрын
Watching from vwawa 2022
@AndrewMsml7 ай бұрын
Bado nipo
@lydiajackson80818 ай бұрын
This is wooow naeza pata contact za huyu kaka
@halfanhassan40114 жыл бұрын
Baba hareluuuyaaaaa
@KumburuMangwaru3 ай бұрын
Kwaya hii kuna albam yao walimba wimbo siukumbuki jina,ila baadhi ya maneno yake,wanaimba,ee bwana twaomba msamaha na kuna mtu anaimba kama kama wimbo wa mwanadamu,anaye ukumbuka anikumbushe jina la albam au wimbo,