Рет қаралды 71
KKKT Kipunguni B Lutheran Church
Washarika waliikaribia madhabahu kuombea Familia zao ili Mungu awavushe kuingia mwaka 2025, awalinde na awawezeshe tarehe 26/12/2025 waikaribie tena madhabahu kumshukuru Mungu.