Tumetembea na WeWe from January to December. This far is you Ebenezer Asante Elohim 🙏🙏
@FurahaNzunda-e5sАй бұрын
Please, our heavenly father, bless everyone who is reading this comment.
@gladsilaa607811 ай бұрын
Waoooo tulio toka TikTok kuja kuutafuta tujuane❤🎉
@mayalajbubele969611 ай бұрын
Tunakoment wapi
@sayunimrocky844510 ай бұрын
Tupo
@annaYohane-i4rАй бұрын
Nikoapa
@finnerevarest1055Ай бұрын
Tupooo❤🎉
@danitohmusick3169Ай бұрын
Kumbe siko pekee yangu 😂😂😂
@samsonbaptistdrummer60711 ай бұрын
Nasema hivi gonga like na subscribe kabisaa kama umeipenda ELOHIM❤❤❤❤❤
@Chekibobu19 күн бұрын
This is Tanzania bruv. Am proud of our people
@eunicembatia680411 ай бұрын
At the moment I have a fracture on my right leg but I can't stop dancing to this beautiful song. I know ELOHIM is healing me in Jesus name. Oh God may you fight all my battles. AMEN
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Jehova Rapha is healing you in Jesus's name
@elizabethyusuph922110 ай бұрын
Receive the healing in Jesus name 🙏
@ballackntaliho259711 ай бұрын
Du! Aise aliyepewa maono ya kutunga huu wimbo Mungu amubarikia sana, adi majilani wananishangaa et mtu gani wiki nzima unapiga wimbo mmoja, nabaki natabasamu tu ukuu wa Mungu kwa yale ambayo anatuepusha nayo.
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amina. Jina la BWANA libarikiwe. Barikiwa mtumishi.
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@nestoryntogwa80511 ай бұрын
Endelea kumtukuza Elohim kwa anayoyatenda kwako.
@LeahJoshuwa11 ай бұрын
Kwakweli majirani waache tu washangae hawajui vyenye MUNGU anatupiganiaga
@stephenmumo194 Жыл бұрын
Gusa raised me when I was 7 years old.....I'm 22 nasema asante kwa Mwenyezi mbarikiwe zaidi walezi wangu
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukuinua
@stephenmumo194 Жыл бұрын
@@rachelsenni8919 amina Rachel. Amejibu maombi na huu wimbo wa walezi wangu naomba uwe wako🙏
@pirwothchristian967Ай бұрын
Mimi hapa kweli kabisa nime toka tiktok❤😂😂
@linnahissack6226Ай бұрын
Nimeusikia kwenye harusi ya mtu nikaupenda ntauimba siku ya harusi yangu mwakani❤ kwa iman
@jacksonayubu730911 ай бұрын
Hakika mnaweza kumtoa mtu kwenye zambi kupitia nyimbo zenu mbalikiwe sana❤
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Jina la BWANA libarikiwe na sifa zimrudie yeye Mungu wetu.
@chenge_ernest11 ай бұрын
Mimi na familia yangu tunabarikiwa sana na nyimbo zetu. Mzidi kubarikiwa zaidi na zaidi.
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen mtumishi wa BWANA. Sifa, heshima na utukufu kwa BWANA.
@MARTHAKAZEMBE-q4o4 ай бұрын
Tulitoka tiktok. Kuutafuta huu wimbo tupo hapa lovely
@SammySam-ki1jj4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂dah hii mitandao bana nkajua nipo mwenyewe nmekuja mbio
@lugembe1057 Жыл бұрын
It is a great song. Mwanzoni wimbo unaanza kama siyo mzuri hivi, lakini mwishoni hasa kwenye kiitikio unavuta na kuvuta hisia sana. Shortly mmenigusa sana
@emmanuelykitundu24722 ай бұрын
Mwanzo mwisho wimbo mzuri
@josephtesha58352 ай бұрын
Aiseeeee
@EdnaAlmasp7 күн бұрын
Mwenyewe mwanzo niliona wa kawaida ila ulipofika katikati ukaanza kunichukua , God is good
@fabricendayikorere8832 Жыл бұрын
Murakoze cane! Imana ibahezagire! Listening from Burundi!
