Mungu akitoa neno LAZIMA litimie. Hata ukiomba na kufunga halibadiliki !! Tusidanganyike maana Mungu hadhihakiwi na hatoi majaribio kwa unabii au maono.
@LuciaAgustino-pt5mg2 ай бұрын
Mwenyenzi mungu atuchangulie kiongozi mwenye bila upendeleo tunaomba raisi tupate asiekuwa natammaa kwa kola mwananchi wake mwenyenzi mungu tusaidie
@neemaprecious2308Ай бұрын
AMEN 🙏🇹🇿🙏
@machoguhameri7757Ай бұрын
Hapa hakuna maono ila huyu mupuzi anatengeneza hisia za wabaya wa nchi yetu wajifikilie kuwa kumbe wanaweza kuiangusha serikali yaani mtu anakuwa na hisia zake chafu halafu wanajifanya Nabii kuhadaa watu kwa kujificha katika dini wakristo tumekuwa wajinga sana kukubali kila upuuzi bila kujua kuwa ujinga kama huu uliwahi kulitesa sana kanisa katika hisitoria.labda anataka kutueleza kuwa huwa anashiriki vikao hivyo vya siri vya kuiangusha serikali yetu.
@emmanuelmukondia35687 күн бұрын
You can't predict the coming destruction, evil fortune tellers.
@victorirengo3857Ай бұрын
Si mkosoi Lakini mungu hakupigana na shetani mbinguni. Shetani alipambana na Angel Mikaeli malaika mkuu wa vita, na shetani akashindwa na kufukuzwa mbinguni,. Kazi ya kumfukuza shetani mbinguni alipewa Angel mikaeli . Shetani hawezi kupambana na mungu hata sekunde moja. Hilo lieleweke
@MageAwe-hl5zb2 ай бұрын
Aondolew tuna taka Raisi mwingine hatutaki tumechoka na mauaji ya watu na watu kupotae E Mungu hatutaki kiongozi mwenye mikono ya damu wauaji wanyanyasaji E e Mungu utusaidie
@KhalidiBakarАй бұрын
Sikilizeni nyinyi hemu jitambueni nyinyi munatakiwa kua na rais wa Tanganyika na taifa lenu latanganyika nyinyi hamuna rais huyo ni rais wa tanzania au kisa anatoka Zanzibar chamuhimu muitafute serekali ya Tanganyika mm mwenyewe nataka nigombee urais wa tanzania Mana hio sio serekali ya Tanganyika niyetu sote hata mzanzibar anahaki ya kua rais tafuteni serekali yenu kwanza ya Tanganyika wa msione aibu kama sisi Zanzibar tunavoipigania nchi yetu ya Zanzibar
@saimonshaggy-z1r26 күн бұрын
Yatupasa tumwombe mwenyezi mungu atuchagulie kiongozi atakaye tujali daima.amen
@OSCARMWAIBAMBE12 күн бұрын
Unabiii haubadilishwi Kwa maombi, tujifunze kumuuliza Mungu wapendwa wengi manabii ni makachero kutujaza uozo ili tusidai haki zetu ..
@hopealoyce3678Ай бұрын
Why cant you going straight to the msg???too much kurudia rudia the same words.....duh...
@josephatkajange-zx2tlАй бұрын
Bora yatokee tu, kwa maana uonevu umezidi!
@IssaSalumu-fj2le9 күн бұрын
Hii gar hazii ingii gia vizur
@Leeeeeeee-96Ай бұрын
mungu aendeleee kuwatunza manabiiii 🎉🎉🎉🎉
@SefuSheketoАй бұрын
we juha kwel kichwa chako kimejaa tope,atakuelewa mwehu mwenzako,
@anajohn81323 күн бұрын
kwanini unasema hivyo?
@robsonndauka307628 күн бұрын
🎉Amina mtu Wa Mungu kwa ujumbe mzuri
@BarakaMwakalinga-sn5spАй бұрын
Sijawahi kukuelewa, una upumbavu wa kiwango kikubwa sana, mashetani yanayokuongoza hayata kuacha salama.
