ALI KIBA NI FUNDI ZAIDI YA HARMONIZE KWENYE MUZIKI - RAYVANNY

  Рет қаралды 220,561

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 357
@bolingomwana5963
@bolingomwana5963 3 жыл бұрын
Acha wivu ww mwenyewe bado sana kwa jeshii...
@barckydedallasjr.3205
@barckydedallasjr.3205 3 жыл бұрын
Kuona jina Alikiba tu, nikaja mbio!! 🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
@itaimuhaji917
@itaimuhaji917 3 жыл бұрын
Barcky,hahaaaaa
@harounsaid580
@harounsaid580 3 жыл бұрын
Hata mimi
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n Жыл бұрын
Ravnyn Chuiii kasha kuja diamond Zuchu ❤
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 жыл бұрын
Alikiba is the legend bt harmonize ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@Hpclassic
@Hpclassic 3 жыл бұрын
Harmonize ni teacher
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 жыл бұрын
Rayvanny ni lecturer
@japhetmwangwa2145
@japhetmwangwa2145 3 жыл бұрын
Uwakika mwangu harmonize jiwe like🔥🔥🇹🇿🌍
@cynthiam184
@cynthiam184 3 жыл бұрын
🤣🤣
@ronniemuthuri4604
@ronniemuthuri4604 3 жыл бұрын
Harmonize jeshi teacher
@christmaschrisgame6478
@christmaschrisgame6478 3 жыл бұрын
🤣😂😂🤣
@djaraab1836
@djaraab1836 3 жыл бұрын
Jeshi ❤️❤️🇸🇴🇸🇴🐘🐘
@chustemarley7256
@chustemarley7256 3 жыл бұрын
Ali kiba 😍 my crush❤
@alfylegit9573
@alfylegit9573 3 жыл бұрын
Huezi mlinganisha Ali kiba na hawa wasanii wote wa juzi. Ali kaanza mziki kitambo sana. Its almost 20yrs now na wale alioanza mziki nao wote wamepotea ila yeye bado yupo juu. Huwaga sielewi mbona watu hulinganisha ali na watu kama diamond ama harmomize, harmonize kijana wa jana. Kiba anaimba na bado atazidi kuimba na kua juu
@Xamaaza_iconic
@Xamaaza_iconic 3 жыл бұрын
Konde boy musiki fundi sana lgnd harmonize is the best😇😇😇🏹
@jumanassib9244
@jumanassib9244 3 жыл бұрын
Wewe kweli kiazi
@hashimuramadhan6530
@hashimuramadhan6530 3 жыл бұрын
Ata Kama ingekuwa harmonize ni zaid lkn lazm angesema alikiba tu
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 жыл бұрын
Ray alivo mwona konde kwanza kapanik jeshi is the 🤴
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Huyo jeshi Tuzo kubwa aliokamata toka azaliwe alikamata toka kwa Vanny ile ya BET kwahyo kaeni kwa kutulia Vanny ukimtoa DIAMOND 💎 hakuna wa kumsumbuaa
@ismailshamte4429
@ismailshamte4429 3 жыл бұрын
Lazima apanik, c anajua kampitia paula
@hafidhinyupa8246
@hafidhinyupa8246 3 жыл бұрын
Wangejisahau kidogo angekumbia hapo
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 3 жыл бұрын
Jeshi utoporo
@adrianpascal2773
@adrianpascal2773 3 жыл бұрын
Diamond pia anatumia nguvu na kujituma ila King Kiba ndiye fundi wa mziki😅😅
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Mwisho wa siku ubao unasomaje?? Maan naona Diamond n international mwingine n local au ww huo i hilo??
@Kevin_acee
@Kevin_acee 3 жыл бұрын
Kiba local local sana
@richstar150
@richstar150 3 жыл бұрын
Jmn swar ni Ali na harmo sasa di anakujaje
@ammyammir7092
@ammyammir7092 3 жыл бұрын
King alikiba ndo mkali wao
@ammyammir7092
@ammyammir7092 3 жыл бұрын
@AxmedYoung Music AY nice one brow
@wisehood0417
@wisehood0417 3 жыл бұрын
Alikiba ni legend but hormonize is the best
@jrsaid4270
@jrsaid4270 3 жыл бұрын
Huwez mlinganisha kiba na huyu harmonize wa juz. Kiba anaweza
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Kabisa king ndie mwenyewe
@vinny.boy_Ke
@vinny.boy_Ke 3 жыл бұрын
Huyo unataka maelezo kuhusu alikiba ni legend aweeee
@jumazuber6617
@jumazuber6617 3 жыл бұрын
Kumbee van boy anatoa mipaxhooo
@arineitwemoses5220
@arineitwemoses5220 3 жыл бұрын
I like platinum is my best Artst
@charlesnyongesa968
@charlesnyongesa968 3 жыл бұрын
You can't compare king kiba with harmonize
@suleimanmussa5792
@suleimanmussa5792 3 жыл бұрын
Even Diamond
@mcbrianlokai46
@mcbrianlokai46 3 жыл бұрын
Alikiba🔥🔥🔥
@wilsonkaumbi6209
@wilsonkaumbi6209 3 жыл бұрын
Alikiba fundi💪💪💪
@bornkilla6173
@bornkilla6173 3 жыл бұрын
Alikiba Fundi 🔥
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 3 жыл бұрын
Harmonize ana melody zake tofaut na za pekee, Alikiba pia yupo tofaut, ila currentl #Harmonize yupo juu
@salehemrope8471
@salehemrope8471 3 жыл бұрын
kuma yakooo
@anganilemichael2904
@anganilemichael2904 3 жыл бұрын
Unaujua mziki kweli au upo usingizini unaota ndoto
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 3 жыл бұрын
@@anganilemichael2904 kwan una nyimbo au ushawah kua promoter mwenzangu
@aphroovevo
@aphroovevo 3 жыл бұрын
Konde boy jeshiiiiiiiiiiiii goooooo gooooooo
@wasafiwasafi3500
@wasafiwasafi3500 3 жыл бұрын
Alikiba ndiyo fundi wa mziki
@Kingtiger98
@Kingtiger98 3 жыл бұрын
Nigeria Tv kzbin.info/www/bejne/fnaZYXZtoJeXjNU
@ssanyukivumbi4005
@ssanyukivumbi4005 3 жыл бұрын
Kwasababu mume mwenzie. Ila kiba na konde wako vzr wote
@djshadgomez9623
@djshadgomez9623 3 жыл бұрын
Konde boy is the best teacher
@angejeanboscohakizimana2402
@angejeanboscohakizimana2402 3 жыл бұрын
C'est ton problème,Rayvanny.KONDE anagushindaa,il est le meilleur,il est 1000 fois de toi petit ray
@iam_INGWEE
@iam_INGWEE 3 жыл бұрын
Kazi kumtafuta harmonize tu....aki wasafi mna nini
@7heurresboy371
@7heurresboy371 3 жыл бұрын
Rayvanny anasema kweli
@jacquelinembawala3460
@jacquelinembawala3460 3 жыл бұрын
Wewe pia humfikii alikiba
@Kingtiger98
@Kingtiger98 3 жыл бұрын
Nigeria Tv kzbin.info/www/bejne/fnaZYXZtoJeXjNU
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 3 жыл бұрын
Mbna musingeweka king kiba na mondy
@edkingek3854
@edkingek3854 3 жыл бұрын
you should invite harmonize too to this shaw
@safsanjulius5829
@safsanjulius5829 3 жыл бұрын
Jeshiiii 🐘🐘🔥🔥 mwalmu wake
@husseinkatumpula6129
@husseinkatumpula6129 3 жыл бұрын
Ni wivu tu hamna kitu hapo 😃🤔
@musacasuffit7857
@musacasuffit7857 3 жыл бұрын
Alivo muona harmonize sasa daah nusu akimbie
@japhetmwangwa2145
@japhetmwangwa2145 3 жыл бұрын
Amini Musa😁😁😁💪
@musacasuffit7857
@musacasuffit7857 3 жыл бұрын
@@japhetmwangwa2145 mzee wami haho
@allyomary3872
@allyomary3872 3 жыл бұрын
Majungu si mtaji
@salumhafidhally5927
@salumhafidhally5927 3 жыл бұрын
Ali kiba ni fundi zaidi ya nyite
@rangalmas8833
@rangalmas8833 3 жыл бұрын
congratulations mzee baba kiba ni levels zengine
@jonasbarongo9118
@jonasbarongo9118 3 жыл бұрын
Kumtaja Alikiba na Harmonize kwenye sentensi moja Ni Kosa kisheria 😡
@nicodyivan8908
@nicodyivan8908 3 жыл бұрын
Vany don't get jealous
@junior-zj6bs
@junior-zj6bs 3 жыл бұрын
Jeolous y nn..akt Ray ndio msanii mwny mafnkio mkubwa y mzk.. kuanzia numbers mpk international awards...?
@nicodyivan8908
@nicodyivan8908 3 жыл бұрын
@@junior-zj6bs 🙆🙆
@Swahili14
@Swahili14 3 жыл бұрын
@@junior-zj6bs true 😂
@Swahili14
@Swahili14 3 жыл бұрын
@@nicodyivan8908 😂🐆❤️
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@junior-zj6bs make dem to know coz they've nothing to talk!
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 3 жыл бұрын
acheni kumvunjia heshima ally kiba
@daviewamara
@daviewamara 3 жыл бұрын
Harmonize mwalimu wenu
@africalilking1837
@africalilking1837 3 жыл бұрын
Mbn usieke alikiba na diamond
@adamyasin4089
@adamyasin4089 3 жыл бұрын
Amejibu vzr naona
@kingsheddy255
@kingsheddy255 3 жыл бұрын
😂😂😂anamuogipa harmonize gaga
@edwardnelson335
@edwardnelson335 3 жыл бұрын
jeshi n mmoja tu nchini ,HARMONIZE ,,,,sasa ww mwenyew vany vbwaya huna jipya sura y mam boss wako amekutengeneza kakup adi rocord lebel ili angalau uwekw battle na jeshi but huna jipya kila ck kutengeneza minywele utafikir demu😅😅😅
@issamvugusi514
@issamvugusi514 3 жыл бұрын
Unaumwa ww na umevaa makofia km mchinja mbwa
@jacksonmagige8565
@jacksonmagige8565 3 жыл бұрын
Wewe boya nn
@edwardnelson335
@edwardnelson335 3 жыл бұрын
@@issamvugusi514 umbea tu unacomment kweny comment ya mwanaume mwenzio kam cyo ufala n nini!!!
@edwardnelson335
@edwardnelson335 3 жыл бұрын
@@jacksonmagige8565 boya mama ako
@belkajuma1295
@belkajuma1295 3 жыл бұрын
😂😂🤣mbn kama unalia
@ndikumanarodrigue5657
@ndikumanarodrigue5657 3 жыл бұрын
2tegemee ngoma kar kwa Sir Nature ft vanny b
@eddybenah
@eddybenah 3 жыл бұрын
Yeah!
@abudosaide7896
@abudosaide7896 3 жыл бұрын
Ila acheni kunfananisha King Kiba na mauchafu yenu, munge weka mond na harmo,alafu mulize, Sio King
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Aliyekwambia Diamond 💎 anafananishwa na hizo takataka n nan?? Waulize BET
@hjfu629
@hjfu629 3 жыл бұрын
Munauliza mahatas mambo harmonize
@aphroovevo
@aphroovevo 3 жыл бұрын
Wcb washenzi
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 жыл бұрын
Wamefanyaje
@imprevwangu6062
@imprevwangu6062 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@charlesmentod7314
@charlesmentod7314 3 жыл бұрын
Kaongea point sana Dogo hajapepesa kinywa
@jumaachillo7787
@jumaachillo7787 3 жыл бұрын
Hataingewe mond pia asingefua dafu kwa king
@Ndetanaa
@Ndetanaa 3 жыл бұрын
Km ambvy Harmonize ni fundi kwenye muziki kuliko Rayvanny.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Ndoto hizo mafundi wana Tuzo sio mipashoo
@ellyisidoli2192
@ellyisidoli2192 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348 we nae
@achizakafuliro4818
@achizakafuliro4818 3 жыл бұрын
Alikiba
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@ellyisidoli2192 waelewa siku zote hatubweki bure tunaongea kwa facts,mafundi wana tuzo sio mipashoo
@ochuanibal2270
@ochuanibal2270 3 жыл бұрын
Diamondplatnumz+wcb=harmonize maana yake harmonize ni zao la mziki na umaarufu wa diamond harmo kazariwa na kakuwa kimziki wasafi
@richardmattalis7599
@richardmattalis7599 3 жыл бұрын
Ww kuma harmo maxhine
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Jeshi
@aishanassib8901
@aishanassib8901 3 жыл бұрын
Alikiba
@ibrahimabubakar8356
@ibrahimabubakar8356 3 жыл бұрын
Wcb hawana mapya kazi nikutembelea nyota2
@rebeccammbone2816
@rebeccammbone2816 3 жыл бұрын
Kabisa ...mbona wajamueka diamond na kiba
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 3 жыл бұрын
Ataanzaje kumsifia harmonize?? Na ni adui yake na Hilo mlilijua mapema Sana nandio mana mkamuuliza juu harmonize
@m___ck799
@m___ck799 3 жыл бұрын
Si wapenda Kiki!😉
@hjfu629
@hjfu629 3 жыл бұрын
True wanauliza ma haters
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Hapo ilipaswa waulize Hamokinyesi na Vanny boy nan mkali
@m___ck799
@m___ck799 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348 ndio Nani kinyesi? Mi namjua Teacher wa mziki mzuri!😄
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@m___ck799 Hamokinyesi n yule muimbaji ambaye hana tuzo toka ameanza kuimba,Anawaimbia wavuta bangi wenzake...
@ismailshamte4429
@ismailshamte4429 3 жыл бұрын
Hahahaa, daah! Wasaf bhn, nyie na kiba wap na wap, kila kukicha vjembe tu
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Kibaroboti mwenyewe bila Mond haendi
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348 Monduli views 1.9M trending namba 4 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hata 3 bora hajatia matako mamae hahaha KZbin wamekataa hela ya Ku trendisha nyimbo saivi
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@chrissjoel7752 ALAF ujue hapo n audio sasa lkn 1.9M within 6 Days.. kuna mtoto alinunuliwa views akafikisha 2.5M in 2 days alaf anakaribia 2 weeks still ako na 2.6M KZbin sio wajinga😜😜😜
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@chrissjoel7752 Hamokinyesi alitangaza kwamba ibrah ampishe kweny trending namba moja alf mpaka saiv zimepita siku nne bado hajafika😜😜 HAMOKINYESI buana
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348 Kwani Audio haistahili kufika namba 1 trending? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mbona Kiba kafika namba mbili na Audio views 900k tu huyo mondi views 1.9M hata 3 bora hajaingia angekuwa harmonize au kiba ndio wamefikisha views hizo na trending ikawa hivo mngeanza kuwatukana eti wananunua views au hata mondi kanunua? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tulikubaliana Views ziendane na Trend sasa huyu mwenzenu sijui imekuwaje
@ssanyukivumbi4005
@ssanyukivumbi4005 3 жыл бұрын
Mbona hiyo imekushinda. Umejingata ngata.
@ShabaniJuma-wi4rs
@ShabaniJuma-wi4rs Жыл бұрын
Acha ufala
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 3 жыл бұрын
Wasafi media mnapenda sana kuwaongelea watu ambao Awana ata Time na nyie 😂😂 watu wenyewe mnaowaongelea amjawai ata kuwaoji😂😂 mfano kiba sijui Kama anajua Kama Kuna TV inaitwa Wasafi tv 🤣🤣 sema nn SI tunawangoja KONDE GANG TV
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Kibaroboti mwenyw mafanikio ya WCB ndo yanamtesa mpaka anapost picha ya babaake marehemu analia KZbin 😂
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348 icho kimedia kinapenda kufatilia watu ambao Awana time nao kiba kumlilia kwan SI baba ake ama watanzania mshalogwa na sadala mwenye magari face 😂😂
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@elvisoscar9912 sasa akilia ndo aje kufanya Uploading KZbin kama wimbo😆😆😆😂 Hizi kiki zingine yaani kibaroboti anamla babake nawakt alishafariki duuh... alaf utaskia marehemu Kibamaroboti hapendi kiki😁 nyooooko😂😜
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@elvisoscar9912 kwan kibaroboti c ndo alishoboka kumuita Diamond 💎 sadala kwamba hana hela Utafikir DIAMOND 💎 n mme wake... Kuna aliyemtuma amzungumzie nguli wa mziki Africa?? Alaf marehemu kibamia amekuwa akimtaka Mond sana kuanzia kwa kipensel, mediocre sadala ila mwamba amemkaushia hana time nae maana sio level yake . It's Diamond 💎 VS All.. And The still on top 🙌🙌 Not only on top, But also with a forbidden Gape..
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348 Daimond ashaishiwa Amna Tena music pale Yan Sasa iv game kaishika mmakonde na Alikiba
@exaveryapplerbroker2501
@exaveryapplerbroker2501 3 жыл бұрын
Nice and live
@japhetmwangwa2145
@japhetmwangwa2145 3 жыл бұрын
Hhhhhhh aibu tupu kaona jau ila ukweli anaujua 😁🌍🌍jeshi uwakika nyie
@malmavoice8989
@malmavoice8989 3 жыл бұрын
Ba mkwe kwanza,au sio
@EliusPonde-i3u
@EliusPonde-i3u 9 ай бұрын
Alikiba huwa anashinda siku zote
@exaveryapplerbroker2501
@exaveryapplerbroker2501 3 жыл бұрын
Nicee
@gastonkapandila6035
@gastonkapandila6035 3 жыл бұрын
Mkoshenitu
@darlingzanny9968
@darlingzanny9968 3 жыл бұрын
Mbona msimpambanishe boss wenu na king kiba?mnaogopa nn? au harmonize ndo tishio lenu?
@vyakegangstar7255
@vyakegangstar7255 3 жыл бұрын
Master Kiba
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 жыл бұрын
King kiba
@onlyfavorite5754
@onlyfavorite5754 3 жыл бұрын
🐘🐘 teacher he's better than rayvanny. Rayvanny ni mushamba anyways😁 gonga like if you're konde 💪 kondeboy for everybody's
@bornifacecharles9555
@bornifacecharles9555 3 жыл бұрын
Baba mkwe hawe kumpinga weee
@work4lifenews276
@work4lifenews276 3 жыл бұрын
Rayvanny kaongeya ukweli
@agrisedafolo7956
@agrisedafolo7956 3 жыл бұрын
Harmonize jeshi
@sadruhsnowwhite4163
@sadruhsnowwhite4163 3 жыл бұрын
Km kawa tu kiba
@TJ-vg3ul
@TJ-vg3ul 3 жыл бұрын
Ray vanny mshamba huo hajui kuselect anaokuja wa kwanza ndio anaenda nae
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 жыл бұрын
Walai kwa Sasa hivi hapana harmonize yupo juuu
@omarniyonkuru1208
@omarniyonkuru1208 3 жыл бұрын
Nic
@salimali7930
@salimali7930 3 жыл бұрын
Kuna interview ulisema kibongobongo unae muogopa kuvaa ni Harmonize ata unge ulizwa tena ilo swali unge sema ajui kuvaa.. Kitu kimoja wasanii ua mna sahau interviews za nyuma na sisi mashabiki wenu tunazijua.. Kua Makin unapo ongea.. MAISHA AYATAKI MAKASIRIKO
@adamdemarch5565
@adamdemarch5565 3 жыл бұрын
So kwaakili yako ww ukiulizwa Alikiba na harmonize Nani anamzidi mwenzie kuimba ungejibu nani
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Hata mwenyewe ukiangalia Hamokinyesi anajua kuvaa??
@adamdemarch5565
@adamdemarch5565 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348 ndo hapo sasa
@lovenessitiku6293
@lovenessitiku6293 3 жыл бұрын
Uyo ndo fundi sasa mwenyewe kakubali Ali kiba anatft pesa cyo Kiki za kishamba
@durgatagur1329
@durgatagur1329 3 жыл бұрын
Majibu yako nayakubali but Kiba ingekua vs Mondi then tungejua wajibu unafki or ukweli.
@rebeccammbone2816
@rebeccammbone2816 3 жыл бұрын
Exactly
@isalamwa
@isalamwa 3 жыл бұрын
Vanny boe is real boe nver get jealous
@samcollo3601
@samcollo3601 3 жыл бұрын
Harmonize anaangusua wcb wote uyo ni #Teacher
@verosir1416
@verosir1416 3 жыл бұрын
Rayvanny uliaga
@runceeyboy3648
@runceeyboy3648 3 жыл бұрын
Harmonize nfudi Ray vanny una wivu na harmo Ali amufkii
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 3 жыл бұрын
KonDe boy Genius 🔥 👦
@officialmartin4432
@officialmartin4432 3 жыл бұрын
Uwezi kumshindanisha Alikiba na msanii yeyote tz akuna Ata Diamond awezi kushindana na Ali kwa kuimba ata mwonekano kiba mfalme na ndio msanii mfano wa kuigwa kutokana na life style anayoishi
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 3 жыл бұрын
Iko wazi kabisa
@boazjapheth7947
@boazjapheth7947 3 жыл бұрын
Exactly bro
@princearamyog5816
@princearamyog5816 3 жыл бұрын
Nice
@maggienjiku3453
@maggienjiku3453 3 жыл бұрын
Apo umeongea point vany, king yuko poa san
@Zilizopendwa_60s
@Zilizopendwa_60s 3 жыл бұрын
Yeye anaongea Kama nanii...
@mussakhan26
@mussakhan26 3 жыл бұрын
Wasafi hamupati content bila konde boy🤣
@japhetmwangwa2145
@japhetmwangwa2145 3 жыл бұрын
Kabisa mussa💪❤️😁
@fridahtelvis3259
@fridahtelvis3259 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀kumbe umenotice,,wanaongooa sana
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Hamokinyesi na kibaroboti wenyw bila WCB hakuna kitu wanafanya
@eveyuya9496
@eveyuya9496 3 жыл бұрын
Harmonize forever
@chrisfiston2424
@chrisfiston2424 3 жыл бұрын
Vany,why u gone be jealous 😂😂😂😂
@iguchipark8554
@iguchipark8554 3 жыл бұрын
Nakubali
@matishomateso4639
@matishomateso4639 3 жыл бұрын
🤩🤩🤩🤩
@Mollel-rh9zu
@Mollel-rh9zu 3 жыл бұрын
Rayvanny get Jealous 😂😂😂
@junior-zj6bs
@junior-zj6bs 3 жыл бұрын
Jeolous y nn akt anamzd kil kitu kuanzia numbers mpk international awards
@Mollel-rh9zu
@Mollel-rh9zu 3 жыл бұрын
@@junior-zj6bs Ok
MBOSSO NI MKALI KULIKO LAVA LAVA - RAYVANNY
2:45
Wasafi Media
Рет қаралды 174 М.
MIMI MARS AMKATAA DIAMOND - NITATOKA NA MARIOO | BIG SUNDAY LIVE
9:50
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
BABU TALE AMKATAA HARMONIZE, AMCHAGUA RAYVANNY | BIG SUNDAY LIVE
8:03
Rayvanny Ft Alikiba - Naoa (Official Music Video)
3:21
ABILITY TALENT
Рет қаралды 185 М.
Mpaka Home MAISHA YA RAYVANNY NA JUMBA LEKE LA KIFAHARI UTAPENDA
10:32
ALIKIBA AMJIBU MBOSSO KWENDA WCB, WANATUMWA KUNITUKANA, SIJAZEEKA
5:43
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН