Masha'Allah! Allah amfanyie wepesi.🙏🏼🙏🏼🙏🏼na pia amependeza sana. Masha'Allah!
@saadaAbdalla1371Ай бұрын
Maashaa Allah nilitamani sana hii kutokea
@UmmaryLikingeАй бұрын
Maashaallah
@idrissansereko6403Ай бұрын
Aisha Asante sana Iko Siku moja utarudi kwenye kaswida Nakupenda sana Kila la heri
@KhamisHilali-p4dАй бұрын
Hongera allah akuongoze zaid hakika nuru imekuajikiwa .wasia wangu wako. Wasiopenda maamuz yk watakukebehi wapuuze ulipotoka si sw n̈a ulipo ndio maana hata najis ipo kubwa na ndogo haw sw ataekoga hali anarudia kuchezea uchafu na yule anaefanya uchafu hali hakogi kabsa atanuuuka zaid so tumuombe dua.amuongoe zaid
@HileHile-ns9xvАй бұрын
Maasha Allah barakallah Allah dada Allah atuongoze wote
@MwanauluАй бұрын
Mashallah
@GatekaFatmaАй бұрын
Bi Aaisha kipenzi cha mtume mi nakuombea kheri tuletee kaswida tupo tayari kupokea ila siweki kinanda kwenye kaswida itakuwa miziki sasa❤❤
@salmaali7080Ай бұрын
Ukiamuwa kuacha mziki uwache namengi yote habibty ambayo tumekatazaa,ufate ya faradh,allah atuongozee killajamii islamm
@MaimoonaMaimu-s4rАй бұрын
Mashaallah Allah akuongoze
@khatimabdallah814327 күн бұрын
allah akutilie wepesi na akukinaishe na mziki amin
@munam7104Ай бұрын
Ase shukuruni sana kuzinduka mapema mashallah ❤
@Kuminamoja1995Ай бұрын
Masha'allah njoo kwenye Qaswida dada Tutakupokea Innsha'allah
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Qasida na taarab si sawatu
@HUSSEINALLY-b7fАй бұрын
Hata make wako na mama yako ni sawa?@@HanifaOman-oo4pl
@Hamis-ks1syАй бұрын
@@HanifaOman-oo4pl kabisa aisee kwa namna wanavyoimba sasa
@Al-farsy-l6pАй бұрын
Eti qaswida
@thamratysuleiman3053Ай бұрын
Zote hizo ni nyinbo hazifai
@AminaMkumba-u3zАй бұрын
Jambo Jema sana
@mohamedsaidalhabsi7862Ай бұрын
Mashaallah
@GdFf-ik2eoАй бұрын
Mungu stuongoze ktk kufuata haqqi Na stuongoze SS wengine Maana haya maisha ya dunia NI mafupi Sana lkn maisha ya akhera NI ya milele kwa Bora kuiandaa na maisha ya milele umauti huja ghafla Eee MOLA tujaalue mwisho mwema mm a yaa rabby
@Omanzikra-ft5crАй бұрын
Sasa ndugu yangu aisha ww umerudi huku kwenyedini yetu umekuja kujifundisha Qur.an ama allah anasema anamwambia mtume Qul sema azuwajika waambie wakezako wannisail mu.uminina nawanawake wa aminio falyaQraul Qur.an fii buyutihinna wawewanasoma Qur.an katika majumba yao sasa bas tulichoambiwa na mungu sisi nikusoma Qur.an nasio milango ya maulidi wala kuimba kaswida sisi waislam tunatafuta vipaji vyakusoma Qur.an hatutafuti vipaji vyakusoma kaswida jitahidi uwenakipaji chakusoma Qur.an baada ya miezi sita insha allah uje utuambie umefikia juzuu langapi
@khadijamfaumemohamedimilan2618Ай бұрын
shaili naliandika kwa Aisha mashauzi Aya anayo tamka ajuwe kuyafanyia kazi Amludie rabuka Aache ya upuuzi akae ajuwefika Amrudie mwenyezi
@naswiharashid7166Ай бұрын
Allah amuongoze ndia njema kwa kl anaekosea Isha tafuta riski kwa njia yakumfurahisha Allah but usisimame mbele ya stage uwimbe sauti yote yasikilikana kisha useme watafuta riski Laa tafuta riski kwa njia njema
@abdallahibrahim280Ай бұрын
Kumbe eeh!!! Hizi madrasa zinazofundisha qaswida ndizo zinazalisha wanenguaji na waimba taarabu, kwakweli aqida sahihi ya elimu hapa Allah a alamu
@alimwadima254Ай бұрын
MashaAllah Mwenyezi Mungu akuongoze na ile tattoo uliyosema uliichora jitahidi uifute
@kadijaa777126 күн бұрын
In sha Allah Allah ataxindua na kuifuta
@alimwadima25426 күн бұрын
@kadijaa7771 Allah amfanyie wepesi
@Wastara001Ай бұрын
Acha kuongopea.. Hao wanaosema usifanye nifanyacho fanya nisemacho hawajielewi. Soma surah saaf; limataquluna malatafaluun. Kazi zipo za halali na haramu. Sio ufanye kazi kwa kuwa unapata rizq. Fanya kazi za halali. Wimbo ni haramu Isha.
@Hamis-ks1syАй бұрын
Kwa namna wanavyoimba saivi hamna cha ajabu atakachokua anafanya zaidi atakua anauruka kinyesi na kukanyaga mkojo maana zote ni nyimbo hizo kwa uimbaji wasasa.
@RahimaMct-ik8mrАй бұрын
Sana kabisa
@AhmedAhmed-gf1rdАй бұрын
100
@FahadiDuranАй бұрын
Yaani hatari jana tulikuwa na ndoa wale waiba kaswida waliokuja wanaimba miziki 😂😂😂😂 na kucheza juuu
@SAFIAFOMARАй бұрын
Upo sahihi
@RahimaMct-ik8mrАй бұрын
@@FahadiDuran bola kupita mziki kabisa ujuoja
@biberpriyer330Ай бұрын
Aache kuimba kabisa hata qaswida za siku hizi ni taarabu na singeri labda aimbe annasheed
@salmaali7080Ай бұрын
Hapo umenena wallah100%nakupa
@MunaMohammed-j3mАй бұрын
Mwacheni Aisha mdogo mdogo akiingia kaswida na kuacha kuimba taarab itafika ataacha kbs.msimvunje moyo
@aliabdalla9297Ай бұрын
Snura kaamua huyu anataka kuiga na ndio maana hajataka kutoka bado yupo kulekule na si ajabu takaja tukasikia yale ya Mzee Yussuf nimerudi mjini
@AhmedAhmed-gf1rdАй бұрын
100
@wangagirl3508Ай бұрын
Toa hicho kipuli😮😮
@HadjraUwimanaАй бұрын
Makosa sana iyo ni bida na ni uzushi 😢😢
@AdamuMdoeАй бұрын
Inshaallah
@biasha1386Ай бұрын
Wanawake wameekewa mipaka ktk mambo kisheria haswa sauti zao japo kazi
@aliabdalla9297Ай бұрын
Kutafuta riziki lakini hapo kwenye kutafuta ndio tunapotakiwa tuangalie na tuchunge sana
@FASSALEHALIBАй бұрын
QASWIDA NI KAMA TAARAB. MDUNDO BILA KUSIKIA MAISHAIRI UTASHANGAA.
@AhmedAhmed-gf1rdАй бұрын
100
@MwanjanjikuАй бұрын
Aaaah bado hakunaalichokikwepa tarabu naqaswida ni ndiguwawili kilichokwenye taarabuniokilichopokwenye qaswida Chamsingi asilimuukwelikwelii aanchenyimbozaainazote ajifunze dini Ajishuulishena amalizakheri
@imranmaulid1858Ай бұрын
Shida ya waimba kaswida wengine inaanza hapo muimba kaswida baadae akialikwa mfano harusin anakuja na live band wanaimba taarab za sasa na zilizopita sasa sijui ndo nn usasa au ushetan wanachanganya mambo
@mrok284Ай бұрын
Ila Asha acha kuimba, Hiyo ni amali ya shetani.
@pavillioncry524110 күн бұрын
Karuka kwa ibilisi kaangukia kwa firauni
@KinanaZagar-pv6qcАй бұрын
Toa rangi zakucha uswali
@masoudtwalib6413Ай бұрын
Upuuzi mtupu, na hiyo Firdaus TV na mmiliki wake mnaendelea kuupotosha uislam.
@Msanuaj29 күн бұрын
Nampenda sana huyu dada
@thamratysuleiman3053Ай бұрын
Zote nyimbo.na izo kaswida madhara yake makubwa zaidi kuliko taarabu
@ukhtyrayyan7884Ай бұрын
Kasida kama haina mziki inadufu pia wawe wanawake watu haina neno usiseme kuwa bora tarab
@thamratysuleiman3053Ай бұрын
@ukhtyrayyan7884 me naongelea shairi lolote ambalo limewekwa ala za music
@HarunaFursana26 күн бұрын
Machoz yani mwagiga dadaaangu japo tunamakosa sote ila hakuna taarab et unaongoza watu pia qaswida baadh nyingi nimiziki tunajuta saana tena saana ila twatubia tu da asha mashauzi acha kila kitu wewe acha tu mengine wewe acha kipenzi
@AliBoss-ws4ceАй бұрын
Na ayo matatuu yake kashasemanayo
@farahali6041Ай бұрын
unacha kuimba nyimbo yotote
@masoudalriyamy6298Ай бұрын
Ndio unapata mafunzo gani ndani ya dini
@AljuhaniAllyy-dg4ldАй бұрын
Muziki ni kharamu tena ni kharamu, sharti ya kuimba au kukiliza muziki zingatia masharti haya kwanza usitegemee ridhki ya Allah pili ukae sehemu ambayo Allah haukuoni ndipo uskilize au uimbe ukiweza masharti hayo rukhsa kuskikilia au kuimba,
@rashidibrahimshemlugu78458 күн бұрын
Sasa hicho kipini cha nn hapo mdomoni
@masoudalriyamy6298Ай бұрын
Tatizo dini haiendeshwi kwa fikrra enaendeshwa kwa muonozo wa kitabu kitukufu
@aliabdalla9297Ай бұрын
Eti mja wa kheri mja wa kheri huwa katika kheri na sio hupo ulipo wewe nyimbo haijalishi maneno nyimbo yoyote ina miziki inahamasisha mambo machafu tu
@alihabib7640Ай бұрын
Hawa wakihojiwa hupenda kujinasibu na madrasa hivi mbona hamsemi mmepita vikundi vyenu vya uhuni huyo sheikh alokwambia hivyo sie
@UmmuJauzanАй бұрын
Mshenzi mmoja tu huyo kwanini usifanye kazi ingine
@abduwahabi7019Ай бұрын
Mziki niharamu na anashidi niharamu, aya tatu katika qur,aani zinaharamisha mziki, hadithi, imekuja ktk sahihi bukhari na musnadi ahmadi,zinataja mabalaa yatakayowakuta waimbaji na wasikilizaji wa mziki, na anashidi ndio hizo hizo nyimbo, hakuna nyimbo za kiislaamu,kama wanavyo ziita watu,
@huriyaomar3313Ай бұрын
HIZO NI NYIMBO TU! KASWIDA NI KIARABU TENA AFADHALI KULE ULIKOTOKA MAANA ULIKUWA UNAJUA NI HARAMU LAKINI HUKU ULIKOINGIA UNAFANYA HARAMU NA UNAITAKIDI NI JAMBO JEMA KWA HIYO SHIMO HILI HULITOKI MPAKA KUFA KWAKO AU LABDA ALLAH UKUPE HIDAYA ;- ALLAH YAHDII MAN YAASHAAU,