@othmanhaji183211 күн бұрын
Acha kudanganya wat mungu anatosha hujui anolijua yeye
@RehemaMtono2 ай бұрын
Mungu atupatie raisi mcha MUNGU
@HerriThabiti-qd5rrАй бұрын
Acha uboya wataka raise wavipi ww
@RehemaMtonoАй бұрын
@HerriThabiti-qd5rr toka huna akili limekugusa eti
@alhadajjmohammedsmith9042Ай бұрын
@@HerriThabiti-qd5rrMakafiri ndo Porojo zao Wameja Porojo za Husuda na Chuki nyingi. Mbonaa hakutowa Unabii kuhusu Magu na Kifo Chake?! Huo unsbii Special Kwa Samia tu...🙌
@KhalidiBakarАй бұрын
Sikilizeni nyinyi mtasumbuka sana tu sababu rais ni muislamu na nimzanzibar chamuhimu nyinyi muidai serekali ya Tanganyika sababu hamuna rais halafu munakaa mwapiga zogo hamuna bendera ya Tanganyika mumekaa tu hemu tazameni Zanzibar umoja wao
@ClaudKitoki7 күн бұрын
Mungu akubariki mtu wa mungu
@brownmtofole2 ай бұрын
Nenda kafanye kazi nyingine itakayokupa heshima.Unatoa unabii wa uongo ambao umewaletea hasara watu wengi waliokuamini kuwa Dar es salaam ingeangamia wakauza mali zao na kuhama Dar es salaam.Hili ni jambo la aibu sana.Nashangaa kuona unandelea kutuletea hofu na sintofahamu kwa viongozi wetu,je unafanya haya kwa lengo gani na kwa manufaa ya nani? Hubiri neno la Mungu,usihubiri hofu hali ukijua kuwa hofu ni dhambi.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
Unajua maana ya unabii we mwehuu?
@IssaSalumu-fj2le9 күн бұрын
Wewe mwehu bwana
@lucaschacha633Ай бұрын
Kumbukumbu la Torati 18:21-22 [21]Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA? [22]Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope Mungu akulaani kama haya uliyoyasema hayakutoka kwa Bwana Mungu Mtakatifu wa Mbinguni, Na kama mmeyapanga kishetani mshindwe kwa jina la Yesu Kristo aliye hai.
@robertphilip385Ай бұрын
2025 Kuna kivumbi na jasho
@zabronpaul75992 ай бұрын
Ushaanza mambo yako....watakusweka ndani...malizia unabii wako wa kuangamia kwa Dar es salaam,hatujasahau
@unyakuotv.13912 ай бұрын
@@zabronpaul7599 asante kwa kutufatilia.. tunaomba utupatie. taarifa kwa kejeli kama hii dar itakapoangamia
@festinamwakipale3919Ай бұрын
@@unyakuotv.1391jamani tuna macho hatuoni usalama wa dar uko wapi
@alhadajjmohammedsmith9042Ай бұрын
😂😂😂Salamu zake Kwa Mbarikiwa na WA mfano wake 🙌@@unyakuotv.1391
@ThecrownchurchАй бұрын
wakimsweka ndani nitamtoa
@KhalidiBakarАй бұрын
Jamani acheni kumponda mama samia huyo ni rais wa tanzania nasio rais wa Tanganyika hemu tafuteni kwanza nchiyenu ya Tanganyika imepelekwa wapi ifike mwisho huu ujinga wakujiita watanzania iishe hamuwaoni wenzenu wa Zanzibar kule wanarais wanabendera wanabaraza la wawakilishi na waziri wao wa fedha na makamo wawili wa rais hemu jitazameni nyinyi acheni kueneza mambo yakinga amkeni nyinyi munanchi inaitwa Tanganyika Iko wapi mm kama mzanzibar hapo nahis munapaswa murudishiwe nchi yenu na mue na rais wenu wa Tanganyika halafu kama nimuungano baadae 😊😊
@AbubakaliAmada2 ай бұрын
Mimi ilinikuamini Dar iweimeangamia'’vipi vile vipeperushi na watu kuuza viwanja?
