Yaa Allah atuajalie tuwe na mwisho mwema inshaallah mwenyez akuajalie maisha marefu uzidi kuitukuza dini yake
@masoudrashid83815 жыл бұрын
Maa sha Allah shekh mazinge Allah akuongoze ktk kheri pamoja na cc pia
@khalfanhamisi42185 жыл бұрын
Aslmalkm ndngu waislam ??? Haki sheikh Mazinge InshaAllah Allah hakueke uzidi kutuelimisha
@ismailyussuf18055 жыл бұрын
Allahu Akbar. She Mazinge Allah wakupe Afya njema na maisha mazuri.Ili uwape makafiri UKWELI.
@hemedisaid59496 жыл бұрын
Allhamdulillahi,natamani siku moja niwe mwanafunzi wa Habib Mazinge ili nifanye kazi kwa ajiri ya Allah!!
@allykango94405 жыл бұрын
Masha Allah Shekhe Mazinge Allah akuweke miaka mingi hakika waitendea haki dini yetu Allah atujaalie elimu na Nia kusudi la kutangaza Dini
@mnyamwezionlinetv39987 жыл бұрын
You are notable person in Islam, Jazaakallahu khayran Allah akufanyie wepesi sheikh wangu
@khalfanhamisi42186 жыл бұрын
aslmalkm ndugu waislam??? Jazzakahallahu khayram,
@jhayparism11525 жыл бұрын
Ustadh Mazinge Mwenyezi Mungu akulinde na azidi kukujaalia Uhai ili uendelee kuitetea Dini ya haki Dini ya Mwenyezi Mungu Islam...
@omarhakizimanakishikbongo21866 жыл бұрын
Nakupenda sana mazinge
@hassanmpwepwe38265 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuzdishie umri mlefu sheikh mazinge
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan86539 жыл бұрын
mashaa ALLAH kila kitu kiko wazi makafiri wanabisha tu
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Penda sana shekhe maxinge from dubai
@elizabethfares46506 жыл бұрын
Mashallah mungu awabaliki san inshallah
@kadilisaidi98075 жыл бұрын
Professor Professional
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Nakupenda shekhe Othman Mazinge, Allah akulipe kher inshallah na akulipe Jannah inshallah 🙏
@adanharon12977 жыл бұрын
mashallah Shiek mazinge mungu akuzidishie in shall Allah
@rashidimoshi84176 жыл бұрын
mazing mungu akusaidie sana
@sidisaid48336 жыл бұрын
adan haron mashallah
@mstafaassan47076 жыл бұрын
mungu akubariki sana mazing insha allah
@زهرهالراشد-م5ج6 жыл бұрын
Masha Allah Mungu akupe wepesi shekhe watu
@bakarihassan67186 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe maishaalef shekh mazinge
@steventitus21745 жыл бұрын
Mungu ampe maisha uyu mpumbavu kafiri mkubwa uyu
@eliudidamasi5145 жыл бұрын
Steven Titus ee mungu ampe maixha marefu inxhaallah
@rbagha52802 жыл бұрын
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@alimohamedalisaid70406 жыл бұрын
Mungu akupe afia ameen thuma ameen
@mohammedrajabumwamba13224 жыл бұрын
MaashaaAllah Allah akujalie
@zainabzanzibar15187 жыл бұрын
Mashaa Allah Shekhe Mazinge tunakuelewa kwa ufafanuzi wako
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
kwa Wakristo Mungu ni mmoja lakini hujidhihirisha kama Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mfano karibu na huu ni kama vile mvuke(vapour), barafu(ice) na hata unyevunyevu(liquid) yote ni maji hata yaweza kuwa kitu kimoja Ile wanasayansi wanaita "TRIPLE point of water". Msalabani Yesu (Mwana) alimuomba Mungu Baba. Kwani kunashida ipi?. Wewe nijibu kuhusu Mohammed kubusu jiwe jeusi na kumnajisi Binti wa miaka 9 tu
@rahmatumam3576 жыл бұрын
Anaitwa ustadh mazinge mzee wa shortcut
@yesusimungu4048 жыл бұрын
Napenda saaana Sheikh Mazinge
@albertpike62085 жыл бұрын
Sichoki kutazama clip za Mazinge he's one of my inspiration in da 'wa
@kudramzee57693 жыл бұрын
Maashaallah professional mazinge
@welsonlameckdodere42774 жыл бұрын
Isa hakufa msalabani, lakini Yesu ambaye ndiye ufufuo na uzima yeye mwenyewe alithibitisha mbele ya Thomasi kuwa alikufa msalabani!!(Luk.24:25-27;44--46)
@MoherZO4 жыл бұрын
Luk hakuelewa kilichotokea
@ibrahimomary74344 жыл бұрын
Maixh bila yes ni xawa na Dela bila mtandio
@fundiwamoldzapevingblock63782 жыл бұрын
Yani ww mazinge mungu akuweke adi uzeeni inshara
@zainabomar55125 жыл бұрын
Nakuombea mqzinge mng akupe umri mref
@asinakassim15488 жыл бұрын
MashaAllah
@hajimakame6206 жыл бұрын
Mshaalllah
@myoutubecom-gg7sb6 жыл бұрын
MashaAllah,
@minaminaa16696 жыл бұрын
mashaAllah
@mstafahassan39896 жыл бұрын
Allahu akbar
@petromachanga295 жыл бұрын
Wewe ni wakala wa shetan yaan Allah subhana wataala
@yusufsong91584 жыл бұрын
Sasa nashangaa makafiri wanasema anawadanganya uyo padre wako anachemka akikutana na Mazinge yote anaongea kweli aya siku ya uzinifu pasaka vyote kaongea kweli
@ishmailsaiyore78733 жыл бұрын
Mashehe pongezi inshallah
@mayahashim56886 жыл бұрын
Wakristo POV la nn sasa leten ukweli kam anadangany
@amalzahor58658 жыл бұрын
ماشاءالله
@saidswalehe3836 жыл бұрын
alhamdu Lilah alah aulinde uislamu
@khamisrashid46465 жыл бұрын
mashallah
@asinatjuma80885 жыл бұрын
MashaAllah jadha ka Allah kheir
@user-to6up4hg2w2 жыл бұрын
Mashalla
@yusufsong91584 жыл бұрын
Tatizo wakristo wanadanganywa mpaka wanakufa na motoni wanaingia
@khalfanhamisi42186 жыл бұрын
aslmalkm ndugu waislam?? Allah Akbar' Allah Akbar' Allah' Akbar!!!......
@jhayparism11525 жыл бұрын
Kwa yeyote mwenye namba ya Ustadh Mazinge naomba anitumie tafadhari...
@johnjunior53395 жыл бұрын
If you see Muslims attacking Paul it's because when you try to bring Muhammad after Jesus it doesn't add up.when you try to say that Jesus promised that he would send a helper, Paul comes before Mohamed but they want Mohamed to be after immediately after Jesus.(even though the helper is holy spirit)
@saumusanjiama69913 жыл бұрын
Hapa kama Oman
@johnpangalas96874 жыл бұрын
Jamaa anawadanganya wenzake nila woga na mchana kweupe
@francisjoseph10742 жыл бұрын
Jibu swali Acha janja janja mazinge huu ni msiba
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
Uongo za mazinge !!!!dahh!!!
@ibrahimomary74344 жыл бұрын
Umeonae
@ibrahimomary74344 жыл бұрын
Ee YESU. Waokoe hawa waislaam kwakua awajui walitendalo
@saidahmed96883 жыл бұрын
oman
@omaryandrew25844 жыл бұрын
Mazinge kiboko
@francisjoseph10742 жыл бұрын
Ila ili jamaaa liongo 😂😂😂😂😂😂 Bible ingekua inatafasiliwa hivi, huu tunaita msiba
@yusufsong91584 жыл бұрын
Biblia sio kitabu cha Mungu mfano Injili zaburi taurati na Quran unajua kapewa nabii fulani aya Biblia kapewa nani utopata jibu mpaka unaenda jikoni
@abdishakurahmed20886 жыл бұрын
Hapa ni wapi ?
@suleimanjailos26006 жыл бұрын
abdishakur ahmed oman
@francisjoseph10742 жыл бұрын
Waislam njooni Kwa yesu kama mazinge ndo anawadanganyaga hivi akili zake ndogo
@kulthumali50509 жыл бұрын
mashaallah
@abu_AZOZ8 жыл бұрын
Akaasha tuekee CD ya mafundisho ya wanawake tafadhali kwa hidhini llah
@mumkmamy51867 жыл бұрын
Masha Allah sheikh jazaaka Allahv kheiran
@mbidadaud12565 жыл бұрын
Wafuasi wa marehemu Muhammad na waona mnavyojitekenya na kucheka wenyewe
@rehemahamisi99715 жыл бұрын
Ata uyo yesu pia marehem nyie amuchekagi kanisani bc wafuasi wa yesu wt mabubu
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
@@rehemahamisi9971 😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Haoo ngoja siku ya kiama wakigeuzwa kuwa Chups za jahannama
@najmamakame98815 жыл бұрын
Ningekuwa nakuona police ingeniusu
@leonardabrahamh69065 жыл бұрын
Wana wauongo shetani.
@rahmaahmed57595 жыл бұрын
Nyinyi bakieni tu kudanganya watu makanisani kuwaapa pesa sababu mwatafuta biashara poleni Sana.
@leonardabrahamh69065 жыл бұрын
Kawafanya waarabu wooote wenye Dini kua bwege ajabu sana.
@mamaaaishamamaaaisha75058 жыл бұрын
Mashallah
@saumubenson50154 жыл бұрын
Mazinge ukovizuri
@baddynapenya59626 жыл бұрын
Ni dextuli za kiloma
@johnjunior53395 жыл бұрын
Hi ni ujinga sana.sasa kati ya Paulo na Mohamed nani alikuja kwanza?
@jumajaffary96985 жыл бұрын
Matendo Ya Mitume 26:9-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo. 11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali. Huyo ndio Paulo
@rahmaahmed57595 жыл бұрын
Wewe ndo mjinga wakwanza sababu unajua tu kua Paulo alikuja Kwanza but hujui historia yake.
@deoally84176 жыл бұрын
😀😀
@leonardabrahamh69065 жыл бұрын
Wewe mazinge vipi Biblia kisiwe kitabu cha Mungu baadae muhammadi akapatikana ndani yake???huo sii uongo mtupu.oooh uisilamu ndani ya Biblia mmerogwa na kununuliwa kimbia kifo uamini YESU KRISTO akupe uzima.
@mwakakhamis57625 жыл бұрын
Tatizo bibilia mumekoti baadhi ya maneno ya injili mchenganya na maneno yenu
@rahmaahmed57595 жыл бұрын
Wewe Yesu Ni mtume wa Allah sio mungu.
@popod1775 жыл бұрын
@@rahmaahmed5759 wanamacho lkn hawaoni, wanamasikio lkn hawasikii.. Ujumbe umeingia mahala pake, ndo ukaona povu LA makafiri linawatoka na mitusi.. Mazinge anatoa maandiko kwenye tabu lenu na bado mnapinga, kwa nn?? Kwasababu hayo yote anayoyasema yote yanatoka ndani ya bible, tatizo nyinyi hamuisomi litabu lenu, mkienda kanisani mnangojea mchungaji awaambie fungueni page fulani, anawasomea na ndio basi, hadi jumapili ijayo tena.. Kila kitu anachosema sheikh mnapinga kwasababu hamjawahi kusomewa wala kusoma, na ukiuliza swali unaambiwa unampinga mchungaji... Hamjiulizi kwa nn headquarters ya ukiristo upo Vatican na wala haupo yesu alipozaliwa.. Zindukeni makafiri, ukiristo ni shida, biashara tu na ndo maana yesu akasema watu wake wamepotea kwa kukosa maarifa.. Na wachungaji wao ni mbwa, ndo wanawapoteza..
@ibrahimomary74344 жыл бұрын
@@popod177 YESU akuponye week dada
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
Hawa watu wote wanadanganywa na wanasikiza tu pumbavu kweli
@brightonwashira54206 жыл бұрын
We mjinga Kweli we ni mkristo hamna lolote
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
@@brightonwashira5420 na ww ni muislamu wa kupulizwa matako na shetani msikitini
@mandianuhumuinatv96545 жыл бұрын
Wewe dini huna unaongea pumba tafuta kwaza dini Sawa kafir mkuu
@allyyussuf74195 жыл бұрын
Dini yenu nyinyi wakristo( makafiri) ni ya kutengeneza na kuunga unga, hakuna kitabu chochote ulimwenguni kinachothibitisha kuwa ukristo ni dini lakini ndani ya Qur'an inathibitisha kuwa " hakika dini ya haki mbele ya Allah n Uislam
@saadsalum32535 жыл бұрын
Nenda huko wewe unayefuata upagani
@goldmansun58596 жыл бұрын
hakuna muitaliano mweusi,Paul alikuwa mweus ka Yesu alivyokuwa,Musa alivyokuwa,haroun,na waisrael wote ndivyo walivyokuwa,hata ka kulikuwa na weupe,ni ka ss ,unakuwa wekundu ila DNA ni blacks coz Jacob n Abraham ,isack ,Ishmael were blacks too ,alikkuwa myahid wa kabila ya benjamini na siyo muitaliano,pili Yesu hajawah kuitwa issa ,uislam unanuka kwa udanganyifu ,anaitwa Yahshua kiebrania lugha ya wayahud,yasuhe kiarab,yesu kiswahl,hii ni mothertongue problems,maana yak Mungu uokovu wetu,uislam hauna evidance yeyote kihistoria leo hii unatoa stor za wayahud wakat wa Yesu!no labda hicho kibwengo chenu issa,acha uongo wew mzee,ukiendelea utakufa bila ulimi,na hii text yangu ikumbukwe
@allyyussuf74195 жыл бұрын
Usiseme kitu ambacho huna ujuzi nacho, neno YESUHE haliwezi kuingia ktk maandish ya kiarabu, acha kibri na chuki, tafuta ukweli utaupata na wisho wa siku utajuwa kuwa hakika uislam ndio dini ya haki.
@aminaally31165 жыл бұрын
Yaani wakiristo wote hawana akili yaani ivi mungu anazaliwa ? yaani ukweli hawasemi wanadanganyana makanisani
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
Hii mtu amerongwa shetani anamtumia na mijini
@licacpeter37486 жыл бұрын
Eleza ukweli wako bac
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
@@licacpeter3748 ukweli ni kuwa waslamu wanatumikia majini na shetani so ni ndugu wa shetani kiimani
@omaralbattashi11876 жыл бұрын
@@Julia-gm1wh acha ubweg ww ww ndo ndug yak na sheitwan
@allyyussuf74195 жыл бұрын
Katka dini yetu ya haki uislamu , muislam yeyote anayewatumikia majini na sheitani huyo ni mshirikina na Allah anasema katika kitabu kitukufu kuwa hakika washirika wataingia katika moto. Tatzo wewe hutaki kusoma ndo maana unaongozwa na hisia wala sio maandiko.
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
@@omaralbattashi1187 Joseph kalume huyu Akili zake hazipo sawa kabisa
@leonardabrahamh69065 жыл бұрын
Huyu kachanganyikiwa.sijui kahongwa? kala maharagwe mengi na chapati???vipi wewe kwa uongo huo YESU MFALME akusamehe.
@johnjunior53395 жыл бұрын
Hawa watu hawana kitu Cha kusema.kwami hii imani inahitaji kutetewa jamani?
@jumajaffary96985 жыл бұрын
Matendo Ya Mitume 26:9-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo.11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali.
@elizawallace29714 жыл бұрын
Hakuna isa kwenye mathayo muongo wewe,unafundisha vipofu wenzako
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
Huyu mtu anapoteza watu yaani uongo wazi kabisa wa wazi
@adamnassiri85126 жыл бұрын
Allah akuzidishie
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Weee unasema ukweli we baki na ukafiri wako
@rahmaahmed57595 жыл бұрын
Wewe lete aya zako uliohifadhi nikiuuliza kwanini nyinyi mnasoma kwa kitabu mbona hamuhifadhi Kama waislamu kazi yenu Ni wivu tuuu poleni sana
@najmamakame98815 жыл бұрын
Unatesekaaaaaa
@mohammedrajabumwamba13224 жыл бұрын
@@najmamakame9881 utaangaikasana namotoni utakwenda usiposilim we kafiri mkubwa weeee Kaz unayo
@steventitus21745 жыл бұрын
Hujui kutafsir biblia wewe kaziyako kiarabu 2 na mwajua waarabu walivyo watesa wazee wenu leoii mmeshaa saau alafu awoawo wawaletee dini Kuna Nini apo makafir wakubwa nyinyi wamjua kafiri wewe wakati nyinyi ndomakafir
@jumajaffary96985 жыл бұрын
Matendo Ya Mitume 26:9-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo.11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali.
@hatibuahmadi72375 жыл бұрын
@@jumajaffary9698 hongera sana allah akuzidishie maarifa maana ulivo mjibu huyu kafiri umemjibu kiufundi sana yaani kakosa hata lakujibu nakama akuslim basi kapigwa muhuri wamotoni
@rahmaahmed57595 жыл бұрын
Si waona ndo nyinyi musiependa waraabu kwa ujinga wenu
@steventitus21745 жыл бұрын
Wewe kafir mkubwa wewe hakuna jehad yaivyo maulamaa wengi mnanjaa kubwa Sana kafir niwewe msinda wewe