Najisikia baraka sana kumtumikia MUNGU pamoja nanyi. Ninyi watu mna mafuta ya kipekee sana na Neema ya aina yake linapokuja suala la KUMSIFU NA KUCHEZA MBELE ZA MUNGU. Ahsanteni kwa kunishirikisha nami.🙏🏾
@salimuziq8994 Жыл бұрын
❤aaah eliya mafuta yako ooh iko juu Mungu akuzidishie
@munyaradziwasara584210 ай бұрын
Kadance kaSulu
@pharesmwema76 ай бұрын
So blessing, I loved your part mostly.
@elizabethclement76446 ай бұрын
Amen Jina la Bwana litukuzwee❤❤,nimebarikiwa na Bwanaaaaaa😂😂😂
@kambavibeconnect Жыл бұрын
SEBEN OF THE YEAR 2023 -2024 . IS AGAPE BAND . Samia suluhu do something to this band . Much love from kenya
@valentineasige10 ай бұрын
This is my favourite African band so far😂😂😂 that pause,more great years of ministry ,huduma yenu inagusa
@robertamas7338 Жыл бұрын
Agape nyimbo zote ni kama mmenitungia mimi ndo maana huwa ninaonekana kuchanganyikiwa nikiwa kwenye Ibada zenu na ninamshukuru Mungu filimbi zangu zote zimeingia kwenye nyimbo
@Patinka55810 ай бұрын
Mimi hukuona Kenya video zote na filimbi yako ndugu wewe unibariki na Vile wewe kucheza nakutafuta Kenya video zote za agape mungu akubariki
@IreneHongoa9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@gamuchiraimangandu60727 ай бұрын
😮😮
@gamuchiraimangandu60727 ай бұрын
@@IreneHongoa
@Itszena_dsn4 ай бұрын
Haibooo❤❤❤❤❤
@GIDIONMWAIHOLA Жыл бұрын
Jmn kwan Yesu n raha sana aliesema tuliokoka tunatesek nan?kww mamb kam hay 🔥🔥🔥tunamfurahia Bwana wetu
@rosemwiti6295 Жыл бұрын
From Kenya, dancing and being blessed. Umenifanya mbarikiwa Yesu... Amen 🙌🇰🇪🇰🇪
@matthewssilwimba Жыл бұрын
l love the drummer, Matthews watching from Zambia
@SamsonMsafili Жыл бұрын
Is so Genius 🎉
@audreymaringa864110 ай бұрын
This is a very nice song, and the energy is unmatched; the sound is out of this world; who knew praising God could be this fun. I approve from Zimbabwe.
@ReyKatta9 ай бұрын
Vanogona
@audreymaringa86419 ай бұрын
@@ReyKatta its amazing, i just wish one day they will have a show in zimbabwe.
@ReyKatta9 ай бұрын
@@audreymaringa8641 taura hako
@johnmogella Жыл бұрын
Drummer Drummer Drummer kuna vikiki kazichapa ni outstanding
@jasonbournenyange1144 Жыл бұрын
Guys this is heaven on earth .... Its sooo fire ... Eliya Tusekege Andendekisye Mwantondo Shikamoo buda
@davoujoshua05-yq7hb5 ай бұрын
Na this drummer will play in heaven guy is too professional ❤❤❤❤
@GloireBarzilay4 ай бұрын
From Suède 🇸🇪 Najikuta na anza ku danse kwenye Train full Upako ❤🙏
@sii63803 ай бұрын
Why do these songs of praise haven’t reached a million views?!😳
@kalulutv3638 Жыл бұрын
Mwaka jana mzima Nilikuwa na lile dude letu la amejibu maombi. Mwaka huu niko na Huu wimbo 🙌🏿 …. Kipindi unatoka 2023 siku wahi kuuelewa wala kuupenda nikaendelea na jingle langu la Amejibu Maombi. 2024 nikawa na play zangu huku nafanya zangu kazi… Aah naona mbona message kubwa sana 😂…. Niseme ndio limekuwa jingle langu 2024. Upendo kutoka St.Petersburg , Duniani ❤
@kwizeraaimelambert83484 ай бұрын
why no one it talking about the front row dancers be blessed guys 🙏🙏
@majormanaseh5668 Жыл бұрын
The drummer aiii🙌🔥🔥🔥🔥
@kebby02237 ай бұрын
The bassist and the drummer yho.. guys chill, the 🔥 is too much... Much love from 🇿🇲..
@mavungatrevor11 ай бұрын
🇿🇼🇿🇼 Zimbabwe approves🇿🇼🇿🇼
@ReyKatta9 ай бұрын
Wanakirwaka
@simangalisomawoyo584111 ай бұрын
Naruka kama tai ayi this songs hits different inside me.🇿🇼🇿🇼🇿🇼 love you guys from the republic of Zimbabwe 🙏
@ReyKatta9 ай бұрын
Tochimhanya ne Shona here?
@MiriamMisheck-zc1gtАй бұрын
HALLELUJAH 🙌🙌🙌,,MUCH LOVE FROM KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mwaikadu747410 ай бұрын
The best in East Africa .much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rulebudodo2301Ай бұрын
Agape familia yangu, Mungu azidi kuwabariki.
@DecrisDavid4 ай бұрын
From DRC CONGO aiseee uyu jamaa kwenye drum aaah noma sana ! Uyu si wadunia hii kbs
@fenwickmabele6382Ай бұрын
The drummer deserves a raise, he went crazy on this one 🔥🔥🔥
@Johnchrisgalleria9 ай бұрын
watching from Nigeria...that Leadist ... u got my thumbs up bro...u swept me off my feet...la la soh soh mi la la soh soh fah...that line i kept listening to it over an over ...i love that line...the basist...my brother in arms...i can't forget you baseline...drummer...excelent
@lulukennedy611410 ай бұрын
Mimi ni SDA, vile napenda nyimbo zenu imevuka mpaka kabisa. Nabarikiwa nikidance😂
@vickysaginy61159 ай бұрын
😅😅😅
@dannienimrod8713 Жыл бұрын
Jamani hivi kweli kabisa mbele ya yote...huu wimbo unastahili more than 10M views!! Music director amefanya nimefurahi hadi nikatoa machozi..hivi mnajua utamu ulio kwenye hizi arrangements nyi watu? Hans drummer na JP Bass mumetisha zaidi ya moto wa umeme na petroli. Where have your guys been cause this team feels like it comes from another planet!! ❤️
@reginahngwili99117 ай бұрын
All the night clubs are going down in Jesus name. Soar like an eagle, Agape band is taking over. God's got your back, twende kazi!
@21timegoated Жыл бұрын
CONGO TO THE WORLD 🇨🇩
@KENNEDYSIMIYU-kr8xs4 ай бұрын
Natamani kujiunga na nyinyi one day
@felistamaina53802 ай бұрын
Nawapenda ❤Tena sana ninafurahia mungu anawatumia kurejesha tumaini la wengi waliopoteza tumaini hakika nyie mmatunda Joy,
@pastorygumiye9073 Жыл бұрын
These guys are 🔥🔥🔥🙌, Tanzania is blessed to have you Watumishi wa Mungu. Keep the gospel alive to the world
@ZeAniamalTV Жыл бұрын
Amen brother in Christ
@BarakaWaya Жыл бұрын
Bass Bass Bass 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@AgnesLucas-qw3yi Жыл бұрын
Ayiiiiii nyie watu Mungu awabariki hii asee mmenibarki
@cvgpraysing5841 Жыл бұрын
The skin, the arrangement, and the accompaniment, the breaks💥💥💥💥💥💥💥. Sebene Kitoko
@EstherMark-pd9tj Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪in high five ✋✋✋
@Hudson.israel5 ай бұрын
You can know that a song is so nice and a blessing when people that didn't know that meaning vibe to it. I have been dancing to it till I had to come here to watch it. Much love from Uganda.
@DannyTweyemene8 ай бұрын
Je vous aimes depuis la Rdc🇨🇩🇨🇩
@jireh73316 ай бұрын
Watching from Botswana 🇧🇼 ,my husband is a base guitarist. I find myself praising with you guys wow..
@igafred32327 ай бұрын
I enjoy Agape Gospel band from Uganda, the energy, sound and praises are awesome!