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Be blessed
@AngelAfric Жыл бұрын
Urakoze chane na wewe 🙏
@fabricendayikorere883211 ай бұрын
@@AngelAfric Welcome!
@fabricendayikorere883211 ай бұрын
@@rachelsenni8919 Amen,you too!
@Protas_joseph1 Жыл бұрын
Kila mmoja wetu akiri kwa kinywa chake kwamba kama si Bwana tusingefika hapa, kisha Sifa na utukufu zimrudie Yeye.
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen. Hakika kama si BWANA tusingekua hapa. Sifa, heshima na utukufu vimrudie BWANA.
@joellumala3206 Жыл бұрын
Hakika ni kwa mkono wa Bwana
@YaserAlharbi-sw1wp24 күн бұрын
Na huu wimbo nimeuskiza leo vizuri ikiwa ni tarehe mosi mwezi wa mwisho mwakani,baba hakika tangia Januari hadi Disemba nasema asente Elohim 🙏🙏
@IssacWambua Жыл бұрын
Aic Changombe vijana choir mnanibari tangu Guza,pazia ya hekalu hadi Elohim from Machakos county Kenya
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Be blessed for following us, we believe you're praying for us
@rachelsenni891911 ай бұрын
Glory be to God. Before Gusa kuna Vunja.
@davidfrank1644 Жыл бұрын
Imagine in the same church there is #Neema gospel and CVC 🔥🔥🔥🔥
@joellumala320611 ай бұрын
Hata usiku wa Manane tupo tu 01:03am Asante Elohim!
@euniceCharles-l3b11 ай бұрын
Amen
@gabrielbosire724820 күн бұрын
This 😢song is healing everyone deep inside our hearts 😭😭😭😭 praise God
@kalamuyangu1 Жыл бұрын
Wimbo mzito, ujumbe mzito, daraja kwa mhitaji. Hongera nyingi kwenu @Aic_Chang'ombe
@bonkeoriogofounderanddirec403721 сағат бұрын
The whole year Lord Jesus you have been merciful and faithful even when we were not. Thank you Darling Jesus.
@vedamusa8033 Жыл бұрын
AICT-vijana choir chang'ombe,tangu enzi za Gusa mpaka leo Mungu anawatumia kuhudumu na kufanya kazi yake kwa njia ya uimbaji mnaendelea kuwa choir kwangu mm kwa East Africa mnaongoza.Elohim amekuja vzr sana ila hatamfikia"Nafsi yangu imechoka sana."
@siamremi7320Ай бұрын
Asante Yesu.Nimeona mkono wako ukinitetea nilipotoka ni mbali.Asante Yesu wangu Nakupeenda
@marthaanton69679 ай бұрын
Yesu awainue zaidi pia viongozi nawalimu wanaosimamia kwaya hii mbingu ziwakumbuke sn kupitia nyinyi kunavitu najifunza sn
@rachelsenni89199 ай бұрын
Amen. Glory be to God
@neemakitula300411 ай бұрын
Asante sana huu wimbo kwa kweli unaponya majeraha yote asante ELOHIM 🙏
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Hakika sissy.
@ruthmagulu489611 ай бұрын
Ameen my Dada
@evalyari74084 ай бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@nancybukhaya506710 ай бұрын
The repeat on the chorus!!!if you know what God has done in your life,nishukurani tu
@Sharonaworofficial3 ай бұрын
I had this song on tiktok kwa clip ya zoravo...nakuambia ilibidi nikimbie youtube nitafute full song...God glory to you...
@edwardmguye24835 ай бұрын
Mwanzoni huwez kuelewa huu wimbo ila utamu wake unazidi kunoga zaidi pale unapo endelea kuusikiliza
@joseymhina502511 ай бұрын
Libarikiwe jina la Bwana Yesu. Aliyetunga huu wimbo, Md nawasalimiaa katika jina la Bwana Yesu, mmebarikiwa.
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA
@joseymhina502511 ай бұрын
@@rachelsenni8919 kuna powefull message.
@lucymukhavi1405 Жыл бұрын
My favourite choir CVC.I saw the short clip of this song as you were practicing it. Be blessed brethren. Always your biggest supporter . I'm blessed.Mabaya yaliinuka lakini hayakutupa,ulitutetea,ulitushindia Asante Elohim wewe ni Mungu unayetenda❤. 🇺🇸 🇺🇸
@mayalajbubele9696 Жыл бұрын
Now you have it all
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen. Continue praying for us.
@zakhiemhayise61310 ай бұрын
I don’t understand the language but the spirit of lord make it simple for me to understand and love the song , may the lord increase you more n more
@eliamahuna8329 ай бұрын
that is how holy spirit ministered to his people even when you don't understand the language
@rachelsenni89199 ай бұрын
Amen. It is a thanks giving song. We're thankful to God for being with us from the beginning to where we are now. His hand protected us against all Evils
@unclesammykaniki1184 Жыл бұрын
#Mimi huu wimbo ndo chakula changu chai ya asubuhi,'#Chakula cha mchana,na #Usiku yani hupati njaaa kabisa maana ni #Mungu Ndo anayetenda kwakila Jambo Nilazima Umshukuru ELOHIM KWAKUSEMA ASANTE.
@mwanandohele Жыл бұрын
A BIG AMEN
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen
@immaculatekivisi5966Ай бұрын
Wenye tumeletwa na mtoto Naomi tunakaa pande gani😅😅,asante Elohim🙏
@DerickAmoloАй бұрын
Kumbe tupo wengi nilidhan n mm mwenyewe sema ni bonge la songi
@ignatiussavai8494Ай бұрын
The slim lady in the middle of the sopranos is singing 🎶 it out from the heart ♥ I love it😊😊
@FlorenciaKazimoto11 күн бұрын
🙌🙌🙌🙌Elohiiiiiiiiiiiiiiim
@PendoMbise-rl3tf11 ай бұрын
Huu wimbo unaweza kukutoa mahali kukuweka mahal pengine
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Hakika, tuendelee kuuombea nguvu ya ki Mungu ili watu wake wavushwe walipo kwa utukufu wake tu.
@meshackwilson190911 ай бұрын
Wimbo unaimbika kila wakati unasinzia zako ndotoni upo nao tu. ELOHIM
@Protas_joseph111 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Protas_joseph111 ай бұрын
Yaaani Dah
@sayunimrocky84458 ай бұрын
Huu wimbo ni kama wameniimbia mimi na wanangu, yani kila nikisikiliza najikuta namwaga machozi kwa shukrani zangu kwa Mungu. Mkono wa Mungu umetubeba
@AICTChangombeChoir_8 ай бұрын
Amen 🙏🏾 Utukufu kwa Mungu
@MUSSAMMAPUNDA Жыл бұрын
mnavyoimba raha sana na mnanifanya niikumbuke ukombozi kkkt msasani .,nimebarikiwa na huduma yenu watumishi wa MUNGU ,MUNGU atukuzwe
@ezekielmasaga258 Жыл бұрын
Amen mtumishi
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen
@mayalajbubele9696 Жыл бұрын
Amen
@joellumala3206 Жыл бұрын
Amen
@happinessngusa5073 Жыл бұрын
Ogopa ni hatari MUNGU wangu awabariki sanaaa hii kitu ya moto sanaaaa ❤ kwenye mkesha lazma niipige hii❤
@WelluIzumbe4 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi yoyote unayepitia Magumu. Mungu atakutetea siku zote.
@ElizabethkuvunaMwarua4 ай бұрын
Amen 🙏
@malucharles7964 Жыл бұрын
Production Niko safi sana nimependa stage arrangements nimependa digital stage plus lights set ups lan wange rotate light nyeupe kuwa main light ikirotare more ili kupunguza darkness kwa mbali,nyimbo nzuri mtunzi kafanya kweli.dressing safi,color za nguo safi ila nilitamani wide shots zingepungua then medium shots zingeongezwa,ningetamani medium shots za watoto hapo mbele kuimpress watoto wetu kupenda kuimba pia. otherwise 90% excellent
@sulemanmuyomba3524 Жыл бұрын
Kazi imebamba hatari
@AICTChangombeChoir_ Жыл бұрын
Shukran @Charles
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen
@nestoryntogwa8059 ай бұрын
Asante kwa ushauri mkuu,umechukuliwa
@andersonmsumanje143 Жыл бұрын
Asante ELOHIM, Wimbo wa kufunga mwaka na kufungua mwaka
@hakizimanasylvie577216 күн бұрын
Asaante ELOHIM MUNGU wetu mkono wako umetubeba umbali huu ni ww BABA 😭
@Protas_joseph1 Жыл бұрын
Hakika atuteteaye ni MUNGU tu, Mengi mabaya yanainuka kwetu lakini MUNGU anatushindia
@SaraMasanyiwa Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤waoooooooh hii ndo maan ya kwaya kubwaaa 🎉🎉🎉hakiika mmeonesha ukubwa wenu Mungu awabarik sana .......kazi nzuri sana aiseee nakosa maneno ya kusema ....ila Mungu awabariki sana
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen. Endelea kutuombea.
@krysheentyner8673Ай бұрын
From TikTok after watching mtoto Naomi sing this song.
@lizahmakena450525 күн бұрын
Asante ELOHIM, Umekuwa nami, umetembea nami, umenificha ,umeniinua...hapa nilipo ni kwa nguvu zako..bila wewe singeweza,..POKEA SHUKRANI ZANGU🙏
@cosmaspeter9273 Жыл бұрын
Hakika ni Elohim CVC Mungu awabariki huduma izidi kusomga mbele.. hii imeenda
@MagrethJackson-t1n9 ай бұрын
HII NI COMMENT YANGU YA PILI.....ILA AISEE AISEE HUU WIMBO ULIYEANDIKA MUNGU WA MBINGUNI AKUINUE ZAIDI YA HAPO NASIKIA NGUVU YA MUNGU KWA HARI MPYA SANA NDANI YANGU HUSUSANI KATIKA KIPINDI HIKI... MELODY YA WIMBO TU INANIPA UAMSHO NA NGUVU YA KUPATA TIMAINI JIPYA DHIDI YA KUMTEGEA MUNGU YAANI CVC MMEJUA KUNIPA MLO KAMILI...❤❤❤❤
@AICTChangombeChoir_9 ай бұрын
Amen 🙏🏾 Ubarikiwe sana
@zipporahzippie94244 ай бұрын
Wale wa Tiktok tuko wapi🎉🎉 this song been popping on my timeline
@mayalajbubele96964 ай бұрын
Tunacomment wapi😅
@CatherineNzeki3 ай бұрын
Mm pia
@jacksonkapongo619311 ай бұрын
Wimbo mzuri wa kumtukuza Mungu,kwa kutulinda kwa yote yaliyopita nyuma. Mungu atukuzwe.
@nestoryntogwa80511 ай бұрын
Wimbo wangu wa muda wote,namshukuru Mungu kila mara nahaya ndiyo maneno yangu
@rachelsenni891911 ай бұрын
Nikitazama nilikopita mwaka jana!!! Hakika ELOHIM anastahili kupwewa shukrani kwa wema wake kwetu.
@EmmanuelyThomas11 ай бұрын
Amen🙏
@Protas_joseph111 ай бұрын
Amen
@euniceCharles-l3b11 ай бұрын
Amina mama
@rachelsenni891911 ай бұрын
Tunakushukuru ELOHIM kwa maisha ya utumishi wa Mch E Masanja. Tunakushukuru kwa kuwa wewe utabaki kuwa faraja yetu katika hili.
@ESTERHAMIS-is9kl Жыл бұрын
Nikikunbuka january ilipo anza hata leo decenber Mungu ametusaidia Asante Elohim
@kellywatulo51679 күн бұрын
Hakika Mungu umekuwa nasi toka mwanzo hadi sasa.. Ahsante sana Elohim.
@MosesNkinda Жыл бұрын
Winbo umejaa upako wa Mungu na kibali, mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@hellengladwilliam67705 ай бұрын
AIC Chan'gombe kwaya zao ni balaa! Sipati picha ukisali hapo na Neema Gospel wawepo pamoja na hawa uwi
@NusuraSilvester Жыл бұрын
Jaman waambieni club hakuna issue njoon kwa yesu Kuna Raha km hizi❤❤
@gauthieramisi9217Ай бұрын
Naomi ana fanya ni tafute wimbo toka tiktok
@EliaIvan Жыл бұрын
Asante ELOHIM Huu ni wimbo Bora wa kufungia Mwaka wimbo umeimbwa haushoshi kusiliza jamani miziki imepigwa aisee MUNGU aendelee kuwabariki sanaa yani nyie nawapenda hadi naumwa ❤❤🔥🔥
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi, tuombee
@faithngangi686511 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana wasisimua moyo wangu🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@victoriansolo384211 ай бұрын
Amina
@ericsteven3655 Жыл бұрын
Like nyingi Mungu ameishakushindia
@jeffmk8563Ай бұрын
That Girl from TikTok has really promoted this song buy a soda for her.A nice song
@BethNdeke-c8wАй бұрын
Mwenye tumetoka tiktok ju ya sauti ya mtoi mko wapi
@joellumala320611 ай бұрын
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu 🎉, uwe wenye Baraka tele kwa Jina La Yesu Kristo.,#Elohim😊
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Na iwe kwako.
@JulianaGewe-j1q11 ай бұрын
Hakika Wewe Baba Ni Elohim, Umetushika mkono❤
@IbrahimNzogela10 ай бұрын
Yaaani hiyi nyimbo nimeitafta san sahv nimeipata na inavyo anza kam sio yenyew kumbe ukiisikiliz mwisho ina maona sio poa mungu azidi kuwapa kipaj cha kuimba zaid ya hapo mlipo fikia
@shabaniliswashabani41692 ай бұрын
Nimeurudia huu nadhani ni kwa mara 20 sasa...Mungu wetu ni mkuu sana
@vibianjepkoech993510 ай бұрын
Wow I love Aic changombe....it had been a while congratulations.God bless you more....Much Much love from Kenya.
@EmmanuelyThomas10 ай бұрын
Thank you so much
@rachelsenni891910 ай бұрын
Amen. Thanks, continue praying for us
@nestoryntogwa80511 ай бұрын
Yaani nikipanda daladala nikafika salama,bado nasema,"ASANTE ELOHIM,WEWE NI MUNGU UNAYE TENDA".
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen
@Protas_joseph111 ай бұрын
Amen
@briankipngetich90743 ай бұрын
From fb reels weka like it's awesome❤
@RanjaMistari Жыл бұрын
Last day of 2023 and I'm jumping into the new year with this song 🙏🏿
@elizabethyusuph9221 Жыл бұрын
Hallelujah
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen
@carentunu703211 ай бұрын
I have loved this choir over 2 decades nakumbuka tukicheza nyimbo zao kabisa my mom had those Caset ....Thank you Eloim
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@AICTChangombeChoir_11 ай бұрын
We love you too
@joellumala320611 ай бұрын
Amen, what a testimony
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Glory be to God. Be blessed for spreading the word of God with us by listening and sharing with your loved ones
@josephwayesu338 Жыл бұрын
Nimetazama mala kumi.nawapenda sana cvc toka niko kijana mdogo.gusa na nyimbo zingine
@MagrethMagulu-pj3cm Жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu,endelea kubarikiwa tu❤
@EmmanuelyThomas Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi🙏
@josephwayesu338 Жыл бұрын
Amen amen tubarikiwe sote
@JacklineIbrahim-tk5di5 ай бұрын
Kuna choir afu kuna chang'ombe na neema gospol😊😊😊😊😊
@VictoriaMafie5 ай бұрын
Mapacha hao❤️🔥🔥🔥🔥
@VerianSylvester-b6sАй бұрын
moto Naomi kaniongoza hadii nimepata wimbo huu 🙏🙏🙏🙏🙏
@VerianSylvester-b6sАй бұрын
mtoto
@JulianaGewe-j1q11 ай бұрын
Tunaomba Uendelee Kutembea nasi Ee Bwana. Asante Elohimu
@elizabethelias313024 күн бұрын
Umekuwa nami January to December..Asante Elohim
@MagdalenaSulusi20 күн бұрын
Sio kwa akili zetu ni Mungu tu ndiyo maana tumefika hapa asante elohim Mungu awabariki sana
@LusajoJason5 ай бұрын
Wimbo umeanza kua mzuri dak ya tatu. Huko mwanzoni nadhani wale wataalam wa instruments watakua wameelewa Nini mlitaka kuonesha. Sisi wengine tumebarikiwa huku mwishoni. Ahsanteni sana, Mbarikiwe. Nasubiri video ya MSIKILIZE ROHO. Natanguliza shukrani
@code.africa Жыл бұрын
Jamani tunaomba no ya Account tutume sadaka.
@ruthmagulu4896 Жыл бұрын
Oooh Barikiwa shem tutakutumia
@victoriansolo3842 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa sadaka yako
@Protas_joseph1 Жыл бұрын
Elohim, Mkono wako umetubeba
@aicdaressalaamchoir Жыл бұрын
Congrats alot servants of Jesus Christ..#ELOHIM
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Asanteni sana watumishi wenzetu shambani mwa BWANA
@sammKE11 ай бұрын
Wimbo mzuri wa kufungua 2024 🎉 Shukrani kwa Mungu kwa kuwa nasi kila wakati, hallelujah
@JoelinaPareso11 ай бұрын
Nahisi kutokwa na machozi, kweli hapa nilipo ni kwa nguvu za mungu!!!! Ahsante ELOHIM
@amoslilande885511 ай бұрын
The best song ever it can bring heaven down weee
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen. Glory be to God.
@pendomangi84002 күн бұрын
Asante mana nlipofika sijui nmefikaje Ila najua ni kwa nguvu zako
@ZachariaMwakiposaАй бұрын
Ulitangulia Mbele, bila wewe Tusingeweza 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏
@SarahSeni Жыл бұрын
Asante ELOHIM kwa kuwapa sautinzuri waimbaji hawa wote wa CVC.....kazi yenu ni njemasana....
@EmmanuelyThomas Жыл бұрын
Amen mtumishi ubarikiwe 🙏
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen
@irenemgaya3286 ай бұрын
The most powerful song.... Yaani hii nyimbo hata ukija kusikiliza baada ya miaka 10 bado itakuwa na upako wenye nguvu ❤❤❤❤🎉🎉🎉 ASANTE ELOHIM 🙏
@lashansoky1437Ай бұрын
nani ametoka TikTok 🎉🎉🎉?
@damarisnarotsoАй бұрын
Mm nko tiktok hii wimbo unattended hadi nkasema nikuje nione original
@ElfridaJacobMenya-d7l7 сағат бұрын
Asante Elohim Sina chakusema Kwa Mungu wangu Nakushukuru kwa yote
@gloriaphilip75734 ай бұрын
Tusiochoka kusikiza huu wimbo tujuaneee
@mayalajbubele96964 ай бұрын
Tunacomment wapi😅
@sabunifeleshi7563 Жыл бұрын
Kwa wimbo huu , wanakwaya tumeutendea haki, Mungu awe nasi tunapomshukuru kwa kutusaidia kwa siku zote tangu kuzaliwa kwetu
@moochicharles3294 Жыл бұрын
Thank you so much for reminding us that this far we have come coz of our God. Welcome to Nyamira County, Kenya.
@rachelsenni8919 Жыл бұрын
Amen. Surely we will be there one day once again by God's grace
@jojouhuru651511 ай бұрын
3:04 hits my soul differently ...Tumetembea nawe toka mwanzo upo pamoja nasi, hapa tulipo ni kwa nguvu zako..asante Elohim. Ulitangulia mbele bila wewe tusingeweza,hapa tulipo ni kwa nguvu zako..asante Elohim.×2 Najua Elohim umetangulia 2024..tengeneza njia ulivyowatendea wanaisraeli katika bahari ya shamu. ASANTE ELOHIM
@rachelsenni891911 ай бұрын
Amen
@philis98211 ай бұрын
Amen
@williummaroseck736611 ай бұрын
Keep it up changombe working the house of Lord ,continue receiving the blessing from the Jesus christ