Ahsante mama siye wazee tumeyashuhudia hayo. Mungu akuzidishie kwa darsa hizi.
@abdallahlugongo4738 Жыл бұрын
Dada kweli kabisa Maneno yakoo, unajuwa, Mungu akuongozee vema katika maisha yako yote
@RacherBakari-qh2gx Жыл бұрын
Mashallah nimepata mume Asante mungu Kwa hii zawadi
@AndulHida-hs5py Жыл бұрын
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri, madam mola akupe elimu nyingi Zaid, na Afya na umri wenyemanufaa Ili tuendelee kunufaika inshaallah
@alexmatt9504Ай бұрын
Ahsante dada kwa ili somo nategemea wanaojielewa wakilifuatilia watamaliza migogoro ndani ya familia
@MasnamussaPp Жыл бұрын
Mke wangu mm akiniagiza kitu hata kama hujampa hakasiriki anajibu inshallah rabi atatupa😂ila ikipigwa simu nikipokea akisikia sauty ya kike ugomvi unaanza 😂kumbe mara nyengine ni bimaza wangu ndio naongea nae humpa simu hio akiishika kumbe ni bimaza wangu😂
@achouraachoura576311 ай бұрын
Masha'allah nimepata lafudhi. Yake kama MTANGA ivi.. ahsante kwa darsa.mungu akulipe kheri ❤
@amourmtungo623 Жыл бұрын
Malezi na tabia, umechagua kozi nzuri na yenye kuleta maana. Asante kwa kushea. Mahusiano mengi ya Watanzania yapo kimazoea na wapendanao wengi hawakupata elimu ya kiroho, kimwili na mazingira. Ukosefu huo ndio huleta mizozo na isipopatanishwa na kusuluhishwa, basi mahusiano hufa.
@AyoubShelukindo2 ай бұрын
Mashallah Allah akulipe kher pamoja na wale tunao sikiliza na kwenda kuya fanyia kazin lakini pia tujitahid kutumia mkono wakulia katika kula tuepuke kumpa sheitwa nafasi
@AbdallaRahimShaaaban10 ай бұрын
MashaAllah baraka wah alakulipe jitihada yako katika kufikisha elimu kwa umma.na akuzidishiye elimu nyingi zaidi na busara na au hekiman na ukupenuru zaidi shangazi yangu.
@mohdkhamis5687 Жыл бұрын
Jazakillahu Khaira Ya Ukhti Kwa Kutupa Elimu Mubasharatan Allah Barik
@msabahkhamis943811 ай бұрын
Maashallah Baarakallahu fiik Jazaakllahu khaira Katk darasa la leo Kitu kimoja umekisahau darsa hii ingetimia Wanaume tunatamani na sisi kuombwa kitandani Mara nyingi tunaomba sisi au mpaka tulazimishe kama kuku vile wanavofukuzana.
@cheka48011 ай бұрын
Hahahahaha nimecheka sana Allah awapatie maelewano naomba muongee na mkeo atajirekebisha
@albertalistides54284 ай бұрын
Nashangaa kwa hii elimu nzuri sana. Bahati mbaya walio wengi haya hawayajui kabisa. Wake wetu wameolewa jina tu
@erickmachalo-ol6mg11 ай бұрын
Dr uko vzr, nimekusoma sana tena umenifanya nijue namna kuka na mke wangu
@jumajuma826311 ай бұрын
Mashaallah Allah akupe umr mrefu dada
@HadijaShango9 ай бұрын
Shukrani dada❤❤❤ nimepata SoMo nakaribia kuongea kwenye doa🎉🎉
@saddyabubakary86793 ай бұрын
Asalam alykum pia na mimi natafta
@damtuali361216 күн бұрын
mashaallah tabarakallah jazakallahul kheir
@DelightfulPenguin-wk4kvАй бұрын
Waalaykumussalaam warahmatullah wabarakaatuh
@phabianmagesa10394 ай бұрын
Madame leila wewe nimwalimu mzuri ninazipenda sana mada zako zinaelimisha sana
@sophiaesmarcharo977510 ай бұрын
🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤
@MuhamdJuma-ix3uu Жыл бұрын
Kwa hali tuliyonayo sasa hivi kuna haja masomo kama haya kusomeshwa vijana wetu kama elimu ya lazima ili kuokoa ndoa zoa wakati watakapoingia kwenye ndoa.
