AHMED GHAILAN: MTANZANIA ALIYETIKISA DUNIA KWA UGAIDI, AKIMSAIDIA OSAMA, AKAFUNGWA MAISHA GUANTANAMO

  Рет қаралды 201,091

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

AHMED GHAILAN: MTANZANIA ALIYETIKISA DUNIA KWA UGAIDI, AKIMSAIDIA OSAMA, AKAFUNGWA MAISHA GUANTANAMO
HII ni simulizi ya Mtanzania Ahmed Ghailan, ambaye ni mtanzania wa kwanza kuitikisa dunia kwa ugaidi hadi kufikia hatua ya kufungwa katika gereza la Guantanamo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 221
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Mungu ataiangamiza hiyo dola ya merekani inshalla
@wanaupendotv7183
@wanaupendotv7183 Жыл бұрын
Kumbe mimi na wewe tumeona tumechelewa mi nimeiona leo na nimempenda niko upande wake
@johngerald4677
@johngerald4677 Жыл бұрын
@@wanaupendotv7183 nenda wakuue kafir mkubwa
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
Dua la kuku alimpati mwewe..
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 10 ай бұрын
@@faithfaith-zr6gz sio ungwana kumunga mkono merekani kwa kukandamiza wanadai uhuru wao
@poulletkavuvi7451
@poulletkavuvi7451 7 ай бұрын
😂​@@faithfaith-zr6gz
@khamismtwara5544
@khamismtwara5544 Жыл бұрын
Allah amfanyie subra Ahmed
@12322879
@12322879 7 ай бұрын
Subra gani kwa gaidi?..
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 Ай бұрын
​@@12322879marekani je sio gaid wacha hizo
@MayaAlamari
@MayaAlamari Ай бұрын
Allah amuhifadhi huko aliko ahmed naiwapo kafishwa Allah kwa rehma zake mpe pepo ya juu amuweke na wema yaarab
@rajabjabir2622
@rajabjabir2622 Жыл бұрын
Gaidi namba moja dunian ni america
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Allah amlahisishie basi ameshakoma msameheni allah akupe subra Imani na uvumilivu jitahi na swala allah atakuongoza
@samgwazay1208
@samgwazay1208 Жыл бұрын
Mnapenda sana kuwaandikia story mbaya ndugu zenu.
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 ай бұрын
Allah ampe wepesi Ghailan
@GabrielbarakaThoua-fh8ow
@GabrielbarakaThoua-fh8ow 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ambadilishe
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
Siku hzi hata bila tafiti yoyote unaweza kupost tu mawazo yako ya usiku.....
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
Story yako nzuri but kumbuka kuwa alisingiziwa na hizi hatia zote. Na ujue kuwa Marekani siku zote hawakubali kushindwa lazima waoshe dunia kama wameshamkamata muualifu na ikiwa siyo kweli,vijana wengi wanatiwa ktk case ambayo hawajahusika na hii yote kutokana wanajua familia nyingi hazina huwezo wa kulipia lawyer. Hii story ya Ahmed haina ukweli kama alitenda hayo matukio.kumbuka ww mtangazaji na mm pia naye comment hatujui deep side ya ugomvi wa Osama na Marekani. So please leave our brother alone he been through enough,Pray for him not to detroyed him.
@ahmedalshaibany
@ahmedalshaibany Жыл бұрын
Exactly, Marekani wanafanya lot of crazy decisions and full of injustice na hakuna democracy wala hizo human rights wanazozitangaza. Ni kuoneana, ubaguzi, na kujiona wao ndio wanajua zaidi.
