Mawaidha. Prt. 2 By Wanafunzi wa Sheikh Nurdin Kishki Wa Dsm Tanzania.avi

  Рет қаралды 91,139

ahlusunawaltowhiid

ahlusunawaltowhiid

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@DjumaAsha
@DjumaAsha Жыл бұрын
Ma sha Allah Tabaarakallah Furaha hadi machozi ❤❤❤Allah atuongozee vizazi vyetu vilivyo hai na vitakavyo kuja pia Awajaze kheri mashekh zetu watukufu
@saudaameir7915
@saudaameir7915 12 жыл бұрын
Mashallah! Namuomba Allah amjaze kheri huyu mtoto na awawezeshe Mashekhe wetu wazidi kutuelimisha. Ameen.
@hamadaahmed70
@hamadaahmed70 9 жыл бұрын
jazakallah kheir sheikh nurdeen na wanafunzi wako. mungu awazidishie hivyo hivyo kufundisha na kuelimisha watu kuhusu dini ya kiislamu. mungu awaandalie pepo ya firdaus na waislamu kwa jumla na jirani zetu mitume wotee inshallah
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 8 жыл бұрын
Maaasha Allah!!! Sheikh Kishki Allah akuandalie makazi meka peponi na wazazi wako na wanafunzi wako kwa kazi unayoifanya. malipo yako utayakutq akhera. Allah akujaalie ukaishi pamoja na waja wake wema fridaus pqmoja na waislam wooote wanaofuata mwendo mwema Amiin.
@ninadelina7576
@ninadelina7576 5 жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah Masha Allah Ewe mola tujalie vivazi vinye imani na kuismamiya dini ya kislamu kama uyu mtto yarabb
@AHMEDBILLO
@AHMEDBILLO 12 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu amzidishie ampe imaani ili aendelee zaidi ya hapo ampe subra na nguvu ili aweze kuendeleza dini ya kiislamu
@سيلميالقنوبي
@سيلميالقنوبي 10 жыл бұрын
Mash Allah mash Allah, Allah akuzidishie kila lakhel katik maish yako we mtoto na akuongeze upeo mkubw zaidi yahapo. Na shekhe Nurudin kwakwel m/mung akuzidishi kil lakhel. Nanin tama n mim ningekuw namtoto nimret kwako ila sijajaliw kuolew bado, ila insh allah nikirud tnznia inabid nimwambie mamy 2walete wadogo zang kwenye madrasa sako kwakweli, maan najua hawat kosa ki2 kutok kwako. Insh allah
@abdallamohd1937
@abdallamohd1937 6 жыл бұрын
Mashallah mwanafunz wa Sh. Kshk tunajionea ma2nda yako Mwenyez Mungu akufanyie wepec zaid
@amnahleilahaliloh2871
@amnahleilahaliloh2871 8 жыл бұрын
jazakaallah kher mwenyezi mungu akuzidishie nguvu iliuweze kutufunzia watoto wetu inshallah
@saumrajabo7287
@saumrajabo7287 6 жыл бұрын
Mashaallah mungu awazidishie muzidi kumjuwa yeye inshaallah
@safiamohamud3035
@safiamohamud3035 7 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah
@taqi70
@taqi70 10 жыл бұрын
masha allah --this miracle only possible in islam
@chipegwamshanga6268
@chipegwamshanga6268 6 жыл бұрын
Mashallah mungu amuongoze ishallah na amlipe, ujila mwema
@shijasagali5617
@shijasagali5617 10 жыл бұрын
Inshallah sheikh kishki endelea kuwaelimisha vijana wakiislamu ktk dini yetu ya kweli na ya haki
@fahdladen1693
@fahdladen1693 11 жыл бұрын
namuomba allah anipe mtoto kichwa kama huyu na amzidishie seif maradufu kabisa ameen
@MrBadi1979
@MrBadi1979 13 жыл бұрын
daah navutiwa na matamshi yake ya kiarabu soo nice soo nice indeed
@MrBadi1979
@MrBadi1979 13 жыл бұрын
mashallah.....mtoto kajaaliwa,,ALLAH(SWT) amzidishe elimu na fahamu zaidi,amiiiiiiin
@rucysehaba7193
@rucysehaba7193 6 жыл бұрын
mashallah Mungu ukuzdishie kheri
@mammymammy241
@mammymammy241 6 жыл бұрын
MA sha Allah yarab tujalie vizazi vya kher
@yussufabdiahmedyussufabdia9609
@yussufabdiahmedyussufabdia9609 6 жыл бұрын
Manshaallah .... Sauti nyororo...
@adalabri2791
@adalabri2791 7 жыл бұрын
mashallah mungu atujalie watoto wema
@sawdasamsan4895
@sawdasamsan4895 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah
@rahmahahmed2644
@rahmahahmed2644 9 жыл бұрын
Mashaa Allah amazing.
@fafi9092
@fafi9092 8 жыл бұрын
Mungu atujaalie vzazi vyema sio watoto wapenda katuni
@omarysaidy5524
@omarysaidy5524 3 жыл бұрын
Maasha allah
@hayfa723
@hayfa723 13 жыл бұрын
mashallah mwaidha mazuri sana
@ramadhanmohamed6433
@ramadhanmohamed6433 4 жыл бұрын
MashaAllah
@ayushjhay1979
@ayushjhay1979 3 жыл бұрын
Mashaallah
@adalabri2791
@adalabri2791 7 жыл бұрын
mwenyemzungu awaongoze hadi ukubwani kwao wawe wema kuliko
@yusuphumohammed5833
@yusuphumohammed5833 5 жыл бұрын
Mashaalah
@noerehsan8232
@noerehsan8232 8 жыл бұрын
SubhanAllah...
@hassankadio6470
@hassankadio6470 6 жыл бұрын
Allah Akbar
@sharifasalum841
@sharifasalum841 3 жыл бұрын
Jamani n sisi tuna watoto wanatumaliza mitaani kishki plz tupe number zako mwanangu anafaa kwenye dini ana nguvu lakin hajui vya kuzitumia
@mirajijuma2947
@mirajijuma2947 6 жыл бұрын
alah tunusur na matatizo ya duniani hakika ww ni m mungu wa ukweli na unapaswa kuabudiw kwa haki
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 5 жыл бұрын
Mashaallah nice
@jumamalocho2809
@jumamalocho2809 12 жыл бұрын
jazaaka Allahu khairun
@نجمهالعلي-د5ض
@نجمهالعلي-د5ض 6 жыл бұрын
Maa sha Allah
@ramadhanimsuya8718
@ramadhanimsuya8718 12 жыл бұрын
MANSHALLAH
@fatumamwantumu2749
@fatumamwantumu2749 6 жыл бұрын
Masha allah
@hassanissack5571
@hassanissack5571 8 жыл бұрын
masha Allah
@khatimmahsen3753
@khatimmahsen3753 6 жыл бұрын
Mashallah
@finiasm0tega567
@finiasm0tega567 4 жыл бұрын
Wesywtiabf7
@harrisonbilly2137
@harrisonbilly2137 7 жыл бұрын
maashallah
@ramadhaniomari8702
@ramadhaniomari8702 7 жыл бұрын
mashaallah
@mariammahaba5661
@mariammahaba5661 9 жыл бұрын
ma shaa ALLAH
@kamalhaji2075
@kamalhaji2075 12 жыл бұрын
Hu ndio urithi wa watoto sio Minazi
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
Kamal Haji swadakta
@fesalsalim
@fesalsalim 11 жыл бұрын
Muhamad azizi si muislamu ni mkristo anatumia jina la kiislamu kwa youtube ili adanganye watu eti yeye alikuwa muislamu..ninajuwa wengi kama hao hapa kwa youtube.
@muhamadazizi7962
@muhamadazizi7962 11 жыл бұрын
salam-aleikum.Wana kufundisha wongo kukufanya uwe mjinga kisha waku tawale tizama LIBYA watu weusi kama wewe walibya asili wana uliwa,naku nyanganwa uraia. surat al-alaq96(aya:2)ina makosa, ina sema kama Mungu kaumba mwanadamu kwa dondo la damu.surat al-hijr(aya:26) ina sema Mungu kaumba mwanadamu kwa undongo. tayari ni makosa. kurani ina makosa mengi sana. Na kumbuka nalikuwa kama wewe.mpaka nikawa hafizi kuraani. alakini MUNGU KANITOA KWENYE WONGO,UJINGA,KUTAWALIWA. NIKO HURU KWENYE UKWELI.
@omarymasoudykisondo389
@omarymasoudykisondo389 7 жыл бұрын
muhamad azizi we ni laana tulah wala atukusikilizi na ukafili wako mmezoeya kuona wnaume kwa wanaume tubu kabla umauti kafili we
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
muhamad azizi kafli we
@husseinmwero6780
@husseinmwero6780 6 жыл бұрын
muhamad azizi Laana tullahy, Allah nibingwa na hakika yeye amekamilika na kitabu chake kimekamilika hakuna awezae kurekebisha ww ni nani Allahu ya'alam Allah nimjuzi zaidi na anajua adhabu gani akupe
@nbonnie7
@nbonnie7 12 жыл бұрын
Assalam Aleikum Umati, nina swali, aya gani Allah kasema anampenda Musa?
@khadijahussein1903
@khadijahussein1903 5 жыл бұрын
والقيت عليك محبة مني
@karistkanuti2747
@karistkanuti2747 5 жыл бұрын
Iqra
@nassorhamoud1014
@nassorhamoud1014 4 жыл бұрын
c
@mussajeylani
@mussajeylani 13 жыл бұрын
im better for
@hamadaahmed70
@hamadaahmed70 9 жыл бұрын
ndugu waislamu kwa jumla chungeni na huyu kafiri mbaya ajiita kwa jina la muhammad azizi. yeye ni kafiri lakini anatumia jina la kiislamu kudanganya watu angalia comments zake kwa youtube zote ni kashfaa na ubaya juu ya uislamu. mungu atakushinda inshallah. wewe ni hasidi wawache watoto wajue dini yao kuliko kukaa maskani kuvuta bangi.
@ramadhanmohamed6433
@ramadhanmohamed6433 4 жыл бұрын
MashaAllah
@jamilasalim8983
@jamilasalim8983 3 жыл бұрын
Mashalla
@sanhutabdalla9873
@sanhutabdalla9873 6 жыл бұрын
Masha Allah
@nuriayusuph9647
@nuriayusuph9647 5 жыл бұрын
Mashallah
@HassanAli-mn1xg
@HassanAli-mn1xg 8 жыл бұрын
mashallha
@maryamnyota9538
@maryamnyota9538 2 жыл бұрын
MashaAllah
@HusnaHusnamohamedi
@HusnaHusnamohamedi 10 ай бұрын
Masha Allah
@seiframadhan1254
@seiframadhan1254 6 ай бұрын
Mashallah
@maryamnyota9538
@maryamnyota9538 2 жыл бұрын
Mashalla
Sheikh Nurdin Kishki - ALAMA ZA WATU WA PEPONI 2/2
33:31
shining noor
Рет қаралды 103 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 22 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 36 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 9 МЛН
ANGALIA Muhammad Bachu AKIJIBU MASWALI KITAALAMU||HUWEZI KUAMINI.
41:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 69 М.
NURDIN KISHKI....NAFSI YA MWANADAMU IMEGAWANYIKA MARA 4....ISILI NAIROBI.mp4
1:40:35
Huyu ndie Kishki Original wa Pangani Tanga
8:18
OBA Online tv
Рет қаралды 15 М.
Sheikh Nurdin KISHKI - OGOPENI DUNIA NA WAOGOPENI WANAWAKE
1:54:42
shining noor
Рет қаралды 637 М.
KISA CHA WATU WA NABII LUTWI. SHEIKH NURDEEN KISHK
50:40
Kishki Online TV
Рет қаралды 123 М.
WATOTO WANAOMUIGA SH NURDIN KISHKI  2
29:05
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 68 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН