AJABU, MALKIA WA KUZIMU AWAUNGA MKONO WATUMISHI HAWA.

  Рет қаралды 4,906

DC Connect

DC Connect

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@mwibakechaasanmatu7742
@mwibakechaasanmatu7742 4 күн бұрын
Mtumishi tumesikiya lakini ungehacha sauti ya huyo malikiya isikike mahana siyo wote watakaho amini kwamba unavyo sema NI kweli bila kusikiya sauti ya huyo malikiya Asante
@Homack-t8u
@Homack-t8u 4 күн бұрын
@@mwibakechaasanmatu7742 Asante nimekuelewa
@TimotheoWabawili
@TimotheoWabawili 5 сағат бұрын
Amina mtumishi
@gracemutono5023
@gracemutono5023 4 күн бұрын
Asante mtumishi wachilia sauti yake kila moja askiye
@Homack-t8u
@Homack-t8u 4 күн бұрын
@@gracemutono5023 Angalia kwenye description.
@HalimaPaskal
@HalimaPaskal 3 күн бұрын
Mungu akubariki sana kwa kazi hii nzuri andelea kutufungua baba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Homack-t8u
@Homack-t8u 3 күн бұрын
@@HalimaPaskal Amina Ubarikiwe pia
@deogratiasrutabana2387
@deogratiasrutabana2387 7 сағат бұрын
Ni ngumu sana kukuelewa kwasababu unatumika na roho wa mpinga KRISTO Kristo unaita Kristu. Tunazichunguza roho kwa kitumia maandiko sio maelezo mengi. Pasipo na Roho sisi hatuwezi lolote. Rudi kuzimu wambie wenye Roho Mtakatifu wamenigindua mapema.
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@deogratiasrutabana2387 Umeelewa nini
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 5 сағат бұрын
Mtumishi Katekella wala hayupo huko, alitumika zamani wala siyo sasa, Ameshakombolewa na Bwana Yesu.
@EliaFrank-i7e
@EliaFrank-i7e Сағат бұрын
Amutoe Amieli katekels
@jowarialphonse-wn2yz
@jowarialphonse-wn2yz 4 күн бұрын
Bwana Yesu. asifiwe. waliyo na sikio wasikiye
@Homack-t8u
@Homack-t8u 4 күн бұрын
@@jowarialphonse-wn2yz Amina
@HappinessMwambapa
@HappinessMwambapa 3 күн бұрын
Aminaaaaaaa, MUNGU azidi kukutunza Sana Mtumishi
@Homack-t8u
@Homack-t8u 3 күн бұрын
@@HappinessMwambapa Ubarikiwe pia
@alineciza6373
@alineciza6373 2 күн бұрын
Asante
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 5 сағат бұрын
Mambo mengine ni mbinu za shetani kuwachafua watu mishi wa Mungu
@WinfridajohnBiffa
@WinfridajohnBiffa 10 сағат бұрын
Katekela amesha toka huko bwana😊
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@WinfridajohnBiffa Sijakuelewa
@nellydeborah943
@nellydeborah943 4 сағат бұрын
Huyu Mtumishi amesema kweli wanawake hawastahili mapambo na kila anaye vaa kuzimu ataenda asipotubu soma 1timotheo 2:9 na 1petro 3:3-4
@Homack-t8u
@Homack-t8u 3 сағат бұрын
@@nellydeborah943 Ubarikiwe sana
@annambembela6661
@annambembela6661 3 күн бұрын
Huyo malkia alikutokea ndotoni au ilikuwaje mi sjakuelewa au umeamua kuchukua notice za watumushi
@Homack-t8u
@Homack-t8u 3 күн бұрын
@@annambembela6661 SIKILIZA video
@EliaFrank-i7e
@EliaFrank-i7e Сағат бұрын
Katekela haypo huko ijue kuzimu vizuri n kuchafua tuu
@Homack-t8u
@Homack-t8u Сағат бұрын
HIVI UMESIKILIZA VIDEO KWELI?
