Рет қаралды 252,764
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu unaotukumbusha ahadi za Mungu na mawazo yake mema katika maisha yetu ili tuendelee kumwomba na kumtumaini siku zote.
Wimbo: Ahadi za Mungu
Mtunzi: Thomas Joseph
Waimbaji: St Pauls Student Choir
Audio and Video: Rajo Productions
Kindly share, like, comment, and subscribe