Wimbo ni mzuri sana Mungu awabariki kwa kazi yenu nzuri naamini mtafika mbali sana Amen 🙏 ❤
@RojasJuniour2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana watumishi hongereni sana pongezi kwa mwalimu wenu pia. MUNGU AZIDI KUWABARIKI NA KUWAINUA ZAIDI
@tinadaudi31532 ай бұрын
Mungu tuvushe salama
@henrucheyo76132 ай бұрын
Wimbo Mzuri mungua awabariki
@PiucMaziku2 ай бұрын
Hongereeni kwa wimbo wenu wa kuwatia moyo piah wasikate tamaa, unajua MUNGU hawez kuruhusu tyu jambo likatokea baya na lamajonzi bila makusud yake so tumshilikishe tyu MUNGU kwa kila second because hatujui hata masaa yanayofata tutakuwa kwenye situation gan
@RojasJuniour2 ай бұрын
Nmejikuta nausikiliza kwa siku nzima aisee wimbo huu ni mkubwa sana 🙏