Рет қаралды 139
Akili za Watoto Celebrity Version, inajaribu kurudisha mastaa wetu utotoni kwa lengo la kutaka kujua utoto wao ulikuwaje na walikuwa ni watoto wa Namna gani. Kwenye Celebrity version, tutapata kujua changamoto, matukio na vituko vya utotoni vya mastaa wetu.
Akili za Watoto ina hostiwa na James Luvanda na ku-managiwa na DTYLS Group.