@LameckMbele2 ай бұрын
msikilize anavyo itamka bwana Yesu asifiwe njaaa kali inamtesa
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
😂😂😂
@HellenNkwera2 ай бұрын
😂😂😂
@d.mediatv814728 күн бұрын
Amina mungu atukumbuke Tanzania
@RehemaMtono2 ай бұрын
Atoke tu yaani apinduliwe kabisaa
@ClarenceHilalyАй бұрын
Asipinduliwe ila aondoke tu hapa duniani
@RehemaMtonoАй бұрын
@ClarenceHilaly hapo umenimaliza ndugu nimejikuta nacheka tu
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
Nimeipenda hiyo
@HAAM6702 ай бұрын
Tangu umeanza kutoa Nabii, nadhani huu ndo Unabii wa kwanza Kuelewa Vizuri kabisa. Umeongea Kwa Utulivu, lugha ya staha, kwa Mafumbo, hivi ndivyo Nabii anapaswa Ku deliver message. Pale zamani ulikuwa ukiongea too much open, ukitukana matusi watu waki comment kinyume, Sasa naona unawajibu Vizuri hata wakikukebehi. Sasa nitakufuatilia. God is still Speaking, Amos 3: 7
@unyakuotv.13912 ай бұрын
Asante kwa kutusikiliza na kutufatilia endelea kutufatilia ujifunze zaidi. Ila maneno yako si mageni KZbin tunaosoma comment tumeyazoea
@HAAM6702 ай бұрын
@@unyakuotv.1391 Sawa. Yanayofaa yafanyieni kazi.
@ramdanmbara8500Ай бұрын
Huyu jamaa anatakiwa akamatwe aminywe iliaeleze vizuri. Ni kosa kubwa sana Serikali kupuuzia kauli kama hizi zinazotishia usalama wa Taifa.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
Mimi naona wanachelewa kumpindua ilitakiwa apinduliwe kipindi cha DIP WORLD taifa linge baki salama mpka saivi tumechelewa angalia. Anatuletea lundo la madeni kwenye TANGANYIKA yetu
@judithnaomy67872 ай бұрын
Unabii wa mungu haupo hivyo mungu anahekima km wewe umemuona gwajima mbona hujamtafuta ukaongea nae yani unabii wako hauko sawa tatizo kubwa huna hekima
@unyakuotv.13912 ай бұрын
Asante kwa kutufatiliaa Nenda wewe uliye na hekima.. itasaidia
@unyakuotv.1391Ай бұрын
@@kingsolomoni-xp3dv asante kwa kutusikiliza naona na wewe umeshawishika kutusikiliza hongera sana utajifunza zaidi
Hakuna cha kupinduliwa acheni uzushi na porojo, badala ya kuomba Mungu alete kiongozi amtakaye nyie mnapiga ramli.
@mwambakibucheche1119Ай бұрын
Namwomba Mungu ccm ianguke kama wakati wa sauli
@MageAwe-hl5zb2 ай бұрын
Apinduliwe kwa jina la yesu Ee Mungu tuchagulie Raisi sahihi 2025
@joycehaule97172 ай бұрын
Utakua salama sasa? Wewe OMBA TOBA KWAAJILI YA TAIFA LAKO
@kadilamore8022 ай бұрын
@@joycehaule9717toba 😂
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
@@kingsolomoni-xp3dvwewe"" utakuwa na matatizo ya ubongo wa mbele ELIMU yake ya kukopa madeni kuingia mikataba ya kijinga cheti sio tatizo kwenye Uongozi nakufa mufano Kuna wazili mmoja cheti chake na vitu anavyo vifanya ni tofaut kabisa usikalili mavyeti ng'ombe wewe?
@emmynkurlu10055 күн бұрын
Amen
@Gaynor1234Ай бұрын
Mwacha aende zake.
@Gaynor1234Ай бұрын
Huyu mama afunguke. Wale aliowakumbatia, hajui kuwa ndiyo maadui wake wa kwanza. Na ndiyo hao wanaogombana naye katika ulimwengu wa roho lakini yeye hajui.
@monirangerera7155Күн бұрын
Afunguke. Nini yeye sialiuwa John pombe naye atafuata tumati tuduni tudani malipo hapahapa duniani atajuwa ajuwi 😅😅😅😅
@RoseKimishabhalemi2 ай бұрын
Kweli mama amefanya mambo ili achaguliwe 2025.ni kikosa kubwa sana hata wabunge wanatutesa sana wako kwaajili ya kuchaguliwa hawatujali kabisa wananchi.mfano wao kwakuwa wako juu katiba wanavunja lakini wananchi wakivunja wanafungwa majerani. Mf. Bandari n. k.
@AzizihFarijalaАй бұрын
Nia kishasema notakusaidia hesabu hakuna mAono na mama ataendelea tuu na akiendelea utakimbia nje
@mswadickbushumbiro6923Ай бұрын
Manabii wa uongo ndo nyinyi,mshenzi mkubwa,Acha kuchonganisha Mama na watu wake,
@musafiribahati8295Ай бұрын
Mama anahaki ya myaka 5 ya kwake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@richardnganya2311Ай бұрын
Haki ya kutoka wapi? Ni lini alichukua fomu kugombea nafasi hiyo na akafuzu ?
@monirangerera7155Күн бұрын
😂😂😂 unajijambia mwenyewe akipata juwa kaiba kura kafosi na kama kafosi atakuja kufa uyo raisi wako na kutakuwa na machafuko watu wataakufa vulugu wewe subulia usiwe na kiheleheleee
@pastorjully36572 ай бұрын
Niliona dhiki kuu sana Tanzania mwaka 2021 mama akipinduliwa na viongozi wa karibu kabisa
@miltonjohn977911 күн бұрын
Kwa Nini huiombea Tanzania!
@monirangerera7155Күн бұрын
@@miltonjohn9779omba wewe mwache afe apinduliwe anayo yafanya Mungu aona
@johnpeterbarongo644517 күн бұрын
Tatizo unabii wako unamashaka ulituabia Dar itamezwa na mafuriko
@GeraldLembris-jr3yz8 күн бұрын
Waziri mkuu wa mbinguni😂 mungu atuhurumie jmn
@ABM1963Ай бұрын
USHIRIKINA HUO! UONGO MTUPU HATA UNAVYO ONGEA HUJIAMINI
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Mbona hauko straight na clear? Achana na kutaja makina ya watu go straight to the point!
@HassanSeleman-be9wi2 ай бұрын
ww jitasimini kwanza muache raisi wetu mungu yupo nae DAIMA
@monirangerera7155Күн бұрын
Sasa utaki kuambiwa ukweli atakuga raisi asifr yeye nani ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga upo yeye aliuwa John makufuli sasa zamu yakeMungu atakagi ujinga
@BibiJamy11 күн бұрын
Matapeli wakubwa kama unaona mbona ww utakufa feb hauja jua nami nimekujuza kifo chako
@yusufunguruko8080Ай бұрын
Wee acha usanii, kenge mkubwa sana wewe huna hata mvuto wa uongozi wa dini tapeli mkubwa sana usidanganye watu yaani hata unachoongea hakieleweki jamani njaa mbsya sana.
@nnkoarnold5423Ай бұрын
Tangu nimeanza kukufuatilia yote uliyosema ni uongo hakuna lililotimia pamoja na wakati kupita kwanini usiache tu
@donaldfrancissassa8360Ай бұрын
Mbona mafuriko Dar hayajatokea hadi leo? Brazil nchini fulsa ni nyingi hii umechemka bro
@zariadunia63282 ай бұрын
Bangi mbaya sana😅😅😅😅😅
@Phoibekileo12 күн бұрын
Magufulii anarudii mapema wasliti wote kwaherii
@muharamijuma156922 күн бұрын
PUMBAVU ÑABII WA UONGO VIÒNGOZI WA DINI MATAPERÌ HÀKÙNA ANAYE WA AMINIO AÇHA PORÒJO!!
@MngwaliAllykizangwaАй бұрын
Hivi hawa no waganga.wa.kienyeji,maana muhuni kama huyu mungu hawezi kuweka neno kwake
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Na apinduliwe tu Mnaofaidi jasho la wananchi mkome
Jamaa anasaka umaarufu tu. Kwake kuna CCM na CHADEMA tu !! Kumbe ubabaishaji wa kisasa unazidi kuchukua kasi !!
@songoroalamin3376Ай бұрын
We chizi amen we ndo utakutana na mazito amen duni hii imekua ya utabiri paka we
@rogerabdallah439Ай бұрын
Kazi unayo
@juliuskitaluka12062 ай бұрын
Changamoto kubwa mtumishi anachanganya mambo
@danielsindaАй бұрын
Hakuna kitu njaa mbaya sana
@THOMASMPENDAKAZI2 ай бұрын
Naona sikuoni ukidumu tanzania
@unyakuotv.13912 ай бұрын
Asante kwa kutufatilia, Huo unabii ulishatolewa 2021 na 2023 Kuwa kuna vita 2025 Umerudiwa kwa kuwa Mungu ametaka urudiwe
@nemesjosephat56122 ай бұрын
Wacha tuone
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Na iwe hivyo ni bora zaidi
@samwelmatemu8873Ай бұрын
Wewe ni mjinga kabisa
@ABBASIKANDULU-kl8zcАй бұрын
Mamae zako mjinga sio mama yako
@samwelmatemu8873Ай бұрын
@ABBASIKANDULU-kl8zc shida dini yako ya matusi na yakijingajinga.mtashindani na hamtashida milele
@athumanmapunda2 ай бұрын
Huyu ni mganga wa kienyeji
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Sio mganga ni Mtumishi wa MUNGU tunasema amina na iwe hivyo
@FrancisNgomaitaraАй бұрын
Waislam akir hamna kabisa mtumish wa mungu hawez kukujibu mana mtu mwenyew unaitwa mapunda inamana ukoo wenu wote mnaakir kama za punda😂😂😂
@miltonjohn977911 күн бұрын
Waganga wengi huwa ni waislam kwa hyo nyie haya mambo no mageni kwenu ni lazima TU mtasema no mganga
@KostaJoseph25 күн бұрын
TANZANIA IKO SALAMA ,ACHA KUTUDANGANYA
@BarakaMsukuma-g1q5 күн бұрын
KWA NINI USIMTAFUTE RAIS MWENYEWE AU WASAIDIZI WAKE.
@ZaidAKissinza2 ай бұрын
Unasema huku unajikanyagakanyaga, na unarudiarudia maneno maana yake ni uongo mtupu.
@noeleliasi84012 ай бұрын
Tapeli on duties, unapenda kujiinua nguva wewe, mafuriko ya Dah wewe si ndo ulibwabwaja, JINGA KABISA WEWE
@unyakuotv.13912 ай бұрын
Asante kwa kutusikiliza mafuriko yakifika tunaomba utujullishe pia usikae kimya
@noeleliasi84012 ай бұрын
@unyakuotv.1391 huna cha kujitetea, huna unabii ni njaa tu inakusumbua, siyo wewe unaetaka 10M, jifunze kwa kina Mbarikiwa Mwakipesile na Paschal cassian utanishukuru...
@noeleliasi84012 ай бұрын
@unyakuotv.1391 huna cha kujitetea, huna unabii ni njaa tu inakusumbua, siyo wewe unaetaka 10M, jifunze kwa kina Mbarikiwa Mwakipesile na Paschal cassian utanishukuru...
@noeleliasi84012 ай бұрын
@unyakuotv.1391 kitu kimoja ambacho hukijui, tutaendelea kuwasikiliza ili mnavuopotosha watu, na sisi tutazidi kuwaweka kwenye mstari mnyoofu wasifuate upotofu wenu
@RajabuMussa-h5nАй бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani
@mongogwelaanthony686710 күн бұрын
Una sms SMS lakini hujui kupresent
@unyakuotv.139110 күн бұрын
@@mongogwelaanthony6867 Present wewe
@ramadhaniathumani10252 ай бұрын
SAWA KAZI ya Mungu iendelee!
@LuciaAgustino-pt5mg2 ай бұрын
Mwenyezi mungu hujibu kwawakati wake panapokuwa hapandendewihaki
@FrancisNgomaitaraАй бұрын
Apinduliwe TU na afie mbali
@happyminja-kb1ow2 ай бұрын
Ndio mulivyo panga kuzimu
@unyakuotv.13912 ай бұрын
Asante kwa kutusikiliza endelea kutusikiliza ujifunze zaidi ila MANENO yako si mageni KZbin tunaosoma comment tumeyazoea
@FungukaSasaАй бұрын
Tumeyazoea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hili ndilo jibu kwakweli
@KhalidiBakarАй бұрын
Kamwe makafiri hawapo tayari kumuona muislamu anaongoza na hata firiauni ameangamia kisa mabavu yake tu ila hii ni serekali ya muungano atamzanzibar anahaki ya kua rais munapaswa sasa muidai nchiyenu ya Tanganyika mue na raisi acheni ujinga wakujiita watanzania wakati niwatanyika na ndio jina lanchi yenu amkeni vichogo nyie chuki zadini hazifai Allah Akbar Allah hatowapa nguvu makafiri mama samia mitano Tena kutesa kwazamuu😂😂😂
@SeverinMagwaya2 ай бұрын
Tanzania haiwezi kupindiwa bali serikali inayoongoza nchi ya Tanzania kwa sasa inaweza kupinduliwa. Kupinduliwa ili iitweje au ili iwe nchi gani?
@MuhammedAliOmar-c9uАй бұрын
Tanganyika
@gidiboy908122 күн бұрын
Ahahahahahaha! Eti yeye ndo anayepokea maombi!?!!😅😅😅😅😅😅😅😅😅!
