ALIACHA UALIMU ILI AWE MCHUNGAJI NA SASA ANA WASHIRIKA WAWILI TU|Ushuhuda wa Mch.Mfinanga wa Kahama

  Рет қаралды 6,374

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/DjZYNtGlQSE...
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Jzfy3pn4CyB...
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 38
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 2 жыл бұрын
Mungu atakuinua maana kama umeitii sauti yake ukaacha kazi yako,yeye Mungu atafanya kitu kwako.
@wemasalumu7591
@wemasalumu7591 2 жыл бұрын
Shalom mtumish,umenitia moyo,wewe ni kamanda wa Yesu,Mungu atakupa haja ya moyo wako
@pericykiko6198
@pericykiko6198 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 2 жыл бұрын
Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya utukufu kwa Yesu kristo wa nadharethe aliye hai.
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Mtumishi anza kutafuta eneo mapema uanze kulilipia kidogo kidogo ukiwa bado uko hapo. MUNGU BABA ALIYEHAI yu pamoja na wewe Atakuinulia watu kama alivotuahidi. Ubarikiwe sana.
@pastorjosephluoga4860
@pastorjosephluoga4860 2 жыл бұрын
Mungu ni mkuu Sana,huo ni mwanzo mzuri Bwana awe pamoja nawe.
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 жыл бұрын
Hongera kaka angu kwakumtumikiya mungu
@macamezungu7031
@macamezungu7031 2 жыл бұрын
Amen bwana yesu apewe sifa 🙏
@albert3359
@albert3359 2 жыл бұрын
Vizuri sana.​ ila watu tuwe makini sana kuingia ktk utumishi bila wito sio kazi kama zingine, eti kwasababu kipato chako kidogo ktk kazi ndo ufungue kanisa, be careful
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Kama ni Mungu aliye kuita basi,atakuthibitisha kWa kukuinua,ktk viwango vya juu,lakini kama sio Mungu umejichanganya ndugu yangu,hongeraa kWa Kuchaguliwa na Jehova,
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 2 жыл бұрын
Mungu akutiye nguvu mtumishi wake Neema ya Yesu kristo iwafunike.
@willyherman5885
@willyherman5885 2 жыл бұрын
mtumishi wa MUNGU akubariki sana .
@juliuskasuga9861
@juliuskasuga9861 2 жыл бұрын
Hongera sana mchungaji Mungu hatakuacha wala kukupungukia. Utafika mbali sana.
@lilacjoseph9509
@lilacjoseph9509 2 жыл бұрын
Waoh that's great
@ipyanadanny9959
@ipyanadanny9959 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki Jactan kwa huduma hiyo
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@marykilila8786
@marykilila8786 2 жыл бұрын
Maandiko inasema wawili ao watatu wakikusanyika kwa jina la YESU Yeye ni pamoja nao ,basi Simama katika kweli mwenyewe wa watu ataleta watu jipe moyo tuu
@petergadiye7911
@petergadiye7911 2 жыл бұрын
Mungu hatakuacha ila inahitaji uvumilvu.
@evnjilistmundoya8770
@evnjilistmundoya8770 2 жыл бұрын
Barikiwa sana yesu atakubariki.
@bazuriyaido6616
@bazuriyaido6616 2 жыл бұрын
Yesu wetu anaweza
@kibetmiteiezekiel916
@kibetmiteiezekiel916 2 жыл бұрын
Unaenda mbali sana
@pillahidaya3826
@pillahidaya3826 2 жыл бұрын
Mungu akubaliki hasa kipengele cha watoto
@beingkeemie26
@beingkeemie26 2 жыл бұрын
How can we support him? From Kenya. Give us his detail. God bless you.
@lifhonlee3427
@lifhonlee3427 2 жыл бұрын
Ameeen usijikatie tamaa jikaze adi kieleweke baba
@stevenrichard189
@stevenrichard189 2 жыл бұрын
Mungu ambariki sana
@emmanuelmkelehe366
@emmanuelmkelehe366 2 жыл бұрын
Mungu azidi kumbariki
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 2 жыл бұрын
Jitie nguvu mtumishi wa mungu Alie hai
@vanessakassogafaustine1950
@vanessakassogafaustine1950 2 жыл бұрын
Mm nakuelewa sanaa unaposema wito unawaka ndaniiii
@editarichard3590
@editarichard3590 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@nancyilham
@nancyilham 2 жыл бұрын
Hongera sana mungu atasimama nawe 👏👏👏
@catherinemutindi5031
@catherinemutindi5031 2 жыл бұрын
Hicho ndicho yesu atakachokulipa .ulichukua uamuzi bora. Yesi aendelee kutumia vikubwa.
@vanessakassogafaustine1950
@vanessakassogafaustine1950 2 жыл бұрын
Denis tumetoka mbali , umenitoa moyo ila nimeguswa sanaaà , sikujua hili.
@zenaalex5824
@zenaalex5824 2 жыл бұрын
Amina
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
MUNGU aone juhudi zako mzee jacktan...
@willyherman5885
@willyherman5885 2 жыл бұрын
Nimeona namba yako tuwasiliane
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Kahama mtaa Gani Hap0?
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Naomba namba,yako ya simu ushuhuda wako umenijenga, mtumishi,
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Kweli
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 15 МЛН
Sumu Ya Mamba   Ujumbe wa Ng'wana Mbimbi By Pro KING STUDIO
21:44
KING MUSIC RECORD MPANDA
Рет қаралды 13
REV. DR. ELIONA KIMARO: USHUHUDA WA 'HOUSEGIRL' ALIYEKUJA KUWA PROFESA
7:29
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 767 М.