Huyu mtu haeleweki na atawachanganya sana Simba na yanga wasipo kuwa makini.
@fallykhan23832 ай бұрын
@@davidmlyuka1336 ila sasa washamjua huyo maana kila anapoishi hachelewi kunya. Sasa aludi simba ili akafanye nn.? Upepo wake umeisha uy kama miso misondo na makoti yao 😂
@NeemaMushi-wj1zn2 ай бұрын
😂😂😂😂 umezurura Sana wakat ukiwa Simba tulikuamn kwa Sasa hatukuamn tena cijui umekuja na virus gan uko pita kule😂😂