@AzizihFarijalaАй бұрын
Sasa lli la watu watano kugombea kiti ni jambo la ajabu dogo mwaka 2020 waligombea wangapi.ebu acha hesabu unakosea najua unapiga ramli
@RehemaMbilinyi-i2e2 ай бұрын
Acha kujichanganya 😂😮
@samwelmatemu887312 күн бұрын
Wewe ni mwongo mkubwa sana.nenda kulime ndio inakufàa
@adammjomba5814Ай бұрын
Bwana Nabii ukweli ni kwamba Kikwete alisha sema haoni mwana siasa kama Samia ,hivyo basi Samia 5 tena pia Tanzania sioni kama kuna jeshi la kupindua hilo ninalipinga x100 haliwezekani ,wa tz ni wwtu waoga sana pia wanapenda wanawake .sioni mtz atakae pigana vita wa tz kazi yao ni mdomo tu.
@Chalresi-zg9iq10 күн бұрын
Wewe unatumika na wakubwa kupotosha umaa
@johnsinyinza74502 ай бұрын
Haya unayo yasema ni kweli au proganda ya siyasa na. Dini.
@KudraWanguvu-em1xw2 ай бұрын
Yani kwa uongo uongo nyinyi mnaongoza nyinyi ndio mnaoneshwa uongo mtupu
@glorymiko68302 ай бұрын
Yuhu anatofauti gani na Tito.?! Nabii wa kuzimu.
@JosephChacha-q7gАй бұрын
Unabii wako si wa kibiblia wala SI wa kweli.Unadanganya watu
@gabrielmwikanu1160Ай бұрын
Nabii tapeli huyo Hao watu wanaofukuzia kiti cha urais wataje hadharani. Acha uchonganishi tapeli mvuta bangi Waongoze waamini wako kiroho, achana na mambo ya siasa
@KhalidiBakarАй бұрын
Jamani acheni ujinga najua kelele zote izo kisa raisi ni muislamu na anatoka Zanzibar ila mujue hamuna rais nyinyi wala bendera ya Tanganyika huyo ni rais wa tanzania musimbuguzi 😂 kutesa kwazamu😂😂
@aaronswai309228 күн бұрын
Wewe ni mtu mjinga sana sana. Nani alikwambia dini inahusika kwenye ufalme? Niambie mfalme Sauli au Daudi walikuwa dini gani?
@johnsinyinza74502 ай бұрын
Mimi mbishi mwisho ukishidwa utabiri wako utakuja kimbia tanzania.
@dianamakyara42102 ай бұрын
2025 kitaeleweka tumechoka😢😢
@glorymiko68302 ай бұрын
Hivi mnapataje ujasiri wa kuongea utumbo. Nawatu wanakusikiliza ukijumlisha na mimi. Lol
@unyakuotv.13912 ай бұрын
Asante kwa kutufatilia endelea kutufatilia ila MANENO yako si mageni KZbin tunaosoma comment tumeyazoea
@AzizihFarijalaАй бұрын
Sisi waafrika sijui tumekumbwa na nini ukisikia mchungaji wa kanisa mnashindwa kumkamata na kumuhoji.
@benjaminlijongwa3715Ай бұрын
MADOGO MTULIE MJIFUNZE SIO MNAKURUPUKA RAIS SAMIA YUPO TU TENA BADO MITANO TENA. HAPINDULIWI WALA HAPINDUKI . KAKOSEA NINI MAMA WA WATU? TUACHENI TUKAE KWA AMANI JAMANI. MNADHALILISHA IMANI YETU MNAFANYA WOTE TUONEKANE WAJINGA KAMA NINYI
@Chalresi-zg9iq10 күн бұрын
Wewe muongo ulitabiri mwaka jana mwezi wanane adi leo.umuongoo wewe
@jacksonjustinianmageziАй бұрын
Sijamuelewa huyu jamaa maneno yake yanafikirisha sana.
@SixMakocho-g8eАй бұрын
Hatoboi
@samwellwiza1098Ай бұрын
Kwanini apinduliwe... Utaratibu wa Kushida madaraka Tanzania upo wazi na unafuatwa.... Hakuna anayeng'ang'ania kiti Tanzania
@boazgodfrey865Ай бұрын
Njaaa hizo,hakuna Mungu hapo
@RahmSterling-x3n12 күн бұрын
Njaa inakutesa
@miltonjohn977911 күн бұрын
Haya mambo nyie waislam hauwezi kuayaelewa hata aekunde