Ubarikiwe mchungaji kwa kweli unatukomboa mno Mwenyezi Mungu azid kukutumia milele
@carolnyakanokenya34946 жыл бұрын
nambarikia namasomo yako nikiwa Qatar mungu akumbariki uzidi kutufuza
@eutropiangido96844 жыл бұрын
Asante Yesu umesema nami tena. Kamba!!! Pastor Mmbaga, familia na timu yako mbarikiwe.
@mikejosephmutua41496 жыл бұрын
Pastor be blessed.. Kuja Kwako kitengela kulinifanya nikujue na nazidi Kubarikiwa... You're Elijah of the times... Napenda your preaching soo much... Glory to might God
@davidjengo43826 жыл бұрын
Mchungaji ninashukuru sana kwa somo hili,hakika limenitia nguvu na faraja kubwa.Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@deborahreubendswqqqsf79545 жыл бұрын
ubarikiwe mnoooo Pr, umeniokoa kupitia masomo ya kaya na familia MUNGU akubariki na azidi kakutumiaaaa kusaidia wengi zaidi
@sprinazablon54464 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji napenda sana vipindi vyako ninapokata tamaa napata nguvu mpyaa
@charlesmupemo71124 жыл бұрын
Pasta nashukuru Sana mahubili Yako yananijenga kabisa yamenitosha fasi nakuniweka juu Sana. mimi ni mzee wakanisa nayitwa Charles mupemo Mngu akubariki Sana akuongezee Siku zakuishi amen.
@beatricealexander13736 жыл бұрын
Ni somo zito na lenye mafundisho makubwa sana,Nimebarikiwa asante sana Mtumishi
@judithcherono25956 жыл бұрын
Nakupenda pastor na mungu akutie nguvu akuonekanie,Uwa nakufuatilia sana na pia na barikiwa,Amen
@carolnyakanokenya34946 жыл бұрын
amen nambarikiwa nikiwa Doha godbless you
@thonymlay84244 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na masomo yako MTUMISH
@danielchacha94115 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako pastor mungu akubariki
@ednahnyambega54126 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Pastor, this is an eye opener to me.l will never be the same. For years l have been having a stiff never, but now am whole. Thank you Jesus
@rehemaraymond77646 жыл бұрын
Mung akubarik somo zur
@angel-y6 жыл бұрын
Amen. God bless you Pastor.
@deborahreubendswqqqsf79545 жыл бұрын
ubarikiwe mnoooo Pr umeniokoa kupitia masomo ya kaya na familia barikiwa mnoooo MUNGU azidi kukuonyesha namna ya kuziokoa familia zetu
Asanti mchungaji kwa somo ni nzuri tena unakomboa watu kutoka utumwa was dhambi
@gerkombo65124 жыл бұрын
Watu wafupi wakisoma wanakua na akili sana cjui kwa nn. Ubarikiwe sana unahubiri lwq staili ya kipekee.
@raiskamarais89805 жыл бұрын
Mtumishi hakika maombi yako yameniokoa Sana yamefanya nimeona matendo makuu ya Mungu 🙏
@jovinachacha2336 жыл бұрын
mungu akubaliki mtumishi wa baba
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amen asante Yesu
@davido-scooper94714 жыл бұрын
Mtumishi MUNGU akulinde San na uzd kutufndsha
@babaaste79196 жыл бұрын
Yaani wewe Baba nini hasa wewe!!daaah sijawahi kubarikiwa na mahaburi kiasi hiki!! Yaani ni muda mfupi lakini umenifanya niwe wa tofauti !! Mungu akubariki mno!!
@christinajackson97115 жыл бұрын
God bless u pastor
@rosemwake38766 жыл бұрын
nime barikiwa
@maureenmuhonja7226 жыл бұрын
Amen🙏 God bless U
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Ubarikiwe
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@elliemgb38505 жыл бұрын
mchungaji.. ubarikiwe saana kwa mafundisho haya ambayo yanatulisha kiroho.. MUNGU AKUBARIKI SAANA.. Mimi binafsi nabarikiwa saana na mafundisho yako.
@marthasayi63502 жыл бұрын
Ambassador
@mathiasmrita6706 жыл бұрын
Nimepona jaman
@erickalexchengelela19386 жыл бұрын
Ok nitakungojea ukonga itakuwa jioni?
@khairatzinzibar14346 жыл бұрын
Nipo Oman mtumishi naomba uniombee
@عمرفضلالسيد-ب5غ4 жыл бұрын
Glory be to God
@bungayamayo73776 жыл бұрын
Ujumbe umenibariki sana
@lightmoshi31314 жыл бұрын
Powerfully
@jaqlinemsaki72635 жыл бұрын
Ni kweli mchungaji nimesaidia mtu mlemavu mtaji w biashara sh laki 3 tu lakini ndani Yamwaka Nikanunu Viwanja 2 Dar na Mwanza kweli kabisa
@violetnyansiaboka28215 жыл бұрын
Amina
@makoyenkumbi96704 жыл бұрын
Pastor natamani Sana kuwa Pastor ila roho in sita nifanyaje? Niko chuo kikuu SUA nimwatukasa
@emmanuelmbwambo65713 жыл бұрын
AMINA
@stephenjames1675 жыл бұрын
where are u that i can see u
@emmanuelmbwambo65713 жыл бұрын
SAWA mtumishi wa MUNGU MUUMBA wa MBINGU na ARDHI.
@MutualPrayerTVstevendarreen776 жыл бұрын
Pr. Naomba Hii uniruhusu kushare kwenye Channel yangu.😁Nimeipenda sana.
@thegospel176 жыл бұрын
Mutual Prayer. TV share tu nimekuruhusu
@merrymosha60105 жыл бұрын
Namini kwamba wadog zangu wamefunguliwa
@gracezunda88046 жыл бұрын
Ameeeen
@emilyvngoma49116 жыл бұрын
Amina.
@erickalexchengelela19386 жыл бұрын
Pr MUNGU akubariki naomba kuuliza dar es salaam utakuha lini?
@thegospel176 жыл бұрын
ERICK ALEX CHENGELELA leo tr 17/6/2018 nipo hapa luguruni sda. Ila tr 29- july had tr 4 Aug nitakuwa ukonga sda
@erickalexchengelela19386 жыл бұрын
Buguruni sehemu gani pastor na saa ngapi?
@veronicajohn59766 жыл бұрын
Amina sana Pr.barikiwa kwa masomo yako Mungu azidi kukubariki
@thegospel176 жыл бұрын
ERICK ALEX CHENGELELA ni Luguruni sio bugurunj. Nimemaliza kipindi.
@agneskhakali20696 жыл бұрын
AMEN
@ethan202076 жыл бұрын
🙇
@latinosilem98036 жыл бұрын
Magesa Msonge mungu akubariki
@nibonisyendalima51656 жыл бұрын
amina
@joshuanyamaiswe43276 жыл бұрын
Amen
@rehemaraymond77646 жыл бұрын
Emn
@esthersylivester17506 жыл бұрын
Amen 🙏
@gracemasegenya54236 жыл бұрын
Amina Ubarikiwe mchungaji
@sarahlussingu60296 жыл бұрын
Amen
@phoebemumbi21806 жыл бұрын
Amen
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Amen
@nancypretty75766 жыл бұрын
Na barikiwa sana na mahubiri yako hivinaweza wasiliana na wewe vipi?? Ninatokea Kenya tafadhali ni jibu mtumishi wa Mungu
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
NANCY Pretty tuma email kwa infomahubiritv@gmail.com au mahubirimbaga@gmail.com