HABIB MAZINGE UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 2

  Рет қаралды 443,692

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

Күн бұрын

AKASHA DAAWAH TRADERS +254 721310082
KWA WALE WANAOISHI NNCHI ZA MBALI TAFADHALI TUWASILIANE KUPITIA #viber free calling

Пікірлер: 272
@husseinmongolare1661
@husseinmongolare1661 4 жыл бұрын
Shukrani Allah akulipe kilalaheri nafatiliya video zako Apa U.S.A
@ndekelaausi8263
@ndekelaausi8263 5 жыл бұрын
Allah akuongozeni Waisilamu wote mnaosikiliza neno la M/Mungu
@lubuvahussein5556
@lubuvahussein5556 2 жыл бұрын
Aamiin Allahumma Aamiin
@salehehassan1330
@salehehassan1330 6 жыл бұрын
Mazinge unafanya vizuri katika kazi ariyokujaria Allah kazi ya daawa ningumu jamani ningumu haswa hivyo dua nakuombea uzidi kuwafikishia ujumbe huu mzito
@shunshmc8868
@shunshmc8868 4 жыл бұрын
Huku mbeya uislam unapotea karibu h
@omariliwikila1979
@omariliwikila1979 5 жыл бұрын
Ama kweli ww ni profesa wa vitabu vitakatifu mungu akuongoze maisha yako yote.
@mwakakhamis5762
@mwakakhamis5762 5 жыл бұрын
Jamanii waislamu hizi video hatuzipendi au mbona like kidogooo.
@fatmabakari545
@fatmabakari545 8 жыл бұрын
mashallah mola akuzidishie umri na akulinde mazinge
@habibuhmtengule191
@habibuhmtengule191 5 жыл бұрын
Fatma Bakari kfqqw
@abouhassan9586
@abouhassan9586 4 жыл бұрын
g
@ibrahimabdul5490
@ibrahimabdul5490 8 жыл бұрын
M/mungu akurekhem kaka. Ujumbe umewafikia waliosikia na wakatafakar na wakachukuwa hatua. Inshaallah M/mungu atakulipa. Kwakuwatoa waja wa M/mungu ktk jiza na kuwapereka ktk nuru. Kwani uislam ni vazi la imani aliyotuumbia M/mungu. Ibilisi au sheitwani ndio aliowavua baadhi ya watu vazi la imani ambalo alilotuumbia M/mungu baada ya yeye kufukuzwa ktk nuru ya M/mungu. Lakin tusikate tamaa inshaallah Allaah atawanusuru tusichoke kuwaombea..!
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 6 жыл бұрын
Nakupendaga sana sheikh Wang mazinge
@farookkavuma9868
@farookkavuma9868 5 жыл бұрын
Asalam alaikum walahumaturahi wabarakatuh.
@ibrahimjaoko2819
@ibrahimjaoko2819 4 жыл бұрын
Asiah Mariam nami nmekupenda binti unaonekana mzuri mstaarab tukutane WhatsApp 0673235098
@sumabata5864
@sumabata5864 4 жыл бұрын
Na yeye anakupenda
@ibrahimjaoko2819
@ibrahimjaoko2819 4 жыл бұрын
Suma Bata ..Suma pls if you are a lady lemme me have your contact . Mine is 0673235098
@dunimambo9360
@dunimambo9360 4 жыл бұрын
Wafuga majini niye
@alphanisuleman6979
@alphanisuleman6979 4 жыл бұрын
Mtu yoyote anaesema yesu mungu mimi namfananisha na wahindi wanao abudu ngombe msiwalazimishe waacheni waendelee kusema yesu mungu
@mirajimsita6691
@mirajimsita6691 5 жыл бұрын
mashallah Allah akulinde shekha mazinge uendelee kuutangaza uislam
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 4 жыл бұрын
MaashaaAllah Allah akulinde namabalaa ya duniani
@shuaibhashim687
@shuaibhashim687 4 жыл бұрын
ASALAM ALEIKUM.MOLA AKUZIDISHIE ILMU AKUPE AFYA UZIDI KUTUELIMISHA BARAKALLAH FIIK SHUKRAN
@omarbakran8337
@omarbakran8337 8 жыл бұрын
masha Allah sheikh Mazinge Mungu akulinde
@allyissa5801
@allyissa5801 5 жыл бұрын
mashaa allah shekh allah akulinde na kila shali
@dubais9018
@dubais9018 4 жыл бұрын
Maashaallah oman wamejitikeza waislam wengi kumsikiliza ustadh
@saidrashid602
@saidrashid602 9 жыл бұрын
MashaAllah, Ustadh mazinge Mungu akulinde
@waltershayo1339
@waltershayo1339 3 жыл бұрын
Yaani sheikh Mazinge kanikuna huwa nikikutana nao najiuliza kichwani maphd lkn yesu ni Mungu tumshukuru Allah kutujaalia kuwa Waislam
@salummsusa5254
@salummsusa5254 5 жыл бұрын
Mashaalllah ostadhi mazinge Allah akulinde miaka mingi
@abdallahussyn1822
@abdallahussyn1822 4 жыл бұрын
Allah akupe pumzi ya kuwaleta makafir kwenye ndia yake Allah
@user-wv2uy6iz5h
@user-wv2uy6iz5h 4 жыл бұрын
Allah akujazi,akuzidishie ilmu shekh wetu
@harunamushi2643
@harunamushi2643 5 жыл бұрын
Allah Akbar.. We proud to be Muslims
@rashirajabu1432
@rashirajabu1432 5 жыл бұрын
Shekh Allah akulinde isha allha
@muliamadi859
@muliamadi859 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuepushe na mitiani InshaAllah
@zainabuyahya190
@zainabuyahya190 5 жыл бұрын
Mashaallah shkh wet mungu akujaarie umri mrefu
@idrisabakari584
@idrisabakari584 5 жыл бұрын
Wallha shekhe mazinge mungu akupe mwisho mwema ufe ukiwa ktk kazi hii
@ramamohammed4334
@ramamohammed4334 6 жыл бұрын
mashaalah uko poa sana sheikh mazinge
@saidally9875
@saidally9875 5 жыл бұрын
mashallah shekh allah akupe nguvu na umri uzid kuutangaza uislam inshallah
@salumuabedi2020
@salumuabedi2020 5 жыл бұрын
Amiiin
@hassantoure7472
@hassantoure7472 6 жыл бұрын
Kazi nzuri ust mazinge takbiiir
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 5 жыл бұрын
Mimi nashangaa kweli kwa hawa makafiri eti mtu hususan wanawake wanakwenda kuabudu wakiwa wamevaa nusu uchi sijui uyo Mungu wao anapenda ngono
@naimamwambe8083
@naimamwambe8083 4 жыл бұрын
Mashaa Allah natamani siku nikuone live shekhe Mazinge nafaidika na mengi kutoka kwako naomba Allah akupe kila lenye kheri na wewe Amiin
@athumansingitu2723
@athumansingitu2723 5 жыл бұрын
masha allah, Tunashukuru kwa daawa.
@ukumbushostate2758
@ukumbushostate2758 4 жыл бұрын
Mungu akuweke ustadh
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
ALLAHUMA amiiina kwa duwa yako na ALLAH awaridhie
@harunwalter9214
@harunwalter9214 5 жыл бұрын
mungu akuweke umri mrefu
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 7 жыл бұрын
Jazaakallah khayran, yaa Uthman Mazinge
@nuriayahya8445
@nuriayahya8445 6 жыл бұрын
Mashallah
@abilaiashiru4266
@abilaiashiru4266 5 жыл бұрын
may Allah make your health be good all the time Mr mazinge
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Taqbeerrr Allahu Akbr
@salummilanzi7936
@salummilanzi7936 4 жыл бұрын
Mashallah mupate mwisho uliomwema
@aishamohemd2698
@aishamohemd2698 6 жыл бұрын
Shekh mazinge mungu akuhifadhi bila ww waislam tungepotea
@danielmayibanzovu207
@danielmayibanzovu207 5 жыл бұрын
Aisha Mohemd kafiri ni nani mkrito naye unamwita kafiri jifunze kuongea kwa hekima .
@hassanomary4664
@hassanomary4664 4 жыл бұрын
Cio kwa ajili ya mazinge dad angu kwa ajili ya Allah kampa uwezo mazinge ili aje kunusulu dini yake
@kissluh18
@kissluh18 6 жыл бұрын
Yaani mazinge ingekuwa inawezekana siku zinakopeshwa tungekukopesha uwendelee na ujuzi kuwapambanulia ukweli katika uislam.
@user-sz8ct3ni9z
@user-sz8ct3ni9z 4 жыл бұрын
Nikwel
@faridswaleh0018
@faridswaleh0018 3 жыл бұрын
Shk mazinge mungu akupe uombalo kwake Ameeb
@augustinejohn5685
@augustinejohn5685 5 жыл бұрын
shekh mazinge nimekupenda bure mkuu. Allah akujaze rehema.
@muhiddinhaji5749
@muhiddinhaji5749 5 жыл бұрын
riviarmando
@shazirmakunda1832
@shazirmakunda1832 6 жыл бұрын
hakika Allah atawalipa inshaallah
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 5 жыл бұрын
MashaAllah,
@محمدعلي-م4ص3ش
@محمدعلي-م4ص3ش 5 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye manufaa
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 7 жыл бұрын
Francis Oyoo,Habib Uthman Mazinge hajasilim alizaliwa Katka uislam.we silimu tu wala usiwaze udugu
@khalfanhamisi4218
@khalfanhamisi4218 5 жыл бұрын
Big up man!!!.......
@khalfanhamisi4218
@khalfanhamisi4218 5 жыл бұрын
+Khalfan hamisi Mashaallah!!.......
@hajiahmad2328
@hajiahmad2328 3 жыл бұрын
Maxinge m/mungu akupe afya njema ue.ndelee na dawa
@zenatmusa5233
@zenatmusa5233 5 жыл бұрын
Allah awaongoze wote wanao fahamishana uwislam Allah awaongoze Na awape nguvu Na subra
@mbarikiahamadjuma6824
@mbarikiahamadjuma6824 6 жыл бұрын
Allah akulipe kila la kheri
@gitonga7054
@gitonga7054 5 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
TAKBIIIIIIRA ALLAAAAHUAKBAR MAZING ALLAH AKUFUNGULIE JANAT FIRDAWSI UINGIE UKITEMBEA NA MIMI NIKIWA NYUMAYAKO AMIIINA YARABBI
@nyawitatheboss3449
@nyawitatheboss3449 4 жыл бұрын
Tunakupenda kwa ajili y ALLAH mim n mke wangu AISHA kipenz
@خديجهافضى
@خديجهافضى 5 жыл бұрын
Mashallah Allah akulinde kuelimisha l'islam unapo mutaja rasul uwe nakumbuka kumusaliya ishallah
@saadamsamba4806
@saadamsamba4806 5 жыл бұрын
Masha Allah
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 5 жыл бұрын
Yeso ni mtume tu Allah anasema mama yake alikuwa mkweli na wote mama na mtoto wake walikuwa wa kila chakula na kwenda choni basi hao ni waungu gani wanaokula chakula na kwenda chooni hebu fikirini mungu wenu anakwenda chooni akiwa chooni hamujielewi kweli
@kinianirajabu1124
@kinianirajabu1124 5 жыл бұрын
Jazaka Allah
@jumasalum5769
@jumasalum5769 4 жыл бұрын
Sheikh wangu me nipo Mwanza napiga mishe mishe za kawaida tu ila niko tayar kuja kujiunga na kikosi chenu niwe hata mbeba mabegi ili na me niwe napambana ktk njia hiyo unayo itumia
@rokiroki1825
@rokiroki1825 3 жыл бұрын
ALLAH atufishe haliyakua ni waislamu
@barakashaban9698
@barakashaban9698 3 жыл бұрын
Allahumma aameen
@ismailrebe7072
@ismailrebe7072 4 жыл бұрын
Mungu akulipe kwa kazi ya dawa unayofanya
@farukiddi5967
@farukiddi5967 5 жыл бұрын
Mungu akupemiaka 100
@sarifimikidad3994
@sarifimikidad3994 5 жыл бұрын
OK
@habibaselemaniasantesana9774
@habibaselemaniasantesana9774 3 жыл бұрын
Shukran shekhe Allah akulinde
@yahyaibrahim6546
@yahyaibrahim6546 2 жыл бұрын
Dahh yani mimi nimeongea mbele ya mkrusto nkawambia jesus sio mungu yani najiona sina raha yani nikiona aya makafiri kazini kwangu yani nakereka sana natamani wasilimu maana naona wanapotea
@kimsi682
@kimsi682 Жыл бұрын
Hahaha! Why?
@salehsuleiman8519
@salehsuleiman8519 2 жыл бұрын
Allah ampe afya njema Mazinge
@hamdounkhamis9542
@hamdounkhamis9542 7 жыл бұрын
wasio waislamu wanaumiaaa wakiitwa makafiri lakini wanayofanya ni machafu mungu kapatia kweli kuwapa jina hilo... makafiri mupooo??
@elizabethgiven8363
@elizabethgiven8363 5 жыл бұрын
Hamdoun Khamis kafili baba yko kamuingilia mama yako bila kuomba dua ndiomana ukazalia ww ucye jielewa
@michaelvincent6252
@michaelvincent6252 5 жыл бұрын
Hayo mafundisho ya kupokezana Hayapo kwenye bibilia takatifu ndio kitabu cha kwanza soma wakolosai 2:8
@msafiriaugustino2957
@msafiriaugustino2957 5 жыл бұрын
hawa ndio wanaowakosesha
@salehkhalfan2787
@salehkhalfan2787 5 жыл бұрын
Ndgu yng Hamdoun naona wamejitokeza wenyew
@youngthug604
@youngthug604 5 жыл бұрын
Kama ww ostaz na uku unazin na kufila mkeo au awala utamuitaj kafili au shetan mchezo wa kuflan unaupenda sana je nyinyi 2waitaje
@idrissajumakona5871
@idrissajumakona5871 5 жыл бұрын
ماشاءاللہ
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 3 жыл бұрын
Maashallah tabaraqallah..nakupenda kwa ajir ya allah
@shabanikaum1247
@shabanikaum1247 4 жыл бұрын
Maasha Allah
@athumanhassan9360
@athumanhassan9360 5 жыл бұрын
Xheikh wng Allah akujalieh nakpnd xn
@khalfanhamisi4218
@khalfanhamisi4218 5 жыл бұрын
aslmalkm ndngu waislam ??? InshaAllahh !!!.......
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 жыл бұрын
Kusoma ni muhimu Sana wallai waislam
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 5 жыл бұрын
Unachoongea ni sahihi kabisa ustadh Suleiman
@hopetrust9321
@hopetrust9321 4 жыл бұрын
Wew kasome vizuri yesu Ni mwana wamungu hata mtume alikiri kuwa yesu Ni masihi na nimkombozi waulimwengu Sasa usiingee kutafuta sifa na wakristo hatuna mashindano pia muislam wakweli namkristo wakweli watakua naundugu sawa nawamke na mume mawarda ongea tu hujielewi wewe
@lilianjoshua1407
@lilianjoshua1407 3 жыл бұрын
Yani Mungu awasamehe sana waislamu. Maana hawajui walinenacho, laiti wangemjua huyo Allah ni nani wasingempa utukufu hivyo! Sipati picha watakavyokaangwa hukumuni.
@saidasaidjuma3505
@saidasaidjuma3505 3 жыл бұрын
@@lilianjoshua1407 Subhnallah
@jamalabdi1525
@jamalabdi1525 5 жыл бұрын
Masha Allah
@simbayahe4960
@simbayahe4960 4 жыл бұрын
Maxhalllah
@Julia-gm1wh
@Julia-gm1wh 6 жыл бұрын
Yesu n Mungu sababu yesu akasema yeye yu ndani ya Mungu na Mungu yu ndani ya Mungu so iko wazi unapotaja Mungu umetaja yesu na unapotaja yesu umetaja Mungu
@yasinnasibu1997
@yasinnasibu1997 5 жыл бұрын
Joseph Kalume manshalah
@dullyvidully7798
@dullyvidully7798 5 жыл бұрын
Na aliposema yeye Ni mtu je?
@khamisally5788
@khamisally5788 5 жыл бұрын
Aliposema mm mtu vp hapo maana hayo maandiko yote yake
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Allah Akupeumli Muref Wenyemanuf
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Washeikh wangu wewe nawenemihazara munacambua kwelikweli mimi nikua najuwa wenzagu tunamwombamungu umoja kumbe wao wamedanganywa namafundisho yawatu
@erastomgaiwa7988
@erastomgaiwa7988 4 жыл бұрын
Safi sana
@kulthumali5050
@kulthumali5050 9 жыл бұрын
mashaallah
@mohakharu6315
@mohakharu6315 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mazinge
@shazirmakunda1832
@shazirmakunda1832 6 жыл бұрын
mungu akuzidishiee🙏
@fatumamshamu1759
@fatumamshamu1759 3 жыл бұрын
Allah.akufanyie.wepesi.magumu.unayopitia
@jayforjayfor259
@jayforjayfor259 4 жыл бұрын
Mashalaa
@mbaraksaid2375
@mbaraksaid2375 4 жыл бұрын
Mashallah
@nasibuabdul287
@nasibuabdul287 3 жыл бұрын
Mwenyezimungu ni mkubwa
@elizabethgiven8363
@elizabethgiven8363 5 жыл бұрын
Mwenyez mungu ali huumba ulimwngu kwa siku saba ila siku ya saba akapumzika nyinyi waislamu kila siku munamuomba Mungu mnachokiomba nn kama siunafiki .miskitin kwenu kumejaa unafki ndio mana ata kuswali kwenu mnatenganishwa na wnawake wakihinama mtawatamani mtashindwa kuswali kwkua mtume wnu muhamadi alikua anatamaha
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 5 жыл бұрын
anaepumzika huwa ni mwenye kuchoka, na M/Mungu Mtukufu alietakasika hana sifa ya udhaifu ya kuchoka
@khamisally5788
@khamisally5788 5 жыл бұрын
Elizabeth Given ndio maana nyie mnagongana kabisa kanisani au sio hongera
@khamisjuma6175
@khamisjuma6175 5 жыл бұрын
Cc ktk kusali ha2jaambiwa cku gn 2pumzike ila kwa mwanamke aliye maadhura. Ucjali Eliza mm nakuombea usilimu ili ujue utamu wa uislam na qur ani. Najua saivi itakuwa ngm kwako lkn kadri ukickiliza km haya bac ndo unakaribia kuwa muislam. Kl la kheri Eliza.
@hp3202
@hp3202 5 жыл бұрын
Unafiki na uislam ni vitu viwili tofaut ambavyo havilingani. Kuhusu kusali kila siku ni kuzidisha iman ya ucha Mungu kwa sabb bnaadamu Ana sifa ya kujisahau na kutenda dhambi, unaposali kila siku moyo unalainika na kujutia kufanya maovu, yeyote anaeidumisha swala hakika yeye atapata ucha Mungu moyoni mwake. Hem wewe jiulize kwa nini kila siku unakula na kunywa? Jibu uko nalo. Basi huo ndio mfano wa moyo kadri unavoukurubisha kufanya ibada ndio unazidi kusafika na kuimarika kiimani lkn ukikaa tu Bila ibada imani inapunguwa na makosa yanazidi kuongezeka.
@missfa4650
@missfa4650 4 жыл бұрын
Mungu hacoki weweee aca kukufuru..kasome kwanza
@rafamiliyaarafamiliyaa4702
@rafamiliyaarafamiliyaa4702 4 жыл бұрын
very very nice
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Takbiiiiiir
@boontujimmaa9462
@boontujimmaa9462 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh Mazinge
@hassansalum8496
@hassansalum8496 7 жыл бұрын
Subhan'Allah
@jumahoza1575
@jumahoza1575 5 жыл бұрын
Maalim upo vizuri sheik wangu. MOLA akulinde zaidi na zaidi
@zapharansuleiman3507
@zapharansuleiman3507 4 жыл бұрын
Hassan Salum mashallah
@zapharansuleiman3507
@zapharansuleiman3507 4 жыл бұрын
Mashallah ustdh mazinge Allah akulipe kwa ufafanuz wako
@zapharansuleiman3507
@zapharansuleiman3507 4 жыл бұрын
Mashallah ustdh mazinge Allah akulipe kwa ufafanuz wako
@sulainaanyango9899
@sulainaanyango9899 3 жыл бұрын
Maashaallah
@khalfanhamisi4218
@khalfanhamisi4218 5 жыл бұрын
Allah Akbar' Allah Akbar ' Allah Akbar!!!.......
@rashidseif6103
@rashidseif6103 6 жыл бұрын
Makaafiri ni watu wasiojielewa, utasemaje kiumbe cha Allah kukipa sifa ya Mungu....
@shabanikizulege1495
@shabanikizulege1495 3 жыл бұрын
wachamungu wa kweli awatouzunika wala awatokuwa na hofu mbele ya Mungu
@dottomarko6213
@dottomarko6213 4 жыл бұрын
Asa sasa hivi nawaona waislamu Mme kosa LA kuongea mtandaon kazi kuongelea dini za waty kwanin mnapenda kuwachokonoa watu? Asa wew yesu ni mungu inakuhusu nini acheni mambo hayo hii nidunia bado muamuzi hajatokea wewe sio malaika na wala sio mungu kila mtu ana kabul lake
@minaminaa1669
@minaminaa1669 5 жыл бұрын
Takbirrrr Allahu Akbar
@mwakakhamis5762
@mwakakhamis5762 5 жыл бұрын
Msiba jamani waislamu 70 wengi innalillahi wa inna ilahi rajiuuni.
@hassanmakoye1264
@hassanmakoye1264 5 жыл бұрын
Shekhe mazinge uko vizur
@rafamiliyaarafamiliyaa4702
@rafamiliyaarafamiliyaa4702 4 жыл бұрын
thank you mzinge
@rafamiliyaarafamiliyaa4702
@rafamiliyaarafamiliyaa4702 4 жыл бұрын
the good people
@fatmaally714
@fatmaally714 7 жыл бұрын
MashaAllah
@evanstawayi7955
@evanstawayi7955 5 жыл бұрын
Ustadh mazinge ubarikiwe
@youngthug604
@youngthug604 5 жыл бұрын
Mjomba MTO unakusubili unaleta maigizo wakat dini ya kweli niele yenye kupenda amri kumi za mungu usiuwe usizin usisem uongo vote muna vifanya usitaman Mali isiyokua yako mm naona magaid wengi ndio wanaojifanya wanajua dini mchezo ya kuomban jicho sio mzury na nizambi kubwa akika wote moto
@lilianjoshua1407
@lilianjoshua1407 3 жыл бұрын
Kwanza tu kusujudia kaba kule macca ni kufuru tosha, maana huyo ndie Mungu wao. Kwann wafanye ibada kuelekea kile kijumba?
@saidasaidjuma3505
@saidasaidjuma3505 3 жыл бұрын
@@lilianjoshua1407 .........ile ni alkaabh nyumb tukuf ya Allah ...sasa we endelea kuabud picha ya yule muigizaj wa kweny sanam yenu....endelea na ubish wako Allah akujaalie mwenye kufaham
@munainjiru7983
@munainjiru7983 4 жыл бұрын
Mbado tu kumbatiswa mazinge uokoke masinge coz ndio njia zake yesu kiboko
@lilianjoshua1407
@lilianjoshua1407 3 жыл бұрын
Neno kafiri, maana yake ni mtu asiuependa au kujali watu wa kwao. Nashangaa wakristo tunaitwa makafiri. Waislamu wasiopenda watu wa kwao ni makafiri. Ndo maana halisi ya neno hilo, si kuropoka tu.
@lilianjoshua1407
@lilianjoshua1407 3 жыл бұрын
Na kwann aya za Yesu alizosema, ambae nyinyi mwamwita issa, unatoa katika biblia ambayo mnasema si maneno ya Mungu? Na sio kwenye Quran yenu?
@dottomarko6213
@dottomarko6213 4 жыл бұрын
Yaan mnauzi sana nyie nibac2
@rukiyarukiya8005
@rukiyarukiya8005 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 5 жыл бұрын
Yesu ni Mungu wako wewe Mazinge
@eliudidamasi514
@eliudidamasi514 5 жыл бұрын
Emmanuel Julius yesu ana uungu gan?
@lilianjoshua1407
@lilianjoshua1407 3 жыл бұрын
@@eliudidamasi514 wa kushangaza sana, utafute utaujua
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 3
30:31
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 113 М.
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 1
30:01
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 156 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 18 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 50 МЛН
Adhabu 15 za mwenye kuacha sala
1:02:09
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 307 М.
Sheikh Hassan Ahmed - Kisa cha vijana watatu
5:55
Thamaratul Jannah Tv
Рет қаралды 196
Wakristo mnawaoa mama zenu   Mazinge
18:11
Malundi online Tv
Рет қаралды 564 М.
UJIO WA MTUME MPYA MBAGALA PROF MAZINGE AMCHANA
14:23
arkas online tv
Рет қаралды 17 М.
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 4
29:17
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 161 М.
MAZINGE NA MCHUNGAJI
18:15
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 85 М.