Asante mchungaji ubarikiwe sana nimepata ufahamu ya Sabato Bwana Yesu akuneemishe zaidi uendelee kutufunulia makubwa .you are my role model sir be blessed zaidi
@omikajanja11345 жыл бұрын
Pastor kwa kweli umenibariki sana.Nilichoka na kujikatia tamaa mahubiri yako yamenipa tumaini angavu
@miriamkarata74955 жыл бұрын
Nimepiga hatua mbele asante Yesu kwa ajili ya Mtumishi wako.Barikiwa Mchungaji hakika!!!
@hellenbarnaba90693 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@GODisable75735 жыл бұрын
YOU are so GENIUS Pastor, unakitu kikubwa sana ndani yako. MUNGU azidi kujifunua kwako na uzidi kuwa nuru na waliogizani watafutao mwanga wakapate kuokolewa kupitia kwako. Unanibariki sana na mahubiri yako. Mahubiri yako mtu hawezi kuelewa bila roho kumuongoza
@davidmmbaga33505 жыл бұрын
Ayuwa Mparazo Mungu ni mkuu
@dianamalaba17765 жыл бұрын
Somo zuri sana pastor. Ubarikiwee sana. Mungu anakutumia kwa namna ya ajabu sana.
@davidmmbaga33505 жыл бұрын
Diana Malaba Amen. UTUKUFU KWA MUNGU
@dianamalaba17765 жыл бұрын
Amina pastor.
@angel-y5 жыл бұрын
Amen. Nimebarikiwa sana. Mungu akubariki Pastor kwa somo nzuri.
@ayaotheboss95165 жыл бұрын
Ubarikiwe PR Mbaga umenielewesha mambo mengi nisiyokua nikiyajua
@eddahnyongesa70205 жыл бұрын
God bless you so so much mahubiri yako yamenikuza saaaaana natoka kenya
@margaretmatuku11825 жыл бұрын
Asante sana pastor kwa funzo hili
@rosecharles68213 жыл бұрын
Mam Amen
@fellygodblessyouster64185 жыл бұрын
Amina nabarikiwa n mahubiri yko mchungaji
@bobog97325 жыл бұрын
Amina Mungu azidi kukubariki Mcungaji
@EMPOWERREVENUE5 жыл бұрын
Asante sana1 mchungaji nirikuwa sielewe hayo .
@ngendahayongenasamuel29035 жыл бұрын
Asante sana kwa mahubiri na mafundisho mchungaji.
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
Amen
@lameckmtaka26595 жыл бұрын
Ubarikiwe pr
@janethnikundiwe68905 жыл бұрын
Amen ubarikiwe pastor
@michaeldobana51375 жыл бұрын
Barikiwa pastor
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
Sehem ya pili inakuja. Tuiombee
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Sehemu ya pili tafadhali
@judithcherono25955 жыл бұрын
Amina Mungu akuonekanie
@metuschelahniyubuntu3435 жыл бұрын
Amen
@claudinebatamuriza78045 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@annasangwa49895 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia zaid na zaidi
@anesieniyikiza29984 жыл бұрын
Asante sana kwamahuumbili haya , lakini nataka unieleweshe Sambato ulimbalikiwa kwasiku gani?????? Please please make me more understanding. Thanks and have a nice day or night.
Vp mtumishi mbona sehem ya pili uliyoongelea vyakula siioni katika mahubiri tv
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Asante mchungaji ubarikiwe sana nimepata ufahamu ya Sabato Bwana Yesu akuneemishe zaidi uendelee kutufunulia makubwa .you are my role model sir be blessed zaidi