ALI KARUME AWAJIBU WALIOMWITA MLEVI, ASEMA WAACHE MAMBO YA KIKE KUSEMANA KAMA WAKO JIKONI

  Рет қаралды 86,590

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

Жыл бұрын

Ali KArume akizungumza na waandishi wa habari.

Пікірлер: 232
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV Жыл бұрын
USIKOSE HISTORIA ILOYOSHIBA KUHUSU SAMIA SULUHU. BONYEZA LINK kzbin.info/www/bejne/hny4ln-Jnb6Hb9E
@khamisjuma2947
@khamisjuma2947 Жыл бұрын
Mtajuana wenyewe wote jora moja
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 Жыл бұрын
Kweli kabisa hawa wote wanafiq wakubwa
@ssdd647
@ssdd647 Жыл бұрын
Na bado mmwanzo tu huo😂😂😂😂
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Muacheni Dr mwinyi afanye kazi yenu mmeshundwa mlituibia sana hapa kwangu
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Жыл бұрын
There is freedom of speech but there is no guarantee of freedom after the speech.
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Ishara ya uwepo wa makundi CCM ZANZIBAR
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Wazanzibari kinacho watafuna ni Unafiki na kufatiriana sana. Yani kiufupi wazanzibar ni wasengenyaji sana
@aliali-ji9ym
@aliali-ji9ym Жыл бұрын
Rais wetu mwinyi mungu akulinde na kila shari, usihuzunike kwa wanaosema, wewe matunda yako tunayaona, hutushibishi maneno bali unatushibisha maendeleo, simama imara Allah yupo pamoja nawe
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Kabisaa
@Muhammad-el9iz
@Muhammad-el9iz Жыл бұрын
Unaona nini ww???
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Amina rabil'alamina
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Family ya Mzee Karume imekuwa family Bora sana kikubwa ni family inayojiamini sana safi sana Ally wewe na Aman huwa nawaelewa sana
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
Utawala wao ulijuaje?
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr Жыл бұрын
Unajua asili zao wapi hawa
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
@@SAMA-jw4fr Tatizo si Asili Tatizo ni kutokuwa wanafiq Kuna watu wana Asili Za mahala walipozaliwa ila wanapasaliti Zanzibar Toka 1964 above 80% walikuwa Ni Watanganyika ndio Majority so Hapa Mkwl na mdhati ataipenda Zanzibar sbb ya uzao wake na si wapi katokea
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 4 ай бұрын
Pumbavu Wana msaada gan unafiki tupu
@barakashamte1206
@barakashamte1206 Жыл бұрын
Afadhali kuwapa Uongozi mwananchi mwenye mazowea ya kunywa pembe kuliko Mwananchi mdanganyifu wa Tenda za Umma na kujiwekea mawakala wa kumuhifadhia RUSHWA anayopaswa Mkarandasi kutoa ili apewe Ukandarasi husika
@stonetown578
@stonetown578 Жыл бұрын
Waeleze wamezoea, hongera sana.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
KWANI WE NANI?MLIKUWA MMEZOEA KUWANYANYASA RAIA NA KUWABAGUA, LEO HII ALHAMDULILLAH ZANZIBR RAIA WAMEANZA KUONJA LADHA YA KUWA NCHI YAO!
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Жыл бұрын
Nyote mnaongea ujinga zanzibar umeizamisha zanzibar halafu mnakumbuka shuka kumekucha.. Zanzibar imeshazama na sijui kama itazamuka itazamuka tena..Allahu ya Allaam..
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Жыл бұрын
Kwanzia baba mpaka wajukuu wote wapo vizuri unaongea point sana
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 Жыл бұрын
Lakini upande mmoja unayoyasema ni kweli ivoo. Lakini ndio mazowea yenu ccm ndo maana wazanzibari hawaitak8 ccm hususan Zanzibar
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Жыл бұрын
Ingawa nayy n 1 katika walioifijisha ZNZ hapa ipipo leo....lkn kwa anayoyasem hapa n Ukweli kabisa
@saeedally268
@saeedally268 Жыл бұрын
Mbona aman karume alipokuwa rais aliwadhulumu wananchi wengi Ardhi pamoja na mansur mbona haukuyasema hayo mbona ulipokuwa wazir haukusema hayo mlidhani mtaendeleya kuwaibiya wananchi maskini kama wakati wa uongozi wenu
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 Жыл бұрын
Hamna mshikamano wowote subirini muda ufike mkauwe muingie madarakani.
