MWEKEZAJI MZAWA ROUNDTABLE NDANI YA POWER BREAKFAST NA CLOUDS

  Рет қаралды 8,019

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@Ntuli-o4w
@Ntuli-o4w Ай бұрын
Rostam " Hakuna nchi iliyowahi kujengwa na wawekezaji kutoka nje" Very true
@printgraphicimpressionstan2378
@printgraphicimpressionstan2378 Ай бұрын
Hongera sana Clouds! Kipindi kizuri sana sana. Kusaga hio vision ya ThinkTank ni super sana!
@daudhamis7281
@daudhamis7281 5 күн бұрын
TANZANIA KWANZA FULL STOP 👏 👏
@regulamollel9013
@regulamollel9013 Ай бұрын
The giant awaken. Heshima ifuate mkondo wake, Clouds na aheshimiwe na watu wote, nasema haya sio kwa ushabiki wala kebei hawa jamaa wanafungua sana milango. Wazee nyie mna mahusiano ya karibu na viungo vyetu furaha mwilini🙏🙏🙏🥂🥂
@shariffsuleiman2889
@shariffsuleiman2889 Ай бұрын
Mimi ni mkenya but napenda Tanzania sana.But am just worried about tz people the views of this video must be 100k plus coz inaongea vitu vya maana sana but nikama watu wanapenda udaku hawapendi educative programs..
@josephmlinzi7205
@josephmlinzi7205 Ай бұрын
Besides being livestreamed, it was lively aired on the radio and TV. So most people had that opportunity using these platforms
@humphreyjoseph1203
@humphreyjoseph1203 Ай бұрын
Daaah Nimependa sana CMG Mungu awabariki sana
@saidnkwabi2475
@saidnkwabi2475 Ай бұрын
Mjadala mzuri sana.. Hopefully, hili litakuwa endelevu.. Lkn, participation ijumuishe wachangiaji wa kawaida ( wazawa wabobezi ) pia directly or indirectly kupata picha halisia kutokana na mada husika Kuongezea, Ktk mada hii, Uwepo wa Mkurungezi wa TIC ungesaidia zaidi kutoa mwanga wa vipaumbele na jitihada zilizochukuliwa na serikali kujumuisha na kulinda participation ya wazawa ktk fursa zilizopo kwa sasa. Kazi nzuri CMG ❤
@alphonceluzigashija
@alphonceluzigashija Ай бұрын
Kipindi kizuri sana kuona watangulizi na wafanyabiashara wakubwa kutupa wasaa wa kupata baadhi ya njia za msingi big up Clouds media.
@archchina4705
@archchina4705 Ай бұрын
Hongereni sana clouds team. Kitu safi sana hii mmefanya. Next time jitahidi kupata mwakilishi mkubwa kutoka upande wa serikali kujibu Big figures from both private sector (3 experienced local CEOs) & public sector (decision makers such as The President/V.P/P.M, Speaker, Chief Justice & TRA DG). Otherwise, big up again to CMG.
@archardrutajumwa6728
@archardrutajumwa6728 Ай бұрын
Pregnant Discussion,congrants.CMG👏👏👏👏
@StanleySewando-nb4xm
@StanleySewando-nb4xm Ай бұрын
Balozi Sasa,hivi Kila Mahali Tz Kuna vikoba huoni hii ni ishara kuwa WANANCHI wako tayari kusaidiwa
@kelvinmtenga9825
@kelvinmtenga9825 Ай бұрын
Nimependa mjadala huu safi sana cloudsfm na power breakfast
@Ntuli-o4w
@Ntuli-o4w Ай бұрын
Fruitful discussion
@IvanNzowa-d1c
@IvanNzowa-d1c Ай бұрын
Great Discussion 👍👍👍
@SimonShoo-m4b
@SimonShoo-m4b Ай бұрын
Ndio maaana Rostam ni tajiri nguvu ya uthubutu
@jumannekatalambula4302
@jumannekatalambula4302 Ай бұрын
Good Discussion. Congole Clouds Media kwa kuandaa.
@Ntuli-o4w
@Ntuli-o4w Ай бұрын
Hiyo ya kampuni za ujenzi , Rostam nimekuelewa sana! Leo Rostan nimekuekea kitofauti sana! Hasa sera ya uchumi wa ndani! Hiyo sera ya uwekezaji wa ndani.....Ndo kiini cha Maendeleo...leo Mainjinia wetu wanaendesha bodaboda ila watumwa wa china ndo formen wa miradi ya barabara nchini mwetu.
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 Ай бұрын
Wangapi wetu wakipewa miradi wanabolonga...bei kubwa na tumejawa na tamaa..angalia kwenye mashule walojenga watanzania wenzetu,,angalia ghalama zinazotumika kifupi tumejawa na tamaa wizi na uharaka wa kutajirika ...ukweli kabisa
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Ай бұрын
nimefurahi kumuona shafii
@twahashearer8302
@twahashearer8302 16 күн бұрын
Suala sio Elimu wala ujuzi, suala kubwa ni malipo
@giftmgaya9739
@giftmgaya9739 Ай бұрын
Safi sana.. Big talks by Big boys
@marwafaustine9285
@marwafaustine9285 Ай бұрын
Wafanyabiashara wengi wanakuwa wagumu kutaja maendeleo ya biashara zao kwa sababu ya mfumo wa kodi hauko rafiki kabisa kitendo cha kusema kuwa biashara inaendelea vizuri na imekuwa kwa kiasi hiki kesho wanapiga hodi kutaka kodi mamlaka za kikodi huwa wanaamini kukua kwa biashara maanake unatakiwa kulipa kodi kubwa.
