Huyu sheikh, naweza pata mawazisiano nae. Amenyooka sana mashallah. Nampenda kwa ajili ya dini
@jkifutu7936 Жыл бұрын
Number zake nenda mbagala uta zipata
@ibrahimabdul82572 жыл бұрын
Wallaah ndugu zangu hizi ni zamaa mbaya sanaa Turudini kwa Allaah na tulazmiane na njia ya salaf katika Aqiyda, katka ibada mbalimbali, na muamalat mbalimbali...Allaah asiwakithirishè hawa kina muhammad bacho...
@abeliever68232 жыл бұрын
Ndugu yangu mwislamu. Ningependa ungelekea kwa njiya za kunufaisha binadamu na waislamu. Sisi waislamu tuna matatizo mengi sana. Siku zetu duniyani Ni chache. Kesho or baada ya wakati mfupi tutasafiri. Mola amekupa gift ya kuzungumza. MaashaaAllah. Wacha kupoteza wakati wako kwa firaq, Makundi na groups. Sote sisi Ni waislamu. Namuomba Mola akupe elimu yenye baraka
@saidissa8273 Жыл бұрын
Huna HOJA.hivi si ndio kufundisha au afundishe unayoyataka
@nassorkhamis6233 Жыл бұрын
Dawa yako ni mfumo wa kiyahudi
@abeliever6823 Жыл бұрын
Ndugu. Si sawa kuapizana. Allah akupe na atupe hidaaya
@djumapiliamina1139 Жыл бұрын
Barakallahu fikh sheikh Muhammed bachu
@sheikhabuusakakin32433 ай бұрын
جزاكم الله خيرا وجعله الله في ميزان حسناتكم ونفع الله بكم أمين يارب العالمين✨️🥰✨️✨️✨️✨️
@ashahassan1877 Жыл бұрын
Muhamed bachu unafahamika Kaka upo vizurii Sana MashaAllah
@maulidmussa89692 жыл бұрын
allah akulipe khery sheikh bachu, inshallah
@abbaspaziaog21882 жыл бұрын
MASHA'ALLAH ,Sheykh wetu Muhammad bachu
@SaidanSalu Жыл бұрын
Naam
@fabiboy40102 жыл бұрын
Mashallah, @mohammed bachu ww ni sheikh ambae unatumia hekma na elimu kwa kadri allah alivokuwezesha lkn kuna watu wengine wanaendekeza jazba kuliko elimu
@abdulhamidbakar24612 жыл бұрын
Subhana llah yaaarab naomba utusamehe mazamb yetu kwasababu wakati mwengne hatujui twazungumza nn maswali yanajibiwa kiushabik na hii haifai ktk dini tunajisahihisha ss wenyewe ameshawaona watu wasufi ni watu wa kuabudia makaburi kwavletu hawapo kwenye aliekuwepo yy kijana punguza kiburi na tuna muomba mwenyezimingu akupe hidaya umeenda mbali sana
@husnamohamed94482 жыл бұрын
Wewe ni shabiki wa jamii ya wapigaji raddi kimtazamo
@Zanzibar00012 жыл бұрын
Kajibu kisomi hamna lenu
@MALELEMBARIMO6 ай бұрын
Taannak
@ABUUSHURAIMАй бұрын
Yupo sahihi wew ndio umeongea kiushabik
@mkude2 жыл бұрын
ALLAH Akulipe kila LA kheir sheikh mohamed Bachu
@halimamohamed4842 Жыл бұрын
Shukran sn Shekh Allah akulipe khri❤
@kassimajmus20102 жыл бұрын
Sh.Muhammad fanya kazi ukiamini Allah yukopamoja na ww
@KaikoZakwaniАй бұрын
Shukran kwa kadiriumefutu
@khadijasaid50652 жыл бұрын
Mashaallah shekhe wetu Muhammad bachu Mungu akuzishiye ilmu zaidi inshaallah kutoka kenya khadija said Nahdi mld
@shafially8792 жыл бұрын
Tabia nzuri ni katika uchamungu, mwenye tabia nzuri kakushinda katika dini!
@janiafaomaa5120Ай бұрын
HUYU MUHAMMED BACHU ANA MATATIZO YEYE KILA KITABU ANAKIPINGA NAFAYA HAKUTA ANAEJUWA DINIKULIKO YEYE SASA HAO WALIO MFUNDISHA DINI
@HemedRajab-v3i3 ай бұрын
Jazzaqallahu kheir
@abuudhilqarnayn51802 жыл бұрын
Akh punguza Riyaa, halafu umejawah na kutaka umaarufu na baba ako hakuwa hivo, MCHE ALLAH
@Muhammad_Nassor_Bachu_.2 жыл бұрын
Ikiwa mtu anaweza kuiona Riyaa ya mtu basi watu wataiona kwako, maana hii comment yako huenda ni Riyaa😎
@ibrahimpande70522 жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Swadaqta Akhy
@sadatlucas40452 жыл бұрын
Allah amuongoze huyu jamaa
@abuudhilqarnayn51802 жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Una mtihan sana, wewe kiboko yako ni al akh Abul Abbas Muhammad Rashid, NDIE ANAKUTWANGA TWANGA NYUNDO
@abdulkareemseif18922 жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. wewe huna isipokua riaa tu ..mm naamini sh bachu ingekuepo engekutwanga makofi kwa upuuxi wako huu
@hamadibausi9543 Жыл бұрын
Nilichokigundua kutoka kwa huyu sheikh Bachu ni kwamba: 1. Ni mtu wa kujifakharisha 2. Ni mtu wa ria ktk elimu 3. Anaongozwa na kibri 4. Ni mtu mwenye dharau sana. Namuombea kwa ALLAH amuondoshee hiv vitu basi atakuwa mtu mzuri sana wa da'awa km alivyo sheikh Kishki
@MALELEMBARIMO6 ай бұрын
Punguza mihemko
@HuzayfaKibua Жыл бұрын
Mashallah 🙏🏿
@midahalomwanga9328 Жыл бұрын
Mashaallah allahumma barik alaihi
@ahmadzubeir26052 жыл бұрын
Sheikh Mohammad! Nimekusikiliza sanaa na vizuuri,nimekupata.
@SalumuMatimbwa3 ай бұрын
Na ww una mengi si tumekinai inshallah
@SaidanSalu Жыл бұрын
Mashallah al akhy
@omarysalum67542 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi kw kufuata nyayo za baba
@hassanbakar92782 жыл бұрын
Baaraq Allah Sheikh Allah akulipe Ujira Stahili
@iddimkulu27912 жыл бұрын
بارك الله فيك
@fawaaidzakielimu4858 Жыл бұрын
Usiseme kitaalamu Bali SEMA Kielmu, Hvo
@TawfiqHaji10 ай бұрын
Kitaalamu na kielimu si ndo hivohivo kaka angu,mbona unamkosoa bure ilhali yuko sawa,taalamu maana kiujuzi ,kiufundi,kielimu zaidi,elimu ndo hivohivo ni neno la kiarabu tuu,usikosowe km hujui na muangalie nani unamkosowa insha,allah.🙏🤫🤫🤐
@sarahhashim62982 жыл бұрын
mungu akulipe heli wambie aho tumekuelewa sana mr yani usiache
@ibrahimramadhan60762 жыл бұрын
جزاك الله خيرا يا اخي
@Rehema-h6t2 жыл бұрын
ماشا ء الله ماشا ء الله أمين يا رب العالمين 🤲ansante sana
@MunahyaMubaraka3 ай бұрын
Mashallah❤❤❤❤❤❤
@alihamad8302Ай бұрын
Mashallah
@omarbakaralit10872 жыл бұрын
Allah akulipe kher
@kalumboukororo55052 жыл бұрын
Ninachokijua mimi mtume wetu akuwa shia wala sarafi wala suni ninachojua alikua muislamu tu hayo ni mambo yenu tu Allah atujaalie umoja amina nakama kunayeyote anajua. Mtume wetu alikua sarafi au shia au sarafi anambie aliacha sunna wajukuu zake hassani na hussen na uislamu salama kbsa
@nassirquran2988 Жыл бұрын
Unajua maana ya salaf?
@saadmbaraqa52722 жыл бұрын
Duh mtihani
@canoksancomprehensivelearn71822 жыл бұрын
Ni kweli hatupaswi kabisa kuhukumiana kwa maneno maana mtu anaweza akasema kitu kwa nia nzur lakin kwa jazba zetu tukapokea kivingine, na kiukweli manhaj ya sunnah waljamaa ndio pekee ya kufuatwa na masuala ya jazba na kukatana na kudhalilishana kwenye mitandao ni mabaya sana na ndio yaloenea sana.
@abeliever68232 жыл бұрын
Assalaam Alaykum Very sad. Extremely sad. We waste energy on fighting each other. We are filled with arrogance. It is as if we are guaranteed to enter Janna. We look down upon anyone with different views. Subhaanallaah. May Allah guide us. I wish we could use our energy into what benefit our fellow Muslims. Instead of fighting each other. Very sad wallahi.
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
They are not fighting each other, but they debate and from their debate we get Islamic knowledges, so don't worry @A Believer
@selemanmartin Жыл бұрын
Sisi ni waswahili kiingereza hakina sababu hapa
@abdulmwakubambanya90912 жыл бұрын
Barakh Allah Khair sheikh
@abuusalafy79562 жыл бұрын
We Ni mgonjwa
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Wapi Bwana MTUME alipanda azam marine
@hudaonlinetv Жыл бұрын
Makafiri
@alves_photo53462 жыл бұрын
Maashallah
@abuuqatada97912 жыл бұрын
Ujidanganya nafc kaka wwe wew ni hizb tu
@yussufmimi44642 жыл бұрын
unauhakika mbona unasema tu
@MALELEMBARIMO6 ай бұрын
Punguza mihemko
@salehsuleiman12182 жыл бұрын
Allah amesema Waislam sote ni ndugu lkn Leo tunabaguana kwa usalaf na madheheb mengine wakat sote ni laailaha illa llah Muhammad rasoulullah bado tunaitaj jitihada sana ktk kusoma Dini .
@mohamedhaji22002 жыл бұрын
Sheikh Mohammmad Bachu nakuelewa sana kwa uwazi wako na ukweli. Ndio maana hawakupendi.
@karimdaud3993 Жыл бұрын
Huyu ni fitina wa kugawa watu oogomvi ugomvi kila. Siku hana hata ilimu ya kuwafahamisha
@NyumbaYaHekima2 жыл бұрын
Nimetatizika kuona uwepo wa ndimi mbili. naomba ufafanuzi. vipi kuhusu maneno ya Shaykh Albusiri aliposema katika shairi lake qaswida burdah aliposema mathalan " sina wa kumkimbilia ispokuwa ww(Nabii Muhammad (s.a.w), wakati wa kutokezea matatizo makubwa" tukisema kwa mfano wa matatizo hayo makubwa ni kule kuhitaji kufanyiwa hisabu siku ya kiyama baada ya kusubiri mda mrefu katika uwanja wa hesabu kama alivyojaribu kutoa maana hiyo sheikh shaarani, basi hatutokuta shirki katika maneno hayo, bilashaka tutakimbilia kuleta maana hiyo kwa kuwa tunamfahamu Albusiri alkuwa ni katika ahlusunna wala hatukuti popote alipoandika maneno ya wazi ya shirki kiasi kwamba tuilazimishe kauli kama hii kuwa ni ya shiriki ifinane na hiyo! nilichokifahamu, ili iletwe maana yenye shirki katika baadhi ya mistari ya shairi la shaykh Al busiri, imma kwa kuulizwa yeye mwenyewe albusuri amekusudia maana gani katika maneno hayo au paletwe ushahidi kwamba aliwahi kusema maneno ya wazi yenye shirki yanayofanana na hayo. Swali. Ikiwa vitakosekana vyote viwili hivyo, ni kwann tunakimbilia kutoa maana yenye shirki katika maneno ya albusiri? N.B: sikuwa nalijua hilo shairi la albusiri mpaka nilpokusikia wwe ukisema kuna shirki ndani yake. nimelipitia, sijakuta isipokuwa mistari yenye utata, ambayo mwenye kutaka maana isiyo na shirki atapata, bali na mwenye kutaka maana yenye shirki atapata. Assalaam alaikum.
@jumakingambe4323 Жыл бұрын
KAMA KUNA USHAHIDI WA HADITHI KAMA SIKU YA QIAMA KUNA WATU WATAMFUATA MTUME AWASAIDIE NA ATAWASAIDIA HILO LITAKUWA SI SHIRKI. ILA KAMA HAKUNA HII NI SHIRKI
@asifznz2 жыл бұрын
Barak Allahu alayk
@abuuabdillahsalafimhapa38392 жыл бұрын
huyu kijana kapinda vibaya allah amuongoze
@hadijajumangangua90752 жыл бұрын
Niukweli kabisa Yuko vibaya huyu shekhe
@AbdlyhajLuhondo-id7zi Жыл бұрын
Hamnakazi nyinyi kwa nyinyi
@faidamuhamed3011 Жыл бұрын
Ktk siku nilizuelewa shkh mhmd Bach basi nikupitia hii kalma
@jamalsalum87262 жыл бұрын
Mawahabi shida sana,mbona wanaoenda kuwaombea dua maiti makaburini mnawalazimisha kuwa wanawaomba maiti,bila ya kuwauliza na mkasikiliza ukweli wao au uwahabi ndio kuwazushia watu tu.
@abuurayyaan43062 жыл бұрын
Unatumia nguvu kubwa sana kutetetea baathwil
@abuurayaan39022 жыл бұрын
Ndio utaalamu huu au utumbo
@godfreywasike16872 жыл бұрын
Ustadh Njoo Kenya Nairobi Kuna baadh ya mitaa Majadida wamejaa
@abuutamliikhaothmaan72442 жыл бұрын
Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu hii tunaomba itengenezwe short clip ili ienee kweny magroup yawasap
@neemafatu4712 жыл бұрын
Nimependa wallahi majibu yako
@saadmbaraqa52722 жыл бұрын
Kwani kuna ulazima wa kuendelea kujadili masaala ya ikhtilafah hamuoni mnaikuza fitnaaa
@azizabakari51372 жыл бұрын
Hakik shekh bachu upo vzr
@abuusamuhath4872 жыл бұрын
Asalam alaikum, sheikh naomba ni. Yako
@abdallahjuma43972 жыл бұрын
Ama kweli Allah humuongoza amtakae pamoja na baba yake kuwa katuka haq lakin Allah hajamkadiria ndugu yetu yapasa tumubee.. Sasa hata ukimsikiliza hupat maelezo ya kielimu..Nasaha zangu Soma ndugu Yangu mambo ya kutafsri kiarabu sio Dini ya akhy..Waarabu wanajua kiarabu lakin pia wanasoma soma ndugu bado kijana mdogo soma soma soma soma Allah akuongoze katika haq
@abuudhilqarnayn51802 жыл бұрын
Ni kwel akh, huyu jamaa ana mtihani sana
@jaffersimba8566 Жыл бұрын
Bachu ulishawahi kumfuata Sheikh wa Kisufi ukamuuliza kama anaabudu kaburi akakujibu nfio anaabudu Mkaburi...!!?
@hudaonlinetv Жыл бұрын
Usifabye upu mbavu
@MALELEMBARIMO6 ай бұрын
Mihemko punguza 😂
@hassanmsangi41492 жыл бұрын
kwa vigezo vya shehe hao waisilamu wa pongwe ni kama mahawarij hamna tofauti kabisa.
@SHEIKHMWAIPOPOTV2 жыл бұрын
Inaonekana waislamu wengi uwezo wetu ni mdogo Sana wa kufikiri ukweli tubadilike tumebeba chuki Sana kuliko uhalisia
@haidaribakari68172 жыл бұрын
Kama nihivyo mbona unawaradi mashekh wenzio wanapo kosea bila kuwauliza makusdio ?
Ila shekh mimi ninge furahi saana ungekuja huku kwetu kenya kambini Turkana count. Japo kwa siku chache
@issahrashid63192 жыл бұрын
Shekh apo ulisema Uvundo umekosea ucseme maneno km hayo tumia hekma na waombe radhi km waislam wenzako
@MohammedSaid-qr1zn2 жыл бұрын
Allah amrehem shekhe nasoro Bachu bado tunapata manfaa kupia yeye kwa rehma za Allah.
@hassanjuma869 Жыл бұрын
Kwanini aombe radhi
@SangiwaMsangi-x4x Жыл бұрын
Mbona kama wame edit
@ahmadzubeir26052 жыл бұрын
Tobbaaaaa
@hudaonlinetv Жыл бұрын
Sasa wafundisha kitu gan
@hudaonlinetv Жыл бұрын
Wewe ni mgonjwa
@salmaalkyumi60302 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@sadatlucas40452 жыл бұрын
Unatakiw kuwa Humble Bachu...
@mahfoudhcalender27472 жыл бұрын
Majadida hawana hekma ktika kulingalia Da3wa.
@mohdaliothman1742 жыл бұрын
Nini maana ya hekima
@mkude2 жыл бұрын
Kweli kabisa hawana hekma wala adabu,wallahi wanakauli chafu sanaaaa.
@shekhmansoor54212 жыл бұрын
Mimi hatakama iwe nini sisomi kwa jadida yeyote wataniambukiza chuki zao
@thulaniduku32182 жыл бұрын
Kweli kabisa akhy Majadih wana chuki sana
@mkude2 жыл бұрын
Kweli kabisa hawana adabu na wanakauli chafu sanaaaa
@salemaliy1963 Жыл бұрын
Tafuteni elimu ......msiwe watu wamalumbano bachu elimu ni BAHARI elewa hilo ...
@abdulkareemseif18922 жыл бұрын
Km huyu ingeeishika sunna kweli Basi wengi wengekubeza
@ibrahimseif78592 жыл бұрын
Mashee wenge wanapenda sana pesa ndio maana wanazalishana
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de Жыл бұрын
Huna elimu yoyote umejawa kibuli na huna adabu kwa wakubwa zako,kwa usheh wako ni bora niikose hiyo elimu,huna adabu huna hekima Tanzania mzima hupendwi kwa tabia zako mbaya,unakokwenda kubaya...
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش Жыл бұрын
kwani al imaam Ahmad alipoulizwa kuhusu husain Alkaraabisy alisemaje ?
@hudaonlinetv Жыл бұрын
Wewe unaumwa towa mawaidha acha hayo hasidiyi kitu katika uwisilamu
@lyzoel-suleiman67462 жыл бұрын
shekh nan amsema swarf na nahwu haidhuru katika aqida ?
@ramadhanmakame13282 жыл бұрын
Makundi ni bid'a, kumbe nyinyi mna taasisi, ilikuwa sijawaelewa
@alikhamis63262 жыл бұрын
Innallilah wainna ilaih rajiun watu wanaofuata manhaj salaf anawaita uvundo je ww je unawasema wezako hawana nidhamu je wewe una nidhamu Allah akuongoze katika kufuata sunnah japo nakuona kama una Sifa fulani ivi
@ZuhraMiraji Жыл бұрын
Allah akuongoze hujui unachokifanya uvundo mwenyew Najivunia kuwa salaf swaleh
@abdulkareemseif18922 жыл бұрын
Uyu jamaaa muongo huyu Yani kusema Ivo tu imam ndo ukaacha hao masalafy hili Ni vundo kweli
@abuumaryam79702 жыл бұрын
Wewe ulikua HAJAWIRA hujawahi kua SALAFI baada ya kukushinda uhajawira ukaamua kurudi kwenye uhizbi
@AllyAbdallah-kw3yf Жыл бұрын
Duuh, huyu kijana inaonekana haijui manhaji inatakiwa amtafute mwalim akasome tena,maana sijui haya majibu anayyajibu kwa ufaham wa nain katika wanawachuon
kwamba kuna jitihad ya taasisi..na jitihadi za nurdin kishki...sasa Allaahul mustaanu ...jithd gan ndio raajih kwako kulingana na dalili wabanishie watu kwan haiwezkn haqq zikawa mbili ... ihurumie nafsi yko
@azirymohamed7656 Жыл бұрын
Sheikh bachu naomba nijibiwe kula nyama ya mtu . Ni kauli ya Allah au kauli ya mtume? Naomba afafanuz
@majatta4013 Жыл бұрын
Ni kauli ya Allah
@muhsinsalim6257 Жыл бұрын
Nakuuliza umesoma wapi ww?????
@HanifaSheha-wm7dn Жыл бұрын
O
@pavillioncry52412 жыл бұрын
Misufi kwwli inauzi maana hapa mtaani wapo kila siku wanaswali swala za tasbihi na mania
@kassimajmus20102 жыл бұрын
Mtaani wapi
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Hahaa misufi
@kassimajmus20102 жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 naona umefrahi
@omarimamboleo69902 жыл бұрын
kuwa naadabu misufi kina nani angemuuliza babaake kilichomfanya atolewe mlango wa nyuma br 19 nikitu gani?
@akhykassim2 жыл бұрын
Sasa huyo kishki anahusika nn hapo?
@mohamedmnango36602 жыл бұрын
Fasiri uliyotoa kuhusu Ahlusunna Waljamaa inapatikana kitabu gani
@mabrezunited35732 жыл бұрын
Ulikuja kenya na ujaenda kwa abdallah humeid.
@husnamohamed94482 жыл бұрын
Huyo umtajae ni mtume ama ni huko kumtukuza na ujinga mwingi
@mabrezunited35732 жыл бұрын
@@husnamohamed9448.
@mabrezunited35732 жыл бұрын
Huyo ana muinea wivu sheikh abdallah humied . allah amuhifadhi.