@alainmwangilwa25059 ай бұрын
Kuko damu Yaki congomani ndani yenu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@LilianJulius-px9qh Жыл бұрын
Me jaman nawapenda bureeeee tuuuu Mungu awainue zaid sana
@davidkyalo36523 ай бұрын
Victor Maestro pamoja naye Eliya Mwatondo, nehema mzidishiwe, God bless Agape Gospel Band
@benedictakiara72003 ай бұрын
Moto kama pasi ya makaa. Big up from 🇰🇪. Kazi safi. Eneza injili.🎉
@victorkisaka9756 Жыл бұрын
Naruka kama tai🇰🇪🇰🇪
@benjaminmukeshimana96811 ай бұрын
Nyimbo hii imebadirika my breakfast, lunch and super. M alikiwe. Tunawapenda kutoka Kigali Rwanda. Tunaamini kwamba siku Moja mtatutembelea Kigali iki tuluke kama tai
@ElvinaNdundiКүн бұрын
Hee guys more blessings your service is a blessing to me also much love
@lemayianleyian2883 Жыл бұрын
Yaani sijui hata nifanyeje maana kwa gear hii ni kama nitahamia TZ 1. Elia Mwatondo shikamoo, 2. Music Director hii nayo Moto fire. 3. Drumist n basist congratulations are in order. 4. Maestro and the entire team nimewavulia kofia, tai, soksi...mbarikiwe sana YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU.
@FlorenciaKazimotoАй бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@upendomkuwele-m9mАй бұрын
Karibu sana TZ ni Pazuri saana❤❤
@Louis.B2244 ай бұрын
Watching from 🇳🇬 love you guys
@HURUMAESAUKIHOMBO9 ай бұрын
Wimbo mzuri sana mbarikiwe sana Mungu amenitoa njombe kwenye baridi ame nileta Dar 😂
@richwellchingwalo46193 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤the chemistry of the drummer and Bass man yooooh😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤😂😂 keep it up guys
@missionerRod13 күн бұрын
wambiye wambiye , nabarikiwa nabwana yee
@chrislaw89939 ай бұрын
Mnanipa nguvu ya kutaka kufika kwa hio level yenu ya uimbaji
@bensonnyagaka6165 Жыл бұрын
am not going offline till i tap this one
@JulistaHillary-dd6zv Жыл бұрын
Nahisi kama Niko humo ndani ya video nacheza😂😂😂😂❤❤❤❤
@SolomonAbila-tw3qf9 ай бұрын
I love the band so much,may God continue lifting you up,you are the best gospel band all round,we need you in Kenya,Victor maestro and JP the director you are driving me crazy with the power you guys are demostrating waaah be blessed
@faitheliud94039 күн бұрын
aaaiiii kaka zangu naona mnakatika mpaka naskia raha lakini huyu drummist apewe likes jamaniii❤🔥❤🔥💯
@danielbushambale2133 Жыл бұрын
Mubari wapendwa i love you so much brothers and sisters tumebarikiwa nabwana kabisa basizani kama mwanadamu anaweza kubari yeyote ni Mungu peke yake❤❤❤❤❤❤❤
@NgendoMuratwa10 ай бұрын
The whisting guy kill me like crazy 😊
@missionerRod23 күн бұрын
powerful satasahu umenitoa mbali @Agape Gospel listening from Zimbabwe
@evangitetaylor14356 ай бұрын
the guy that plays the whistle 🤝👏👏👏👏
@bettybaraka492811 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Listening from 🇬🇧🇬🇧
@ThomasAntony-dl4gm13 күн бұрын
So wonderful
@brendaabaine76188 ай бұрын
Am copying your dance steps slowly slowly am in love with your music, much love from Uganda 🇺🇬 may God bless you
@diananjeri522911 ай бұрын
This song is on repeat 🔥.Thank you Agape for Blessing us, God awa Bless pia nanyi.much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AlphaProZambia Жыл бұрын
Nice 👍🎉❤❤❤. You are always on point 💕☝️ God bless you all
@bernardkoseso50082 ай бұрын
Kwa Yesu kuna raha jamani❤
@joshuamungai6749 Жыл бұрын
Ooooh yes naruka asante AGB KEEP UP😁😁
@kenjunior344310 ай бұрын
Mumebarikiwa sana Agape gospels muendelee kusambaza neno la bwana mungu azidi kuwapa nguvu 🙏.........
@atumwanjala2802 Жыл бұрын
Everything on point,melody, rhymes, Instrument arrangements..fantastic.
@medrinebayo3833 Жыл бұрын
Maestroooooooo🎉 Kuna Mungu amekubariki the vocals 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 God bless you AGB
@ikoboyloly58152 ай бұрын
Watching in December 2024 I'm blessed 🙌 Big love ❤ from South Sudan 🇸🇸 ❤
@Jay-dd5cv9 ай бұрын
The drummer bruv 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥he’s so flawless magnificent
@aduvwaedwin4693 Жыл бұрын
Powerful ministration. Getting the Song fro kakamega Kenya thank you Agape🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JobTopcare Жыл бұрын
Drummer 🔥🔥🔥🔥
@ElieMunepo Жыл бұрын
Baraka sana 👏🏾🇨🇩
@bernardkamau9844 Жыл бұрын
That bass lick at 10:15 ❤❤🔥🔥🔥 Salute to you JP Bass 🎸🎸🫡🫡
@princepeter6799 ай бұрын
Huyo mwache ni wa essence
@ReyKatta9 ай бұрын
Aza Bon ❤
@kambavibeconnect Жыл бұрын
Everything is on point . Big up to 1. Dresscode designer . 2. Hug drummer on my behalf 3. Publicity guys 4. Bassist 5. Duet is on another level . Much blessing from kenya , I love this ,#Skng of the year 🎉❤❤❤, just on repeat mode , we need another for the new year
@isaacandechesnr4754 Жыл бұрын
Ahaha. 😂🤪😜🙈🙈 the wizard drummer does it again; gosh I’m blessed to have subscribed on this channel
@davoujoshua05-yq7hb5 ай бұрын
Boss that drummer go play for heaven praises band
@Ezechiel12285 ай бұрын
Depuis Kinshasa, nous célébrons Dieu avec vous....
@patientkatende78212 ай бұрын
Non mais vous êtes trop forts ❤🎉😂🇨🇩
@eliakimmwangu73109 ай бұрын
The drummer❤❤❤❤❤❤
@elizabethhange9638 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na Bwana
@John95177 Жыл бұрын
Mwantondo is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥ndani ya agape band... Hakika nimefanywa kuwa mbarikiwa🙏🙏🙏🙏💓🎸🎸
@hill_billionaire8 ай бұрын
Mi mi si yo yu le wa jana umenifanya wa juu sana💙💙
@barakachristopher2504 Жыл бұрын
Jamaa wa solo gita ni moto sana
@loneranger6119Ай бұрын
Ngoma safi iliyoenda shule.
@aswalachrispinegin9675 Жыл бұрын
This is beyond human understanding 🔥😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@oscarmvuyekule18858 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana , wapiga vyombo nao wako fire ile hatare. Nimejikuta nausikiliza wimbo kutwa nzima.
@justinmunfanolukonge9081 Жыл бұрын
Muziki muzuri wa kishindo kabisa. Mubarikiwe sana Agape!!
@elviskanani998210 ай бұрын
In Kenya 🇰🇪 we're blessed... Moto ya Zambe
@lovenessn17 ай бұрын
I might not understand this language but man this is fire😂❤❤❤❤❤from Zambia
@fideanyenga544811 ай бұрын
Yani nimebarikiwa sana🙌🙌🙌 instrumentalists always understands the assignment
@charlesnjau2423 Жыл бұрын
Amen, Amen , mbarikiwe sana!
@joshcharlze Жыл бұрын
Huu moto ni mkali sana..! Mungu awabariki sana fam 🔥🔥🔥🔥
@loveynbaraza1870 Жыл бұрын
From Kenya, these songs have been ministering to me Al throughout the past few months❤. Mungu awabariki sana @Agapegospelband #Narukakamatai #Waambienimebarikiwa
@A_proff Жыл бұрын
Ngoma ni motoooooo🫠🫠🤭.,, Good work Agape Gospel Band na Eliya.,Mungu azidi kuwabariki.,Lets stay blessed.,, Mulolooooooo 🗣
@annakaleshu5393 Жыл бұрын
Eliya tunamis uwepo wako huku Ars
@MiriamMisheck-zc1gtАй бұрын
The Drumist is 🔥🔥🔥
@petermutua8212 Жыл бұрын
Hii ni nayo ni hatariiiii😊🔥🔥🔥🔥
@kalebuernest1662 Жыл бұрын
Hance ipo siku utatuuaaaa babaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🥁🥁🥁🥁🥁 hio intro kwenye 5.46 ni kibokooooo
@ministerdamah2543 ай бұрын
Great mix with Elijah ..victor maestro and ngelelo... combination cjui itakua aje