MashaAllah. Hongereni Alrahma Hospital kwa huduma nzuri za meno munazozitoa Hapo. Kwa Hakika nafurahika sana na Huduma zenu.. Pongezi zako Dr Muhiddin na team yko kwa Huduma nzr munazotoa kwa Wagonjwa Wenu..
@mamayuu38422 жыл бұрын
Hongereni sana, hongera Spitali yetu ya Ar-Rahma, Allah aijaalie baraka zaidi izidi kwenda mbele daima, Amin.
@abdulbasit17312 жыл бұрын
Hongera sana alrahma hospital
@bukurunestory35402 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kutoa huduma ya afya kwa jamii. .Mambo hayo yatanuke zaidi kuwafikia watu wengi zaidi