@naimamoddy
@naimamoddy Жыл бұрын
@@ahmedalshaibany yah kuna yule dogo wa hapa Canada walimkamata wakamfunga huko huko tk pre teen wamemtesa wee kisa tu kaonekana ktk pictures karibu na hizo kambi, ikiwa huyu kijana kila summer wanaenda kwao vacation, na km unavyojua utoto unacheza huku na kule na wenzake,kuona tu picha tayari wamemkamata mtuhumiwa. Amekaa jela miaka mingi sana ameachiwa na amelipwa hela nyingi sanaa, even though wameshamuharibu kisaikolojia n.k. Na mpk kutoka families na nchi yake wamempigania ndy maana katoka. Sasa unafikiri Ahmed angekuwa katoka ktk nchi yenye msimamo na inasimamia raia wake vzr hata hicho kifungo asingefungwa sema nchi yake ni watu kadhaa na group la watu kadhaa wengine wote wazaliwa wa hiyo nchi wanawasindikiza wenye nchi wenye kula nchi toka wamezaliwa mpk wana watoto na wajukuu zao hawajui shida na mgao wa maji wa umeme, hospitals wanatibiwa nzuri au wanaenda nje ya nchi kutibiwa. Tanzanian wanatakiwa wasimame kama nchi nyingine kutetea watanzania wenzao ambao wapo ktk same situation like Ahmed ambao wamesingiziwa case ambazo hazina ukweli ndani yake.
@charlesassey5642
@charlesassey5642 8 ай бұрын
Huwezi kusema kuwa alisingiziwa wakati hujui alichokuwa anakifanya ktk mizunguko yake ya kibiashara, anayeweza kujua ukweli ni yule aliyechunguza kwa kina akapita kote alikopita akapata jibu sahihi kwahiyo mwache apate anachostaili Pumbavu
@utaani1
@utaani1 7 ай бұрын
​@@ahmedalshaibanyhuman rights ni kwa ajili ya lgbt pamoja na watu walokuwa hawautaki uisilamu basi
@mamyomar1241
@mamyomar1241 7 ай бұрын
​@@charlesassey5642yote hayo usemayo kwa sababu, si mtu wako wajaribu. Lakini anaye hukumu ni Allah. Huo ni udhalimu.
@Mamyalley6666
@Mamyalley6666 Жыл бұрын
Namjuwa sanaaa!! Tulikuwa majirani malindi Subhanallah.
@norbertkashindi8150
@norbertkashindi8150 Жыл бұрын
Skgroqfjsjgr❤🎉
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 Жыл бұрын
Malindi zanzibar ndo tulikua wote napia wakiwa pia nanyumba mochenzani
@omarhussen4513
@omarhussen4513 Жыл бұрын
Uwongo uyo hajaishi malindi,,,,,uyo kwao gongoni kisima jongoo msikitini pale
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
@@khajumkhamis7910 mnawaabudu waarabu ndo maana Tanzania sijui mkoje
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
@@omarhussen4513 ni kweli kikwajuni kisimamajongoo kule kwa anty sania
@allyninja8083
@allyninja8083 Жыл бұрын
Family ya ghailan kuweni na subra,, ghailan ywateseka duniani Lakini in shaa Allah atafurahi peponi,, pepo ni milele Dunia ni wakati tu
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 Жыл бұрын
Mweyezimugu ampe wepes America inshallah mungu atawapa afhabu yamaishallah
@princesaha3262
@princesaha3262 Жыл бұрын
Sidhani kama ni kweli
@sephaniasanga1037
@sephaniasanga1037 Жыл бұрын
Nawapata vizuri.habari zenu nzuri sana zinatupa habari nzito
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 10 ай бұрын
Kinachonishangaza waislam wakisikia mwislamu mwenzao anafanya mabaya unashangaa comment za waislamu kutetea hv mna nini wakati mnajua kila mwanadamu anautashi wake bila kujali Imani yk
@12322879
@12322879 7 ай бұрын
Wote wehu tu
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 Ай бұрын
​@@12322879mwehu nin ww na wazaz wako
@princesaha3262
@princesaha3262 Жыл бұрын
Yaani Wakoloni ndyo cku hzi wanapewa kichwa na kutunga story za uwongo
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Unatoa story kama mohammed Ally wa kenya utapenda unavyosimulia🙏🇹🇿🇬🇷
@petrowashale1891
@petrowashale1891 Жыл бұрын
We mwamba umenikoshaa Mohammed Ali anajuaa hatariiii
@ahmedmohamed-rm9jn
@ahmedmohamed-rm9jn 7 ай бұрын
Ila huyu anaongeza chumvi, mwongo saana Mohamed Ally alikuwa amachunguza vizuuri
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Asante studios
@petermwaniki3079
@petermwaniki3079 Жыл бұрын
Excellent job. Keep it up 😜☺️.
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 6 ай бұрын
"Justice Delayed is a Justice Denied."
@witnessngunja1896
@witnessngunja1896 2 жыл бұрын
Mashaallah director kazi nzuri
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 Жыл бұрын
Hii stor angesoma Amir likonde ingekuwa poa sana
@yusuphlulex3174
@yusuphlulex3174 Жыл бұрын
Stori za ku ssimua ha napenda stori zako
@hasaninuru3830
@hasaninuru3830 Жыл бұрын
Allah Akbar
@JumaNurudini
@JumaNurudini 10 ай бұрын
Mmarekani ndo gaidi wa kwanza dunia hii acheni ujinga
@KhaleedHamad-vl7lz
@KhaleedHamad-vl7lz 6 ай бұрын
Tuache bro
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Жыл бұрын
Ateswe tu
@NassoroMakamla
@NassoroMakamla 5 ай бұрын
Iyo stor ya kweli au mapicha
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Ugaid sio mzuri, Tanzania sio sehem ya hayo mambo, ukishikwa Kuna ndege inakusubiri kwenda Guantanamo, kurudi ni ngumu
@salimmwakaribu942
@salimmwakaribu942 Жыл бұрын
Acha uongo broo shambulizi LA Nairobi na TZ ni abdul fazul ndiye alilipua
@12322879
@12322879 7 ай бұрын
Unajuaje,au ulishiriki?
@njonjolomahfudh3238
@njonjolomahfudh3238 2 ай бұрын
ivi Ahmed sio alikamatwa 2001 baada ya September 11?
@jemakhalfan6726
@jemakhalfan6726 7 ай бұрын
Story imekosa ukweli. hakuishia darasa la saba. By the time anamaliza primary Zanzibar tulikuwa tunamaliza darasa la nane. Darasa la nane alifaulu vizuri tena vipawa maalumu katika sekondari ya Vikokotoni. Na alimaliza darasa la 12.
@AllySaid-vx1zw
@AllySaid-vx1zw 6 ай бұрын
Dahhh kumbe skuli yangu imetoa watu wakubwa hizi history zinatakiwa kuhakikiwa kabla kutolewa na hawa watu wastoe bila utafiti wa kina
@kevinmangena1904
@kevinmangena1904 Жыл бұрын
Iyo milipuko ni njama ya wao wenyewe marekani Ili wapate sababu ya kuzipiga nchi za kiarabu na kuchukua maliasili zao. Wamemuonea tu kijana anaatia. Uwezi kuingia kwenye ugaidi baada ya miaka 3 uweumeaminiwa kabisa na kuwa karibu na Osama
@abuusufian6506
@abuusufian6506 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Kumbe! Kwa hiyo ilikuwa adumu kwa muda gani ili aaminiwe na Osama kwa uzoefu wako?
@ZeAniamalTV
@ZeAniamalTV Жыл бұрын
Gaidi sio wakuchekewa
@rahmajaffar794
@rahmajaffar794 Жыл бұрын
Mungu awape subira wazazi wake kwa maumivu makali wanayopata na kuhusu yeye Mungu pekee ndie anaejua nini kafanya na nini hajafanya Mungu ampatie haki yake anayostahili
@rosemkude4804
@rosemkude4804 Жыл бұрын
Si mpaka huyo Osama awe binadamu. Kumalizia hadithi yao ya kutunga wakadai wamemuua na kumtupa baharini......kichekesho cha karne
@norbertkashindi8150
@norbertkashindi8150 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢 and I❤miss Fresh nisubisgvnzsuvtipwcbstkfs waDrawings of country so so bad can believe everybody’s going missing today just going on with going today going to see God so good but my feelings so sad I love you guys so much byeMixer don’t even if you see I’m still gonna just run okay 👍 😊
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 Жыл бұрын
Huyu mtoto hahusiki lolote na tukio la ugaidi. Wakati anakamatwa alikuwa na umri usiozidi miaka 16, aliwezaje kuwa mfanyabiashara mkubwa na kisha mlinzi wa osama. We mtangazaji wacha chuki dhidi ya waislamu utaangamia.
@priscuskimario495
@priscuskimario495 Жыл бұрын
Alizaliwa 1974 hivyo hadi 1998 alikuwa na miaka 24 hadi kukamatwa alikuwa na umri wa miaka 30
@rocyncathbert4527
@rocyncathbert4527 Жыл бұрын
@@priscuskimario495 sahihi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@priscuskimario495 SAWA HATA AWE NA MIAKA 40 HAIMANISHI ATI KAHUSIKA.
@peacemwesiga
@peacemwesiga 10 ай бұрын
Sura yeyewe ñ jibu tosha
@JosephKahato-k4d
@JosephKahato-k4d 7 ай бұрын
Ndunia ni nduara na anaye ielewa Mungu tu, anaye jua ukweli ni Mungu pekee.
@tumainjuliusmakurilo9337
@tumainjuliusmakurilo9337 Жыл бұрын
Shida umeongea ujinga mwingi kuliko point
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 Жыл бұрын
Ujinga ni nini na point ni nini? Wivu tu, wacha domo kaya
@emanuelabed3736
@emanuelabed3736 Жыл бұрын
ikosawa
@susans4490
@susans4490 Жыл бұрын
Zanzibar ilikuwq mwisho darasa la 8 time so hiyo 0 aliitolea wapi
@mohamedvuaa1579
@mohamedvuaa1579 Жыл бұрын
Hawa ni waongo yot walosema kwanza zanzibar wakati huo matokeo ya darasa la saba hayaorodheshwi maks pili ukiwa hukufaulu michepuo basi unaendlea lanane halafu hawakutaja aina ya biashara alokua akifanya na hawakuainisha makundi gani alokua akishirikiana nayo hapa zenji hawakusema kivipi kaanza kukutana na usama pia gujirati ipo india si pakistan 😢 inakuaje mashtaka yot yawe batili tena yalichunguzwa na fbi na cia ispokua mojatu ilhali ushahid wote walkuanao mashtaka yote wabatilishe ispokua mojatu na nakuaje mda mfupitu upate dhamana ya kua na cheo kikubwa kama hicho na kwanini hata serekali ya tanzania iliwahi kumtetea ikiwa kweli anahatia hawa ni waongo kuliko uongo wenyewe ugaidi ni nguo wamvika na kumvua wamtakae na huyukatama kakamatwa kwanini serekali ya usa ilipe hela walotaja na kama katekwa alitekwa na nani 😊❤
@KilulaJunior-q8b
@KilulaJunior-q8b 8 ай бұрын
Huyu jamaa alikua noma
@hajamijohana
@hajamijohana Жыл бұрын
hakuna mjanja kwenye hii dunia ote tunapita kwa mungu ndo kuna majibu yote mi naamin kua mungu yupo km kwer wao wajanja wasife
@pasmaentreprises4970
@pasmaentreprises4970 2 жыл бұрын
Mmmmh
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 Жыл бұрын
Kama kweli aliuwa basi hiyo ndio adhabu yake
@rajabjabir2622
@rajabjabir2622 Жыл бұрын
Mtiga abdllah ndio atacmulia hii habari (The story book) deeply and clearly sio ww sauti mbovu pyaaa
@kassimsaid1723
@kassimsaid1723 9 ай бұрын
Akakombolewe mara moja
@OumaBashir-oj5hk
@OumaBashir-oj5hk 6 күн бұрын
Wewe wafurahia kuandika story ya ndugu yako Huku ukijua Alidhulumiwa na makafir
@AbacarTeresa-dn6wj
@AbacarTeresa-dn6wj 7 ай бұрын
Mbesa ni kimasai
@jameschipande1090
@jameschipande1090 Жыл бұрын
Hata Tanzania ni Nchi yenye shilling bwaaaana, usijaribu🙏
@abdulhafidhsuleimanali6479
@abdulhafidhsuleimanali6479 Ай бұрын
BUFFALO SOLDIER
@charlesassey5642
@charlesassey5642 8 ай бұрын
Vijana wengi wa kiislam walijiunga na makundi ya kigaidi hata Kenya walikama vijana wengi waliokuwa enrolled, sababu ni kuaminishwa kuwa unaenda kutetea iman ya kiislam, kitu ambacho ni Upumbavu mtupu , yaani Iman inatetewa kwa kuua watu wengine, Arusha Mashekh 6 walihukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kulipua kanisa la Olasiti Arusha , eti wanatete iman , sijui huu Upumbavu waislam mnautoa wapi ???
@MuhammedFaiz-w3h
@MuhammedFaiz-w3h Ай бұрын
Acheni ujinga nyinyi watu wanapambania haki mnafatisha mabeberu wanavyosema nanyie ndo mnafata saaa ao magaidi au wapambanaji wa haki zenu acheni ujinga uo
@azhadsoud1433
@azhadsoud1433 10 ай бұрын
Hyu anaitwa Mbarouk Mabomu Yupo ilala apo saiv Anauza spair
@g-belltesh
@g-belltesh 8 ай бұрын
Kwaio mtanzania alihusika kwenye tukio ndio maanake au?
@mkombozsanga
@mkombozsanga Жыл бұрын
Safi mtangazaji
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
SAFI KWA KULETA STORI ZA UWONGO???
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 Жыл бұрын
Ni uwongo zote mipango ya marekani katka kutafuta kisingizio cha kuangusha dola wasizo zitaka mama clitone aliyaongea
@BakariMagoti
@BakariMagoti 8 ай бұрын
Umelipwa sh.ngapi?kwa kutoa masimuliz ya uongo.
@YohanaSapuro-xx9xo
@YohanaSapuro-xx9xo Жыл бұрын
Duuuuuuuuh
@omarothman6608
@omarothman6608 Жыл бұрын
Wao ndiomagaidi
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Жыл бұрын
Duuu
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Жыл бұрын
Eti Ghailani. Mnajifanya waarabu kumbe ni mashombe wa zanzibari
@MuhammedAliOmar-c9u
@MuhammedAliOmar-c9u 10 ай бұрын
Wewe inakuhusu nini hata akijifanya mwarabu wewe inakuuma kwa kuwa ana asili ya kiarabu na wewe jinasibu kwa asili yako . Mnyaturu kichogo wewe
@eddyderrickmail66
@eddyderrickmail66 Ай бұрын
Tafadhali bwana usitutukane wanzanzibar
@Denisdankton
@Denisdankton 10 ай бұрын
Acheni uongo wazungu ndo wabaya awafai
@rizikimbeve8611
@rizikimbeve8611 Жыл бұрын
Wamarekan wanataka kuiingilia Tanzania huo ni upuuzi so habar za kuaminika
@henrypeter1361
@henrypeter1361 Жыл бұрын
huyo ndiyo shujaaa siyo gaidi
@rashadmohamed4357
@rashadmohamed4357 7 ай бұрын
Ni aibu media kubwa kutoa habari za uongo
@albertmbise2670
@albertmbise2670 5 ай бұрын
Ukweli ni upi?
@MuhammedFaiz-w3h
@MuhammedFaiz-w3h Ай бұрын
​@@albertmbise2670njoo tukupe ukweli huku sio unaropoka tu
@SalimAli-wz3mi
@SalimAli-wz3mi 7 ай бұрын
Fanya utafiti .upate habari sahihi
@lawabidingcitizen3427
@lawabidingcitizen3427 Жыл бұрын
Duh sijawahi kumsikiliza mtu muongo kama huyu msimuliaji wa hii habari. "Bodogadi" wa Osama? Duh, njaa mbaya sana!
@ziggyhendrixx7445
@ziggyhendrixx7445 7 ай бұрын
hayuko guantamano yupo adx florence
@zakiaabdula4709
@zakiaabdula4709 2 жыл бұрын
Na wewe mengine kamaumeongeza utakwenda kujibu mbele yamungu
@SaidMaurid
@SaidMaurid 5 ай бұрын
Najapani.hilivyopigwa.usa.nanini.gaidi
@abdulmkelle9585
@abdulmkelle9585 26 күн бұрын
Wewe muongo hujui chochote kuhusu Ahmed
@huseninchasi
@huseninchasi Жыл бұрын
Unauhakika unacjokizungumza
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 Жыл бұрын
Chezea Russians sio US
@slum_pearl
@slum_pearl Ай бұрын
Geleza 😂
@stanslausmgabhagowe1250
@stanslausmgabhagowe1250 Жыл бұрын
E
@eddybrokaliieddybrokalii196
@eddybrokaliieddybrokalii196 Жыл бұрын
we muwongo bana waliokamatwa wa kwanza alikuwa ni Tomas lyimo ambaye alifungwa na badae kuachiwa bada ya kukuta hana kosa ila alihusika na kutengeneza mitungi ya mabomu bila yeye kujua sabubu uyu Tomas lyimo alikuwa ni fundi wa matenk ya malori pale kimara korogwe saiv panaitwa bucha zaman palokuwa panaitwa kwa Tomas lyimo na alivyoachiwa tu na nchi alihama ad leo
@nasserrr90
@nasserrr90 7 ай бұрын
UNA UHAKIKA?
@adimusaid5379
@adimusaid5379 7 ай бұрын
hujuwi hata sitori yake unadanganya watu acha uwongo
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 Жыл бұрын
Utia chachu kwakua sio kichogo mwezenu wapuuzi niyie
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
Ndo kina nani hao 😃kina kichogo ww uko Sawa huna kichogo😃
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 8 ай бұрын
Hamna kitu apo. Tushaelimika
@mvanobilali8502
@mvanobilali8502 Жыл бұрын
tukio la miripuko alina uusiano na osama ata nuktwa moja mimi na kushanga msumuliaji na muandazi
@saidsofo
@saidsofo 7 ай бұрын
Wamemuonea tuu
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Uongi mtupuuuu
@proisolution7166
@proisolution7166 6 ай бұрын
HUYU KAFUNGWA MAISHA JE WALE WALIOLIPULIWA TUNAWAWEKA WAPI.
@gabrieladam1065
@gabrieladam1065 Жыл бұрын
Kwa hyo wwe unaamini Osama alikuwa gaidi?
@atupelejohnmwakangale3226
@atupelejohnmwakangale3226 Жыл бұрын
Alikuwa mpiganaji aliyetumika na America kuangamiza mataifa mengine. Aliwasaliti America.
@iddyramathan4507
@iddyramathan4507 Жыл бұрын
Uongo huu hata ibilis hatoi mguu
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 Жыл бұрын
Wamarekani watu wabaya sana wakishirikiana na mosad kutengeneza ugaidi ilikujipatia uhalali wakuwatesa waislamu nakupora vamia jamii za kiislamu na bado nia yao inajulikana
@arafatlubricants7225
@arafatlubricants7225 Жыл бұрын
Gereza sio Geleza
@khadjamhozya
@khadjamhozya 7 ай бұрын
Kwani Kuna utofauti gani Kati ya gereza na geleza
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr Ай бұрын
​Mwenzangu hakuna hata tofauti​@@khadjamhozya
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps 7 күн бұрын
Kwahiyo "kura" na "kula" ni kitu kimoja?
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps 7 күн бұрын
@@khadjamhozya Kwahiyo "kura" na "kula" ni kitu kimoja?
@ENTPowerproduction
@ENTPowerproduction 7 ай бұрын
Hakuna Kitu kama Osama bin Laden msidanganye...Osama was a creative story
@AmisaIkungeta
@AmisaIkungeta 9 ай бұрын
HII dini YANGU Ina shida Gani??? MBONA Kila siku UGAIDI NI SISI TU.. AU NI SIFA.... MBONA MIMI SIELEWI.... MBONA MAKAFIRI HAWAPO HO YO... TUNA SHIDA GANI?????JAMANI TUSAIDIANE KAMA NI SUALA LA KIOMANI NAOMBA MTU AJE HATA INBOX ANIFUNDISHE... NAKEREKA SANA.. SANA. SANA, SANA... UGAIDI SISI TU... TUNA SHIDA GANI..????
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Daah we mtangazaji kama wewe ndiye uliyefanya research hii juu ya Ghailan hakuna shaka we ni kilaza cz history ya Ghailan imejaa uongo mtupu tena unaoonyesha kabisa kuwa hujatulia wakati unaandaa makala hii kwanza Ghailani hajazaliwa kijijini wala kukulia kijijini pia hajawahi kufanikiwa katika biashara kama unavyoiongelea lakini pia Ghailani amesoma wala sio Darasa la saba
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 3 ай бұрын
Porojo za hovyo tu
@abdulnadhiif6083
@abdulnadhiif6083 7 ай бұрын
Ni uongo😂
@IsmailAli-wx7tg
@IsmailAli-wx7tg 9 ай бұрын
Poa king twendele
@msungumwilapwa4234
@msungumwilapwa4234 7 ай бұрын
Mbona wamesema not guilty bana, hebu acheni kuchafua watu na kutofanya tafiti
@highmedland9280
@highmedland9280 Жыл бұрын
Nikweli kbs huyu mwamba alikua anauza supu ya pweza pale buguruni 😂🤰🚀
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Жыл бұрын
Ulikuwa unamjua
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 8 ай бұрын
Mwandishi umechemka hujui unachokieleza huna uhakika unachokieleza hujui kilichokuwepo nyuma ya pazia, hizo ni propaganda za serikali ya marekani na propaganda hizo zimetengenezwa na fbi na cia
@فاطمهنزوى
@فاطمهنزوى 2 жыл бұрын
Duuh
@AliMohamed-gv7nw
@AliMohamed-gv7nw Жыл бұрын
Mshenzi acha kumsingizia uongo ghailani alikua nimtu mzuri
@malikmasoud3190
@malikmasoud3190 Жыл бұрын
We mtangazaji mongoose na ujui unachokisema au km unatafuta viewers bs utakuwa umepata
@abassyakoub1464
@abassyakoub1464 7 ай бұрын
Stori ya Uwongo (False story). Mara zote Adui wa dunia ndie anaonekana Mwema. Leo hii eti Marekani amekua mwema na Muafrika amekua Gaidi. Mnachechekesha nyie Vibaraka wa Ughaibuni 👎👎👎
@juliusdonard933
@juliusdonard933 28 күн бұрын
Marekan n wapuuz hamna kituu ntaamn wana mambo ya uongo na propaganda
The Surprising Solutions to the World's Water Crisis
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 62 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 268 МЛН
WANAMGAMO WA MSUMBIJI WALIOKO CHINI YA ULINZI WAVUNJA UKIMYA
3:39
How modern slavery hides in plain sight - BBC World Service
15:19
BBC World Service
Рет қаралды 2,8 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН