Hakika bwana ni nuru kwangu toka utotoni mpaka leo nasikiliza nikiwa kazini mungu anatupenda sana
@kiddophilemon4 ай бұрын
Tangu mtoto nikiwa na miaka 10 nausikiliza hadi mkanda wa video tunaona hadi leo,Mungu awabariki sana
@JacklineMurithi-j7nАй бұрын
Hongera wanashinyanga...mwanikumbusha Christmas ya 1998 nikiwa kijana mdogo chini ya wazazi...wao ndio walinionesha utamu wa hizi wimbo zenu
@aman-2001510 ай бұрын
Hakika Mungu ni wa ajabu, nmeanza kusikilza wimbo huu nikiwa bado mdogo sana, leo tena nmepata baraka kusikilza nikiwa chuo kikuu Hakika Mungu ni mwema
@tabithalusenga11837 ай бұрын
Mbarikiwe tena watumishi tangu 2007 nikiwa 4m 1 mpaka Leo bado unanibariki
@MilongoGaspardАй бұрын
Iyi nyimbo inapatia mtu ma tumaini ya uzima wa milele yani mbinguni tuamini yesu 😢🙏
@brightonkiwango81847 ай бұрын
Bonge moja la choir 2024 bado nasikiliza ❤❤
@JosephAgoi-e5q22 күн бұрын
Nina penda sana nyimbo za kusifu mbarikiwe sana
@alphayomogunde78285 ай бұрын
Msikilizaji mkuu na shabiki wa kwaya hii huko Kenya ❤❤❤mungu wetu awape nguvu.
@missarepafra39735 ай бұрын
Huwa zinanikumbusha mzazi wangu akiwa DC pale Shinyanga. Kazi yenu njema Bwana Yesu awatunze ktk milki yake hadi tukasifu kweli kule mbinguni
@Sara-c6t8r2 ай бұрын
Wimbo huu nimeusikia tangu nipo 1had nimemaliza elim nimekuja kuu tafuta mwaka huu naupenda sana
@EDDOSTEVENАй бұрын
salute kwenu shinyanga kwanya from 2007 mpaka leo tuko pamoja
@marynasyieki378310 ай бұрын
Am here again 2024🎉🥳God is my light fear no more 💪💪🙏🙏
@aman-2001510 ай бұрын
Tupo pamoja 2024
@drgeofreymdede3952 Жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki sana ninao kwenye gari yangu na sikiliza kila wakati. Nimeanza kusikiliza tangu 2007 nikiwa chuo kikuu Muhimbili. Barikiwa sana AIC SHINYANGA
@AnethJoseph-x6t3 ай бұрын
❤❤❤ mzuri sana
@PatsonBuya2 ай бұрын
very nice song, for the producer nice job i wish i would see you
@danielorango5875 Жыл бұрын
AIC Shinyanga. Mbarikiwa mno kwa wimbo mzuri wa kuinua mioyo. Shalom
@Antia-i1iАй бұрын
Yan huu wimbo ni mzuri jamn 😂 Mungu awabaliki waiimbaji
@miltonjohn977919 күн бұрын
Huu wimbo naupenda sana
@PHIASONYONA2 ай бұрын
Wimbo huu unanibariki Sana. Ikiwapendeza mnitumi
@charlesmkisi80524 ай бұрын
Nipo live toka kiwanja chunya
@GodloveMbwilo-z8y5 ай бұрын
Nawapenda saaaaana,Gody wa Mafinga
@MandelaMashombo-u2p3 ай бұрын
Wimbo una mafundisho mazuri
@georgecharles550320 күн бұрын
Nice song
@maticsleokas17856 ай бұрын
Nimekuwa nikisikiliza limbo huu toka mwaka 2007
@ibrahimugilya7519 Жыл бұрын
wimbo unanikumbusha marehem kaka yangu enzi hizo😭😭
@marynasyieki378310 ай бұрын
Pole😢
@MathayoMakau9 ай бұрын
Pole sana
@FrancisAzirikanu6 ай бұрын
Pole sana kaka
@smartcyber75317 ай бұрын
video shot in kenya
@vailethbenjamin7489 Жыл бұрын
Barikiwa sn Aic shinyanga mnanibariki mnoo hii Albam nakumbuka nilikuwa mdogo sn sasa hv kama kaushuuda mmetoka mbl mnooo🔥Mungu azidi kuwapeleka viwango vya juu sana ❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥🔥
@wambuikariuki1450 Жыл бұрын
I used to cry when I listened to this song dad was in rumand
@johnmangenge21973 ай бұрын
Nabarikiwa sana. From Kenya
@JacksonLazaro-mm3qs4 ай бұрын
❤❤ wimbo wangu wakati wote
@DamianoMaghway-ye7qj Жыл бұрын
Hongereni sana watumishi wa mungu
@jacobmkirya99874 ай бұрын
1 September 2024🎉🎉🎉 nimebarikiwa kuwasikiliza Tena
@elihurumaombay1641 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo
@MathayoMakau9 ай бұрын
Daaaaaaaaaaa jaaman kuwa na Mungu raha sana hata mbinguni 2tasifu hivyhivy
@josephyohana844910 ай бұрын
Hakika Wimbo ni mzur sana mungu awapiganie kwenye kutangaza jina lake
@GeoffreyRottich4 ай бұрын
𝙷𝚞𝚞 𝚠𝚒𝚖𝚋𝚘 𝚞𝚖𝚎𝚗𝚒𝚋𝚊𝚛𝚒𝚔𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊
@jeanpierremugarwa9557 Жыл бұрын
Nawapenda sana. Nyimbo munaziimba zinanibariki sana Niko DRC Congo.
@DamianoMaghway-ye7qj Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mlieimba hizi nyimbo🙏😅😅😅😅😅😅
@danielmathias1604 жыл бұрын
Inanikumbusha mbali sana. The best choir
@tumainirichadi4638 Жыл бұрын
Noma sana hawa jamaa wamepotelea wapi nawakubali sana
@brightonkiwango81847 ай бұрын
😂😂😂 step zenyewe hadi raha watu wanaenda na beat vibaya mno
@PromieJosam3 ай бұрын
Hahaha siyo zasikuizi watu wavuruga kama wako kilabun
@duncannzomo-hz5qf8 ай бұрын
Amina Nabarikiwa na hii Choir...Mbarikiwe sana
@annastaziamoshi11764 жыл бұрын
Huwa wananibariki Sana,Nina furaha sababu bwana Yesu kaniokoa