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl 20 сағат бұрын
Mimi bado sikumuelewa huyu mbaba sikusikia kileulipenda kujuzawatu kitunimepatahapo nikupenda kuchafuwa watumishihao tu ndonimeelewa na muache kuchafuana wewesasa ndo umekuja namfumo wakutukana wenziyo
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@nizigamaviolette-ig9dl Bado ungali mbali kusaidika. Sikiliza kwanza video mwanzo hadi mwisho.
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 4 күн бұрын
Ameeeeen Hallelujah
@Homack-t8u
@Homack-t8u 4 күн бұрын
@@asminmakoha6889 Ubarikiwe
@victormkello9575
@victormkello9575 3 күн бұрын
Somo la muhimu sana kwa nyakati hizi kwa watumishi wote ingawa hawapendi kusikia ila kweli ya injili lazima ihubiriwe lakini hali inavyoendelea inasikitisha sana 😢
@Homack-t8u
@Homack-t8u 3 күн бұрын
@@victormkello9575 Ubarikiwe sana
@ruthmzava7320
@ruthmzava7320 7 сағат бұрын
Bariwa sana mtumishi wa Bwana
@MwemweBuzindu
@MwemweBuzindu 2 күн бұрын
Mwambieni huyo malkia ahache siasa ya kutawala watu kifikra, dhahabu, almasi si mali ya kuzimu,
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@MwemweBuzindu Shida siyo Dhahabu na almasi. Shida ni matumizi
@markoMilenga
@markoMilenga 4 күн бұрын
Amen Amen ubarikiwe
@Homack-t8u
@Homack-t8u 4 күн бұрын
@@markoMilenga ubarikiwe pia mtu wa Mungu
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 5 күн бұрын
Alie na sikio na asikie, wanasemaka tunakimbia garama ya kununua mapambo, Mungu Ana tazama ndani, hatari sana.
@Homack-t8u
@Homack-t8u 5 күн бұрын
@@Visionofeagle9689 Mungu anatazama hata na mwili pia
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 5 күн бұрын
​@@Homack-t8uKabisa Amina.
@NdanuMirrium
@NdanuMirrium 3 күн бұрын
Amen
@WemaEdward
@WemaEdward 2 күн бұрын
Sasa hizi picha za watumishi wa mungu ni za nn acha roho ya kimaskini
@Homack-t8u
@Homack-t8u Күн бұрын
@@WemaEdward Umesikiliza Video?
@marywanjiru438
@marywanjiru438 Күн бұрын
Hapa ndio tunakosea Christo atusamehe mbona kuzikiliza sauti ya mgeni?
@WinfridajohnBiffa
@WinfridajohnBiffa 10 сағат бұрын
Mbona unasema mchugaji katekela
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@WinfridajohnBiffa Kunashida kumtaja Jina?
@MinistriesU
@MinistriesU 4 күн бұрын
Amen amen
@GraceLukindo-q5b
@GraceLukindo-q5b 9 сағат бұрын
Sasa mbona humwa humwanjilii huyo malkia tumsikie au viwazi
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@GraceLukindo-q5b Sikiliza video yake kwenye Description
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl 21 сағат бұрын
Jameni uhu Baba nimpotoshaji kabisa be mbona huachiyi sauti tumsuskilize wenyewe achabwana kudanganya picha hiyo yauyodada nani hawezikuiletahapo nakama anaongea vingine tafauti namaneno yauyomwanadadanani atajuwa sasa mtuachiye
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@nizigamaviolette-ig9dl Sikiliza video ipo hapo kwenye Description
@MinistriesU
@MinistriesU 4 күн бұрын
Ubarikiwe
@Homack-t8u
@Homack-t8u 4 күн бұрын
@@MinistriesU Amina
@edinahKwamboka-j2q
@edinahKwamboka-j2q 15 сағат бұрын
Na Shetani akimtoa shetani amefitinika juu ya mafsi yake; basi ufalme wake utasimamaje.?
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@edinahKwamboka-j2q Anajua mwenyewe
@RebeccaAmisi-l7z
@RebeccaAmisi-l7z 13 сағат бұрын
Bone habrama alimuvalisha sarah cheni ya zahabu? Nafeza naza habu ni mali ya bwana
@Homack-t8u
@Homack-t8u 13 сағат бұрын
@@RebeccaAmisi-l7z Abraham alimvalisha wapi Sara cheni? Lakini pia, Abraham ali zaa na mjakazi wake, kwaiyo na mmewako naye azae na mfanyakazi wako?
@sarahamri1620
@sarahamri1620 Күн бұрын
Unapatikana wapi
@Homack-t8u
@Homack-t8u 13 сағат бұрын
@@sarahamri1620 cnc9024433883@yahoo.com
@evalynerwegasira7485
@evalynerwegasira7485 3 күн бұрын
VIPI UVAAJI WA MIWANI.
@RebeccaAmisi-l7z
@RebeccaAmisi-l7z 14 сағат бұрын
Manake shetani ana wokoka? Mana hawezi kuwa malikiya kuzumu natena apane siri zawo manake hawezi tena rudi kuzimu atabaki duniani jameni mufasiriye muzuri hakuna mutu washentani mwenye kutowa siri zawo kama haja wokoka.paka anawokoka njo ana sema kama mutumishi katekela amiel.
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@RebeccaAmisi-l7z Sasa una shauri nini
@annwadada2715
@annwadada2715 5 күн бұрын
Shalom,mtumishi lakini mbona watumishi wengine wakona pete za ndoa si ni pia mapambo?
@Homack-t8u
@Homack-t8u 5 күн бұрын
@@annwadada2715 Pete ya ndoa siyo pambo
@annwadada2715
@annwadada2715 4 күн бұрын
​@@Homack-t8uningependa Chapter na verse kwenye biblia please ambayo inasema hivyo kuhusu Pete ya ndoa
@susansusanne6157
@susansusanne6157 4 күн бұрын
​@@Homack-t8u When God said do not wear gold, He meant all gold including golden rings. Is not a ring made out of gold? Please ask the Holy Spirit to open your eyes on this matter. Secondly, the people of the world are the ones that wed with rings to show the world that they are married. But for us watakatifu wa Mungu, we show the world that we are married by our faithfulness sio pete. Tafhadhali mtafute Mungu kuhusu pete, atakuonyesha. Pia wanabii wa uongo wanazitumia kufanya fujo makanisani, so why should we children of God be found wearing the same rings in our marriages. Ezekiel 7 19 (Watatupa fedha yao katika njia kuu za mji, na dhahabu yao itakuwa kama kitu cha unajisi; fedha yao na dhahabu yao hazitaweza kuwaokoa siku ya ghadhabu ya Bwana; hawatajishibisha roho zao, wala hawatajijaza matumbo yao; kwa sababu zilikuwa kwazo la uovu wao). Thank You Jesus Christ, Amen.
@nzukimuia2547
@nzukimuia2547 4 күн бұрын
Mimi nafuatilia maumbiri ya Gino na Katekela . Mungu atulinde sana tufuate maandiko kama yalivyo.
@susansusanne6157
@susansusanne6157 4 күн бұрын
@@annwadada2715 Pete ni pambo au dhahabu. Usivae kabisa. Angalia manabii wa uongo wanavaaga kupata nguvu za kishetani. Kwanini Mtoto wa Mungu awe na pete kwasababu ya ndoa. Ndoa ipo moyoni sio kwenye kidoli. Asante Yesu Kristo, Amen.
@Frosita
@Frosita 15 сағат бұрын
Na wewe umekuwa kama mbarikiwa
@Homack-t8u
@Homack-t8u 7 сағат бұрын
@@Frosita Haaa Sikiliza video
@Frosita
@Frosita 6 сағат бұрын
@Homack-t8u malkia wa kuzimu na Ketekela wapi na wapi....
MAFUNDISHO YANAYO HIMIZA UKRISTO ILA SIYO UTAKATIFU.
31:22
JIEPUSHE NA FILAMU NA MZIKI WA KIDUNIA | NENO NA MAOMBEZI | UKWELI MINISTRIES
2:59:15
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 51 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
WAKRISTO MAJANI YALIYOKAUKIA KWENYE MTI
43:48
Homack
Рет қаралды 1,8 М.
NILIONA RAISI  WA TANZANIA AKIPINDULIWA: PART-2 SANAMU YA TANZANIA
25:33
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 189 М.
MWIMBAJI MARTHA AMEPOTEA HAYUPO TENA PALE ALIPOANZIA
31:10
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:32