Daah!! mmetisha wanangu best movie 👏 movie kila inavyoendelea inakuwa tamu. iyoo style ya mayele nimeipenda 🤣🤣🤣
@rehema94162 жыл бұрын
nimeipenda aseee dah nacheka sina mbavu🤣🤣🤣🤣🤣
@victoriambepera4392 жыл бұрын
waamenitoneshaa 🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka sana na hii movienimeipenda kupitilizaa
@duhrurhhddhheud8575 Жыл бұрын
hicho kipande nimecheka balaa
@meshackshark79532 жыл бұрын
Move Hiii Zuli Sana Nawagizaji Wote Mpo Vizuli Sana Kaka Tinh Nafatiaga Sana Move Zako Kaka MUNGU Awape Guvu Tupate Move Zuri Kama Hizi.💪💪💪👂👂👀👀👀👀👏👏👏👏👏
@gloryjanson20912 жыл бұрын
🤣😂🤣😂🤣😂 nmecheka mpaka basi jamni hii series ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
@sifamugwaneza87742 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavuuuuu zaaanguuuuu jmn #TinwhitAladin wew kiboko 🙌🙌🙌🙌 na nafikilia ulivyo waza kazi hii jmn hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥2022 nibalaaa Mungu aendelee kukuweka kaka ake miee
@yankelly30062 жыл бұрын
White et Mr kilangaso félicitations à vous Mayele atekenya🤣🤣🤣🤣🇧🇮🇹🇿🇬🇦🇺🇬
@zachariaevod81482 жыл бұрын
Movie nzuri Sana naomba muwe mntuwekea vipande vinavyofuata mapema tunasubili Sana mjue
@fadhilfussi36372 жыл бұрын
Ogaaaa Mpo vzur Sana big up🙏🙏🙏🙏
@bonifacegervas79362 жыл бұрын
Saf sanaaa... Siwapingi wanangu sanaaaa.. To much love tin
@jumakandy20752 жыл бұрын
Movie hiko sawa nakukubali tinwhite na kilangaso watu wachezea makofi kweli 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
😂😂😂🤣🤣Yan Kama huchek kwahii mov bas kapime hospital 🤣🤣🤣stress za warab ap zot za potea🤣🤣🤣
@تةامممن2 жыл бұрын
Miwaniiiiii sasa ikaliiiiiii 😀😀😀😂😂😂😂🤣😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣😂🤣🤣🤣😂🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣🤣😂🤣😂🤣🤣🤣😂🤣😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😄😃
@giu8284 Жыл бұрын
😂😂😂😂aki noma sana mbavu sana wallah
@fatimafaida70832 жыл бұрын
Hui move mwaka huu tuipe tuzo au mnaoje wajeda
@Shariff1432 жыл бұрын
Brother always am 😂😂🥰 Thanks Guys Keep Good Job,🇧🇭🇧🇭🇰🇪
@patrickvove2 жыл бұрын
Mwenye nyumba kashuudia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🔥🔥🔥🔥 please let this episode keep going we love you TiWhite ❤️❤️
@salehmakame96392 жыл бұрын
mweny nyumb kakataaa majukumu kijn
@ndetioyallo35542 жыл бұрын
Kagoma nyumba siyake
@danielmwaguta19512 жыл бұрын
Walai tinny na kilangaso mmewezaa napenda Sanaa kazi zenuu
@wiseboyclassic36482 жыл бұрын
Hii Ni kaliiiiiiiiiiiiiii kuliko Alo big up san wakubwa 😁😁😁😁😁
@omarimnkologwe48242 жыл бұрын
Jmn tuachen utan move tamuuu kinyamaaaa kwakooo story wrtter Kaz unaiweza Jah wabless but move tamuuu kinoma nomaaaaaaahhhhhhhh kwakoooo kwakoooo kirangasooo p1 na tiny
@maimaally97962 жыл бұрын
Dume la pwani 🤣🤣😂kashamchomesha baba mwenye nyumba🤣🤣tunao angalia mda huu tujuane😂
@rojeliusidaudi28042 жыл бұрын
Jaman moove lakn mbona sjaona epsod ya 10 yan muenderezo make inaishia 9 nikitafuta muenderezo sion jaman
@maimaally97962 жыл бұрын
@@rojeliusidaudi2804 usiku angalia
@kibasamohamedi80292 жыл бұрын
Mecheka sana jamaa alivyopigwa et, lalen chini paaaaaaaa fimbo
@alexkitalulah50622 жыл бұрын
Kwenye shida mm sio mwenye nyumba lakn kukiwa na Raha mm ndo mwenye nyumba
@mwinyihamis24992 жыл бұрын
Yan mmefanya niwe happy mudawote mmetisha kinoma
@boythenuru41252 жыл бұрын
endeleeni kuachilia mawe wazee mi nawafutilia mpaka mwisho, sema nn mmetisha wazeee kubwa kuliko haioni ndani, mpe hongera yake hajih adam katisha nimependa ,sana na simso mkinga ananifuraisha ongea yake ya kitanga nae katisha aisee
@abdullqadiradam55812 жыл бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻 God bless for making good ideas good series full funy comedy i like bro Keep going to bring good product👏🏻👏🏻🤗 #white film
@FavourTemu-cm6hp Жыл бұрын
🤣🤣🤣hatari sana huyu mwenye pigo za mayelee anaitwa jini nani,
@japhethelijah42522 жыл бұрын
MAYELE style Aseeeeeeee tini unajua sio pouwa
@rashdaiddy40482 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 cheko ndio lisilo pungua nikiangalia hii movi mmetisha
@aniseththomson17172 жыл бұрын
Tin kweli mungu aederee kuwatia nguv
@donaldvanjoseph81532 жыл бұрын
Hahahhha🤣🤣🤣🤣🙌 mwenye nyumba na vitisho
@mariamsalum13512 жыл бұрын
Daaaah aladini inaniumiza mbavu sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shemsaharuna53822 жыл бұрын
Baba Mwenye Nyumba Kapigwa Zaki Mayele🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@KhadijaKhadija-ee5kr2 жыл бұрын
Mbona kutoneshwa mshono tenaaa🤣🤣🤣🤣Allah awalinde
@neemakazungu86532 жыл бұрын
Movie imetita yani hapa n kucheka tu mwanzo mwisho nimependa
@annasisangu98082 жыл бұрын
Hadi jini anapiga style ya mayele😁😁😁
@saidathman70912 жыл бұрын
🤣🤣🤣Daaaaah Yani naitwa mwendazimu kwa kucheka peke yangu
@ahmadkorongo62632 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 jini anapiga kimayele noma Sana🤣🤣🤣
@babitojnr48862 жыл бұрын
😅🤣🤣😂hapo kwa sirudi tena nimejipata nacheka bila kutoa sauti😁
@meshackshark79532 жыл бұрын
Kwer Uvumivu Hupata Vingi Duuh Hongereni Sana Kwa Uvumirivu Mriyonyesha Sasa Hivi Mpo Huru Kuongea.
@paulwilliam60532 жыл бұрын
Mpaka mayele yupo bonge la move naomba like jamani
@amenaamena54532 жыл бұрын
Jmn mm hii move mwisho nimechk mpk naumw mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣
@kichuna-og55422 жыл бұрын
Yani mm uku hoi jmn mbavu sio zangu tin ongera unajua kutolea stress 👏👏👏👏
@jevalineouma3908 күн бұрын
Baba mwenye nyumba kapigwa za Mayele nimecheka kweli😂😂😂
@jumamnambangule19572 жыл бұрын
Dah majin ya bong yanapg vichw kam mayele😂😂,ama kwel bong bahat mbay
@nunumatogoro98912 жыл бұрын
Jamani hii movie tm xn
@phionarehemacharo33532 жыл бұрын
Episode 10 pls nahamu na kuumia mbavu zanguuu😂😂😂😂😂😂
@listergeorge26852 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣..Daaah kibonge mayele ana tetema!!.🤣🤣🤣🤣
@munirahcmudri50222 жыл бұрын
Move tamu Tena tamu zaidi 🥰
@anaelmiraji Жыл бұрын
Mwendo wa vimemo tyuu😂😂😂😂😂😂😂😂
@lenardmtindy87572 жыл бұрын
Hahhhhh hi move mmeweza from Zambia lusaka
@anjelmoses6242 жыл бұрын
Nzuri sanaaa inalushwa lini na lini
@sophiajamali87302 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂bwana dume la pwani umemchocha mwenzako eti mshono 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣
@abrahamseth20142 жыл бұрын
😂😂😂😂 irudiwe style ya Mayele sikuwepo irudiwe jini hatari😂😂😂😂
@wilfredemmanuel84612 жыл бұрын
Nimeikubali sana wilfred emmanuel kutoka moro
@perisbeib21262 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Mnajuwa kunifurahisha kwa kweli nimecheka mpk boss wangu akaniuliza nacheka nn maana huku gulf sio rahisi kumpata msichana wa kazi akicheka
@sulleysabri91262 жыл бұрын
Duuh imamaana mnanyimwa hata uhuru wa kucheka mamii
@perisbeib21262 жыл бұрын
@@sulleysabri9126 hatunyimwi ila hatutaki kuwaonyesha meno watatufanya wajinga
@maxdullah19952 жыл бұрын
Hii isiishe tunaomba ifike mpaka episode ya 300 huko sema all in all kilangaso saivi performance yako inazidi kukua. Tu keep it up broo
@ngaimedia2 жыл бұрын
Mpembaa yuko vzr kinoma
@tinabapemacho86502 жыл бұрын
Hahise nyinyi kiboko kampiga Baba mwenye nyumba ki mayele tuna wafatilia uku unganda🇺🇬