Hongera mdogo wangu mungu akutunzie mtoto wako: uwezo wa mungu uwe pamoja nae na hekima ya mungu ifurike ndani yake barikiwaaaaa
@مريممحمد-ظ5ش4ض3 жыл бұрын
Amen
@charlessengata65433 жыл бұрын
Nakupenda dada rozi kazi zako naomba bus niwe hata dancer wako jp ndoto zangu siku moja niwe muimbaji na mm but right now ninanyimbo zangu single kama 4
@faridamsuya60223 жыл бұрын
Dada Ros Mimi naitwa Sophia Niko moshi nakupenda Sana na penda kanzi zako.
@sajadinuru32873 жыл бұрын
Naitwa sajadi nipo der nazipenda San Kaz zako dada angu mungu azidi
@jackrineogcomedy3 жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada kwasababu huwa yuko free ajali utasema nini utafanya nini utajuwa wewe yeye anafanya anacho fikiria yeye na ndio wasanii wanatakiwa wawe hivyo na sio muda wote kujiweka juu tu❤️ big up mama p🍎
@irenemnemba50082 жыл бұрын
Nakupenda Sana dada wolper uko vizuri huna uongo Wala hujiweki juu! Mwanamke mpambanaji.
@halimamaulid18933 жыл бұрын
Tangu nilivyoanza kuangalia movie za wolper hajawahi kua limbukeni kwanza anajiamini sana hapo ndipo ninazidi kumpenda ❤❤❤❤❤❤❤❤
@nasrashafi59203 жыл бұрын
Umesema ukweli wolper namimi nimempendea movies zake kabisa
@joyceakinyi89732 жыл бұрын
Mtoto wa kichaga hongera mum na Mungu akubariki♥️♥️
@Maombi2433 жыл бұрын
Nampenda wolper na majibu yake unajua kujibu vizuri ❤️
@FestusBirya Жыл бұрын
Nimekubali
@wimawendo26303 жыл бұрын
She’s very smart and proud in it’s interview. I love ❤️ her as a good mum.
@salmiraming90263 жыл бұрын
Hongera woloer tunaumizwaga sana tuuu
@kinggaming9283 жыл бұрын
Congratulations sister 🥰🥰 wewe nimwanamuke Fighter be strong woman 🥰
@peleskriani28003 жыл бұрын
Nakupenda bule dada yangu 🥰🥰🥰
@jenniffermumo63272 жыл бұрын
I like the way you put it. "YOU WILL SHAKE ABIT" then the part "kwa sisi wanawake tunaupendo wa kweli" are the ones who get disappointed by the boy child counterparts
@playdizomkb72773 жыл бұрын
Congratulations 🎉👏
@nyokskinyah82463 жыл бұрын
Wolper nakupenda bure frm 🇰🇪🇰🇪
@kezakimanacarmell19593 жыл бұрын
Congratulations my sister nimependa majibu yako
@agneshaule44903 жыл бұрын
Umependeza sana mama P, pia nakupenda sana
@habibamahamed55873 жыл бұрын
l love your lipstick moto moto sana❤❤
@angellukwesa92663 жыл бұрын
conglatulation bro' unafanya vizuri lakini dijakuelewa kwenye hii nyimbo yako ya mang'dakiwe
@salmanassoro46033 жыл бұрын
Hongera Sana dadaang
@zurichzurichmketema62243 жыл бұрын
Dada Angu nakuelewa mno mchaga Mwenzangu Nakupenda mno Maaa P
@ummimohammed93593 жыл бұрын
miminampenda jacky sio muongo anaongea ukweli wala hajikwezi akajifanya tajiri na majisifu。ni mtu wakuigwa jinsi ya anavyotafuta riziki zake。
@Maryam-yt8lw3 жыл бұрын
Hongera umependeza haswaaaaa
@gevanethjuma25773 жыл бұрын
Nakupenda bureee wolper
@neemakiria44163 жыл бұрын
Asant mama upo vizuri penda sana wewe
@DamarisDuuTausi9 ай бұрын
Uko smart wolper
@jameskulinyi40573 жыл бұрын
Beautiful 🥰💓
@neemabakar86682 жыл бұрын
Pamoja sana
@jenniffermumo63272 жыл бұрын
True there is No man who will leave his family haswa wife for your sake " Cram this point please fellow ladies" 👌👌🤔👨👩👦
@tamarablack2543 жыл бұрын
You're right my dear,a black flower symbolises grief,(death loss of your beloved ones)
@mapenzikawambe853 жыл бұрын
So Beutiful
@hgcbj6353 жыл бұрын
Beautiful
@scholakilonzo2906 Жыл бұрын
Clean mama and wise
@faudhiarashid22593 жыл бұрын
Nimependa sana majibu yako mazuri sana
@pameladanie7813 жыл бұрын
umependeza sana
@salmangwale55563 жыл бұрын
Hongera sana jamani
@roseshilinde518310 ай бұрын
I love her for sure
@FelisterMunissy Жыл бұрын
Nachokusifu uliingia leba kuliko hao wanaojipraud mtandaoni ambao ni mangoro hawataki kizaa zaa na mwingine mama walikusema.sana nomekukubali funga na ndoa sasa ili mungu akusikilize
@FelisterMunissy Жыл бұрын
Sikujua ww nimchaga kumbe ni dadangu heee upo vizuri mama shikilia hapo hapo hakuna mchaga mpumbavu
@abujumanne75703 жыл бұрын
Jack umekua ase .umefanya fundisho kwa wanawake wengine sio lazima kuolewa na msanii au tajir .nimependa hiyo
@MarckKitengie8 ай бұрын
Bonsoir
@pameladanie7813 жыл бұрын
umependeza dadangu
@irenemnemba50082 жыл бұрын
Haitakuwa hivyo dear! Nawaombea muishi milele
@bbyminu80613 жыл бұрын
Nakubari sana dada yangu
@DieuMerci-xq1ft Жыл бұрын
Ukiolewa ama kuowa musifikiriye kuwashana Bali mufikiriye kunjega familiya kwani mototo anahaja ya malezi Bora ya baba n'a mama munga awalinde nawape baraka télé mimi ni lidere de tou Lejeune duvira
@nancyjohn52613 жыл бұрын
Mi nakupenda wolper
@DamarisDuuTausi9 ай бұрын
Wolper huwa hana madharau nakupenda sana
@merryathanas37823 жыл бұрын
Aisee umeongea point sana dada angu yani hujuagi kuongea uongo bali ni ukweri tupu nakupenda bulee
@lylyjaydia37143 жыл бұрын
Big up sn wolper unaongeya ukweli
@annaanyosisye86823 жыл бұрын
Nakupenda bure mam p
@phylliswangui81473 жыл бұрын
Kenya tunakupenda wolper
@agnesselineema77603 жыл бұрын
Umedamish
@pliscadaud14793 жыл бұрын
Yaan huyu Dada hua nampenda sana
@JabaleeAlly6 ай бұрын
Wee mzur
@dianangairoukovizuli21023 жыл бұрын
umependeza dada
@tamarablack2543 жыл бұрын
Nakupenda mamaa
@matildamwangu33333 жыл бұрын
Tuzidi kumwomba mungu tu jmni
@kiya0910 Жыл бұрын
Mpende Sana mumeo tena mume umepata dada naucku Bali kidudu kiingilia Kati pambana
@albertmugweru56243 жыл бұрын
salimia jackline wolper sana
@neemashamadi38003 жыл бұрын
Umependeza San ant
@dapriccy35742 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@fatmamatola3933 жыл бұрын
Wewe no mzee sana kwa Rich ni mtoto wetu bado mdogo hivyo ulkmleee vizuri umechakuwa kingasti
@ashaabdi53683 жыл бұрын
wapo dadaangu wadada wanaopendenda waume zetu na kuweza kutudharau sisi wenye ndoa na kujiona wao ni bora zaidi kuliko
@alicekemunto43013 жыл бұрын
Congrats unaongea ukweli🙏
@edithakomba69213 жыл бұрын
Kumbe ww ni fundi cherehani waooooo ndo mana unavaa vitu classic hivyo
@habibasuleiman85443 жыл бұрын
Umegonga. Ndipo dadangu umegusa kajala mpaka nkafurahi nakupenda
@sultansallah45093 жыл бұрын
Bongo hakuna star kuna watu maarufu tu... mnajua maana ya star nyinyi
@uwinezanaillah37753 жыл бұрын
Ndo manaa nakupenda
@ThomasSafiel2 ай бұрын
Zaa wtoto jaki uswaze
@tiffahhenlly4063 жыл бұрын
😍
@paskalinasimoni60993 жыл бұрын
Kweli dada angu hakuna mwanamke anaye mpenda mume wa mtu
@rabymulo31993 жыл бұрын
Mbuzi pia anazaa
@LovelyRacingHelmet-iv6ti Жыл бұрын
Kichwa cha Habari mbona hakiendani na mahojiano
@sultansallah45093 жыл бұрын
Ni mapenz au biashara
@TheranceNdayishimiye2 ай бұрын
Niliumia kumuaca musani wangu konde boy
@Enemyofallah-y4u3 жыл бұрын
Mapenzi yakuongelea biashara tu
@Farajahelene230313 жыл бұрын
wolper i love you and konde boy
@jemimahfrancis77843 жыл бұрын
konde 🤣🤣🤣
@deborahkyusa58813 жыл бұрын
Vizur sana mama
@fatmamatola3933 жыл бұрын
Umepata bahati pia kumshukuru kakustiri ulishabuma kwa hivyo huyo mtoto wetu usimpoteze
@shadyfany3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@jacksonmwathethe95453 жыл бұрын
Ulikua usiachane na Harmonize
@marypacshal21153 жыл бұрын
We ni mfano wa kuigwa
@liliangodfrey20383 жыл бұрын
Ubunifu
@hajimaulidyhajimaulidy81313 жыл бұрын
Malaya ww
@maryprejoofficial68463 жыл бұрын
❣️❣️❣️
@freynecessaire97833 жыл бұрын
Wewe mwaminifu kweli
@freynecessaire97833 жыл бұрын
Mimi mukongomani nimekuona muhakili Sana dada
@raphaelchumila52833 жыл бұрын
Et heng'a
@michuxo23863 жыл бұрын
Ukweli nikwamba she's not pretty but famous
@suleimansalim71943 жыл бұрын
HUYO MTOTO NI WANGU NA SIO WA RICH MITINDO
@edithakomba69213 жыл бұрын
Waooooo
@duhrurhhddhheud85753 жыл бұрын
Unaomba lift kwenye difenda😄😁😁😁😆😀
@tamarablack2543 жыл бұрын
Alaaaaa Alaaaaa
@juliethcosta99593 жыл бұрын
nyeupe ndo msiba,,,
@renykdarbouy45873 жыл бұрын
jacky ,,,i lyk ur answers..darboy from kenya
@abdulqareemabdallah25793 жыл бұрын
Jack na kukubal unasem ukweli kabisa mtafutaj hawez sem et hawez rudia nguo no upo Sasa piga Kaz kabisa
@kondegangmusic58663 жыл бұрын
Zuchukzbin.info/www/bejne/oJWshHefjKx4bck
@allyhassani80123 жыл бұрын
Mfyuuuu
@rachelkikono97013 жыл бұрын
Mwanaume anayekua na akili timamu haachi familiya yake kwaajili ya mke mzuri ao mwenye chepu ,ni taama zake tu Hee dada umegonga ndenge mbili kwa pamoja banah Wausika wamesha sikiya tayari