@KennedyMwandawiro11 ай бұрын
Masha Allah mafundisho mazuri
@MUMMYSAID-b3y Жыл бұрын
maahaallah .maudhui straight to the points.allah akubariki
@saadasaid1764 Жыл бұрын
💞💞💞 allah akulipe kheri yaan masha allah
@plujoncylugano4611 Жыл бұрын
Maadam Leyla kwanza napenda vile tu unaongea kwa upole na utaratibu ukichanganya na kiswahili chako kizuri,hongera sana.Mm nimekuwa nikikufuatilia sana mafundisho /ushauri wako mzr na nimejaribu uufanyia kz na kupata matokeo,MUNGU akubariki sana kwani kila nikikusikiliza napata faida na nimekuwa wa kujirekebisha kwa kupitia mafundisho yako,Ahsante nakushukuru.Naomba no.yako
@achouraachoura576311 ай бұрын
❤❤❤
@Sumaiya-h7m1p27 күн бұрын
Assnte ukhty kwa ujumbe❤❤❤
@ayubujuma8346 Жыл бұрын
Mashallah, hongera sana
@amanitoza11 ай бұрын
Ma Shaa Allah
@albertalistides54284 ай бұрын
Asante sana kwa elimu
@abouansaaraboubakar13764 ай бұрын
Al'hamdulillah kwa mashauri mazuri sana
@Sabrinaomary-k7h11 ай бұрын
Somo zuri dada mashallah ila wanaume wanachipuka sn ndio tukaangalia cm zao
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
Dr Leila Aboubakary, Mwenyezi Mungu akuondolee mabalaa.Akujaalie MWISHO mwema.Utafiti Wangu si rasmi,ila zipo ndoa NYINGI Wanaume angalau wanasali sala tano ila WANAWAKE Wallah WANAWAKE sala hawataki kuisikia.Mada kuu Utii kwa MUME nimekusoma sasa hili limekaaje lo saikilojia
@aishaomar2287 Жыл бұрын
Wanaume wako pia wabishi wa swala...Allah Atuongoze Yarrab
Mashallah mashallah akhsante sn nimepata SoMo alhamdullialh
@hatibumohamedi3471 Жыл бұрын
Mim nahukuru nipo kwa bahari naogerea mpaka nakalibia kuzama na utam alhamdullilah ila mie tu ndio bado nqzingua allah aniongoze niwe mume bora zaidi inshallah
Mungu waajabu sana huyu pia saingine ana mkera mume wake madamu uko poa sana
@HamzaMwacha-t8v Жыл бұрын
Asante sana madam leila
@AllySalum-ce3ix Жыл бұрын
Umeongea ukweli Ukhty, Lakni Sizani Kama Wake zetu wanayajua haya. Alla awaongoze Wake zetu wawe wenye kuyaelewa Haya. Na sisi wanaume Tujitahid kutambua majukumu yetu
@sein.208 Жыл бұрын
Amiyn yaa Rabby
@ZandaKingfujo-tx5gb11 ай бұрын
Mashaallah dada ipo haja hata walimu wetu wa dini wafundishe sana mambo hayo maana hali ilivyo kwa Sasa kila mmoja ywajua hakuna kuambiana😂
@PhilipoNjalika11 ай бұрын
Ubarikiwe
@katalayshemndolwa314620 күн бұрын
Masha Allah umbuje
@thureajuma9055 Жыл бұрын
Madam umenishushia gunia la misumari kichwani apa kwenye kupekua simu hatari asante madam
@abdallahmohamed2221 Жыл бұрын
😂😂😂gunia la misumari
@kalamuMedia Жыл бұрын
Hahaha
@alifaki504311 ай бұрын
Ata ukipiga kwa madam lela kutaka ushauri ashakupigia kukufokea 😂😂😂
@aphartchimukaАй бұрын
Hahaha hatar
@salimjumaa8180 Жыл бұрын
Masha Allah
@Lucybalele941911 ай бұрын
Umebarikiwa sana mashaalaah
@kimeajuma32674 ай бұрын
Madam nakuelewa sawa
@SMroofing11 ай бұрын
Fact ❤
@abdallahsalim131811 ай бұрын
Madam leilah changa moto katika ndoaa nikawaida lkn tunapitia mitihani sana
@KassimKhamis-m2bАй бұрын
Nimependa sana darasa lako.
@abdallahlugongo4738 Жыл бұрын
Hongera sana dada
@moanaali525 Жыл бұрын
MashaAllah uko na mawaidha mazuri
@MohamedMubarak-b8u7 күн бұрын
HAMNA KAZI NDIO MAANA mnasema hayo
@AlmasDiga11 ай бұрын
❤
@mohammedrashid290611 ай бұрын
Upo sawa
@idrissabakari887911 ай бұрын
Nikiridhia anachojali mkewe wangu(yeye Ni darasa kwangu zaidi ya mwalimu),namjali kwa kujifunza kwa uchanya/uhasi-simu ikiita siulizi kwa zuri ama baya Lina makusudi(nafsini mwake)mie Ninaangalia usalama zaidi ya maono ya amani yake kuliko( yetu)
@donaldmgunda4970 Жыл бұрын
Mamboooooooo7 Ni mengiiii punguzaa iwe 3 hayooo Ni mengi😢
@rashidamashaallahnyimbohio1664 Жыл бұрын
Mashaallah mawaidha mazuri sana
@TunzaHilal-ok2zg Жыл бұрын
Jazaqallahu kher
@theresareed8537 Жыл бұрын
Jambo tuko pamoja Mimi Michael kutoka America Arizona
@abilahirufai8269 Жыл бұрын
Asaante madam wangu Leyla nakupenda Sana.
@AishaMbura-m7z Жыл бұрын
Nimejifunza Allah akulipe
@sleifikhajjir262 Жыл бұрын
mashallah dada
@AMUUNEWVISSION11 ай бұрын
Mash Allah Dada Leila unajua
@ntangiregemfuruki547811 ай бұрын
Hakika ukhti leilah.maneno yako kuntu..ila mwanamke au mwaume.akiwa nakushuku shuku sana.basi ujue nisaliti.no.1.huo ndio ukweli
@ashazuber6548 Жыл бұрын
❤❤nikikaribia kuolewa nitakuita unipe somo kwaza
@mundhirustvonline2511 Жыл бұрын
Ebu tuoane sasa
@ashazuber6548 Жыл бұрын
@@mundhirustvonline2511 haya njoo hahahahaha
@xavierguildo Жыл бұрын
Wajifia😂😂
@jmm18405 ай бұрын
Dada ndoa ngumu Kawaida mwenye ndoa ni mume.Mke mtunza ndoa. Wengi tunaoa,Mnaolewa hamjui maana ya ndoa. Kumbu kwenye ndoa mmekutana watoto wawili.Kila mtu anahitaji kubembelezwa kwa wakati wake. Wengi wazee na viongozi wa dini kufungisha tu ndoa,Lakini wanasahau kuwaweka pamoja na kuwaeleza nini maana ya ndoa kwa mapana na marefu.Wanachokumbuka akamvumilie mume kwa shida na raha.Kumbukeni shida zipo.Raha zipo hata kwenu iwe mume au mke.Jee ziada ya hayo huwaambia wanandoa?Wanandoa wengi hawaijui ndoa.Jee! Msipowaelekeza hawatoijua ndoa inataka nini kutoka kwao.Na wao wanataka nini kutoka kwenye ndoa. NDOA NGUMU JIHESHIMU MKE JIHESHIMU MUME HESHIMU MAJUKUMU YAKO HESHIMU MIPAKA YAKO. RIDHIKA NA FUNGU LAKO MTAMBUE MUMEO NA MUME MTAMBUE MKEO MTAISHI MPAKA MTACHOKANA MIILI KWA KUZEHEKA PAMOJA. فلندعو الله كثيرًا لأن عالم اليوم مليء بالامتحانات.
@abeidkhamis61305 ай бұрын
Kweli bro.
@elimusec.mkuranga4413 ай бұрын
Dada Leila Mungu aendelee kukubariki nakukujalia afya ili tuendelee kujifunza mengi kutoka kwako.
@sharifafatawy9874 Жыл бұрын
Mashallah ❤
@PeterSimyota6 ай бұрын
😂😂😂😂 ashaowa😂😂 kazi kwel
@shamepandu842214 күн бұрын
Madam lela unapatikana wapi
@mediization Жыл бұрын
Mashaallah
@YahyHamadАй бұрын
Madam lela zanzibar waja lin?😊
@ShufaaMussa-h2n Жыл бұрын
Maashanlla dada hongere sana
@goodneighbour263811 ай бұрын
mi napenda sana ulivyo mstafi una stara na staha
@user-qe7yk2xr8y Жыл бұрын
Maa Shaa Allah. Allah akubarik. Namba yako please
@nassoromwakwandika6293 Жыл бұрын
Madam Leyla. Leo ndoo awali,kukuskiza,umenigusa n ningependa nipate contacts zako kwa msaada w kibinafsi.nitashuru
@ahmedosman769811 ай бұрын
Eee ni ukweli madam leila tuko na tamaa sana na iyo ni mbaya sana tamaa ya fisi ata mimi huwa na iyo ugonjwa ya tamaa
@abdulazizjeizan-vx1mc3 ай бұрын
Lakini Dada yangu kipenzi madam Leila wivu ni muhimu sana katika maisha ya ndoa kama hakuna wivu hakuna maisha ya ndoa naomba unijibu
@UwezoHussein-u7y18 күн бұрын
Acha wivu wa kijinga jinga unajinyima amani ya moyo na maisha, kama mwanamke humuamini achana nar utakuja kufa kwa roho juu
@al-aminbaruan616711 ай бұрын
Sawa, kutoa ushauri unaolenga kujenga mahusiano baina ya wanandoa sio jambo baya kama itachungwa misingi ya kisheria kwa kuzingatia MZUNGUMZAJI, PAHALA ANAPO ZUNGUMZIA, WALE ANAO ZUNGUMZA NAO na WAKATI ANAO ZUNGUMZA. Lakini pamoja na hivyo, 'SASA MAPICHA YANINI????!! MCHENI ALLAAH.
@chesconkwera20054 ай бұрын
Sema Mumeo hafanyi
@andrewbanda328710 ай бұрын
Nikweli dada mambo yote nikweli
@hassanaliamin11046 ай бұрын
Madam Leilya naomba namba yako ya simu tafadhali
@comredmuslimmputa227511 ай бұрын
Mimi nimepata mke ananidharau kweli kweli,hataki kuswali,hasikii,anaondoka bila ruksa,anajifanyia anachotaka biashara,anaongea na mimi kama mtoto wake,hana adabu hata kidogo,mshirikina kweli,mikopo kila kona wallah,kauza kila kitu nyumbani sababu ya vikoba, kweli,NIMEMWAMBIA SIKO RADHI NAE DUNIANI MPAKA AKHERA
@kalamuMedia11 ай бұрын
Pole sana
@UwezoHussein-u7y18 күн бұрын
Na talaka hujatoa bas we fala, kuongea hapa haikusaidiii, mwenzio hakupendi ndio mana hakusikilolizi anaangalia malengo yake binafsi ndio mana hakeambii hata akikopa mahala
@sophiaesmarcharo977516 күн бұрын
❤🙏🙏🙏🙏🇰🇪👍🤝
@HamisMghuna-fj3vz9 ай бұрын
Mzee baba kwenye Heshima,+cm ,ndoo balaaa,babaangu,,ucpime balaalake,
@basiaarsh383511 ай бұрын
Hawa wajuwaji ndo wanatesa sana wanaume
@ReubenRaymond-zh4yw2 ай бұрын
Madame umejitahidi mno kutuelimisha khs mienendo ya wapendanao au wapenzi mume na mke.
@bakariathmanathman2187 Жыл бұрын
Mm ndio niko kwenye shimo lamoto lenyewe maana hasikizi hizi mada kabisa 😢
@kalamuMedia Жыл бұрын
usiache muombea Dua
@dinocastico8495 Жыл бұрын
Sio fungu lako hilo ila unajipa moyo kuamini kuwa ata badilika. Kumbuka ngozi ya futi kujikunja ni maumbile yake
@jumahamisi932811 ай бұрын
😂😂😂
@jumahamisi932811 ай бұрын
unapigwa kaka
@UwezoHussein-u7y18 күн бұрын
Huyo ni wamwingine wanajilia tu achana nae, wanawake waxuri wa kiislam wamejaa
@erickmachalo-ol6mg11 ай бұрын
Dr mungu akujalie nimepata daraza nzr sana
@saidsuleiman17533 ай бұрын
Badala ya kuita makungwi kuwafunda vijana ni vema vijana wakapewa hii elimu na Dr Leila.
@ahmedsalehe948911 ай бұрын
Dada angu nisaidie mimi nahitaji mke mwema mwenye tabia nzuri na dini
@HapajOman-u2y2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi niko
@rukiaissa5878 Жыл бұрын
Assalamu alaykum naomba namba za madam leyla nnahitaji kujifunza zaid masomo yake insha allah