ALICHOZUNGUMZA LISSU KANDA YA ZIWA AKIPATA URAIS

  Рет қаралды 25,151

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mgombea Urais kupitia tiketi ya chadema Tundu Lisu ametaja maeneo muhimu atakayoyashughulikia kwa mikoa ya kanda ya Ziwa iwapo atashinda Urais kuwa ni kufufua kilimo cha zao la pamba, kuweka mazingira bora ya biashara kwa wamachinga kuboresha sekta ya uvuvi pamoja na bima ya afya kwa kila Mtanzania

Пікірлер: 220
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Baba hongera sana. Watakuelewa tu mbele ya safari💪💪💪💪💪
@samsonpeterlazaro6948
@samsonpeterlazaro6948 4 жыл бұрын
Treni siao maendeleo ya nchi au wananchi asante sana lissu
@mosesjohn1825
@mosesjohn1825 4 жыл бұрын
Ni yeyeeee
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 4 жыл бұрын
Kama umesikia sasa mara kumi weka like🧐🧐🧐
@salumungele4594
@salumungele4594 4 жыл бұрын
LISU mm napenda Sana kukusikiliza kwasababu unaongea makavu
@subiraabeid588
@subiraabeid588 4 жыл бұрын
mungu tusaidie ili sasa nijanga lingine
@ngiomomoisteven39
@ngiomomoisteven39 4 жыл бұрын
Hongera mnyampa
@mathiasmichael715
@mathiasmichael715 4 жыл бұрын
Jamani magufuli kasema atampa kazi huyu,ila kwa maoni yangu hafai hata kupewa ofisa tarafa
@fishing_story.
@fishing_story. 4 жыл бұрын
Mbona wew hajakupa
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 4 жыл бұрын
Magufuli hafai kuwa hata mwenyekiti wa kijiji
@mathiasmichael715
@mathiasmichael715 4 жыл бұрын
@@amanibenjamini9637 acha kijitoa ufahamu,mi ntakupa sababu zisizopugua 20, kwann magufuli anafaa kuwa rais,tena kwa zaid ya miaka 30 ijayo,na ntakupa sababu kama hizo kwann lissu hafai hata kuwa diwani,nawe nipe facts kama hizo cyo kuroroma tu,tumieni akili mlizopewa bure na Mungu kujadili issues cyo ushabiki na kupelekwa kama makapi
@michasonjudge7348
@michasonjudge7348 4 жыл бұрын
Ahsanteni sana makamanda lisu baba lao # ni yeye 2020
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Kura kwa Lissu jamani tule asali na maziwa
@somymoivan6199
@somymoivan6199 4 жыл бұрын
Kweli ni yeye ✌️✌️✌️
@cellinahkishai5154
@cellinahkishai5154 4 жыл бұрын
People xx power
@ezekielaloyce5917
@ezekielaloyce5917 4 жыл бұрын
Mmmm hapana wewe nje ni nje uchumi tofauti.
@muselematiku2100
@muselematiku2100 4 жыл бұрын
Sema Baba lisu wambie hao ccm
@felixbenos6365
@felixbenos6365 4 жыл бұрын
Hata Wana yanga yeye ndie alitudidimiza kwa kumkalia vibaya manji.
@wasafiwasafi734
@wasafiwasafi734 4 жыл бұрын
Sema baba wewe ni rais wetu mag lazima tung'oe madarakani
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 жыл бұрын
Huyu rais wenu ajaribu 2025 labda atafanikiwa
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 4 жыл бұрын
Watu wa chache sana hao. Suburi Magufuli aje hapo uone Nyomi la Watu
@daudgabriel1509
@daudgabriel1509 4 жыл бұрын
Tanzania, tofauti na kenya tofauti na america tofauti na china. Kila nchi ina mazingira yake, maisha yanatofautiana, utalatibu unatofautiana, biashara zinatofautiana.
@tecnonkwenda8240
@tecnonkwenda8240 4 жыл бұрын
Big up H.E president Lissu
@michaelmagige4669
@michaelmagige4669 4 жыл бұрын
LISU una akili nyingi mno!!! licha ya risasi,Mungu akulinde, hakuna anaweza kuwa na akili nzur,baada kupata matatizo kama ya lisu,Ni Mungu tu!!!
@yonamakala8642
@yonamakala8642 4 жыл бұрын
Bigapu sana
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
Kwa akili zipi hana jipya kila kitu kishafanywa😏
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 4 жыл бұрын
Anachooongea wenzake washafanya anafanya kuwadanganya wajinga wake wenyye akili km zake
@farajibaswaten7507
@farajibaswaten7507 4 жыл бұрын
Sasa!!!sasa!!!sasa!!! Achana na magufuli mnajipiga risasi wenyewe halafu mnamsingizia muheshimiwa ana kazi nyingi za kufanya siyo kishindana mtu kama wewe achana na rais wetu wa wanyonge utalaaniwa na njaa zako
@bonifatiusjames5642
@bonifatiusjames5642 4 жыл бұрын
Una mapepo wewe...watu wanavyotekwa na kupgwa risasi huoni au.
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
@@bonifatiusjames5642 naona mapepo unayo ww na huyo kuiongozi wenu tena ana bahari maana angefanya upuuzi huo hizo nchi anazozisifia zina democracy asingekuwepo huyo maana hawataki upuuzi kama huo
@saidkhantz2525
@saidkhantz2525 4 жыл бұрын
Ben sanane alitekwa na kuuawa na chadema wenyewe?. Roma alitekwa na chadema? Mo alitekwa na chadema?. Akwilin aliuawa na askari wa chadema?. Usiwe na mapenzi na chama kiasi cha kupitiliza. Chama kinapokosea kiri kuwa chama changu kimekosea. Unakumbuka kuwa nape baada ya kuikosoa kosoa sana serikali alinyooshewa bastola mpaka akamwambia jamaa tulia usifanye hivyo unakichafua chama changu?. Vp nayo ilikuwa ni chadema?. Ccm imefeli sana kwa hii miaka mitano ndugu.
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
@@bonifatiusjames5642 Magufuli atabaki kuwa juu mkipenda msipende hiyo ndiyo habari ya mjini
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 4 жыл бұрын
@@bonifatiusjames5642 pepo magufuli
@paulnathan58
@paulnathan58 4 жыл бұрын
Mmmh! Hapo hakuna 'fiesta' kweli? Mungu yu nawe LISSU!
@henryjohn2913
@henryjohn2913 4 жыл бұрын
Stand kubwa za mabasi zenye shopping malls na sehemu za machinga na mama ntilie na masoko makubwa mbona yanajengwa mikoa yote na serikali ya magufuli au hamjui
@syliverTV5G
@syliverTV5G 4 жыл бұрын
MWANZA Ccm
@drichyrichard740
@drichyrichard740 4 жыл бұрын
naipnda chadeeeeemaaaa
@yonamakala8642
@yonamakala8642 4 жыл бұрын
Tundu lisu unafaa sana baba ss tupo pamoja nawe
@tecnonkwenda8240
@tecnonkwenda8240 4 жыл бұрын
Kagera tunateseka tumekopa kahawa miezi 3 imepita
@isaacmwansile5091
@isaacmwansile5091 4 жыл бұрын
Naona Kama unanizingua
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
Wala usiseme maana natamani nimtie kibao lkn ndiyo yuko kwenye tv😏
@mawananasoro4405
@mawananasoro4405 4 жыл бұрын
Duu unavitoa wapi hivyo vyumba wakati mlikuwa mnaomba kuchangiwa pesa chadema acheni uongo
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 4 жыл бұрын
Wanakubeza hapo. Tunakusubir kwenye sanduku la KURA
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 4 жыл бұрын
Serikali yako ya Belgique 🇧🇪 indeed
@benyavan5774
@benyavan5774 4 жыл бұрын
Jamaa anaongea kama anaongea na watu hawajaenda shule
@arthurisacksuka5369
@arthurisacksuka5369 4 жыл бұрын
Mmmmh mmmmh haya bhana kura itaamua
@simongitting6562
@simongitting6562 4 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeeehhhhh
@salimouazir3506
@salimouazir3506 4 жыл бұрын
Wewe aibu unayo
@anonmgoo7960
@anonmgoo7960 4 жыл бұрын
Magufuli juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@hajikadoma1652
@hajikadoma1652 4 жыл бұрын
nanyie mliokuwa waelewa wa kanda yaziwa mjitahidi kuwaelimisha wananchiwenzeni kua uyo lisu anawapotosha
@emmapaul1766
@emmapaul1766 4 жыл бұрын
Wewe nguruwe kweli
@simonmsola3423
@simonmsola3423 4 жыл бұрын
Du,! Miji mikuu yote ya Dunia hii,!!!!azijengeeee daaaah,,!!
@hajikadoma1652
@hajikadoma1652 4 жыл бұрын
kwahiyo ww unawapenda wajelumani ww unaupenda uvuvihalam ww hauna uwezo wakuwa nautawala wahaki bali unatetea tumbolako kwajili umetumwa utuchochee ili tupigane na kwa taalifayako ss watu wapwani hautudanganyi wadanganye waukouko kanda ya ziwa wasio jielewa ss hautu ganganyi amakweli watu wa kanda yaziwa hamna shulani memayote mnayo tendewa na magufuli lakini bado mna mshangilia mtu anae wapotosha ila mjue mungu anawaona kumbukeni uyo anawapotosha mlijueilo
@hafidhibakari4832
@hafidhibakari4832 4 жыл бұрын
Kadoma wamekuelewa wamekusikia Ila binadam Hana fadhila.
@daudimakaya9240
@daudimakaya9240 4 жыл бұрын
Hizi sera mbona kama za kwenye ndio mzee ya prof jay
@josephatmakaranga7043
@josephatmakaranga7043 4 жыл бұрын
Umeonaeee
@mangobase
@mangobase 4 жыл бұрын
Hizi akili akipewa nchi hakianani itakua porojo tu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 4 жыл бұрын
Tulia wewe
@ayubujackson6994
@ayubujackson6994 4 жыл бұрын
Uchiz unao
@haridimpelengana1246
@haridimpelengana1246 4 жыл бұрын
Safi
@syliverTV5G
@syliverTV5G 4 жыл бұрын
Magu yupo juu
@bernardinaa7565
@bernardinaa7565 4 жыл бұрын
Magufuri hoyeee
@samwelsimon9278
@samwelsimon9278 4 жыл бұрын
Leo atakujenga akuna cement sh 16000 maguli alikuta 14000 usiseme sukari wala nini alafu mkulima ndo kapotezewa mfugaji nikunyanganywa hata hizo mifugwa nani hajui ndiyo Tanzania yawanyonge ya magufuli Leo anataka kura Tena siyo ombi lazima ashinde
@haruniblackson390
@haruniblackson390 4 жыл бұрын
Lisu baba lao
@yassinimohamed4014
@yassinimohamed4014 4 жыл бұрын
✌✌✌✌
@cellinahkishai5154
@cellinahkishai5154 4 жыл бұрын
🤞🤞🤞🤞🤞🤞🤞🤞
@mwarobainmchung3512
@mwarobainmchung3512 4 жыл бұрын
Mim naona kama hali ndo ivi naona bora kuwe na chama kimoja tu tanzania sio kwa presha tunazopata kuhusu huyu jamaa lisu hana akil hata kidog
@zakayosanga2499
@zakayosanga2499 4 жыл бұрын
Wee unaakili
@mwarobainmchung3512
@mwarobainmchung3512 4 жыл бұрын
@@zakayosanga2499 wew na lisu wenu ni matahila bhana
@stevenramadhan6768
@stevenramadhan6768 4 жыл бұрын
@@mwarobainmchung3512 mume wenu kashikwa pabaya mnalo
@stevenramadhan6768
@stevenramadhan6768 4 жыл бұрын
na bado wehu nyie kati ya lisu na magufuli nani anaonekana hana akili hata kwenye kampeni zake et nipeni uris nitampa lisu kazi lissu anataka kutupa watanzania kazi
@mwarobainmchung3512
@mwarobainmchung3512 4 жыл бұрын
@@stevenramadhan6768 hahaha pigen umbea na majungu mkimaliza mtupishe tupige kazi alafu muwe mnakaa barabaran kutuomba omba pumbavu nyie
@modestylucas4087
@modestylucas4087 4 жыл бұрын
Muda umekaribia wa Mapinduzi ya Kisiasa Tanzania Lissu anatengeneza njia
@sulekibombwe1367
@sulekibombwe1367 4 жыл бұрын
lissu
@zainabmuhamed2772
@zainabmuhamed2772 4 жыл бұрын
Pole huna mpango wowote na huwezi kuongoza
@sulekibombwe1367
@sulekibombwe1367 4 жыл бұрын
@@zainabmuhamed2772 mmmmh
@hajikadoma1652
@hajikadoma1652 4 жыл бұрын
magufuli ndo kilakitu
@mangobase
@mangobase 4 жыл бұрын
Walio changa mbona hukuwapa risit uongo wa kitoto kweli....🙄
@saluwonderscotto9883
@saluwonderscotto9883 4 жыл бұрын
Magufuli baba lenu
@chuwafamily496
@chuwafamily496 4 жыл бұрын
Mi naona risasi alizopigwa zilimfyetua akili huyu mtu kwakuwa hajielewi anachozungumza hata kidogo
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Zimemfanya awe na akili nyingi
@salimouazir3506
@salimouazir3506 4 жыл бұрын
Pinga hojazake kichwa maji wewe
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 alokwambia nani na barabara anapita hizo hizo na ndiyo zinamrahisishia kazi ya kwenda huku na huku angepata taabu sana na hali yake
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@rukkysayid6613 acha ujinga sio pesa za ccm au magufuli ni pesa zetu walipa kodi, soma kwanza usifate ushabiki tu. Usifate msiki wa diamond tu harmonize
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 😏lako hilo sasa yy c anasema wananchi wanadhulumiwa sasa ingekuwa c utaratibu wa hizo kodi barabara zingetengenezwa vipi sasa na nchi zote kodi za wananchi ndiyo maendeleo ya nchi sikatai lkn yy anapinga kila kitu huo ndiyo ujinga siyo mm
@fikirigesen1655
@fikirigesen1655 4 жыл бұрын
Unatumiaa pesa nyingi unawakata wanafunzi wa vyuo vikuu pesa ili muwalipe wasanii na mbebe watu kwenye malori ccm mungu anawaona
@samweliisack7779
@samweliisack7779 4 жыл бұрын
nondo bizo
@MrAmcho
@MrAmcho 4 жыл бұрын
huyu jamaa mpumbavu sana. hajui jinsi ya hizi nchi za nje zilizoendelea huwa kwanini zinaendelea. watu wote huku kama unafanya kazi au una biashara lazima ulipe tax. hiyo hela inayo patikan kwenye tax ndio innayo endesha nchi. Mmiliki wa mall analilipia tax hilo mall, muuza biashara kwenye hilo mall analipia tax biashara yake (juu yake na kodi ya mlango) na mnunuaji analipia tax kwa alichikinunua. Sasa leo unasema ukipata urais, wamachinga hawatolipa tax ya elfu 20 kwa mwaka, lakini unataka wajekulipa kodi ya mlango ambayo itaweza kufika hata laki moja, ambayo inakwenda moja kwa moja kwa muekezaji wa mall. sasa hebu anifahamishe nchi itatengeneza pisa vipi? atamkata kodi ya kiasi gani huyo muekezaji? na hii plan yake itawasaidia vipi hao wamachinga maana watakua wanalipa 1.2million kwa mwaka kwa kodi ya mlango kutoka elfu 20 kwa mwaka kwa tax. Nahsangaa sana hao watu waliohudhuria wanashangiria upumbavu usiotaka tochi kama huu.
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
Kwa sababu hawajuwi kitu maskin wao wanashangiria tu cc tulokuwa huku nnje ndiyo tunayaona hakuna cha bure ulipe tax pamoja na national insurance
@sera.8bomani502
@sera.8bomani502 4 жыл бұрын
20,000 kwa mwaka ...
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 4 жыл бұрын
Watanzania wengi hatujatembelea nchi za nje na pia hatufutiliiivitu wengiwetu kufuata mkumbo tu yaani Anaenda kuwapiga ela watajuta na watamkumbuka Magu watalia na kusaga meno chamachenyewe icho wezi watupu
@sammangwana4523
@sammangwana4523 4 жыл бұрын
Yaaani Lisu ni Muongo, c tunaishi nje na Bima tunalipa, na kama huna Bima hakuna atakayekutibu.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Upo nje ya wapi
@hafidhibakari4832
@hafidhibakari4832 4 жыл бұрын
Nikweli Sam ulaya wnajali sna Kodi kuliko chochote Ila tz hatusomi hatufatilii tunadanganywa dah sawa lakin.
@sammangwana4523
@sammangwana4523 4 жыл бұрын
Ela izo utazitoa wapi za kujenga Malls, none sense
@emmapaul1766
@emmapaul1766 4 жыл бұрын
Mtanyooka tu mwaka huu
@sammangwana4523
@sammangwana4523 4 жыл бұрын
@@emmapaul1766 wapiga kura sio wanaokusanyika kwenye mikutano ndo shida kubwa
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 4 жыл бұрын
Wewe mzee losu na wewe mkweli Sana duuu
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 4 жыл бұрын
yaaani unapogia debe foreigner.haha umeanza kuwabeza waliokutuma eti
@fidelslick2086
@fidelslick2086 4 жыл бұрын
Huyu Lissu anawadanganya tu yaani nyie munashangilia uwongo wake, Anawapenda wazungu sio watanzania kueni makini musije kujutia
@zakayosanga2499
@zakayosanga2499 4 жыл бұрын
Wewe .ndoo boya
@adammbuba7357
@adammbuba7357 4 жыл бұрын
CCM oyeee
@mtanzaniahuru6203
@mtanzaniahuru6203 4 жыл бұрын
Hakuna serikali inayo jiendesha duniani bila kodi. Utauwezaje urais kama jimbo lenyewe limekushinda hahahahahaaaaa unachekesha sanaa japo mimi nakuona kituko sana
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Jimbo limemshinda au amenyang'anywa? Endelea kujichekesha ila #Niyeye
@hafidhibakari4832
@hafidhibakari4832 4 жыл бұрын
@@mathiaszakaria7052 jitambue ndugu wakolon walijenga reli kwa lengo la kubeba lasilimali zetu Ila wa Africa bado tumelala tu na lisu atatupeleka pabaya siasa sio ushabiki wa tz wengi tunaushabiki tu hatufatilii na hatusomi .
@isayajoseph6055
@isayajoseph6055 4 жыл бұрын
Kul yko moja aita mludisha john ikulu na iyo kula yko moja aitamfany lisu awe rais ko kama una point tuliza mxhono
@isayajoseph6055
@isayajoseph6055 4 жыл бұрын
@@hafidhibakari4832 alo kwambia magu katupeleka Pazur nani usifanye kitu kutaka kujibiwa ata usipo piga kula iyo kula yko moja aito saidia kitu kowetuliza kiwashel😂😂😂
@oswadlujombo7542
@oswadlujombo7542 4 жыл бұрын
Apo xaxa uwongo mtarajiwa
@alexandermalima9674
@alexandermalima9674 4 жыл бұрын
Jamaaa. Kkwel msomi asee
@hagaimavanza9316
@hagaimavanza9316 4 жыл бұрын
Tuache uongo lisu yuko vizuri ahadi zake zinagusa maisha ya vyama vyote
@samhadas8009
@samhadas8009 4 жыл бұрын
Wacha uongo
@eliasmsikite1660
@eliasmsikite1660 4 жыл бұрын
Duh kumbe huyu mtu nahis Ana vyeti feki maana mtu mwenye elimu hawez kuongea hiv
@emmapaul1766
@emmapaul1766 4 жыл бұрын
Mtanyooka tu
@cubrensmubarack9942
@cubrensmubarack9942 4 жыл бұрын
Wewe mama ako anavyo original ndio maana ukazaliws
@zakayosanga2499
@zakayosanga2499 4 жыл бұрын
Ingia wewe
@conasmalale1073
@conasmalale1073 4 жыл бұрын
Napita tu
@samhadas8009
@samhadas8009 4 жыл бұрын
Tunalipa hela nyingi sana huku ulaya kwa ajili ya bima ya afya wacha uongo
@salimouazir3506
@salimouazir3506 4 жыл бұрын
Mkundu ulaya unakujua?
@TANZANIAALERT
@TANZANIAALERT 4 жыл бұрын
kabisa muongo sana mie nalipa euro 45 kila mwezi kwa hinayana afya na ndio wameendelea. jumuiya GP euro 60 au wenye health card hawalali GP. lakini kama unaandikwa dawa unalipa elfu tano
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 жыл бұрын
MWANZA ni CHADEMA mtupu
@eliyatango3624
@eliyatango3624 4 жыл бұрын
Ujitetee kwa akili sana kamand
@amiryshomary3901
@amiryshomary3901 4 жыл бұрын
NA VIPI KUHUSU SGR INAYOJENGWA NA SERIKALI YA MAGUFULI UNATAKA KUSEMAJE?
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Haisaidii kitu ikiwa watu hawako huru na wanapotea potea
@amiryshomary3901
@amiryshomary3901 4 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 SASA HAO WATU WANAPOTEZWA NA NANI?
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@amiryshomary3901 jiulize na serekali haifanyi kitu , wana polisi usalama na kila kitu wako kimnya
@TANZANIAALERT
@TANZANIAALERT 4 жыл бұрын
atavunja
@amiryshomary3901
@amiryshomary3901 4 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 KAKA KATIKA HAYA MAMBO YA KISIASA INATAKIWA UWE MAKINI SANA,,,,LA SIVYO UTAJIKUTA UNAAMINISHWA UONGO,,,FUATILIA KWA MAKINI SIASA ZA UPINZANI HASA KIPINDI HIKI CHA KAMPENI UTAJIFUNZA KITU...NA UKIPATA MUDA GOMBEA NAFASI ZA UONGOZI UTAGUNDUA VITI VINGI SANA.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
toa sera acha maneno
@faustinikatemi4177
@faustinikatemi4177 4 жыл бұрын
Mipango siyo matumizi ukiwa huna Kila kitu utajifanya unakijua lakni wewe piga tu kelele zako
@ezekielaloyce5917
@ezekielaloyce5917 4 жыл бұрын
Hela unazitoa wapi wewe nyamaza tu huna chochote mzee baki kimya upewe nafasi tu serikalini baada ya magufuli kupita . Utaenda njee tunajua .
@yohanaevance9784
@yohanaevance9784 4 жыл бұрын
Lisu ndiye kiongozi sahihi magu mpiga dili tu
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
@@yohanaevance9784 subutuuuu unaota wewe au
@yohanaevance9784
@yohanaevance9784 4 жыл бұрын
@@rukkysayid6613 huo ndio ukwl maana vitu vinaonekana, mwenyewe unaona umati huo, wkt mlishasemaga kuwa upinzani umekufa, watu waliamua kukaa kimya tu, lkn ccm ni chama ambacho hakifai kimeiba sana fedha za umma
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
@@yohanaevance9784 🤔🤔angalia clip za Luwasa wtu walikuwa kuliko hao matoke yake nn ,wingi wa wtu sio kushinda wengine wamesogea hapo kwa yao sio kwa ajili yake
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
@@yohanaevance9784 na hata kama anaiba na maendeleo tunayaona au ww mwenzetu huoni nikutumie👓
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 4 жыл бұрын
Hautokuja kupata Urais mpaka mwisho.
@zakayosanga2499
@zakayosanga2499 4 жыл бұрын
Kaampe nduguyako
@sammangwana4523
@sammangwana4523 4 жыл бұрын
Kwa iyo wavue kiholela
@hafidhibakari4832
@hafidhibakari4832 4 жыл бұрын
Sam was tz shida sna watu walikuwa wanatumia sum mabom kweli sekali ipo tu Mambo ya ajabu sna yalikuwa yanafanyika tz ndio maana Kenya walituacha sna.
@sammangwana4523
@sammangwana4523 4 жыл бұрын
@@hafidhibakari4832 kabisa kaka na nakuelewa vizuri unachosema. Watu shida kweli kaka.
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mpuuzi hata simuelewi huyu mpumbavu
@AK-is9xi
@AK-is9xi 4 жыл бұрын
Na ninani kwani aliekwambia umuelewe??
@duoxmasisa6529
@duoxmasisa6529 4 жыл бұрын
Ujue kichwa yako itakuwa mbovu,hizo zote #logic,ukifikiria vzuri utagundua shida ya #MwlNyerere haikuwa miundombinu ila nikitu kingine kbs je ni kipi? Tafakari
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 жыл бұрын
Huyu mtu anataka aingie tu ikulu hayo anayosema hapo ni uongo mtupu nyie ndo matapeli mnataka kutuletea vita tu
@AK-is9xi
@AK-is9xi 4 жыл бұрын
@@janekikoti2179 weee ulitaka aingie chooni sio!!!
@abassmchonjo6635
@abassmchonjo6635 4 жыл бұрын
Kwakuongea.namkubali.magufuli.aonindani
@fikirigesen1655
@fikirigesen1655 4 жыл бұрын
Hakuna malorii hapooo wala kina mondi
@ihanomadili
@ihanomadili 4 жыл бұрын
Kigeugeu wewe,
@moureenkirundwa8691
@moureenkirundwa8691 4 жыл бұрын
Jmn wana mcc humu mmetafta nn, nyinyi jiandaen kuwaengua wagombe wa ubunge na udiwan, ss hv zamu ya wapi?
@zakariaibrahim9895
@zakariaibrahim9895 4 жыл бұрын
Anataka kuuza nchi sasa 🤣🤣🤣
@abassmchonjo6635
@abassmchonjo6635 4 жыл бұрын
Acha.uchoko
@mangobase
@mangobase 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jnjVfoJve9WYj68 Kazi ipo
@anthonyzambi4415
@anthonyzambi4415 4 жыл бұрын
LISSU NI "MUUJIZA WA MWENYEZI MUNGU UNAOISHI "
@henedaidha5600
@henedaidha5600 4 жыл бұрын
Chukua ruzuku kura hatukupi
@zakayosanga2499
@zakayosanga2499 4 жыл бұрын
Kampe ndugu yako
@amiryshomary3901
@amiryshomary3901 4 жыл бұрын
MUONGO HAKUNA BIMA YA MILIONI 9 TZ ?
@salimouazir3506
@salimouazir3506 4 жыл бұрын
Hujui kwakua ni kikundi kimoja cha wezi utajua vipi shida za watu?mkundu wewe na mama yako
@amiryshomary3901
@amiryshomary3901 4 жыл бұрын
@@salimouazir3506 SASA KUNITUKANA UMEJIONGEZEA KITU GANI KATIKA MAISHA YAKO?....
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 4 жыл бұрын
@@amiryshomary3901 hawana sela Ingekuwa watu wanalipa iyo atabunge lisiongelee. Inamaaana kulipa bima nisiri au?, wamepata mgpmbea kichaaa hatariii
@watwegopnina6480
@watwegopnina6480 4 жыл бұрын
200000÷12 ........
@mohammedsembi8408
@mohammedsembi8408 4 жыл бұрын
Ŕuu
@sammangwana4523
@sammangwana4523 4 жыл бұрын
Iyo Bima ni bure au?
@nicethamanonga5855
@nicethamanonga5855 4 жыл бұрын
Ujinga mtupu kwa hiyo uvuvi haramu ukizuiliwa ni kosa? Wapi utaweza kuhudumia wtz wote bila mchango wao kama siyo kutudanganya .bila watu kuchangia chochote wewe pesa utazitoa wp acha kudanganya na kupotosha watu kujiandaa kupiga uvivu wakitegemea kuwa utawapatia huduma zote bila kufanya kazi.ccm oyeeeeeeee piga kazi upate mafanikio
@zacchaeusnzella7394
@zacchaeusnzella7394 4 жыл бұрын
Nadhani Lissu anachomaanisha Ni Hiki...Badala ya Kuwakamata wavuvi na Nyavu zile zinazovua Samaki Wadogo na Kuzichoma Na Pengine Kwa Wavuvi Kupewa Faini...Serikali inapaswa Iwe ya Kwanza Kuzuia Uuzwaji wa Vyavu Hizo na Hiyo ndio kuzuia uvuvi haramu ...Hiyo ndio itakuwa Tiba ya tatizo Haswa na Vyavu zinazokubalika Ndio ziuzwe pekee, Hapa Uvuvi utakuwa Halali wala Unyang'aji hautosikika.....
@AK-is9xi
@AK-is9xi 4 жыл бұрын
@@zacchaeusnzella7394 ndivyo alivyomaanisha hasa
@zacchaeusnzella7394
@zacchaeusnzella7394 4 жыл бұрын
@@AK-is9xi Hyesss Sister
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 4 жыл бұрын
Huyo anaye sema huyo Jamaa ni mpumbavu huenda yeye ni kichaa anatakiwa kupimwa akili zake
@sayunipentecostelikambamab7926
@sayunipentecostelikambamab7926 4 жыл бұрын
People ssssssss
@lawjoseph6590
@lawjoseph6590 4 жыл бұрын
Unawaongopea wasiojierewa
@1carbon676
@1carbon676 4 жыл бұрын
Sawa baba wambiye kweli kila kitu makufuli utafikiri yeye ndokazisha TANZANIA
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 4 жыл бұрын
hana sera kuruhusu uvuvi haramu tena unaturudisha nyuma tulikotoka
@historicorner2182
@historicorner2182 4 жыл бұрын
Mwananchi mnazingua, mkitaka kuonyesha watu waliohuzuliwa, mnaonyesha blur, ili watu wasione kuwa jamaa anasapot kutoka kwa wananchi
@judiththobias3234
@judiththobias3234 4 жыл бұрын
0. . X. .0
@casmilelisha8300
@casmilelisha8300 4 жыл бұрын
Huyu jamaa tapel wa kisiasa aiseee ukimsikiliza porojo tupu
@colinsmatowo6527
@colinsmatowo6527 4 жыл бұрын
Tapel babu yako
@zakayosanga2499
@zakayosanga2499 4 жыл бұрын
Acha ujinga wewe
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 4 жыл бұрын
Ukiwa Mh rais tunaweza kua nchi bora Sana mana unajua istoria wewe jembe Ila Uber utusemei tunatabika madereva
@adammbuba7357
@adammbuba7357 4 жыл бұрын
Tundu acha uongo
@salimouazir3506
@salimouazir3506 4 жыл бұрын
Ongea kweli wewe mkundu lisu kaongea kweli
@ayubujackson6994
@ayubujackson6994 4 жыл бұрын
Kweli
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 жыл бұрын
@@salimouazir3506 kweli ipi aloongea anawadanganya tuu
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Magu kasema umuachie agombee atakupa vikazi vidogovidogo serikalini!!! Siyo rushwa hiyo?? Kumbe wale wabunge waunga juhudi na akna katambi uuuuuuwiiiiih! Huyu bwana zao la manuva!
The Destruction of Madinah and The Greater Israel | Ustadh Wahaj Tarin
51:59
OnePath Network
Рет қаралды 1,5 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
MBOWE ATOA KAULI NZITO"MSIBA HUU UWE WA MWISHO"
10:54
JAMBO TV
Рет қаралды 23 М.
A-Z MAZISHI YA KIBAO TANGA, CHADEMA WATAKA HAYA ...
5:51
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,5 М.
Spinothalamic Tract | Ascending Tracts | Spinocerebellar Tract  | Neuroanatomy
3:14:02
كيف نفهم المال؟ | بدون ورق 126 | د.سيف الدين عموص
3:05:44
بودكاست بدون ورق
Рет қаралды 1,9 МЛН
#BREAKINGNEWS: Askofu Sendoro wa KKKT afariki dunia kwa ajali Kilimanjaro
0:36
UTATA KIFO CHA  KADA  CHADEMA WADAU WAIBUKA CCM, ACT WAZALENDO WATIA NENO
10:59
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН