Semaji Ahmedy ana nidhamu sana jamani, yaani katulia kuongea kupisaha waimbaji wainadi Kwanza msimbasi. Ubaya ubwelaaaaaaaaa
@Mumlion26243 күн бұрын
Nimemuona mama mawigi❤
@geophreyraphael97282 күн бұрын
bilionea wa chihaya ni mnyama...
@obadiaedward11273 күн бұрын
AOUHA anatufelisha awe serious, tunahitaji magoli mengi badae magoli yanakuwa na deal. Wakumbushe wachezaji wasibweteke
@Ommybabaa473 күн бұрын
❤️ UBAYAAA UBWELAAA 🇹🇿 🇦🇪
@BarakaJoseph-ij2hc2 күн бұрын
Hatumkatai ahoua ila anacho takiwa ni kubadilika
@SaimonEmmanuel-h9t3 күн бұрын
Hamna baya
@augustinoyohana71153 күн бұрын
ubaya ubwela
@kassimntara69013 күн бұрын
Tunakuja ila kocha na wachezaji wanatukatisha tamaa waache ubinafsi na kurukarika tuna taka matokeo
@barackmoses70033 күн бұрын
Mbona kama namwona mama mawigi hapo pembeni
@hamisimakanjila15643 күн бұрын
Uyo apo nyuma mbona kama mama mawigi au macho yangu
@YohanaJumanne-v3v3 күн бұрын
Wachezaji hawajitumi wakifunga kulinda gori wanategeana kukaba ndo maana wanafungwa fungwa tu wanajari mshahara na sifa ya kuchezea Simba waache utoto wa kujiona mastar
@Rk7-b8c3 күн бұрын
Kacheze wewe
@YohanaJumanne-v3v3 күн бұрын
Ally semaji unajituma wakijituma na wachezaji kila mech simba inakua tishio wamekaria kubweteka bado wanajitafuta kati wapo ktk uwanja wa mapambano wajitumeeeeee
@DeodathChinyamba3 күн бұрын
Mpanzu hadi dirisha lifunguliwe tarehe 15
@Mumlion26243 күн бұрын
Namtamn mpanz vibay mno
@abubakarishariff84893 күн бұрын
Atutaki tabia ya kocha kumpendelea houa tunataka matokeo Sisi namba sita kagoma namba nane mavambo namba kumi awesu msituletee ubinafsi