Nyimbo nzr hakika 2024 kma umeimbwa leo mbarikiwe sana
@TateMeta6 ай бұрын
❤
@neemamadimilo44797 күн бұрын
❤
@nefrodimponzi51562 жыл бұрын
Nimependa sana kama upo pamoja na mm gonga like 👍😭😭😭😭😭😭
@emmyashacha8729 Жыл бұрын
Congratulation
@thomasyothamu-xo4hy Жыл бұрын
Like
@JimmyNathani7 ай бұрын
😊😅😅😊@@thomasyothamu-xo4hy
@amosbosire671510 ай бұрын
Kila nikaingia u tube huu ndio wimbo wa kwanza kuucheza....thanks be to you Ooh Lord 🙏
@ZIPPORAHMWENDE-bb5ze2 ай бұрын
Ni 2024,na huu wimbo unanibariki zaidi"anitisha ili nisimuone bwana lakini nimejitoa kwa moyo wangu wote liwalo na liwe😭,halleluya
@violetkemuma2231Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏Shalom
@deboraelias3333 Жыл бұрын
Kanitisha ili nisikuone Bwana,, Lakini nimejitoa kwa Moyo wang wote liwalo na liwe. Huu msitari huwa unanitoa machozi maana shetani amenitisha kwa mengi sana kiac cha kufa, Ila namshukru Mungu kwa kunipigania. Hii ni 2023 najua siko peke angu kweny kusikiliza huu wimbo
@jensennashon61479 ай бұрын
Namkumbuka sana marehemu JOSEPHAT akiwa anabubujika na sauti nyororo hapo.. Mungu amuangazie mwanga wa milele...AMINA
@banbutita8 ай бұрын
👍
@EliwadaKikoti2 ай бұрын
Amina sote safar moja
@DianaNyagawa-b7y2 ай бұрын
Ameen
@gospelguest6942 ай бұрын
Nimejaribu kumuangalia aliyefariki sijamjua
@DianaNyagawa-b7y2 ай бұрын
@@gospelguest694 huyo mkaka mweusi mwenye sharubu mwembamba alikuwa afande
@abrahamjesse48003 жыл бұрын
Wiki nzima hii kila nikiingia mtandaoni lazima nisikilize huu wimbo,narudia na kurudia kila wakati,natafakari na kutafakari....
@sophiamniko45602 жыл бұрын
Pp
@jobburiro3998 Жыл бұрын
Wimbo unaobariki
@rachelkyando888 Жыл бұрын
Pamoja
@martinvaati5338Ай бұрын
This song will never get old...nupenda kuusikiliza huu wimbo sana🙏🙏
@kennedymaithya3584 Жыл бұрын
This song deserves more than a million views by now.
@joshuajeremia3045 Жыл бұрын
nalilia uzima saa 8 usiku huu dec 23
@kokimusic8 ай бұрын
2024 Na bado nabarikiwa.
@KevinOdhiambo-u6u17 күн бұрын
So beautiful song
@josephkisaro13772 жыл бұрын
Wimbo mzuri, na wenye kutuimarisha Kiroho..Mbarikiwe sana waimbaji wetu...
@jaelmaina712 ай бұрын
Glory to Jehovah Yaweh. Thanks so much Aic shinyanga. At 3 am I was reminded of this song, and I went straight to KZbin for it. To this minute I am on duty but I have played more than 20 times. Tears rolling my cheeks. IT'S MY SONG PERSONALLY. GOD BLESS YOU SHINYANGA'S. THIS IS ME. GOD HELP ME
@Africansafari6428 Жыл бұрын
I like this sweet, beautiful song ..well done AIC Shinganya..May the LORD bless you Abundantly 🙏🙏 watching from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖
@sophiamwaipopo307210 ай бұрын
Naomba mmuweke na wimbo wa achana na uovu
@fridajohnjohntibo4761 Жыл бұрын
Ni wimbo mzuri unaokonga nyoyo za watu na kuturejesha kwa mwenyezi mungu.mungu awabariki sans wapendwa katika mungu
@giftedgiftchannel65533 жыл бұрын
Napenda sana huu wimbo.i watch every time
@mirajisalehe7422 жыл бұрын
Wanawake jitakaseni mnailba vizuri sana lakizi Mwokozi Yesu hapenendezwi na mawigi na manywele ya Bandia ya kishetani. Na tatizo Hilo hata afufuke mtu kutoka Kwa wafu awaelezee haWawezi kuelewa Hadi watakatupwa jehannamu.
@MARTHASENDE11 ай бұрын
Asanteni kwa nyimbo nzuri
@SilasStanwell Жыл бұрын
Ameniii kila aliyeshiri kwenye hii kazi mungu wetu wambinguni amkumbuke amuongezee miaka yakuishi
@janneferisaya839 күн бұрын
Mungu Asante nimeweza kuisikiliza tena hii nyimbo mwaka 2024 /12/5🙏🏽🙏
@DevidNgosiyoАй бұрын
Hakika wimbo huu wa aic shinyanga, naulilia uzima umenibariki sana sana Mimi na familia yangu yote, hapa Arusha Tanzania, hakika Yesu ndio Bwana Wangu wa Uzima,! Amen.❤
@alphayomogunde7828 Жыл бұрын
Nami nawapongeza kwa nyimbo zenyu mzuri kweli kweli, najiishi mbinguni kwa Mungu wetu!.
@BlindaWanyonyiАй бұрын
2024 huu wimbo wanipa tumaini ya kuishi tena
@cardiana_6 ай бұрын
2024-2030 am still blessed with the song 🎉
@violetkemuma2231Ай бұрын
My prayer song 😭😭😭😭😭 huu wimbo hunipa matumani ninapo kuwa kwenye majaribu,Yesu ni Nuru yangu,siogopi kitu yeye ni Ngome yangu🙏🙏🙏
@yusnafimbo73843 жыл бұрын
Poleni sana kwa msiba wa mtumishi mwenzenu
@happynessnoah60052 жыл бұрын
Jmn kumbe walifiwa😭😭
@levisninkunda41522 жыл бұрын
Uwimbo huu ninaupenda sana
@kennedykondowe4604 Жыл бұрын
Wimbo unangusa sana, mungu awabariki naangaria kutoka capetown, south africa
@japhetmasai9954 Жыл бұрын
Huu wimbo umeifanya siku yangu inaenda vizuri sana mungu awabariki aic shinyanga choir amen 🙏
@MbawalaFranco Жыл бұрын
napenda sana wimbo huu kwa kwel mngu awabaliki 🎉🎉🎉🎉
@ariseandshine5 ай бұрын
This song right here, , , it is spiritual warfare! Grateful to have you Holy Spirit ❤
@Cecilkeytnyoh4 ай бұрын
Nalilia uzima wa milele🙏🤗
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana ninyi nyote muliohusika katika wimbo huu Yesu Kristo wakumbuke watumishi wako Bwana Amen.
@RaphaelMulei-ev7qy Жыл бұрын
Kwa sauti zenu wengi naamini wameweza kuokolewa kutokana na nyimbo zenu nzuri
@hiltrudaqamunga73792 жыл бұрын
Haleluyaa,wimbo huu napousikiliza natafakari sana maisha yangu ya wengine.Mungu tusaidie
@bethuelkiberen37512 жыл бұрын
Wimbo mzuri unaoguza kabisaa...Ahsanteni wanakwaya.mungu awabariki Sana.
@uwarezwenezadelphine94973 ай бұрын
Shinyanga amen mubalikiwe sana (ahadi choir Rwanda Rubavu)
@ibrahimhoke20832 ай бұрын
uzima wa milele unapatikana Kwa kumwamini Yesu tu na hakuna mtu ataupata uzima wa milele Kwa juhudu zake au kujiokoa
@simpassagrace6907 Жыл бұрын
Hallelujah sitothubutu kumwacha Mungu wangu maana Mungu ni uzima wangu.i real enjoying the life with my Jesus
@aughstusmasila86732 жыл бұрын
Amen amen 🙏 🙌 👏 barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen 🙏 🙌 👏
@AdonisSifa8 ай бұрын
Siku moja Natamani nmpe Magreth Magenda zawadi. Hongera for 1M
@erickmeshac31355 ай бұрын
She deserves
@teresiayohana13302 жыл бұрын
Yesu ni ushindi namtegemea yeye katika Kila jambo
@happylonhambi861 Жыл бұрын
Nimshnd cku zote kwangu sitaogopa chochote bwana you pamoja Nam mubarikiwe wa kwetu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@margarethMwegalawa3 ай бұрын
Hii kwaya nyimbo zake zote zina upako hata ule WA Bwana WA majeshi
@reubenmasseri67632 жыл бұрын
Mungu akubarik Sana .. nyimbo yenu Mimi naipenda Sana na sichoki kuirudiaa Mara kwa Mara .... Mbarikiwe .. ...
@stevenamamasamia Жыл бұрын
nyimbo hii imenibariki sana
@mgalamavenance-ss6lf9 ай бұрын
Hawa jamaa wanaimba bass ni hatarii
@MariamSalehe-kk9lj7 ай бұрын
Mungu azid kuwatumia aic shinyanga nawapenda sana
@SarahLameck-sy9yq Жыл бұрын
Xan yaan nabarikiwa cn
@rehemaagrey80382 жыл бұрын
Jamani Mungu awabariki sana nabarikiwa sana na huku wimbo
@amirilupembe21642 жыл бұрын
Asante yesu kwa kila anaye fanya kazi yako
@MariamJonas-k5s5 ай бұрын
Mbarikiwe watumishi wamungu kwawimbo wenu mzuri
@dushagarimanaemmanuel352 жыл бұрын
Wimbo mzuri kabisa.Mwenyezi Mungu awaendelezee kipawa cha kumwimbia.
@js5abooki8555 ай бұрын
Nishaa sema choir ndo zilikua naimba gospel zakubariki sio hao wafanya biashara na injili 😊
@Mutheu-k7l5 ай бұрын
Naipenda xana uu wimbo ,nalilia uzima ❤❤barikiweni xana
@jonathansenkondo80937 ай бұрын
Kati ya nyimbo bora zilizowahi kuimbwa🙏
@diocleskishambaa6 ай бұрын
Nimependa wimbo pamoja na staili yao.mbalikiwe
@AmosPastorykachely5 ай бұрын
Napokea upako ninapokuwa nasikiliza nyimbo hizi
@zacharyonchiri4710Ай бұрын
Feeling blessed from Wisconsin USA
@jons96184 ай бұрын
Moja ya nyimbo ninazo zipenda sana mbarikiwe sana
@shirleyngina9543 ай бұрын
Wimbo unatia watu katika hii safari ya mbinguni
@AlexNyanga-wz4ob Жыл бұрын
Yani haitachuja hii mpaka ajapo bw yesu
@CyrilloMabula6 ай бұрын
Nawapenda AIC shy,huu wimbo unanibariki sana,
@SteveJuma-j7p5 ай бұрын
Nivizuri Sana kumulilia mungu❤❤❤❤❤❤
@annmtaua1910 Жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana na wimbo huu nalilia uzima🙏
@belykasasa84773 жыл бұрын
Bwana awabariki hakika wimbo huu umenibariki ameni
@andersonkorir Жыл бұрын
This is what my heart needs❤❤ love from kenya 🇰🇪 🇰🇪
@fidelismutune35962 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏
@LucasSebastian-r3o3 ай бұрын
Mungu awabariki kwa kumhubiri kristo Yesu
@venaszablon57643 жыл бұрын
Huwa unanifaliji wimbo huu,,mubalikiwe
@gladnessundole49503 жыл бұрын
Mage au
@VeronicaWasai4 ай бұрын
Ameni nimebarikiwa na hu Wimbo sana mawaompea mwendele na hiyo Neema❤
@boyochu13082 жыл бұрын
Nalilia uzima kutoka kwa bwana
@neemamatayomasanyiwa1658 Жыл бұрын
Nyimbo tamu sana ameeen😊
@AnnaniaKillabuko3 ай бұрын
Nimeupenda sana Wimborne huu ❤❤❤. Hongereni sana waimbaji
@NicholasNgelu-k7r11 ай бұрын
Very nice
@peninahwanjiru-y4f6 ай бұрын
WADAU,GOD BLESS YOU ALL ❤❤❤
@jacksondismas41092 ай бұрын
Mzee sabuni hongera kwa kazi nzur
@MetrineNekesa-gv9el5 ай бұрын
Amen mzuri sana nimependa
@AyubuAbduly5 ай бұрын
Mungu awabariki sana❤❤❤❤❤❤❤❤
@dushimimanamilliam18 күн бұрын
mungu umetulinda twakushukuru, twakuwomba sana
@isackmrutu51503 ай бұрын
Nyimbo nzuri sanaa❤
@hilarikway4552 Жыл бұрын
Sana tu
@vivianaroni93954 ай бұрын
Nalilia uzima kutoka kwa Bwana ili nikaishi naye katika uzima, uzima wa milele. Amina.
@wagrandykez4570 Жыл бұрын
2023...october 1..
@danielmathengeofficialpage40582 жыл бұрын
Brothers and sisters in Christ you've always been inspiration whenever I listen to your music 🎼. High high !
@collinsmaundu6873 жыл бұрын
Sincerely, this song makes my mornings very bright and joyful.
@OznaNdala Жыл бұрын
Naupenda huu wimbo nikiusikiliza namkumbuka baba alikua anasikiliza kilasiku 😢😢
@UlumbiElibariki-bj5ob Жыл бұрын
Yaani huu wimbo sijui niuelezeje jamani mbarikiwe sana watumishi wa Mungu na barikiwa sana na huu wimbo
@eunicenyenge5177 Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu mbarikiwe Sana napata faraja Sana Kila ninaposikiliza wimbo huu
@joshuakisoi775813 күн бұрын
It still blesses me. Jesus is ever new
@mwaminiemmanuel4338 Жыл бұрын
N bora kubaki na huyu yesu kwasabbu ukiwa nae unakua salama
@NdelisoMateru Жыл бұрын
Weee. Kuna dada mmoja hapo ana imbaaa weeeeeee.🎉🎉
@edwinfelix6298 Жыл бұрын
Akika bwana ndio mtuliza moyo wangu akuna mwingine kama bwana yesu yesu ndio mwanga katika Dunia wa milele na milele yesu kanifanha niwe na uruma niwe mvumilivu kwake mimi na ishi amee
@omondiguya99773 жыл бұрын
Yesu ni Nuru moyoni mwangu, Yesu ni uzima wangu......
@mwajumayona76082 жыл бұрын
Kwa kweli Kwa yesu ni raha
@julietmoonka71554 жыл бұрын
Ameen. Naomba mu upload wimbo wa pigo la fainali tafadhali. Mbarikiwe
@aicshinyangachoirofficialp34824 жыл бұрын
Amina. Tunafanyia kazi. Endelea kutufatilia
@sifakiteve59273 жыл бұрын
@@aicshinyangachoirofficialp3482 wekeni wimbo wa pigo la fainali muloufanyia video mwanzo uliwekwa mkautoa pls pls wekeni watumishi naupenda mno
@neyney39222 ай бұрын
Barikiwa sana nawapenda mno
@metrinenorega831711 ай бұрын
2023 still watching 😊
@KatyaKiripi2 ай бұрын
Asanteni kazi njema mama
@dennismwilu76672 жыл бұрын
The song is such a blessing...keep up the work of God.
@MetrineGalelwa Жыл бұрын
These song inspires me very much, I plays always whenever I feels bored 🙏🙏🙏