Рет қаралды 6,074
Kwaya ya Mt John Paul II Mbeya inawaalika wote Kusherehekea sikukuu ya christmass kwa kusikiliza wimbo huu "ALELUYA MTUKUFU" ambao ni wimbo mmojawapo uliomo kwenye albam yetu ya "KITOTO CHA MBINGU"
Wimbo: Aleluya Mtukufu
Mtunzi: P.T.K Sindani
Waimbaji: John Paul II Mbeya Choir (JMC)
#rajoproduction #johnpaulmbeyachoir #nigusebwana #kitotochambingu