Heshima yako king kiba. Utabaki kuwa juu Kila leo ❤
@ProducerJoy6 сағат бұрын
Sema Kiba kweny msawala ya kujibu ki sayansi yupo vzr🔥🔥🙌
@kingsmusicfans141614 сағат бұрын
Only one KING 👑 🔥🔥👏🏾
@LatifaMkwewa9 сағат бұрын
Safiiii King 👑 Kiba nimelipenda jibu lako ❤❤❤❤ Kwahyo yeye mbosso anajifananisha na king 👑🤣🤣 Diamond aje crown Na kiba ataenda wasafi khalaas 😂😂😂 Htakama wanakuita mzeee unazeeka na kipaji chako kwaninkuna shido🤪🤪🤪
@rachelpeter70324 сағат бұрын
Mzee handsome kuliko uyo kijana sele
@Germano_Lopes6 сағат бұрын
🇲🇿 Naamini kwamba uyo alie sema kwamba kazeeka ndo shabiki wakwanza Kwa kumfatilia King 😆😆😆 My King endelea kuwatilia sumu maana wewe ndo mwenye Mbuga za hao wanyama.
@kdady75899 сағат бұрын
Mimi ni mkenya lakini nawaambia wa Tanzania,,hakuna msanii anaweza kumshinda ali kiba katika mziki hapo tz hata sekunde Moja Ali kiba is the best artist kuliko hata diamond 🎙️
@SeifJuma-l8t9 сағат бұрын
We mkenya umefta nin umu😂😂😂
@timothmwakakusyu45639 сағат бұрын
Ubora wa Diamond hauwezi kupatikana kwasababu ya comment za watu, au chuki za watu. Ubora wa Diamond unajitosheleza wenyewe hata tusipoongea. Yap kiba ni msanii mkali sana hilo tunalijua pia kiujumla wasanii wa Tanzania karibia wote ni wakali sana
@DivinebabyDee8 сағат бұрын
Niyakweli lkn hayakuhusu,changanya kwato zako huko
@mohammedkidody56188 сағат бұрын
@@SeifJuma-l8t😂😂😂
@johnmshuta51338 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@HAMISISAIDI-y6n17 минут бұрын
Hongela🎉🎉🎉 kaka
@mdbosco164012 сағат бұрын
Nakubali KING👌💥
@IsayaJoseph-v3s9 сағат бұрын
Mtu aliezaliwa 1986 na mtu aliezaliwa 1989 hao wote wanazeeka pamoja kama kiba mzee basi na mond mzee. Kupishana miaka 3 hakuwezi kumfanya mmoja awe kijana. fuatilia wazee wote mtaani hawalingani umli ila niwazee. Uzee sio hoja niutani tu mboso kamtania kwamtazamo wangu mm.
@K257958 сағат бұрын
Aja mjibu mbosso na Wala aja mind ila ukipitia kwenye comment comment nyingi umesha zeeka, kiba kazeeka
@ZawadiMoris7 сағат бұрын
Mbona Ibra anamuita diamond Babu na Wala hatujamsikia Simba akilalama?mambo mengine nikuyakuza tu lakini Mimi sioni hata tatizo lamtu kuitwa mzee bhana.
@isayachriston33365 сағат бұрын
Mm siwezi shangaa mtu kuzeeka mana ni lazima hata ww unaesoma utazeeka tu mda ukifika ongea kingine
@SalumMusa-f5l21 минут бұрын
Wote mko sawa uzee kama mrango wa mahuti Kila mja anaupitia labda ufe mapema@@isayachriston3336
@SelemaniMsuya-q8n12 сағат бұрын
Ali kiba kuimba Anajua sana Lakn ktk biashara ya muziki na kutazama soko linataka nn amezidiwa na Nassibu , kuna wakati aliridhika nakujisahau
@Meddy36012 сағат бұрын
Jifunze jambo ndugu,,,,,,alikiba kazi zake zinajiuza zenyewe na zinapenya zenyewe sokoni hatumii nguvu
@yussufritzy768411 сағат бұрын
@@Meddy360 zinapenya kivipi??😂
@Garikamedia11 сағат бұрын
@@yussufritzy7684 sasa wewe ulimjw j kiba kam sio ngma zak kwnd sokon
@Peterchila-un2lx11 сағат бұрын
Si@@Garikamediahiv kumbe kiba ni msaniii mbona simfahamu
@Peterchila-un2lx11 сағат бұрын
@@Meddy360kumbe alikiba ni msaniii mbona simfahamu
@NamuinjidyaNhamueziBoytuga9 сағат бұрын
Saluth kwako King kiba ❤❤ from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Tavernaccomodation9 сағат бұрын
Bendera ya inchi gani hii kaka, naomba kujua
@joserafaelcontancio-vl4pn4 сағат бұрын
Mozambique@@Tavernaccomodation
@yeyaboy8045Сағат бұрын
Mozambique@@Tavernaccomodation
@Denickibaden12 сағат бұрын
Sema alikiba kweli ni king 👑 anajua kuongea kiutu Zaid 🎉
@mamboshepea88888 сағат бұрын
Anajua kuongea kizee zaidi😂😂
@jeniferemmanuel42515 сағат бұрын
@@mamboshepea8888😂😂...mzee na busara zake
@razakilipwelele551812 сағат бұрын
Niliwahi kusema mimi, ALi wamemshindwa kwenye kuimba na sasahivi wamepata msemo ya kazeeka😂😂😂.atawaumiza mpaka siku wenyewe waseme aLi ni jini 😂😂😂
@africanQueeny-u7o12 сағат бұрын
Wazee ni Jz na Kanye west ila wakikupa collab niko pale😅 kija mdog bado umri mdog et kazeeka wanao sema awajitambui
@razakilipwelele551812 сағат бұрын
@@africanQueeny-u7ohuyu jamaa wamemshindwa kabisaaaa. Mzee ni koffie olomide😅😅😅
@BarbaraPatience-qt9cc11 сағат бұрын
Ni mzee
@festovenas50210 сағат бұрын
Lakin kumbuka huyo huyo mbosso kamzid watazamaj kwenye kila mtandao sjajua nini kina zingatiwa kusema ivyo 😅😅😅
@georgejohny642210 сағат бұрын
😂😂😂😂😂alinyooko
@zuweinaalhabsya877311 сағат бұрын
Yaan huyu jamaa Ana utu na utulivu. King ni mmoja tu
@nasskh4871Сағат бұрын
UZEE NI GIFT!!! Well answered question
@official_kingnabiryOg8 сағат бұрын
The only one King 👑❤👑
@Ezekielbishoo8 сағат бұрын
jamaa yupo na fulaa Kila siku nakubali sana song lake na baraka daa prenss ni samehe duu mli uwa sana
@umminoorka1763Сағат бұрын
Good answer we kiba ❤
@ismailsalim83954 сағат бұрын
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aishakambenga619110 сағат бұрын
My king 🤴 ❤
@Johnny25-h7hСағат бұрын
The Crown King
@Educatedmind-k9r13 сағат бұрын
Well spoken King
@user-to6up4hg2w9 сағат бұрын
The king himself ❤
@TabuSebastian9 сағат бұрын
Sina la kusema nampenda Alikiba 😂❤❤
@mamboshepea88888 сағат бұрын
Me nnalo I ❤ mondi
@subiraibrahim81009 сағат бұрын
Nyie hamjamuelewa mbosso mnachukulia negative tu uzee ni busara
@IshimweKelebuka4 сағат бұрын
WE VIP WW HIVI UNAJUA UNACHOKIONGEA AU??? SKILIZA VZR ALI ANAVYOSEMA
Lazima apate kura yako maana ata iyo crown media ni ya Mh Mchengerwa👋
@RajabuDaffah11 сағат бұрын
KING 👑👑👑👑 atyabaki kuwa juu cku zotye
@KristophKihakwi9 сағат бұрын
Alikiba kwa nyimbo gan alio kuwa nayo mond amuofie uyo paka wenu acheni kumfananisha mond na ujinga uwo wenu
@BlessSabo-v2t8 сағат бұрын
Kwanza nmbinafsi sana me huwa namchukia sana
@judithtitomalyeta40009 сағат бұрын
King yupo vizuri mno Hana kashifa anajitambua kwe ww king iunavaa vizuri mm naogopa wanaovaa micheni ,mipete mhuuu
@ZecaZecado11 сағат бұрын
KING MUSIC aiwenzi kuwenda wasafi mimi sitaki ancha biff iende
@TeacherMwinyi11 сағат бұрын
akuna kama wew utu akili na unakijuwa unacho kifanya family bg up
@Ramerkomango12 сағат бұрын
Respect king
@DadeCajanja13 сағат бұрын
Umejibu vizuri❤❤
@AbdulrahamanBakari-s6k9 сағат бұрын
All the Best
@ianbaraka600512 сағат бұрын
ni utani tu bro
@MarkMassawe-n9i6 сағат бұрын
You god ❤
@EunicePaulo-l2t10 сағат бұрын
😮uzee uzee unawahusu
@rachelpeter70324 сағат бұрын
Ila caption za waandishi😂😂😂😂😂
@DicksonHerman-cd9hn38 минут бұрын
King 👑
@SuleimanSalim-q9j7 сағат бұрын
King 👑 always respect man
@mckobatz586110 сағат бұрын
Wabongo tunaishi sana jana hawa vijana wameshachoka hizi mambo zenu na nyie ni Wana habari ni sehemu ya kurekebisha hilo kwenye jamii acheni wafanye kazi zao kulingana na feeling inavyowataka kama Ali kwenda kule au Naseeb kwenda kule itatokea with time
@yasrikomba78744 сағат бұрын
Mbosso nani atutaki mazoea nao ss
@ALLY_K618 сағат бұрын
Alozeeka Niyeye Sio King 👑👑
@ConsciousBNB12 сағат бұрын
Ubinafsi ni kitu kibaya sana 📌
@shwaibukhatibu283811 сағат бұрын
Acha ukuma huyo mboso ni kama katumwa kwani kings yuko kiba peke yake ?kwann amtaje kkba that is disrespect
@ConsciousBNB11 сағат бұрын
@shwaibukhatibu2838 chuki tu kuoga aaaaah!
@NurathChaupole6 сағат бұрын
Wenzenu wanataniana we umekazana kukaza misuli kutukana watu 😂😂😂@@shwaibukhatibu2838
@husenahusena26605 сағат бұрын
Kazeeka huyu amekwisha😢😂😂
@RamadhaniMkwama4 сағат бұрын
Mpe matako uone
@mussamalogo56409 сағат бұрын
Wandishi wa habari mnauliza maswali ya uchonganishi sana kwa wasanii
@IZAACManyonyi4 сағат бұрын
Mwamba alikiba ❤❤❤❤❤❤
@s.a.84028 сағат бұрын
Reporter ame chemsha. Mbosso ame sema wa collaborate pamoja
@AlphaMawila9 сағат бұрын
Yooo sauti zahabu maneno almasi
@thehustlerafrica43688 сағат бұрын
Kazeeka kweli
@YUSUPHOMARY-r7l10 сағат бұрын
❤
@MuhamedOmary-tq9jn3 сағат бұрын
weee dada nimnafki sana alicho kisema mbosso tofauti naunaemuuliza king kiba kuwa makini nakumbukumbu zako
@FarYawaka14 сағат бұрын
❤❤❤❤
@annndunda39538 сағат бұрын
King kiba the best
@NemesMasawe11 сағат бұрын
Amnaaa hatakae bakii kijanaa mileleee
@JAMBOBoy-v3k12 сағат бұрын
Umezeeeka umri umeenda
@BarnabasAmlima-js1df11 сағат бұрын
KOFFI NI KIJANA
@AishaNgoyi-vi2ku9 сағат бұрын
Tafta helaaa maskin ww acha makasiriko 😢😢😢
@IreneShadrack-p6c9 сағат бұрын
Kwahyo diamond ndo hawez kumfata alikiba atake kolabo wanamsukuizia king wetu ili waseme anahangaika na mastar
@A2Z_tv19 сағат бұрын
Only one King👑
@saidkiplasta88536 сағат бұрын
Ila media kumamazenu kwakukuza mambo mbosso hakumaanisha uwo uzee munaosema nyinyi bali yeye maana yake nyengingine ila uyo mbosso alisema kua media munakuza mambo
@ErickCosmas-r8h6 сағат бұрын
Una kinyongo sana wew Ali kiba ndio mana diomond kakupita Kila kitu alafu ujui kujieleza kwenye intavieus
@meshackloi98896 сағат бұрын
Be honest brother not comment as team
@adamhashimu44626 сағат бұрын
Dah acha ,chuki kaongea kitu gani kibaya apo
@MasterMindtech_30512 сағат бұрын
Hapo kwenye happy holiday wenye D2 tumeelewa 🎉
@GivenMabena-ls7dq3 сағат бұрын
👑👑👑
@Kellyskim7 сағат бұрын
Goat🔥
@limunyu00125 сағат бұрын
Sasa mbosso ndio boss wa wawasafi au ni diamond mwambie mbosso asijitekenye
@Yuleyule-u6c9 сағат бұрын
KING UKO VIZURI ILA WW UKIAMBIWA ISHU YA KWENDA WASAFI HUWA UTAKI KUONGEA POSITIVE KABISA KWANI MONDI ALIKUFANYIA NINI KISICHOSEMEKA SI USEME TU. MR.KING
@RashidDiyuka10 сағат бұрын
Kingkiba
@JeannetteManirambona-o6m10 сағат бұрын
King kiba
@DragonFilm-Official6 сағат бұрын
Wenye wanasema kazeeka wengine wako 35 32 30 34 ati wao Sasa ndio vijana hakuna ata kijana wa 22 hapo ama 28 wote mdomo wazi k2ga ndio wakwanza kusema Ali kazeeka wewe kijana Sasa eti pole sana mbosso mond Tommy ibra lakini mungu wa alikiba waja tu
@kotei-s3l7 сағат бұрын
Yani King 👑 kapangua majibu yote angekua yule anaejiita simba angeeza kujisifia 😅😅😂😂😂
@FatimaFati-pu4lb4 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@raymondmhozya88949 сағат бұрын
Ndugu umehoji vizuriii
@TumainLuhwago-xl2py7 сағат бұрын
Wanazeeka wao na bangi zao, kwan washawah kuona mtu ambae hatumii pombe wala bangi anazeeka?
@HumphreySwai-u8f10 сағат бұрын
Watoe nyimbo zao ata 1000 utabaki kua mfalme wao 😂😂😂
@khadijayusuph931612 сағат бұрын
Ali ukimuwekq nchi kavu yumooooo ukimuweka baharin yumooooo atawasumbua sana mpaka waombe pooo
@bedaboih5689Сағат бұрын
Ila wakisema ushindani huyu jamaa hamfiki Diamond
@bedaboih5689Сағат бұрын
Ila huyu muandishi wa habari mnafki na ni msengee sana
@rayzonevic4041Сағат бұрын
In afrika any one in his thirty's is a young man..hata hivyo amemzidi Diamond kwa miaka 2/3 tu