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
True
@presstv7700
@presstv7700 Жыл бұрын
Kila mtu hutetea maslahi yake ivyo kwao ni sawa kubishana na kuvutia kwake
@eliyampesa4352
@eliyampesa4352 Жыл бұрын
Huyu jamaa ukifatilia Sana utagundua kanyimwa ukubwa serekalini ndio maana alalama Sana.
@eliyampesa4352
@eliyampesa4352 Жыл бұрын
Tangu lini mwanasiasa akawa ana uchungu na raia?
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 Жыл бұрын
Tatizo letu mtu anaesema ukweli huonekana mbaya! Balozi katoa maneno mazuri kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi.
@fatmaaliomar9733
@fatmaaliomar9733 3 ай бұрын
Juu ya maelezo yote hayo vizuri maelewano ili nchi yetu iendelee kuwa na amani na utulivu.Kidumu chama cha mapinduzi.Mashirikiano ya pamoja yanaleta maendeleo katika nchi yetu.Kazi iendelee.
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 Жыл бұрын
Familia ya Karume wanafikiria kwamba wanamiliki Zanzibar... Hawatawahi kutawala Tena.
@amourTvz-tt2fr
@amourTvz-tt2fr Жыл бұрын
Mambo ya Zanzibar hamruhusiwi kusema kitu sawa tuwachieni nyie lenu jicho TUUU
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Na kina Samuel I nao wanajitahidi kujipenyeza Zanzibar ili nao watawaleee!
@ngailotony
@ngailotony Жыл бұрын
​@@amourTvz-tt2frKazi ipo na mnayo.
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 4 ай бұрын
Yaani ewe Samuel Muthui wa Zanzibar ulichosikia ni hicho ukichoandika
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Allah atawahukumu hawa kabla kwenda akhera hukumu hapa hapa huko hesabu inawangojea!
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 Жыл бұрын
Wewe lazima ufedheheke tu unawakebehi waarabu na kuwatukana bila sababu bali nikibri tu
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Waarabu ni nani kwa mfano
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
Mukiwa nje y uwanja munajifanya watu wazuri insha Allah mutaenda kujibu mbele y Allah insha Allah
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Ah me naona njaakali,jua kali maisha magumu,barabara Mashimo stories za maji ,umeme,barabara,hazishi,tunakukukumbuka mzee karme ungelikuwepo znz ingekuwa mbali sana umeongza muda mfupi tu lkn aliyoyafanya ni ya sayansi na technologies lkn leo znz imerudi nyuma miaka 100 imezeeka.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Inafurahisha sana kuona mkuu anatetea haki,lakini kama hufanyi hivo wakati kuna maslahi,inakuwa huwatendei wananchi hio haki.
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
tusimuamn huyu Ali hawa ndio waliotuuzia nchi yetu
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Tumuamini nani? Sisi tunasikiliza ukweli anaosema, hayo mengine ni yake mwenyewe. Wewe kama ukweli huupendi tuachie sisi.
@mohdsaid7488
@mohdsaid7488 Жыл бұрын
Mirija ikizibwa lazima walaji wabweke
@molenicharles9107
@molenicharles9107 Жыл бұрын
Kwani huyu naye anataka Nini na kigugumizi chake...😳😳
@levinamukbangasmr
@levinamukbangasmr 5 ай бұрын
Content nzuri sana 👍👍👍
@hatimmohamed4299
@hatimmohamed4299 Жыл бұрын
Ccm wengi wakishapigwa na chini, hizi ndio kelele zao.
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Kumyumbisha Kiongozi wa Nchi ndio huku Huu ni Ushetani Kama ulikuwa una nia njema Kuna Vikao vya Vyama na kadhalika Acha Ushetani Wewe Mzee Mungu Amekataza mambo hayo
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 5 ай бұрын
WOTE WEZI WAONGO MAKAFIRI MADHALIM WAUWAJI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU WANAFIKI WAONGO WEZI MOTO UNAWASUBIRI IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALAMEEN IN SHAA ALLAH
@mbarakamwakivuma2858
@mbarakamwakivuma2858 Жыл бұрын
Ahh,tunakoelekea sio kuzuri,yakwenye vikao yasitoke hadharani
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Tusonge mbele dr mwnyi forget about blaa blaa
@hashimalsaadat4905
@hashimalsaadat4905 Жыл бұрын
Wamegeuka Samaki 🤣🤣😅
@hamadrajab8042
@hamadrajab8042 Жыл бұрын
Wee mlevi kweli, mwenda wazimu tu Si hoja kusoma maprofesa kibao wanalewa alafu wajikojolea suruali ukumbini, asubuhi yake anakwenda toast lecture Umekosehwa fupa unapwaga tu shenz type
@ferryfabulous7250
@ferryfabulous7250 Жыл бұрын
😅😅
@zanzibarhome6049
@zanzibarhome6049 Жыл бұрын
usitugombanishe na raisi wetu kwa tamaa zenu za madaraka anayoyafanya hakuna raisi hata mmoja alosubutu kuyafanya kutwa zanzibar ipo ivoivo kaja mtu anaonesha mabadiliko mnaanza choko choko muacheni raisi afanye kazi kila mtu na aina ya kuongoza
@user-rn7xc2ke2w
@user-rn7xc2ke2w Жыл бұрын
Hawa wote ngogo hajulikani baba mama ndugu wala mjomba wote sawa 3
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 Жыл бұрын
Kwasasa wazanzibari tuidai zanzibar yetu basi mana tunaona wataeala kila kitu kizuri ni wao na familia zao tu basi hawa si wazanzibari na kama ni wazanzibari si wazalendo hawana huruma hata kidogo
@simonpure109
@simonpure109 Жыл бұрын
Anza namanga na ilala
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Nchi ipi?
@Alkaburu
@Alkaburu Жыл бұрын
Alli KARUME inaoneka ana spirit ya baba yake mpeni nchi tuone makubwa atakayo yafanya
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Ali karume hajapata cheo tu huyo, sungura kakosa zabibu tu huyo
@aliyissa9857
@aliyissa9857 Жыл бұрын
Poleni
@hudaasaalim1333
@hudaasaalim1333 Жыл бұрын
Hii leo? Mbona ulipokuwa na ulwa hukutetea wanyonge. Katiba si ilivunjwa 2015 Mbona hukusema? Ulipopewa uwaziri. Anyway, what goes around comes around .
@user-gq1bu4do5t
@user-gq1bu4do5t Жыл бұрын
Ulinzi unao😂😂😂
@abdallasaleh8827
@abdallasaleh8827 Жыл бұрын
Ok
@SeleIddi-gj9fu
@SeleIddi-gj9fu 5 ай бұрын
Unaongea na Raisi acha Ulevi kaka
@kassimmgwami
@kassimmgwami Жыл бұрын
Wewe mwenyewe ndio tatizo, kwanini usingezungumza ndani ya vikao vya CCM kila siku kwenye mitandao ya kijamii au kwa sababu zamu yenu ilipita.
@user-ei1np1sz6s
@user-ei1np1sz6s Жыл бұрын
Duh
@user-jv7nq3xl9p
@user-jv7nq3xl9p Жыл бұрын
unajua maana ya ujenzi wa daraja daa to znz, znz kua mkoa wa tanganyika sio znz tena wenzetu wanawaza mbali na makubwa kuporomoxha znz xixi wazanzibar nikunyanyaxana na xio wazalendo wengi wetu hatuangalii kexho tunaangalia hapa xixi na familia zetu xio haki kabixaaaaaaaaa😢
@simonpure109
@simonpure109 Жыл бұрын
Hujawahi kutembea nje ya kisiwa...wenzako wananufaika
@hassanhassan365
@hassanhassan365 Жыл бұрын
Tumekuelewa ila nakufahamisha tu unapotuandikia ujumbe wako jitahidi tuandikie kiswahili fasaha hizi xx hazileti ufasaha wa lugha
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Жыл бұрын
Wewe Ali Karume ni mnafiki mkubwa na hasidi na unaona wivu kuona kuwa Rais wa Zanzibar anendeleza Uchumi wa Zanzibar vizuri sana na wewe na Baba yako mbona hamkufanya chochote? Wacha upumbavu wako nenda kanywe Gongo la bure mitaani
@salimmohammed8617
@salimmohammed8617 Жыл бұрын
Tunamkubali Muheshimiwa mwinyi mitano tena
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 Жыл бұрын
Uko Vizuri sana
@ZANAMBER12
@ZANAMBER12 Жыл бұрын
Kila mtu anahaki ya kuongea ukweli.Ali karume unahaki kusema na kutetea ukweli ikiwa nchi inaongozwa kama tasisi ya mtu binafsi kwanini usiseme ukweli
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Ila hii dunia ngumu nyie kuna siku tutaamka asubuhi tusiikute walahi
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
New York si kwamba hakuna walevi wp uko
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Mapapa yanakulana wenyewe kwa wenyewe
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
True
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Linalokosa mlo ndio utalisikia linapiga kelele😂
@jacknassamonga5417
@jacknassamonga5417 Жыл бұрын
Mhhhh😢
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 4 ай бұрын
Mtajuana wenyewe hko msituhangaishe akili zetu hapa, msile mkishiba halafu mkahangaisha wtu akili zao
@salimalkhanbashy4512
@salimalkhanbashy4512 Жыл бұрын
Walevi wapewe kazi bar... CCM oyeee
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 Жыл бұрын
Hapo awali ulikuwepo wapi? huna lolote
@salmasalim3525
@salmasalim3525 Жыл бұрын
😂Ali karume leo nimejua km una shida Mzeee tuliaaa
@meekman1805
@meekman1805 Жыл бұрын
Sasa wee mzee mbona unayasema hayo wakati huu tangu zamani ulikuwa wapi?
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 Жыл бұрын
Kausha Mzee
@kadhyajuma3471
@kadhyajuma3471 5 ай бұрын
Kwani vipi ali karume sote ni wamoja
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 4 ай бұрын
Tatizo familia ya karume mna kibur sana wew kaka yako mmeifanyia nin zanzibar cha maana mbona familia yenu ujuaji mwing?? Kwa hiyo mh mwinyi kama nyie familia ya karume mim nategemea mmpe sapot lakin ndo hamna kitu hacha roho mbaya muache mh Mwinyi afanye kaz acha polojo
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 Жыл бұрын
ALI KARUME anaongea ukweli mtupu.
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Жыл бұрын
Upi kwa Mfano?
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
​@@zanzibarboyzanzibar509 😅😅
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 Жыл бұрын
Wakati wa. Ndugu yake. Ilikuwaje?
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 Жыл бұрын
Wakati wa. Ndugu yake. Ilikuwaje?
@athumaniamiri3764
@athumaniamiri3764 Жыл бұрын
Nilicho gundua huyu ana husda ndio ina mtesa
@fatmasaid9074
@fatmasaid9074 Жыл бұрын
shkamooo baba
@bonabonala5559
@bonabonala5559 5 ай бұрын
ally ni shujaa anae kuja yupo sawa kweli
@user-fp8lb4fj2p
@user-fp8lb4fj2p Жыл бұрын
Karume yuko sawa
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d Жыл бұрын
Kweli aliosema mlevi
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz Жыл бұрын
Ali karume unakkmbuka ahuka tayar kushakuja sjui unanielewa wakat maali seif yupo aliwaita sana muje muikomboe znz ikawa mnamuona adui sasa hiv hamu a mamlaka ya kuchagu kiongoz yyte wa znz lbda sheha😂😂
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Жыл бұрын
Rais Mwinyi oyeeeeeeeee kwa kweli huyu hana jipyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na wala sijamuelewa
@ahdal5288
@ahdal5288 Жыл бұрын
Kwani Ali Karume ni mlevi
@user-bf7lp4mc1k
@user-bf7lp4mc1k 5 ай бұрын
Kwa hakika tunatakiwa tuijue Katina yet wazanzibAr
@abdallahmkubwa1796
@abdallahmkubwa1796 Жыл бұрын
Angali Pata urais huyu Angali tulia kama moja, ila hawakumpa na ndio maana yakafikia hayo anayo Sema.
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 5 ай бұрын
Wewe mlevi acha roho mbaya mjinga
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Жыл бұрын
Ukiwa kiongozi usiogope kusemwa.hata Nabii Musa ktk Biblia alisemwa, alipingwa na kina 'KOLA' ktk maisha ya utawala yamo hayaepukiki
@hassan12ali56
@hassan12ali56 Жыл бұрын
Ahhhh musitushughulishe bana munajuana
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 Жыл бұрын
Mlevi husema kweli uzuri wake hapendi unafiki
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 Жыл бұрын
Jamani ivi kuna haja gani ya kuvutana wana CCM kwa wana CCM
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 4 ай бұрын
Uwiiiii kweli mkuki mchungu sisi hatutaki backround ya mtu maana ww na kaka ako hakuna mahali mlitupeleka zaid kumuibia marehemu seif sharifu ww pia hatykutaki mbwaaaa mlevi kweli mm sio ccm ila mwinyi mitampigia kura sabb sioni kiomgezi mwemgine
@JosephManyirizu-vj1md
@JosephManyirizu-vj1md 11 ай бұрын
Huyu nae mlev kweli.!!!!! Rais mwinyi piga kaz baba nipo chato tz bara
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Жыл бұрын
Mbwaaa Hawa wakarume
@selinatogolai3314
@selinatogolai3314 Жыл бұрын
Sio khekma kutamka kauli chafu namna hi yo apuuzwe tu
@steventeophil7775
@steventeophil7775 11 ай бұрын
Mzimu wa mzeeee ndo umeanza ivo
@barikomrisho7842
@barikomrisho7842 Жыл бұрын
Yaani huyu jamaa sio mlevi tu bali ni tuna mashaka naye je ni kweli huyu ni mtoto wa mzee karume kweli????
@adinanirajabu3762
@adinanirajabu3762 Жыл бұрын
Una fact, nazani ungetulia kuliko inachongea, nadhani unautaka Rusis. Fuata taratibu kufikisha ujumbe.
@nafuutayb8452
@nafuutayb8452 Жыл бұрын
Heshima ya mkombozi wa nchi hii itabakia hongera kaka wataelewa tu wasipoelewa wapishe njia mapinduzi daima
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@nafuutayb8452.Yupi ni Mkombozi wa Zanzibar? 1) Karume, Mzaliwa wa Nyasaland. 2) Nyerere, Mzaliwa wa Tanganyika. 3) Okello, Mzaliwa wa Uganda. 4) Shamte, Mzaliwa wa Zanzibar.
@KomboAli-lp7hk
@KomboAli-lp7hk Жыл бұрын
Hee jamani kwanini hatuheshimu wakubwa zetu ?KWANINI TUNAKASHIFISNA CC WAZANZIBARI MBONA TUKIPATA VYEO TUNAKIMBILIA KUKASHIFU VIONGOZI WETU WAASISI?
@AbdullaSaloum-nc3hy
@AbdullaSaloum-nc3hy Жыл бұрын
Aso hili ana lile stahamialeni tu hakuna Alie kamilika
@gastomoshi8851
@gastomoshi8851 Жыл бұрын
Umesema ukweli mtupu sama baba wambiyeeee hao
@afropanorama4730
@afropanorama4730 Жыл бұрын
nyote mlikua umoumo ccm mkafanya mtakavyo,mkachukua maeneo mnayoyataka,sema sasa kijiti kakamata mwengine tu
@user-gq1bu4do5t
@user-gq1bu4do5t Жыл бұрын
Unajuwa siri ya wengi aidumu .
@meekman1805
@meekman1805 Жыл бұрын
Duh! ccm bhana! 😂😂
@7675kio
@7675kio Жыл бұрын
Mimi ni mbongo ila Zanzibar wamepata raisi shupavu sana sana. Raisi Mwinyi ni shupavu haijawahi kutokea. Achape kazi Saną. Najua siku moja atakuwą Rais wa Jamhuri ya Tanzania
@amourTvz-tt2fr
@amourTvz-tt2fr Жыл бұрын
Mambo ya Zanzibar hamruhusiwi kusema kitu sawa tuwachieni nyie lenu jicho tuuu
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Anasema nini huyu nae
@jumajuma3337
@jumajuma3337 Жыл бұрын
mwinyi mzinguaji bhanaa apewe ukweliiiii
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
kumekucha
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Mlisha zoeya kuwapiga watu kutumia vikosi mmeona yale hayapo huseni mwinyi hayo hayataki ndio maana hamumpendi hata akimchagua mtu mwenye sifa mtamponda mliikalia zazibary mlishindwa hata kujenga soko kutwa kupiga watu bokora hayo hamuyapati na wananchi hawayataki chapa kazi useni mchague unae mtaka
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 Жыл бұрын
Mimi naona wote mmetoa maoni. Wewe umetoa maoni dihidi ya Rais na yy akatoa dhidi yako sasa mbona inaonekana mnakasirikiana tena. Haya maelezo na majibu yanaashiria Mkuu hukubali maoni ya RAIS hasa aliposema walevi.Ila hakutaja jina na ni lugha ya kisiasa tu.Tunzeni Amami ya Zanzibar
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz Жыл бұрын
Kuwasikiliza nyny nikupoteza mda tu
@alikidungura9419
@alikidungura9419 Жыл бұрын
Mtajuwana wenyew meno yabwa ha yaumani
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 14 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 44 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 11 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 18 МЛН
Sheria Ngowi Aifungua Shajara Yake Kwa Babie Kabae
55:41
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 8 М.
Ali Karume Ccm Wamesahau Mema Yangu
7:56
Anania Junior
Рет қаралды 6 М.
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 14 МЛН