Hananja Mungu amuweke upo wazi Sana . Naomba Mwenyezi Mungu akuongoe
@salmoncelestine684011 ай бұрын
Kristo aendelee kukutunza baba,, nakupenda..God bless you
@Chery_cherryy11 ай бұрын
Safi sana, a good pastor who understands the scriptures, tunazungumza na Mungu kupitia maandiko yake matakatifu
@wamisangi280111 ай бұрын
Kupitia Roho Mtakatifu aka Roho wa Mungu anaye ishi ndani yetu ambaye anatuwezesha kudadavua hayo masndiko. Mchungaji wako mpaka hapo ni muongo tayari. Kwa umri wake amedanganya wangapi? Atubu na aache huu usanii utampleka jehanamu ya ziwa liwakalo moto milele.. Yohana 14:16-18.
@Catherine-mh8sw11 ай бұрын
@@wamisangi2801yohana 17:3
@magrethshishwa5481Ай бұрын
@@wamisangi2801Mungu ndo neno
@magrethshishwa5481Ай бұрын
@@wamisangi2801Yohana 1
@MathewMwamgunda-e8nАй бұрын
Kweli mzee yuko timamu Sanaa, siku hiz watu hawamjui mungu wavivu kusali hawataki kukosolewa,,wapenda miujiza kama ya mwamposa, Richard mwacha
@nofaboy862410 ай бұрын
Nakuombea kwa Mungu akujaalie uijue haki ili uifuate Inshallah 🙏🏻🙏🏻 kwa ndugu zangu ktk iman tuitikie amin
@NelsonEduard7 күн бұрын
Wew unazingua mbona waanza ubaguzi,ivi haki na imani kipi Cha kukifaata!!?
@LeahKaboza-vb4ih11 ай бұрын
Hongera mchungaji Mungu akubariki sana kwakweli hilo la michango watu wamefirisika
Safi sana Hanjanja Dini sahizo zimegubigwa na uwongo, maigizo na janja janja Hongera hupo ktk hao
@felistermarco11 ай бұрын
Kabisaaa🤣🤣 tanzania sihami mimi.uko sawa mchungaji
@EzekiaMichael-jn5np11 ай бұрын
Mchungaji Mungu akutie nguvu
@allymwashambwa592011 ай бұрын
Kwakweli hananja na baadhi ya wenzako nawakubali, mungu awabariki mnooo mnasema ukweli tu
@evansogutu41672 күн бұрын
Mungu with capital M
@allymwashambwa59202 күн бұрын
@evansogutu4167 🙏
@KS-iw7qv11 ай бұрын
😂 Ukizungumza na mkuu wa wilaya tu hatulali... je Mungu tutakuwepo kweli😅
@TreshaMziki-x9d14 күн бұрын
From Kenya I do like this pastor 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂one and only hakuna mwingine
@ElizabethKimbi11 ай бұрын
Mch nakupenda unasema kweli daima Mungu akulinde akubariki akufunike kwa damu yake takatifu
@bakarisaidi302211 ай бұрын
uzuri wa mchungaji hananja anaongea facts,Mimi ni Muislamu lakini napenda sana kumskiza Hananja,
@KanalIdrissah-dh5hj5 ай бұрын
Even me broo
@MmMm-tt1wiАй бұрын
😊true
@bugybuster578811 ай бұрын
Ananja na magufuli baba 1 mama 1 maana wate wanasimamia kwenye haki
@namangabruno-xh3kp9 ай бұрын
Kheeee
@assaandrew24117 ай бұрын
Weeee nawe umelewa hawafanani hata kidogo
@MichaelWilliamsNyirenda4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@righitkileo10 ай бұрын
Jaman dunia imechafuka watu wanasaka hela mpaka hawamuoqop Munqu.jaman mtu anaamka toka huko ni nabii.Aisee Munqu❤❤ Mkubwa❤❤❤pia mvumilivu.dunia inatisha
@Vannesa-v3o6 күн бұрын
😅😅 daah pastor 🎉🎉atar
@YohanaKabekeАй бұрын
Mungu atusaidie Mungu ameachiria neema tofauti tofauti sana adi zinatuchanganya kujua usahii niupi ila Mungu anasema kwanjia yaneno ndoto nakwanjia ya pia yamawazo
@estherdeborahsabuni983511 ай бұрын
Aliyemchagua Mungu amemchagua. Mungu turehemu.
@januarysungura811911 ай бұрын
Neno la Mungu ni taa ya miguu yangu ,tatizo ni watu kufikiri utajiri kwa maombi na miujiza bila kuwekeza na ndipo wanapoibuka manabii wa uongo kutumia fursa ,Hongera sana hananja kwa kuhubiri vyema
@SamwelSilvester-sp5ow6 ай бұрын
Nakukubali sana, mungu akubariki
@StevenCharles-d2o5 ай бұрын
Halafu ndo wale Wanaodanganya Wanamwona mwongo ila hananja Mungu akupe maisha marefu maana Milano pia ipo
@fransimadegeАй бұрын
Safi sana mchungaji umesema point kubwa sanaaaaaa
@sandrauwase952111 ай бұрын
WoW nakupenda sana mchungajii ❤
@HeroJoseph-nm8pv11 күн бұрын
Ila huu mchungaji hakili nyiingi sana 😂 ukweri mtupu🙏
@gaspeldaniel114011 ай бұрын
Huyu mchungaji angekua uraya naamini angekua mbali sana maana kwanza unafiki hataki na uongo hataki amesimama katika bibilia
@Kinyozzi160211 ай бұрын
Sio uraya ni ulaya😂
@wamisangi280111 ай бұрын
Ulaya kazi ya ulaghai inalipa? Joel 2:28.
@vickytorry10011 ай бұрын
Kweli kabisa huyu ni tunu ya Tz ila hatuthamini watu kama yeye. Ni Mungu atamlipa
@yjoo980711 ай бұрын
Kwanini sasa unaamini mpaka awe ulaya??
@wamisangi280111 ай бұрын
@@vickytorry100 Acha kujitoa ufahamu wewe, Mungu yupi amtumikiaye anaye mruhusu kukejeli kwa rejareja hivi. Hii ni tabia ya Goliati.
@bakarisaidi302211 ай бұрын
Juzi Namuona Geo Davy anahubiri kavaa Suruali inafanana na sketi😆😆😆 na waumini wapo wapo tu kama wamerogwa vile😆😆😆😆😆
@@KhadijaMwenda 2YOHANA :20"Nasi twajua ya kuwa Mwana wa Mungu amekwisha kuja,naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, yaani ndani ya Mwana wake YESU KRISTO.HUYU (YESU) ndiye MUNGU wa kweli , na UZIMA WA MILELE." Ninajijua mimi ni NANI ndani ya YESU KRISTO WA NAZARETI MUNGU WA KWELI ,wewe Je?
@meekman180510 ай бұрын
Hongera kwa kusema Ukweli.
@mremagoodluck94015 ай бұрын
Mchungaji kweli, hachoshi hakinaishi kusikilizwa mafundisho na vionjo vyake, na tunapata kitu kwake faida yetu ya kiroho na kimwili. Sio hao wanaojiita,mh,dr,nabii, mtukufu sijui ujinga na sifa. Mungu pekee apewe sifa na si mtu
@destinmuzusa91632 ай бұрын
Mungu akubariki man of GOD, the bible says give as you purporsed in the book of 2cor chapter 9:7. sio hizo za kutisha watu, Congo tuna tishiwa holy ghost
@CJ-vd9wn11 ай бұрын
Ila huyu mzee ni mwanafasihi mzuri sana😂😂😂
@vickytorry10011 ай бұрын
Mungu amemuumba wa pekee sana
@rashid35629 ай бұрын
Mungu akujalie akuonyeshe dini ya haki kbla ya kufa
@AbuodSeleman5 ай бұрын
sanam lako utalkuta posta wki ijayo mzee
@KadabraGadna-xu5ez11 ай бұрын
Mchungaji wewe unajielewa sanaaaa mungu akubariki.hakuna mwanaadamu wakuongea na mungu wanakanisa laa Arusha pale kwa devi wahajielewi
@linusrichardmukuras87022 күн бұрын
Ajengewe sanamu ya dhahabu 😮😮😮
@simonswila760410 ай бұрын
Hongera mchungani wasema ukweli.
@richardmbaruku549411 ай бұрын
Wachungaji au wahubiri wanao mahubiri Mungu kutoka miyoyoni mwao ni wachache sana. Tatizo ya wao kupata wafuasi hao wachungaji kanjanja wengi ni wajanja na wanajua kupangilia maneno
@STEVENMDUTU18 күн бұрын
Safi mchungaj sema ukwel
@pommenuh541311 ай бұрын
My mcungaji
@Joh-p9f4 ай бұрын
Michango ni mingi sana bhana kweli 😅😅
@gilliansiara332422 күн бұрын
Waseme wamesikia sauti,sio mazungumzo na Mungu
@maryaugustor6983Ай бұрын
Catholic imewapiga bao.na hawajui MUNGU kama watu wa makanisa ya kiroho.sasa kondoo wanatangatanga hakuna mchungaji.Asante sana mchungaji wetu hananja MUNGU akutie nguvu Amina.
@rosemarysulle9288Ай бұрын
Catholiki hakuna michango?wote hali moja watu wanafiki hawasemi
@kalekela-j1e2 күн бұрын
Nikimsikiliza Mchungaji Ananja huzuni huwa inaondoka kibisa niwapo na huzuni. LAZIMA NICHEKE.
@ubunifulifestyle349211 ай бұрын
Eti we mkaanga chipsi utaongea na mungu wwww😂😂😂😂
@wamisangi280111 ай бұрын
Unachekelea kama mazuri vile? Mkaanga chips aliye mpokea Bwana Yesu kwa taratibu zilizo elekezwa na Neno. Si tu kuwa anaongea kupitia ndoto/maono na Mungu lakini Roho wa Mungu anaishi ndani yake. Mawakala wa shetani katika ubora wao kupotosha wwtu wa Mungu ili wawaunganishe waende nao moto. Joel 2:28.
@dicksonkilupa225811 ай бұрын
@@wamisangi2801Mungu anaweza kusema na mtu yeyote kwa lengo la kutimiza kusudi lake, ila Mungu anayesema na mtu mmoja tu wengine hataki na tuchunguze hilo alilolisema linalenga nini?
@yuzotv45811 ай бұрын
@wamisangi2801 mzee unaamini geordevi kaongea na Mungu live sio???!,
@wamisangi280111 ай бұрын
@@yuzotv458 Jiongeze wewe, hujui hawa manabii wa uongo wanavyo lindana na kusaidiani. Kwa akili zako unafikiri huyu mchungaji anampinga Geodavi. Juzi tu katoka kusifia nabii wa uongo TB Joshua ndio leo ampinge Geodavi.??? Hii ni scheme ambayo imepangwa ikapangika ya shetani na mawakala wake. Iko hivi,Wiseman Daniel mmoja wa wasaidizi wa karibu na kuaminika sana wa nabiibwa uongo TB Joshua, alitoa ushuhuda kuwa nabii wa uongo TB Joshua alikuwa anafanya Ubatizo wa uchi wa mnyama kwenye mlima wa maombezi hapo scoan. Huyu mchungaji alimtetea leo ndio apinge huyo wa Arusha. Kutoka 20:26 na Yohana 21:7. Hawa manabii wa uongo wanafanya hivi. Wanatoa tuhuma dhaifu kwa mwenzao wakiwa wameandaa hoja zenye nguvu kutetewa na wengine hapo baadaye kuendea kudanganya watu wa Mungu. Tuhuma zote anazopewa TB Joshua ni dhaifu na zinazo hoja zenye nguvu zitaendelea kutolewa kadiri muda unavyo enda kuzipinga hii ni kwa madhumuni ya kuendeleza umaarufu. Unajua kwa nini. Nabii wa uongo TB Joshua alishadanganya kuwa yeye ni masihi baada ya Bwana Yesu Kristo kwani Mungu huleta mwokozi duniani kila baada ya miaka 2000 yeye ndiye wa kizazi hiki. Huu ni mpango aliacha hata baadhi ya mikakati ya huu uongo akiwa karekodi matukio ya kupigia propoganda.
@wamisangi280111 ай бұрын
@@yuzotv458 Geodavi na mchungaji wote manabii wa uongo.
@twaibujuma50236 ай бұрын
Nakukubali sanaaaa
@dennisezakiel338011 ай бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hilo kweli kabisa ,
@dilludillu274711 ай бұрын
The big brain
@JumaHaruna-i6x10 ай бұрын
Mungu ajalie kizazi
@breymbasa345111 ай бұрын
Wanaongea na kingereza kidogo aleluhja oooo haleluhja😂😂
@paschaljackson258411 ай бұрын
Ni kweli wachungaji wengi wanaanzisha makanisa ili wapate pesa. Wanafanys makanisa kuwa ndiyo biashara zao. Watu wanato sadaka kwa wachungaji wao bila kujua kuwa wanawaaminisha uongo tu. Soma biblia upate masrifa.
@kalekela-j1e2 күн бұрын
Dah! Mchungaji Anaja ban!
@meekman180510 ай бұрын
Safi sana Mchungaji!
@UduguMagamboАй бұрын
Big up
@SophiaAmani-zu3ey6 ай бұрын
Hongera baba waebrania 1:1-4
@Shafikimanga711 ай бұрын
Huyu anamjua Mungu na Imani pia. Huu ndio werevu Kila mmoja afikie hapa walau kwanza
@BIGSTONE-lb9po10 ай бұрын
NIHATARI SANA.
@fransimadegeАй бұрын
Haaaaaaaaaaaaa apo kwenye kuzungumza na mkuu wa wilaya mbavu Sina uwiii safi sana mchungaji
@jeremiajacksonlupora673111 ай бұрын
Namkubali sana Huyu mchungaji
@MichaelMagige11 ай бұрын
Majambazi yameingia makanisani,watu hawana hofu wanajiita manabii wa mchongo,stukeni watanzania! Musa mwenyewe hakumuona Mungu,hakuna mwanadamu anayeweza kumuona Mungu akaishi!
@trophywilson721111 ай бұрын
Kweli Kweli
@RubenMtuwaMungu-bz8ee11 ай бұрын
Manabii jamii ya akina Geordavie wa mungu wao aitwaye mungu wa dunia ni kweli huwa wanaongea naye hata kukaa naye.
@hamidudigogo586311 ай бұрын
Huju mchungaji angekua mwislam angekua safi sana mana hata wachungaji wengine namini Wana mchukipa ila anawambia UKWELI ubalikiwe sana HANANJA
@trophywilson721111 ай бұрын
Mwandishi hata Kuandika hujui,mungu ni mzimu na MUNGU ndiye wa kweli
@hanskidd229011 ай бұрын
Acha ushamba bn tfsri ni ile ile
@timotheojackson302111 ай бұрын
Barikiwa Sana ❤hii ni kweli
@YOSHUAMWAMPETA11 ай бұрын
WAJUA KUANDIKA ILA KUFUNDISHA HUJUI.Sema MUNGU anaandikwa kwa Herufi kubwa Hususani Herufi ya Kuanzia.Ukiandika jina Mungu kwa kuanza na herufi ndogo kwa mfano kwa kimombo ukiandika gods itamaanisha miungu.
@AishaswalehAishaswalehАй бұрын
Mungu ameongea wapi hawa wako kwenye biashara zao
@lusekelowilliam20685 ай бұрын
😂😂😂😂 dah nimecheka kweli
@jamesnzinga535411 ай бұрын
Uyu jamaa ni mwalimu, mzuri muhubiri mkweli na mwana falsafa katika elimu ya dini kenya tunamkubaliii
@SaidHabasi14 күн бұрын
Sema kweli
@shepherdizotarimo822711 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Mkaanga chips ww huongee na mungu
@kenonpeter369210 ай бұрын
Mungu akurehemu ujui unalo tamka ww
@arnoldkea29039 ай бұрын
Wape dose yao Mzee nakubali...watu wamezidisha utapeli..
@bahatilaizer870611 ай бұрын
Mimi ni Muslim Lakini nampenda Sanaa mchungaji Hananja anasema Ukweli uliopo Mungu akujalie miaka mingi wachungaji wengine wakuige Wewe
@gilliansiara332422 күн бұрын
Pastor,fuatilia wapo wengine kama waleee, nadhani unaelewa nenda /peleka mtu wapo/yupo fuatilia mtumishi ,
@NiceJonas-b9r29 күн бұрын
Mwakasege ,mwalim mgisa ni waluter na wanaongea na mungu na matunda tunayaona we umekalia kusengenya kuwa na adabu wewe hujaumba na hujawaita watumishi mungu anakusubiri ujaze kikombe ndo itajua
@TinaNicodemus20 күн бұрын
Hata mwakasege anazungumuza na Mungu kupitia bibilia ndomaana mwakasege hawezi kuhubiri bila kukuambia soma bibilia yako kama huwa unamfuatilia mwalimu mwakasege
@SAMWELCLEMENTtz411 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kalisanahii
@hamidudigogo586311 ай бұрын
😂😂😂😂 mchungaji namkubali mbaka max zengeri na samatta anawafuatilia safi sana
@yuzotv45811 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@josephmushi709710 ай бұрын
Huyu mch ni mkweli kwa yeye Mungu hajawahi kuzungumza nae ila Mungu huzungumza na watu .Ni kwa njia gani kila mmoja kulingana na mahusiano yake aliyoyajenga mwenyewe.Mungu sio bubu .
@AbelTweve-yq8xe11 ай бұрын
Ati utafkirii striker😂😂
@JacquilineNoah11 ай бұрын
Eti mkaanga chips aonane na mungu😂😂😂
@CindyJulias11 ай бұрын
😂😂😂😂 jamani nimecheka hadi machozi
@ChristianKiponda-d7e11 ай бұрын
Elijah alikuwa Mkulima, Musa alitokewa na Sauti ya Mungu pale alipokuwa akichunga ngombe wa baba mkwe wake, Kwa hiyo kutokewa au kuambiwa jambo na MUNGU ni Mpango wake Yeye Pekee ndiye mwenye Uwezo wa Kuomgea na Yeyote amtakaye, Haijalishi ni Muuza Chips au Mkulima.
@dicksonmwenyembegu252311 ай бұрын
anatembea kama Nzengeli😂😂😂😂😂
@SamwelDaudi-qj7jsАй бұрын
🎉🎉🎉
@MarkMtaturu10 ай бұрын
NI KWELI amezungumza na mungu lkn hajazungumza na MUNGU