@sultanjamesntongolo8764
@sultanjamesntongolo8764 Ай бұрын
Mkubwa joo mbunifu nimefurahi sana kusikia mambo wanayoongea hao mabosi nimejifunza kitu,ubunifu mkubwa sana big congolee
@yamunguhussein4330
@yamunguhussein4330 Ай бұрын
Asante sana Clouds media kwa kipindi kizuri
@nadharmusa223
@nadharmusa223 Ай бұрын
Haya ndomambo yanayo faa kuwekwa kwenye TV zetu na sio skuzote kujadili mambo ya umbea ambayo hayatujengi chochote wananchi
@davidmkama3830
@davidmkama3830 Ай бұрын
Raphael maganga gave us good presentation
@jumamdaki9691
@jumamdaki9691 Ай бұрын
Sensei Rostam Aziz🙏🙏🙏
@jumamdaki9691
@jumamdaki9691 Ай бұрын
Aridhi inauzwa kwa wageni kama njugu mawe vile badala ya kuzuia na kuwakodisha. Mi kiukweli siitofautishi sana nchi yangu na Shamba la Bibi maana hatuna mifumo thabiti ya kuinusuru hii nchi by the time tutakuja stuka tutakuwa tumechelewa sana.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Hoja ya uzawa , Idi Simba alikufa nayo.
@saidmussa-wg2wc
@saidmussa-wg2wc 29 күн бұрын
Clouds ndio chama letu nilikuwa siamini kam clouds inaenda kumalizika hakuna kam clouds media
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 Ай бұрын
Tumejawa na roho mbaya tuu hapo masud kipanya mwenyewe ana kp motors waliokuwa wa kwanza kumvunja moyo ni sisi watanzania wenyewe...hiyo gari alotengeza masod ingekua imetoka nchi nyingine tungeshoboka nayo mpka basi ...wacha wawekezaji waje tuu hatujiwezi tumejawa na roho mbaya huwezi ukabarikiwa kufunguliwa ikiwa wewe mwenyewe umefunga milango ya wengine .
@PascalHaule-s1y
@PascalHaule-s1y Ай бұрын
It's a very nice discussion, POV the wall paper has written in English but the language of the conversation is Swahili., why So?
@maududibarekao9234
@maududibarekao9234 Ай бұрын
together we can
@daudhamis7281
@daudhamis7281 5 күн бұрын
Ila mbona kama mzee wang Balozi hajajibu swali la kaka KP ipasavyo? La NANI NI NAN NA ANAFANYAJE KWA AJILI YA WATANZANIA KATIKA FURSA AMBAZO ZINAFANYWA NA WATU WA NJE AMBAZO ZINGEWEZA KUFANYWA NA WATANZANIA?
@studio7647
@studio7647 Ай бұрын
That lady was busy on her phone while watu wanaongea mambo makubwa
@abdullahabdull3172
@abdullahabdull3172 Ай бұрын
ladies are always like that...wanaamini hayo ni mazungumzo ya kiume wao hawausiki
@vusumuzi_mathumo
@vusumuzi_mathumo Ай бұрын
Watanzania ni makumbafu wajifundishe kuongea kiingereza!!
@jacobmsigwa383
@jacobmsigwa383 Ай бұрын
Unadhani hao wazungumzaji wana changamoto ya kuongea au kuwasiliana kwa kiingereza? Ili kuthibitisha si washamba wameamua kuongea kiswahili fasaha bila kuchanganya lugha nyingine
@pascofp145
@pascofp145 Ай бұрын
Funga mdomo huyo añaeongea hapo Rostam Azizi tajiri number mbili est Afraca nanyie wakunya na kingereza chenu mkiwepo tulila watu wenyeshibe wanaogea hapo
@pascofp145
@pascofp145 Ай бұрын
Funga mdomo huyo añaeongea hapo Rostam Azizi tajiri number mbili est Afraca nanyie wakunya na kingereza chenu mkiwepo tulila watu wenyeshibe wanaogea hapo
@melkizedekikalanga3349
@melkizedekikalanga3349 Ай бұрын
Kiswahili lugha ya Africa huijui lakini kizungu lugha ya wakoloni unaijua,, Mtumwa mkubwa wewe, Rudi ulaya ndio kwenu Malaya mbwa
@Dohamoud
@Dohamoud Ай бұрын
In my opinion the reason Tanzanians aren't confident into doing big projects within the country is because of the seeds of doubt and fear the government has planted into its citizens and being reinforced over time, smh
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 Ай бұрын
Inategemea redio unazo sikiliza
@Ntuli-o4w
@Ntuli-o4w Ай бұрын
Barozi Mpunjwe is so exposed! Kwa kweli ! Ukienda bank riba za mikopo ....mzawa ni ngumu kupamba ! Riba 20%= ukapambane na mtu mwenye acess 3% Hongera Clous kwa mjadala kama hii, watanzania kila channel inachambua mpira na siasa! Kweli lazima tujadili siasa kwa mkutadha wa uchumi na ustawi wa watanzani! Siasa ni kilimo, au Siasa ni uwekezaji wa ndani ajenda.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Wivu kweli ni utamaduni wa Taifa hili. Na ni kikwazo unapofichwa kwenye sera zetu za uchumi.
@augustinoraymundi1721
@augustinoraymundi1721 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqOVfZR8ZZWDf5osi=AHIlICMiKlKTZ-b4
JORAMU NKUMBI - The Best Speech- Hotuba bora Kabisa
12:58
Joramu Nkumbi
Рет қаралды 41 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
LISSU AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU MBOWE
12:44
Sanduku la Habari
Рет қаралды 1,2 М.
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 126 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН