Рет қаралды 1,052,384
Waebrania 11:1
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
HALLO MBINGUNI ni tendo la Imani Mbele za Mungu wetu,
Ni njia yakuzungumza na MUNGU kwa habari ya matarajio ya moyo wako,
Unataka Mungu afanye Nini kwaajili yako mwaka huu 2023 ??
Je ! Ni ndoa ?
Ni gari ?
Nikumiliki Nyumba ?
Ni uponyaji ?
Ni Biashara ?
Piga simu Mbinguni tuzungumze na mbingu kwa habari ya hitaji lako mwaka huu 2023 .
Yeremia 33:3
Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
Main keys : Innocent Justice
Aux keys : Maestro Keys
Lead guitarist: Kaz Benjamin (MD)
Bass guitar : OfficialJohnKaz(JP)
Drummer : Baraka ngowi
BGVs
Soprano :
Neema Mlay
Joycelyne Bryson
Alto :
Hannah Malu
Victor Bakenda
Tenor :
Jonas Moshi
Daniel Bahizire
Victor maestro
Sound engineering & Capturing by Mujwahuki
Mixing and mastering by Baraka Ngowi
Video Director : Amigo Johnson, AMIJOJI
Venue : Reality of Christ Church (ROC)
Back Line : HaddyPro company limited
PA : ROC
Lights : HaddyPro
C.E.O Agape Gospel Band: JP John Peter.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital